Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Sheikh Ponda gizani tena

MAHAKAMA ya Rufaa, jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Julai 2019 imefuta hukumu ya Sheikh Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini iliyotolewa tarehe 9 ...

Read More »

Kibatala apinga ushahidi wa kamera Mahakamani kesi ya Mbowe

WAKILI upande wa utetezi Peter Kibatala amepinga kupokelewa kwa kielelezo cha kamera na tape mbili za kurekodia video (Min-Dv) zilizotolewa kwenye ushahidi kwa upande wa Jamhuri mahakamani Kisutu  katika kesi ...

Read More »

Waziri Mwakyembe asiturudishe nyuma

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ametangaza rasmi, kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni kutumika katika mchezo mmoja. Anaandika Yusuf Aboud … (endelea). Agizo hilo la ...

Read More »

Mbowe Vs Jamhuri: Neno kwa neno

SHAHIDI wa tano kwenye kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, hajui kilichomfanya askari mlenga shabaha (Koplo Rahimu) azimie. Anaripoti ...

Read More »

Kesi ya Mbowe, wenzake:Shahidi aibua mapya

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza kesi namba 112 ya mwaka 2018 ya viongozi wa Chadema leo tarehe 1 Julai 2019.Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Shahidi wa tano wa Jamhuri, daktari ...

Read More »

Zitto amsaka Ongangi, ataka Kenya iingilie

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini ameitaka serikali ya Tanzania kulipa uzito suala la kutekwa kwa Raphael Ongangi, Rais wa Kenya ambaye ni msaidizi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amesema, Ongangi ana ...

Read More »

Lissu kuvuliwa Ubunge: Chadema yabadili gia angani

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua ubunge Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki siku mbili zilizopita, kumejibiwa vikali na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Pamoja ...

Read More »

Nyalandu, Lema, Mch. Msigwa watoa neno Lissu kuvuliwa ubunge

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kumvua Tundu Lissu Ubunge wa Jimbo la Singida Mashariki kwa kile alichoeleza kwamba hajatoa taarifa ya kutohudhuria vikao vya bunge kwa zaidi mwaka ...

Read More »

Lissu avuliwa ubunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ametangaza kumvua ubunge, mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, Anaripoti Saed Kubenea…(endelea). Akizungumza bungeni jioni hii, Spika Ndugai, amesema Lissu ...

Read More »

Viongozi wa Serikali wawalazikisha wapinzani kurudisha kadi

WANACHAMA wa vyama vya upinzani katika kata mbalimbali wilayani Chemba, Dodoma wamelalamikia vitendo vya watendaji wa kata kuwalazimisha kurudisha kadi za vyama vyao na kuchukua kadi za CCM. Anaripoti Danson ...

Read More »

Msajili ana ugomvi gani na Azaki?

TAREHE 9 Agosti 2017, msajili wa asasi za kiraia alitoa maagizo kwa asasi za kiraia nchini kufanya kuhakiki wa uwepo wao. Uhakiki ulihusu uwasilishaji wa taarifa za msingi za asasi ...

Read More »

Deus Kibamba: Hakutakucha hadi tukorome

WADAU mbalimbali wa masuala ya haki ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza jana walikusanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro, katika Hoteli ya Seashells, Makumbusho, jijini Dar es Salaam, kwa azma ya ...

Read More »

Hati ya dharura: Zitto aeleza hofu

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeupinga Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Makampuni, kikisema ni hatari kwa masuala ya uwekezaji nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na wanahabari tarehe 24 Juni 2019 Jijini Dar ...

Read More »

Serikali inataka kusimamisha au kusimamia dini?

SERIKALI ya Rais John Magufuli, imewasilisha bungeni, muswada wa mabadiliko ya sheria mbalimbali – The Written Laws Miscellaneous Amendments No.3 ya mwaka 2019 – ambako pamoja na mengine, kunalengwa kubadilishwa ...

Read More »

AZAKI zapinga mapendekezo Sheria ya Takwimu, NGo’S

WADAU wa haki za kijamii nchini wameiomba serikali kurekebisha baadhi ya mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali, ikiwemo Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali na Sheria ya Takwimu. Anaripoti Danson ...

Read More »

Tanzania yaita wawekezaji zao la Korosho

KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na wa nje ya nchi wenye nia ya kuwekeza katika zao la korosho, kushiriki katika jukwaa linalotarajiwa kufanyika kuanzia ...

Read More »

Kodi taulo za kike: Zitto ajenga hoja

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amepinga pendekezo la serikali la kurejesha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kwenye taulo za kike. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Mwanasiasa huyo mashuhuri leo ...

