Michezo

Michezo

Pinda atamani “akina Nyambui” wengine

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amewahimiza wachezaji wanaoshiriki michezo ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari (Umisseta) na Msingi (Umitashumta) kufuata nyayo za wachezaji waliong’ara ndani na nje ya nchi ...

Read More »

Vodacom kukabidhi zawadi za Ligi Kuu, Ngassa, Msuva vitani

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kesho siku ya Alhamis tarehe 11/06/2015 wanatarajia kutoa zawadi kwa ...

Read More »

TFF yafuta mikataba ya Simba na Messi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefuta mikataba yote miwili yenye utata, kati ya ule wa Ramadhani Singano ‘Messi’ na mkataba waliokuwa nao klabu ya Simba. Klabu ya Simba ...

Read More »

Taifa Stars kuondoka leo, kuweka kambi Ethiopia

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoondoka leo jioni kuelekea Addis Ababa nchini Ethiopia kuweka kambi ya wiki moja ...

Read More »

TFF yazindua jezi mpya Taifa Stars, Tovuti

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF leo limezindua jezi mpya za timu za Taifa, zitakazokuwa zikitumika na timu za Taifa katika michuano mbali mbali itakayokua inazikabili. Uzinduzi huo wa ...

Read More »

Blatter atangaza ujiuzulu Fifa

RAIS wa Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA), Joseph (Sepp) Bletter, raia wa Uswisi, barani Ulaya, ametangaza rasmi kuwa atajiuzulu wadhifa huo. Anaandika Jabir Idrissa …. (endelea). “Nitaitisha haraka mno kikao ...

Read More »

CAF yaipa uenyeji Tanzania fainali U-17

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika -CAF leo hii limeipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika ya vijana umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Uenyeji huu ...

Read More »

Taifa Stars kuingia kambini kesho kuwawinda Misri

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuingia kambini kesho jumatano katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri ...

Read More »

Noorj apewa mtihani mwingine, Wambura azidi kuula TFF

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imempa nafasi moja ya mwisho kocha wa timu ya taifa, Mholanzi Mart Nooij juu ya mwenendo mbaya wa timu hiyo. Kamati ...

Read More »

Taifa Stars yaanza vibaya COSAFA

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeanza vibaya michuano ya Kombe la COSAFA, baada ya kukukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Swaziland katika mchezo wa kwanza wa Kundi ...

Read More »

Taifa Stars kwenda Sauzi kesho bila Cannavaro

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho Jumatano inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA, bila ya Nahodha wake, Nadir Haroub ...

Read More »

Rufaa ya Ndumbaro yadunda TFF, kuendelea ya kifungo

KAMATI ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetupilia mbali hoja nne ya Wakili wa Kujitegemea, Damas Ndumbaro na kukubaliana na adhabu iliyotolewa na Kamati ya Nidhamu ...

Read More »

Yanga yaibeba Ndanda, Polisi, Ruvu bye bye

USHINDI wa bao 1-0 walioupata timu ya Ndanda FC dhidi ya Yanga imeisaidia timu hiyo kubaki katika Ligi Kuu Tanzania msimu ujao. Anaandika Erasto Stanslaus … (endelea). Ndanda ambayo moja ...

Read More »

Noorj aita 28 watakaoshiriki michuano ya COSAFA

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es ...

Read More »

Yanga yaibania Simba kupanda ndege

KLABU ya Simba italazimika kusubiri kwa msimu mwingine kukata tiketi ya kucheza michuano ya kimataifa, baada ya Yanga kukubali kichapo cha mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ...

Read More »

Mayweather hakuna ubishi tena, amtwanga kwa pointi Pacquiao

BONDIA Floyd Mayweather amekata ngebe za Mfilipino, Manny Pacquiao baada ya kumpiga kwa pointi na kutimiza kucheza mpambano wake wa 48 bila kupoteza. Katika pambano la raundi 12, lililofanyika ukumbi ...

Read More »

Yanga kukabidhiwa Kombe mechi yao dhidi na Azam

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetarajiwa kuwakabidhi Kombe la Ubingwa Yanga katika mchezo wake dhidi yao na Azam FC utakaochezwa Mei 6, 2015 kwenye Uwanja wa Taifa jijini ...

Read More »

Yanga wabanwa mbavu nyumbani

WAWAKILISHI pekee wa michuano ya kimataifa nchini, Yanga leo wameshindwa kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Etoile du Sahel ya Tunisia katika mchezo ...

Read More »

Simba yaendeleza uteja kwa Mbeya City

TIMU ya Simba SC leo imedhihirisha kuwa ‘wateja’ kwa Mbeya City baada ya kukubali tena kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu za Sokoine, ...

Read More »

Yanga hiyooooo, yanusa ubingwa

YANGA sasa haikamatiki. Klabu Yanga imezidi kuonyesha kuwa sasa hakuna timu inatakayoikwamisha katika mbio zake ya ubingwa msimu huu wa 2014/15, baada ya leo jioni kuongeza pointi tatu muhimu baada ...

Read More »

Kila la kheri Twiga, TFF wawapa mapato yote

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameitakia kila la kheri timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars) katika mchezo wake wa kesho wa marudiano ...

Read More »

Yanga yafanya kufuru Taifa, Azam yabanwa kwao

HII ni sifa sasa. Hayo ndiyo maneno unayoweza kusema kwa matokeo yaliyotokea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi kati ya Yanga na Coastal Union ambayo imemalizika ...

Read More »

Ally Choki atua rasmi Twanga, kupanda jukwaani Aprili 18

HATIMAYE yale maneno ya chinichini yaliyokuwa yanamuhusu mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi, Ally Chocky kuwa atahamia kataika bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ yametimia. Anaandika Erasto Stanslaus … (endelea). ...

Read More »

Kuziona Twiga, She-Polopolo Tsh 2,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini TFF limetangaza viingilio vya mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Zambia (She-Polopolo) ...

Read More »

Simba yaipumulia Azam, yaipiga 2-1 Kagera

TIMU ya Simba leo imepunguza wigo wa pointi kati ya wapinzani wake wa mbio za Ubingwa msimu huu, Azam na Yanga baada ya kuitandika Kagera Sugar mabao 2-1 katika mchezo ...

Read More »

Yanga ni kimataifa zaidi, yawatupa Wazimbabwe kwao

YANGA ni kimataifa zaidi, ndiyo lugha unayoweza kuisema baada ya timu hiyo kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitupa nje timu ya FC Platnum ya ...

Read More »

Yanga yaingia mtegoni Zimbabwe

TIMU ya Yanga inaenda kucheza mechi ya marudiano dhidi ya FC Platnum ya Zimbabwe, lakini akili yao ipo katika mchezo wa raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho ...

Read More »

Simba, Yanga, Azam zapigwa faini na TFF

KIKAO cha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania  kilichoketi jumanne ya tarehe 24, Machi 2015 jijini Dar es salaam, kimepitia taarifa mbalimbali za michezo iliyochezwa ...

Read More »

Yanga mwendo mdundo, yaipiga JKT 3-1

KLABU ya Yanga imezidi kuchanja mbuga katika mbio za kutwaa ubingwa wa msimu huu, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wake wa 19 dhidi ya JKT ...

Read More »

Simba yaifumua Ruvu 3-0, Azam yaipumulia Yanga

TIMU ya Simba imerudisha matumaini ya mbio za ubingwa baada ya kuitandika Ruvu Shooting mabao 3-0, huku Azam FC ikiendelea kuipumulia Yanga kwa kuitandika Coastal Union 1-0. Anaripoti Erasto Stanslaus ...

Read More »

Yanga yaipiga Mgambo 2-0, yajikita kilele, Simba, Azam FC kesho

TIMU ya Yanga leo imejikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuitandika mbabe wa Simba, Mgambo Shooting mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, ...

Read More »

Yanga, Platnum waingiza 91 mil, kuvaana na Kagera kesho

MCHEZO wa Kombe la Shirikisho Afrika uliozikutanisha timu ya Yanga ya Dar es Salaam dhidi ya FC Platnus ya Zimbabwe iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, mwishoni mwa wiki iliyopita imeingiza ...

Read More »

Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TFF, kufanyika Morogoro

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatarajiwa kufanya mkutano wake Mkuu wa Mwaka, mjini Morogoro kwenye Ukumbi wa Morogoro Hotel kati ya Machi 14 na 15. Maandalizi ya mkutano ...

