MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema juhudi zinazofanywa na Wizara ya Nishati, Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2024HATIMAYE Mbunge wa Viti Maalumu Halima Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa katika Mahakama ya Rufaa nchini Tanzania kwa kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa...
By Faki SosiJanuary 19, 2024MGOGORO wa kugombania mali za chama kati ya Chama Cha Wananchi (CUF) na ACT-Wazalendo, umeibuka upya baada ya kusababisha vurugu kati ya wafuasi...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024Shirika la Reli Tanzania-TRC limesitisha kwa muda huduma ya safari za treni kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora,...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2024ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amepongeza Balozi Dk. Emanuel Nchimbi kwa kuteuliwa kurithi nafasi yake na kusisitiza imani ya Halmashauri Kuu...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024KAMATI ya Halmshauri Kuu ya CCM leo Jumatatu imemteua Balozi Emmanuel John Nchimbi (53) kuwa Katibu Mkuu wa CCM akichukua nafasi ya Daniel...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2024Katibu wa NEC – Itikadi na Uenezi (CCM) Paul Makonda amesema Mwenyekiti wa Chadema, Freema Mbowe ni mnufaika mkubwa wa maridhiano ya kisiasa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, amesema wanaotegemea chama hicho kipasuke kutokana na migogoro watasubiri sana. Anaripoti Mwandishi...
By Regina MkondeJanuary 13, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza maandamano ya amani bila kikomo nchi nzima, hadi pale Serikali itakapofanyia kazi maoni na mapendekezo ya...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Zaraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio waliyoyapata miaka 60 tangu Mapinduzi ya mwaka 1964,...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2024Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dk. Edwin P. Mhede aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART). Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewasilisha mapendekezo makuu manne mbele ya Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, juu ya miswada...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2024BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), leo tarehe 7 Januari 2024, limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili na darasa la nne wa...
By Regina MkondeJanuary 7, 2024CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kinakusudia kupeleka hoja ya mabadiliko ya 13 ya Katiba ya Zanzibar ili kuwezesha kuongezewa muda wa muhula wa uongozi...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2024Serikali ya Tanzania imesitisha bei mpya za kitita cha matibabu kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambazo zilipangwa kutekelezwa kuanzia...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2024MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya tathmini ya hali ya joto na mwenendo wake katika maeneo mbalimbali nchini....
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2024Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameainisha mipango ya serikali kwa mwaka mpya wa 2024, ikiwemo agizo la kuanzisha safari za SGR kati...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023RAIS Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, amefanikiwa kutetea kiti chake baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi wa urais...
By Regina MkondeDecember 31, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka watanzania kutumia nyumba za ibada kuwaombea viongozi wa kisiasa wenye roho ngumu...
By Regina MkondeDecember 31, 2023HATIMAYE Jeshi la Polisi limemkamata Lucas Paul Tarimo anayetuhumiwa kumuua kwa kumchoma visu 25 Beatrice James Minja, akiwa amejificha katika kijiji cha Jema...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimefungua milango kwa wabunge viti maalum 19 waliofukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wajiunge nacho. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeDecember 29, 2023JESHI la Polisi limejitokeza na kuwaomba wananchi kutoa ushirikiano wa taarifa kwa jeshi hilo ili kubaini alipo kisha kumkamata mtuhumiwa Lucas Tarimo anayedaiwa...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia nchini...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2023RAIA wawili wa Tanzania, watatu wa Zambia na mmoja wa Kenya wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Serenje nchini Zambia,...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2023OFISI ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), imeondoa mahakamani kesi ya jinai Na. 179/2023, iliyofunguliwa na Hashim Ally dhidi ya aliyekuwa Naibu Waziri...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2023KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania limeonya watu kuacha tabia ya kujilimbikizia mali na kula rushwa kwa kuwa matendo hayo yamepigwa vita na...
By Faki SosiDecember 25, 2023Shamrashamra za Krismasi zinaendelea duniani kote leo Jumatatu, siku ambayo Wakiristo wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo. Sikukuu hii imejiri...
By Mwandishi WetuDecember 25, 2023WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni...
By Mwandishi WetuDecember 23, 2023Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amesema Wizara yake inakusudia kufanya mageuzi makubwa ya kimfumo wa utendaji katika...
By Gabriel MushiDecember 22, 2023ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza, amelia na kitendo cha mmomonyoko wa...
By Mwandishi WetuDecember 21, 2023MGANGA Mfawidhi wa Hospitali ya Kibena, iliyopo katika Halmashauri ya Njombe, Dk. Helena Msese amesema kabla ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
By Masalu ErastoDecember 20, 2023BAADA ya baadhi ya watu kumtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, ajiuzulu kuonesha uwajibikaji kufuatia madai ya baadhi ya wajawazito kujifungulia kwenye sakafu...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2023WABUNGE Viti Maalum 19, waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bado hawajafanya maamuzi juu ya hukumu iliyotolewa na mahakama dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 19, 2023BAADHI ya akina mama wajawazito katika Kituo cha Afya cha Buzuruga, kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, wanadaiwa kujifungulia chini kwenye...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2023Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza...
By Mwandishi WetuDecember 18, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimesema kinawasiliana na mawakili wake ili kuangalia namna ya kufanyia kazi hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, Masjala Kuu...
By Regina MkondeDecember 15, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema wamejulishwa na Serikali ya Israel kwamba Joshua Mollel, kijana wa...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2023MAHAKAMA Kuu Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imebatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililobariki uamuzi wa...
By Faki SosiDecember 14, 2023SAKATA la mzabuni, Maarifa Nampela ‘aliyelizwa’ Sh milioni 25 na Halmashauri ya wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, limetua mikononi mwa Waziri Mkuu, Kassim...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2023MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amejitokeza leo Jumapili jijini Dodoma na kuwaelezea waumini wa Katoliki Parokia...
By Faki SosiDecember 10, 2023WAKATI Tanganyika ikiadhimisha miaka 62 tangu kupata uhuru, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka watanzania kuongeza jitihada za...
By Regina MkondeDecember 9, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo juu ya uboreshaji dira mpya ya taifa ya maendeleo (2025 hadi 2050), huku akitaka iweke masuala yatakayosaidia...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali ipo kazini kuhakikisha suala la kukatika kwa umeme linashughulikiwa kikamilifu na hakuna hujuma yeyote kama...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2023Mwalimu Maganga Japhet amesimamishwa kazi na Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kutokana na tuhuma za utoro kazini na kukaidi au kukataa kutekeleza...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa mji mdogo wa Katesh, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara, waliokumbwa na maafa ya maporomoko ya...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023UJUMBE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), unaoongozwa na mwenyikiti wake Taifa, Freeman Mbowe, umedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kutembelea wahanga...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023BARAZA la Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Kata ya Bahi mkoani Dodoma limeahirisha kesi ya malalamiko ya ardhi iliyofunguliwa na Askofu mkuu wa...
By Danson KaijageDecember 7, 2023BEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua kwa bei za mafuta ghafi kwenye soko la dunia, pamoja na gharama za...
By Regina MkondeDecember 6, 2023SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo...
By Faki SosiDecember 5, 2023