Friday , 26 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

Afya

Samia apiga ‘stop’ ujenzi vituo vipya vya afya

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi sasa wataachana kwanza na ujenzi wa vituo vipya vya afya na nguvu kubwa itaelekezwa katika...

Elimu

Waliopata daraja la kwanza mitihani ya Taifa Ipepo Sekondari wakabidhiwa zawadi

  WADAU wa elimu kata ya Ipepo Wilaya Makete Mkoani Njombe wametimia ahadi ya kutoa zawadi kwa wanafunzi wa Sekondari ya Ipepo waliopata...

AfyaTangulizi

Rais Samia ataja lishe duni sababu matumizi ‘vumbi la kongo’

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema lishe duni ndiyo chanzo kikubwa cha uwepo wa watu wenye matatizo ya afya ya uzazi na...

Kimataifa

Yuko wapi Masood Azhar, Pakistan au Afghanistan?

  YUPO wapi Masood Azhar, Mkuu wa kikosi cha Jaish e Mohammad (JeM). Ni swali linalojiuliza Serikali ya Pakistani. Ni siri iliyo wazi...

Kimataifa

Kimbunga Ian chasababisha dhoruba kubwa kuwahi kutokea Marekani

KIMBUNGA Ian kimetokea Florida  nchini Marekani na kusababisha madhara makubwa ikiwemo mafuriko. Anaripoti Helena Mkonyi TUDARCo, kwa msaada wa vyombo vya habari vya...

ElimuHabari

CBE yawashukuru waliochangia harambee, yakusanya shilingi milioni 56

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 56 kwaajili ya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwenye kampasi yake ya...

Elimu

Mwalimu Benki yazindua “Bando la Mwalimu”, Serikali yatoa neno

BENKI ya Mwalimu imezindua Bando la Mwalimu kupitia kampeni yake ya ‘Asante Mwalimu’ yenye lengo la kurudisha shukrani kwa mwalimu, ambapo Serikali imeahidi...

Kimataifa

Raila Odinga ataka Interpol kuongoza uchunguzi wa kifo cha mshukiwa wa ICC Kenya

  KIONGOZI wa Azimio Raila Odinga amewataka polisi wa Kimataifa wa Interpol kuanzisha uchunguzi kuhusiana na kifo cha mshukiwa wa Mahakama ya Kimataifa...

HabariSiasa

Mkoa wa Pwani wajiandaa na Uchaguzi mwishoni mwa wiki hii.

  Kaimu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Pwani ,Elisante Msuya ameeleza ,maandalizi ya uchaguzi wa wilaya katika nafasi mbalimbali yamekamilika, ambapo...

AfyaTangulizi

Wakuu wa mikoa wapewa maagizo tahadhari ya Ebola

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya ugonjwa wa Ebola na kuagiza wakuu wote wa mikoa kujiandaa endapo itatokea kisa chochote au...

Kimataifa

IGP, DCI Kenya wajiuzulu, Rais ataja sababu

  RAIS wa Kenya, Dk. William Ruto jana tarehe 27 Septemba, 2022 amemteua Japhet Koome kuwa Inspekta Jenerali mpya wa Jeshi la polisi...

Kimataifa

Rais Ruto atangaza baraza la mawaziri

RAIS mpya wa Kenya, William Ruto, ametangaza baraza lake la mawaziri, lenye mawaziri 21. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kiongozi huyo...

Kimataifa

Kampeni ya China dhidi ya Uyghurs ilivyoenea hadi Pakistan

KAMPENI ya China dhidi ya Wauyghur imesambaa katika mipaka yake, na kuwakumba mamia ya Wapakistani ambao wanailalamikia China kwenye masuala ya imani zao...

Afya

Bima ya afya kwa wote kuanza Julai 2023

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema bima ya afya kwa wote itaanza kazi kuanzia tarehe 1 Julai 2023, endapo Bunge la Tanzania,...

Kimataifa

Urusi yampa uraia Edward Snowden

  RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amempa uraia kachero na mhandisi wa zamani wa Marekani, Edward Snowden, ambaye tangu mwaka 2020 amekuwa mkaazi...

ElimuHabari

Serikali yaipongeza St Anne Marie kwa kutochuja wanafunzi, Yaahidi kuendelea kuongoza Dar/kitaifa

  SERIKALI imepongeza shule ambazo hazina kawaida ya kuchuja wanafunzi unapofikia muda wa mitihani ya kitaifa iiwemo St Anne Marie Academy . Mwandishi...