Read More »

Simba, Yanga zaingiza Sh. 436 mil, Ligi kuendelea kesho

Mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa, imeingiza jumla ya sh. 436,756,000 kutokana na idadi ya watazamaji 49,758 waliokata tiketi kushuhudia mchezo huo. Anaandika Erasto Stanslaus ...

Read More »

Simba yakata ngebe za Yanga, Okwi kidume

SIMBA leo imeendeleza ubabe kwa watani wao, Yanga SC baada ya kuwafunga bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, huku mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi akiibuka ...

Read More »

Yanga vs Simba, ubabe vs heshima

MCHEZO wa 99 wa watani wa jadi, Simba na Yanga ni mechi ya vita kati ya ubabe na heshima kwa wakongwe hao wa soka nchini Tanzania. Anaandika Erasto Stanslaus … ...

Read More »

Kuziona Simba na Yanga 7,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya Jumapili kati ya Simba na Yanga  utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kiingilio cha ...

Read More »

Simba vs Yanga, vita ya Tambwe na Okwi

MECHI ya watani wa jadi, Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa, itakuwa na wachezaji 22, lakini vita itakuwa kati ya Amissi Tambwe na Emmanuel ...

Read More »

Yanga yaitunishia misuli Bodi ya Ligi

KLABU ya Yanga imesisitiza itapeleka timu yake uwanjani kesho kwa ajili ya mechi dhidi ya Ruvu JKT na haitaenda uwanjani Machi 11 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi. Yanga imelalama ...

Read More »

Serikali yafuta rasmi, tiketi za elektroniki Taifa

SERIKALI imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa. Uamuzi huo umetangazwa ...

Read More »

Komba afa na bendi yake ya TOT

KUTOKUWEPO kwa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT) katika shughuli ya kuagwa kwa kiongozi wake, Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba, imedhihirisha kuwa kiongozi huyo amekufa na bendi yake. ...

Read More »

Azam yatupwa nje Ligi ya Mabingwa Afrika

PAMOJA na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza, timu Azam FC imeng’olewa katika michuano ya Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 ...

Read More »

Simba yaitumia salamu Yanga, yainyuka Prisons 5-0

SALAMU ziwafikie. Ushindi mnono wa mabao 5-0 walioupata timu ya Simba dhidi ya Prisons ni salamu kwa watani wao Yanga kuelekea katika mchezo wao utakaochezwa Machi 8, 2015 kwenye Uwanja ...

Read More »

Yanga yaisambaratisha Mbeya City, Simba yachapwa na Stand

TIMU ya Yanga leo imeendelea ubabe wake katika jiji la Mbeya baada ya kuichakaza Mbeya City kwa mabao 3-1 katika mchezo uliochezewa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu za Sokoine jijini Mbeya. ...

Read More »

Yanga yarudi kileleni, Azam yabanwa na Ruvu

USHINDI wa mabao 3-0 ulioipata Yanga dhidi ya Tanzania Prisons, umeifanya timu hiyo ikae kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Yanga ambao imevuna ushindi huo katika mchezo ...

Read More »

Azam yarudi kileleni, yaifumua Mtibwa 5-2

MABINGWA watetezi, Azam FC wamefanikiwa kurejea kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuichakaza Mtibwa Sugar kwa mabao 5-2 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, ...

Read More »

Ivory Coast yatwaa taji la AFCON 2015

TIMU ya Taifa ya Ivory Coast ndiyo mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015 baada ya kuifunga Ghana kwa penalti 9-8 kufuatia sare ya 0-0 katika dakika 120 katika ...

Read More »

Ngassa arudi kwa kasi, akitungua Mtibwa mbili

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngassa jana amerudisha heshima yake katika klabu hiyo baada ya kuifungia mabao mawili katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa ushindi wa mabao 2-0. Anaripoti ...

Read More »

Simba, Azam FC zabanwa ugenini, Yanga, Mtibwa Taifa kesho

MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara umeanza leo huku matokeo ya sare yakitawala katika michezo sita iliyochezwa leo kwenye viwanja tofauti tofauti. Anaripoti Erasto Stansalus ….. (endelea). Simba ...

Read More »

Polisi Tanzania, mmewaona wenzenu wa Guinea ya Ikweta

VURUGU zilizotokea katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Fainali za Mataifa Afrika kati ya wenyeji Guinea ya Ikweta na Ghana, zimetia dosari fainali hizo, lakini ni funzo wa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram