Saturday , 20 April 2024
Home Kitengo Michezo Simba kuikabili Dar City, Yanga kujikumbusha na Mbao 32 bora kombe la Shirikisho
Michezo

Simba kuikabili Dar City, Yanga kujikumbusha na Mbao 32 bora kombe la Shirikisho

Spread the love

 

DROO ya 32 ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam imechezeshwa hii leo, ambapo bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Simba itamenyana na Dar City, wakati huo Yanga watakuwa kibarua dhidi ya Mbao FC. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)

Michezo ya hatua hiyo inatarajiwa kupigwa kati ya tarehe 28-30 Januari, mwaka huu ambapo timu zitakazofuzu zitaingia moja kwa moja kwenye hatua ya 16 bora.

Katika hatua hiyo timu zinazoshiriki Ligi Kuu bara zipo 15, huku katika michezo miwili zitakutana wenyewe kwa wenyewe.

Mchezao wa kwanza utakaozikutanisha timu za Ligi utakuwa kati ya Biashara United ya Mara, dhidi ya Mbeya Kwanza na mchezo mwengine utakuwa Kmc ambao watawakabili Ruvu Shooting.

Ifutayo ni ratiba kamili ya michuano hiyo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Tusua mkwanja na mechi za Ijumaa leo

Spread the love  LEO hii mechi zinaendelea kote na wewe kama unataka...

Michezo

Piga pesa na mechi za EUROPA leo hii

Spread the love Hatimaye Alhamisi ya EUROPA imefika ambapo leo hii mechi...

Michezo

Leo ni leo nani kutinga nusu fainali UEFA?

Spread the love HATIMAYE Jumanne ya UEFA imefika ambapo leo hii michezo...

Michezo

Anza Jumatatu yako na Meridianbet

Spread the love  IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi...

error: Content is protected !!