Read More »

NEC yasalimu amri

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesalimu amri baada ya malalamiko ya mara kwa mara kutoka vyama vya upinzani na wanaharakati nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Imeeleza kuwa, wakurugenzi ...

Read More »

Marekani yatoa tahadhari tishio la Tanzania kushambuliwa

UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania, umeleza kuwepo mipango ya matukio ya mashambulizi kwenye hoteli na migahawa jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kutokana na kitisho hicho, ubalozi ...

Read More »

Mahakama EACJ hapatoshi: Mbowe, Maalim Seif, Zitto ndani

KESI ya kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa nchini, imeanza kusikilizwa leo tarehe 19 Juni 2019, jijini Arusha ambapo miamba mitatu kutoka vyama vya upinzani wamehudhuria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha … ...

Read More »

Kubenea uso kwa uso na AG

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo ameibua sakata la serikali kushtakiwa nje ya nchi kwasababu mbalimbali, ikiwemo kuvunja mikataba ya wawekezaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mbunge huyo ameitaka serikali ...

Read More »

Prof. Kabudi, Dk. Mpango washikwa pabaya

WITO kwa mawaziri wawili wa Rais John Magufuli; Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki naDk. Philip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango kutakiwa ...

Read More »

Upinzani wajibu vijembe vya Serikali

MBUNGE wa Malindi, kisiwani Unguja, Ally Salehe, ameituhumu Serikali ya Jamhuri ya Muungano, kupunja mapato ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), yanayopitia Mfuko Mkuu wa Hazina. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Zitto: Tusiishangilie Bajeti 2019/20, ashusha data

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza kwamba, kuna mashaka makubwa katika takwimu za serikali kuhusu ukuaji wa pato la taifa na la mtu mmoja mmoja. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Dk. Mpango akiri Watanzania wengi bado maskini

SIKU chache baada ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kusoma Bajeti ya Kuu ta Tanzania kwa mwaka 2019/20, huku ikielezea ukuaji wa pato la Mtanzania kukua, lakini ...

Read More »

Polisi wazuia mkutano wa Mbowe Morogoro

JESHI la Polisi Wilaya ya Morogoro limezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliotarajiwa kufanyika kesho Jumapili tarehe 16 Juni 2019, kwa kile ilichoeleza kwamba ni ...

Read More »

Wananchi watoa ya moyoni bajeti 2019/20

BAADHI ya wananchi waliotoa maoni kuhusu mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 mkoani Kagera na Dodoma, wamekuwa na maoni tofauti. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Julius Kato, Mkazi wa ...

Read More »

Dk. Mpango na bajeti isiyotekelezeka

BAJETI ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, iliyosomwa na Dk. Philiph Mpango, waziri wa fedha na mipango, katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli, haina jipya. Imejirudia mambo yale ...

Read More »

Bajeti 2019/20: Ushabiki wa kisiasa wateka Bunge

TOFAUTI na bajeti za serikali katika miaka ya fedha iliyopita, katika Mwaka wa Fedha wa 2019/20, ushabiki wa kisiasa umedhihiri. Anaripoti Dandon Kaijage, Dodoma … (endelea). Ushabiki huo ulikomaa baada ya ...

Read More »

BAJETI YA SERIKALI: Kitanzi kingine kipya chaja  

KODI! Kodi! Kodi, ndio mwelekeo wa Bajeti ya ya nne tangu Rais John Pombe Magufuli ashike madaraka, akiwa na kauli tamu na ahadi kedekede zikiwamo, “Tanzania ya viwanda.” Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

‘Bao la mkono’ lahojiwa bungeni

WAKATI taifa likijiandaa kuingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Oktoba mwaka huu na baadaye Uchaguzi Mkuu 2020, serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), hoja kuhusu ‘bao la mkono’ yaibuliwa. ...

Read More »

Zitto: Sikuona mambo haya serikali zilizopita

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kuwa, katika tawala za marais watatu waliopita, hakuwahi kuona mambo yanayofanyika kwenye serikali ya sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amedai, kwenye ...

Read More »

Kesi ya uvamizi: Sheikh Ponda arudishwa kortini

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, leo tarehe 11 Juni 2019 anapandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Rufani, jijini Dar es Salaam baada ya serikali ...

Read More »

Pangua pangua ya Rais Magufuli, ilianzia siku ya kwanza ya kuingia Ikulu 

RAIS John Magufuli, amebakiza mwaka mmoja na ushei kukamilisha ngwe yake ya kwanza ya miaka mitano. Akibahatika aweza kuendelea kuhudumu katika kipindi kingine cha miaka mitano, kama rais wa Jamhuri ...