Kimataifa

Rais Benki ya Dunia agoma kujiuzulu

  RAIS wa Benki ya Dunia, David Malpass amesema kwamba hatajiuzulu kutokana ukosoaji dhidi ya matamshi yake aliyoyatoa kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi....

KimataifaMakala & Uchambuzi

Mkutano wa SCO ni suluhu la ubinafsi na kukidhi haja ya unganiko hilo?

  INAELEZWA kuwa kuna mzozo wa kwa nchi wanachama wa SCO unatokana na kuteteleka na kushindwa kufanya mkutano wa pamoja wa kujadili tishio...

Michezo

NMB yadhamini milioni 25 michuano ya Golf- Lugalo

BENKI ya NMB imetoa udhamini wa Sh. milioni 25 kwa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2022), kama...

HabariMichezo

Michezo mwezi Oktoba, Simba ni jasho na damu

  IKIWA kawa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara, imesimama kwa baadhi ya timu ili kupisha michezo ya kimataifa kwenye kalenda ya Shirikisho la...

Michezo

Umemsikia Mayele, hana wasiwasi na Al Hilal

  MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, Fiston Kalala Mayele ameonekana kutokuwa na wasiwasi na mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya...

Afya

HKMU, WKU kushirikiana kwenye tafiti za kitaaluma

  CHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeingia makubaliano na Chuo Kikuu cha Western Kentucky cha Marekani (WKU) kwa ajili ya...

Burudika

Man Mo; Mkali aliyetajwa na Hayati Magufuli mkutanoni

KILA mtu ana kipaji chake alichozaliwa nacho hapa duniani. Shida tunayokutana nayo ni namna ya kukivumbua kipaji hicho ili kiwe sehemu ya maisha...

Burudika

Netta, Mr Eazi waangusha kolabo kali ‘Playground Politica’

MSANII maarufu wa muziki wa Pop, Netta amemshirikisha staa mkubwa wa muziki wa Nigeria, Mr Eazi katika ngoma mpya ya Playground Politica ambayo...

Michezo

Majaliwa mgeni rasmi mbio za NMB Marathon 2022

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mbio za NMB Marathon 2022 yanayotarajiwa kufanyika Oktoba mosi katika viwanja vya...

Kimataifa

Rais Xi hana mpango wa kufanya ziara Saudi Arabia

WAKATI vyombo vya habari vikiripoti kuwa nchi ya Saudi Arabia ipo kwenye maandalizi ya kumpokea Rais wa China Xi Jinping, Waziri wa Mambo...

ElimuHabariTangulizi

Waziri Mkuu kuzindua kampasi ya CBE Mbeya Oktoba 8

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesema mwitikio wa wadau mbalimbali kuchangia ujenzi wa mabweni ya wasichana katika kampasi yake mkoani Mbeya...

Kimataifa

Majaji 6 waliokataliwa na Uhuru waapishwa na Ruto

  HATIMAYE majaji sita ambao walikuwa wameteuliwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) nchini Kenya mwaka 2019 na majina yao kukataliwa na...

Elimu

Serikali yabanwa bungeni wanafunzi walioacha shule

  SERIKALI imeagiza maofisa elimu katika halmashauri zote nchini kusimamia na kutekeleza ipasavyo muongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi walioacha au kukatishwa masomo kwa...

Afya

Watoto milioni 14.6 wapatiwa chanjo ya polio

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema jumla ya watoto 14,690,597 wametiwa huduma ya chanjo ya polio ya matone sawa na asilimia 118.6...

Afya

Dk. Mpango ataka udhibiti dawa za kuhifadhi samaki

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amezitaka mamlaka za udhibiti kukomesha matumizi ya dawa zisizofaa katika...

KimataifaTangulizi

Rais Ruto aanza na bandari Mombasa, mbolea, majaji

  SAA chache baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Kenya, Dk. William Ruto ameonekana kuanza kazi kwa kasi ya ajabu, baada...

Michezo

Sakata la idadi ya wachezaji wa kigeni laibuka bungeni

  SERIKALI imesema licha ya kuwepo kwa idadi kubwa wa wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu Bara, itaendelea kulishauri Shirikisho la Mpira wa...

