SERIKALI inatarajia kutangaza rasilimali na bidhaa zinazozalishwa nchini, katika maonesho ya sita ya kimataifa ya biashara yanayofanyika jijini Dubai katika Nchi ya...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Jaji Mkuu na Kaimu Jaji Kiongozi kutupia jicho vizuri usimamizi wa ubora wa maamuzi kwenye mahakama za...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amesema, aliondolewa katika wadhifa wa U...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021ALIYEWAHI kuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi jasiri na mahiri, anatosha...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021WATU 27 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuiba mifuko ya sarufi, katika ajali...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha ripoti ya utekelezwaji wa haki za binadamu (UPR), katika kipindi cha miaka minne mfululizo (2016-2020), katika Baraza la...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Uchumi Afrika (BADEA),...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021ASASI za Kiraia nchini Tanzania, zimeiomba Serikali itafute muarobaini wa changamoto ya ajira za utotoni na wasichana kuachwa nyuma katika fursa zinazotokana...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameapishwa kutumikia muhula wa pili katika nafasi hiyo huku taifa lake likikumbwa na mzozo wa kidiplomasia...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021BAADA ya Panama Papers mwaka 2016, Paradise Papers mwaka 2017, Mauritius Leaks mwaka 2019 na Luanda Leaks mwaka 2020, hatimaye Jumuiya ya...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma (RC) Anthony Mtaka ameitaka Benki ya NMB kutochoka au kurudi nyuma katika kuisaidia jamii nzima ya Tanzania....
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani nchini Tanzania, kimemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, aingilie...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mabadiliko ya bei za bando iliyofanywa na baadhi ya kampuni za simu za mkononi nchini ni...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) leo tarehe 4 Oktoba 2021, imezindua wiki ya Huduma kwa Wateja sambamba na kampeni maalum inayofahamika...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Meneja Mkuu wa Kitengo cha Mikopo wa benki hiyo Bi Gisela Swai (Kulia)...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021Tanzania imepata nafasi ya kupeleka washiriki sita kwenye Fainali za Urembo, Mitindo na Utanashati kwa viziwi ya ngazi ya dunia yatakayofanyika Aprili...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021WATU wawili wamefariki duniani na wengine sita kuokolewa wakiwa hai baada ya duara walilokuwa wakichimba madini ya dhahabu kutitia katika Mgodi wa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021WANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamewasilisha maombi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kuiomba itoe amri ili wafuasi wake wanaoshikiliwa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021JUMLA ya Mawaziri nane wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanatarajia kuanza ziara ya siku 15 katika vijiji 975 kwa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, amekula kiapo cha kutimiza ndoto ya mrithi wake, Maalim Seif Shariff Hamad ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021BENKI ya NMB nchini Tanzania, imetenga Sh.246 milioni zitakazotumika kununua na kutoa zawadi kwa washindi mbalimbali wa promosheni ya Bonge la Mpango. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021WILLIAM Tate Ole Nasha, aliyekuwa Mbunge Ngorongoro na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji nchini Tanzania, amehitimisha safari yake ya...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika kipindi chake cha uongozi, atahakikisha anaimarisha chama cha Skauti nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2021MWENDESHA mashitaka nchini Ujerumani, ameanza uchunguzi dhidi ya raia mmoja wa Uturuki, anayetuhumiwa kwa ujasusi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ofisi ya...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2021BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limewashauri waandishi wa habari nchini kujiunga na Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA), ili...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2021HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili iliyokuwa...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2021TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF) nchini Tanzania, imeombwa kuandaa kikao cha mariadhiano ambacho kitawakutananisha viongozi wakuu wa vyama vya siasa nchini ili...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2021SERIKALI imesema aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, William Tate Ole Nasha ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Ngorogoro (CCM )...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2021MAOFISA wanne wa jeshi la Rwanda wameuawa nchini Msumbiji, katika operesheni ya kijeshi dhidi ya wanamgambo wa kiislamu, katika jimbo la Cabo...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021AWET Tesfaiesus, mbunge wa kwanza wa chama cha Green akiwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika, kuchaguliwa kuwa mbunge katika Bunge...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia, Bunge na wananchi kufuatia kifo cha William Tate Ole Nasha. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wajumbe watatu kujaza nafasi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Jijini Dodoma akitokea mkoani Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Rais Samia...
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza rasmi safari ya kutetea jimbo lake la Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kahama … (endelea)....
By Mwandishi WetuSeptember 27, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, limetangaza orodha ya majina 1,475 waliomba kujiunga na jeshi hilo. Anaripoti Victoria Mwakisimba, TUDARCo … (endelea). Vijana...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021KATIKA kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania hii...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limeendelea kusukwa upya baada ya Waziri wa Nishati, January Makamba kuteua vigogo kuwa wajumbe wa bodi ya...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021CHAMA cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kimetangaza kutoshiriki kikao baina ya jeshi la polisi na ofisi ya msajili wa...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021KLABU ya Soka ya Yanga wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao Simba Sc na kubeba Ngao ya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ameamua kushiriki mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), kwa kuwa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021MSANII wa Bongo Fleva, Rosary Robert maarufu ‘Rosa Ree’ amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, King Petrousse ambaye alimtambulisha kwa mashabiki...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali rufaa Mgombea Udiwani wa Kata ya Ndembezi, mkoani Shinyanga, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mvano...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021WAKILI wa Serikali Mwandamizi, Abdallah Chavula, amemhoji shahidi katika kesi ndogo inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Adam...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021MWANDISHI wa habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Sosthène Kambidi amekamatwa na maofisa wa Jeshi la nchi hiyo na kuhojiwa kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021NDANI ya simu ya iPhone yenye almasi yaweza kukurejeshea kiasi cha dola za Kimarekani 95 milioni, lakini ikiwa kipande hiki cha johari hakina...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema, itahakikisha wananchi wanakuza uchumi wa kisasa unaoendana na falsafa ya uchumi wa kidijitali na uchumi wa...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameihakikishia dunia kuwa Tanzania ni ileile yenye amani na ushirikiano na nchi zote. Anaripoti Glory Massamu,...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2021MWANDISHI wa habari wa ITV na Redio One, Mkoa wa Songwe, nchini Tanzania, Gabriel Kandonga amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Songwe …...
By Mwandishi WetuSeptember 24, 2021MSAJILI wa Vyama Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amesema kikao chake na Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro, kimemsaidia kujua...
By Mwandishi WetuSeptember 23, 2021