Friday , 29 March 2024
Home mwandishi
8556 Articles1227 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Chadema kumlalamikia Rais Samia mahakamani

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimedai kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan, dhidi ya mashtaka ya kula njama za...

Tangulizi

Sengerema yazidiwa wagonjwa Korona, mbunge aiangukia Serikali

  MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza (CCM), Hamis Tabasam, ameiomba Serikali iipatie msaada wa dharura wa vifaa tiba vya kutibu Ugonjwa wa Korona...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole, Askofu Gwajima njiapanda CCM

  WAKATI chanjo ya kinga ya ugonjwa wa korona (Uviko-19) ikiendelea kutolewa nchini Tanzanioa, wabunge wawili wa chama tawala- Chama Cha Mapinduzi (CCM),...

Michezo

Karia athibitishwa Rais TFF

  WAJUMBE wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wamemuthibitisha Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa shirikisho hilo kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuwafikisha kortini OCD Dodoma, Kigoma

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimepanga kiwafikisha mahakamani kwa majina yao, Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) wa Dodoma...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo, Athumani Mbuttuka kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Anaripoti...

Tangulizi

Tozo miamala ya simu yapingwa mahakamani

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam,...

Tangulizi

Chanjo ya corona yawaponza 2 Arusha, wasimamishwa

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu, ameagiza kuchukuliwa hatua watumishi wawili wa...

Michezo

Lulu atambulisha jina la mwanae, amwandikia ujumbe

  MSANII wa maigizo nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu Lulu amemwandikia ujumbe mwaanae mwenye siku 21 akichambua jina alilompa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Askofu Bagonza atoa sababu tatu za kuchanjwa

  ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoa sababu kuu tatu,...

Michezo

Diamond amuaga Maulid Kitenge, arejea EFM

  MTANGAZAJI maarufu nchini Tanzania wa vipindi vya michezo, Maulid Kitenge leo Ijumaa, tarehe 6 Agosti 2021, amerejea kituo cha Redio cha EFM,...

Habari Mchanganyiko

Simba wauwa Wanafunzi watatu Arusha

  WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Ngoile wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha, wameuawa kwa kushambuliwa na Simba, walipokuwa wanatafuta mifugo yao iliyopotea...

Habari za SiasaTangulizi

EU, Marekani, Canada, Uswisi zajitosa kesi ya Mbowe

  JUMUIYA za Kimataifa zimejitosa katika kesi ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...

Habari za Siasa

Diwani CCM Dar afariki dunia, kuzikwa Kisarawe

  DIWANI wa Buyuni (CCM), Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Karimu Madenge amefariki dunia jana Jumatano, tarehe 4 Agosti 2021,...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua TCAA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua, Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania...

Habari Mchanganyiko

Watu wanne mbaroni kwa tuhuma za mauaji Dar

  WATU wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za mauaji ya Shaban Amiri Mbalali (20),...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mgeja: Wapotoshaji wa chanjo “ni sawa na magaidi”

  MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amewafananisha wanaopinga chanjo ya korna (UVIKO-19) na magaidi na kuitaka...

Kimataifa

Rais wa zamani Sudan, al-Bashir kufikishwa ICC

  ALIYEKUWA Rais wa Sudan, Omar al-Bashir, anayesota rumande tangu 2019, kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, yuko mbioni kufikishwa katika Mahakama...

HabariHabari Mchanganyiko

Waziri Ummy: Ma DED njooni na CV, kitambulisho

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi (DED) wapya 69 walioteuliwa kufika...

HabariSiasa

Wazee Hai wamwangukia Rais Samia, waomba Mbowe aachiwe huru

  WAZEE wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imuache huru Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe,...

Habari Mchanganyiko

Maafisa wa Serikali wafundwa ulinzi wa haki za binadamu

  MAAFISA wa Taasisi za Serikali zinazoshughulika na masuala ya haki za binadamu, wametakiwa kushrikiana na Asasi za Kiraia na Mashirika Yasiyo ya...

Habari za Siasa

Bunge: Wabunge Tanzania wanalipa kodi

  OFISI ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa nchini humo, wanakatwa kodi...

Afya

Mbatia ataka vituo chanjo ya Korona viongezwe

  MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali iongeze vituo vya kutolea huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha wamjibu IGP Sirro kwa hoja

  BARAZA la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema (Bavicha), limedai kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo watoa neno kujiuzulu Mbunge wa CCM

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema kinasubiri taarifa rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhusu kujiuzulu kwa Mbunge mteule wa Konde, visiwani...

Habari Mchanganyiko

Rais Samia aomboleza kifo cha Waziri Kwandikwa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, kufuatia kifo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waziri wa Ulinzi Tanzania afariki dunia

  ELIAS Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

Habari Mchanganyiko

RC Dar azuia wasiovaa barakoa kupanda daladala, mwendokasi

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewataka madereva na makodakta wa vyombo vya usafiri jijini kutowabeba abiria wasiovaa...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Sirro azungumzia tuhuma za Mbowe, atoa onyo

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amekitaka chama kikuu cha upinzani nchini humo, Chadema na wadau wengine, kuiachia mahakamana...

Elimu

Majaliwa atoa maagizo wanufaika mafunzo ya ufundi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana waliopata ufadhili wa Serikali kupitia programu maalum ya kupata mafunzo ya ufundi stadi watumie...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM atangaza kujizulu

  SHEHA Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amejiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni siku 15, tangu alipotangazwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua Ma- DED

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Michezo

Rais Samia awapongeza vijana U23, atoa maagizo

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameipongeza timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 (U23), kwa kutwaa ubingwa wa mashindano...

Habari za Siasa

Mapendekezo mapya tozo za simu yamfikia Majaliwa

  HATIMA ya kufutwa au kupunguzwa kwa tozo ya miaka ya mitandao ya simu itajulikana wakati wowote kuanzia sasa, baada ya kamati iliyoundwa...

Elimu

Vyuo vikuu Tanzania vyatakiwa kupitia mitaala

  WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, imevitaka vyuo vikuu na taasisi zingine za elimu kufanya mapitio ya mitalaa ili iweze...

Habari Mchanganyiko

Dk. Ndugulile aitaka TCRA isikwamishe usajili vyombo vya habari

  WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), isikwamishe utoaji leseni za usajili kwa...

Habari Mchanganyiko

Hiki hapa chanzo kifo cha Babu wa Loliondo

  MCHUNGAJI Ambilikile Mwasapile (86), maarufu kama Babu wa Loliondo, amefariki dunia kwa ugonjwa wa nimonia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … (endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo njia panda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai kwamba Serikali ya Zanzibar, chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , inakwenda kinyume na maridhiano yao ya kuanzisha...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamuomba Rais Samia amfutie mashtaka ya ugaidi Mbowe

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, amuagize Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amuondolee mashtaka ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matano yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa,...

Kimataifa

Marekani kutoa dola 100 kwa atakayekubali chanjo ya Korona

  RAIS wa Marekani, Joe Biden ameanzisha utaratibu wa kutoa dola 100 (Sh.231900), kwa kila mwananchi atakaye kubali kuchanjwa chanjo ya Ugonjwa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu CCM yaagiza watovu wa nidhamu washughulikiwe

  KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza makada wake wanaokiuka mienendo na maadili ya chama hicho, wachukuliwe hatua za kinidhamu. Anaripoti...

Tangulizi

Waziri Ummy aagiza halmashauri zibuni vyanzo vya mapato

  HALMASHAURI nchini Tanzania, zimetakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya ndani, ili zipate fedha za kutoa huduma kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mbowe latua Marekani, Tume ya AU yatoa tamko

  BARAZA la Wanawake la Chadema (Bawacha), limeiandikia barua Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, likiitaka uingilie kati tukio la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa...

Habari Mchanganyiko

TCRA yawataka waandaa maudhui kuzuia yasiyofaa

  SERIKALI ya Tanzania, imewataka watoa huduma za mawasiliano nchini humo, kuzingatia sheria na kanuni zilizomo kwenye leseni katika utoaji wa huduma husika...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaita wadau katika mapambano ukatili wa kijinsia

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziomba Asasi za Kiraia  na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), ziunge mkono...

Habari Mchanganyiko

Bakwata yaitisha dua kudhibiti Korona, yahimiza barakoa ibadani

  BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), limewaagiza Maimamu wake kufanya dua maalumu wakati wa swala, ili Mungu aliepushe Taifa na janga...

Habari za Siasa

Mashtaka ya Mbowe yawaibua CUF, wamwangukia Rais Samia

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aingilie kati sakata la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, anayekabiliwa...

Habari za Siasa

Dk. Hoseah: Tuna vyama vingi, tuwe na uvumilivu

  RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameshauri wanasiasa kuvumiliana pindi wanapokinzana katika hoja na sera, kwa kuwa...

Habari za Siasa

UVCCM wataka Askofu Gwajima asurubiwe

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kimuadhibu Mbunge wake wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kufuatia hatua yake...

error: Content is protected !!