KimataifaTangulizi

Mfalme Charles III ahutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza

Mfalme wa Uingereza Charles amelihutubia bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa ufalme. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Alitoa hotuba...

KimataifaTangulizi

Ruto, Kenyatta wakutana mara ya kwanza baada ya uchaguzi

RAIS mteule William Ruto leo Jumatatu tarehe 12 Septemba, 2022, amekutana na rais anayeondoka madarakani Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Rais Jijini Nairobi....

ElimuHabari

Serikali yampongeza Dk. Rweikiza kuwekeza kwenye elimu

  SERIKALI imempongeza Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk. Jasson Rweikiza kwa kuwekeza kwenye elimu na kusaidia jitihada za serikali kuboresha sekta hiyo...

Kimataifa

Sangoma aliyetabiri kifo cha Malkia Elizabeth aibua mjadala

  WAKATI dunia ikiomboleza kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, watumiaji wa mtandao wa Twitter wameibua Tweet ya mganga mmoja matata aliyebashiri...

MichezoTangulizi

Yanga, Simba wang’ara kimataifa

WATANI wa jadi Simba na Yanga wameanza vema kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini katika raundi ya...

Kimataifa

harles III athibitishwa kuwa mfalme Uingereza

  BARAZA la Kukabidhi Mamlaka la Uingereza, limetangaza rasmi mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth II, Charles Philip Arthur George, kuwa mfalme wa...

Michezo

Geita Gold FC. matumaini kibao wakiwavaa Wasudan

MATAJIRI wa madini, Klabu ya Geita Gold kesho wanatarajia kurusha karata yao ya kwanza katika michuano ya kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Barani...

KimataifaTangulizi

Jinsi mrithi wa Malkia Elizabeth anavyotawazwa kushika wadhifa huo

  MARA tu baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II, kiti cha ufalme kinapitishwa mara moja bila sherehe yoyote kwa mrithi wake ambaye...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Samia atuma salamu za rambirambi kifo cha Malkia Elizabeth II

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa kiongozi wa kimila nchini Uingereza, Malkia Elizabeth II....

Kimataifa

Waandamana kupinga mawakili wanaowatetea watuhumiwa wa kufuru Pakistani

MAKUNDI ya wafuasi wa Dini ya Kiislam na wafanyabiashara nchini Pakistani wameandamana kupinga watuhumiwa wa makosa ya kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W) ‘kufuru’ jijini...

KimataifaTangulizi

Malkia Elizabeth II afariki dunia

MALKIA Elizabeth II aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini Uingereza, amefariki dunia leo Alhamis nyumbani kwake Balmoral akiwa na umri wa miaka 96...

HabariMichezoTangulizi

Mgunda kuiongoza Simba Ligi ya Mabingwa Afrika.

  Klabu ya Soka ya Simba imemtangaza Juma Mgunda kuwa kocha wa muda wa klabu hiyo atakayesaidiana na Seleman Matola, kuelekea mchezo wa...

Kimataifa

Rais Burundi amtimua Waziri Mkuu madai kutaka kumpindua

RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye leo Jumatano amemfuta kazi waziri wake mkuu Alain Guillaume Bunyoni baada ya kuonya kwamba kulikuwa na mpango wa...

KimataifaTangulizi

Ruto azungumza na Rais Kenyatta

HATIMAYE Rais mteule wa Kenya, Dk. William Ruto leo Jumatano amezungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa taifa hilo anayemaliza muda wake madarani. Wawili...

Kimataifa

Liz kukabidhiwa mikoba ya uwaziri mkuu leo

LIZ Truss anatarajiwa kuchukua nafasi ya Boris Johnson kama Waziri Mkuu wa Uingereza leo tarehe 6 Septemba, 2022 atakapokwenda kumuona Malkia Elizabeth huko...

MichezoTangulizi

Simba SC. wamtimua kocha mkuu Zoran Maki

KLABU ya Soka ya Simba SC. imemtimua Kocha Mkuu wa kikosi cha timu hiyo, Zoran Maki baada ya kufikia makubaliano ya pande zote...

Michezo

Azam FC yapata kocha mpya, apewa mwaka 1

MATAJIRI wa jiji la Dar es Salaam kutoka  Chamazi – Timu ya soka ya Azam FC baada ya kuanza msimu mpya wa Ligi...

error: Content is protected !!