Read More »

Mambo magumu TRA: Maofisa waanza kudakwa

MAOFISA watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wanaotajwa kuhusika kuomba rushwa kwa mfanyabiashara Ramadhan Ntunzwe, watapandishwa kizimbani muda wowote kuanzia sasa. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa ya Taasisi ya Kuzuia ...

Read More »

Maalim Seif akabidhiwa cheo ACT-Wazalendo, yumo Jussa, Bimani, Mazrui

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemteua Maalim Seiff Sharif Hamad, kuwa mshauri mkuu wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Gwiji huyo wa siasa za upinzani nchini, aliyejiunga na chama hicho ...

Read More »

Lipumba maji ya shingo, Maalim Seif kicheko

KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea). Tofauti na awali ambapo, Prof. Lipumba na ...

Read More »

Rais Magufuli atapata lini ‘First Eleven’ ya serikali yake?

RAIS John Pombe Magufuli, amemng’oa kwenye wadhifa wake, Kamishena Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere na kumteuwa Edwin Mhende, kushika nafasi yake. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Kichere ...

Read More »

Rais Magufuli: msitishike na kauli ya ‘maagizo kutoja juu’

RAIS John Magufuli amewataka wafanyabiashara kutokubali kutishwa na msemo wa ‘maagizo kutoka juu’. Anaandika Regina Mkonde … (endelea). Amewataka wafanyabiashara hao kutotekeleza wanachoamriwa, hadi pale wahusika watakapotaja aliyewaagiza. Rais Magufuli ...

Read More »

Msukuma ‘akabidhi’ ubunge wake kwa JPM 

JOSEPH Kasheku (Msukuma), Mbunge wa Geita (CCM), ameweka rehani ubunge wake kwa Rais John Magufuli kwa ahadi kwamba, iwapo uchunguzi utafanywa na kubaini kuwa, taarifa ya madini ya dhahabu yanayochimba ...

Read More »

Sakata la Uamsho moto; Masheikh wamvaa JPM, Kikwete, Bunge

JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, imeibua upya sakata la masheikh wa Uamsho, waliopo mahabusu kwa takriban miaka sita sasa kwa madai ya kutokamilika ushahidi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Shahidi mlenga shabaha (Sniper): Sijui kilichomuua Akwelina

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea na usikilizaji wa kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabali viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambapo Shahidi wa nne amemaliza ...

Read More »

Upinzani Tanzania waivaa Tume ya Uchaguzi 

MUUNGANO wa vyama Nane vya upinzani nchini, umetuhumu Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), kuvunja katiba na sheria za nchi, kwa kuendelea kung’ang’ania wakurugenzi wa halmashauri, majiji na manispaa, kusimamia ...

Read More »

Mlenga shabaha (Sniper) atinga kwenye kesi ya viongozi Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi wa shahidi wa nne kwenye kesi  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), ambapo shahidi amekiri kuwa yeye ni mlenga ...

Read More »

Shahidi nilipigwa jiwe na wafuasi wa Chadema

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeendelea kusikiliza ushahidi kwenye kesi ya Uchochezi nambari 112 ya mwaka 2018,  inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (Chadema), ambapo mahakama hiyo imesikiliza ...

Read More »

Maalim Seif ailia kiapo CCM 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekula kiapo hadharani kwamba, hatolala mpaka ahakikishe kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekaa kando. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akiwa kwenye ...

Read More »

Benki ya Dunia yaipa kibano kingine serikali ya Magufuli

BENKI ya Dunia (WB), yaweza kuhamisha ofisi yake ya Mkurugenzi Mkazi kutoka jijini Dar es Salaam na kuipeleka nchini Afrika Kusini. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka Washinton DC, Marekani, ...

Read More »

Utouh alianzisha, aungana na Prof. Assad

LUDOVICK Utouh, Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, ameungana na Prof. Mussa Assad, CAG wa sasa kwamba, Bunge linashindwa kusimamia serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Utouh ametoa ...

Read More »

Kutekwa Mo: Dereva teksi asomewa mashtaka matatu

MOUSA Twaleb ambaye ni dereva teksi, leo tarehe 28 Mei 2019, amepandisha katika Mahakama ya Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akituhumiwa kwa makosa matatu likiwemo la kumteka Mohammed Dewj ...

Read More »

TAKUKURU wamwachia Nyalandu, Polisi wamnyima dhamana

JESHI la Polisi Singida Mjini limemnyika dhamana Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Kaskazini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na wenzake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram