Saturday , 27 April 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari MchanganyikoTangulizi

2021: Ni mwaka wa kipekee

  SAFARI ya siku 365 za mwaka 2021, zitahitimishwa siku kumi zijazo huku wananchi wakiwa na kumbukumbu ya tukio kubwa na la kwanza...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe kula Krismasi, mwaka mpya gerezani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, watasherekea sikuu ya Krismasi na mwaka mpya...

MichezoTangulizi

Yanga yaipigisha kwata Tanzania Prisons, yajichimbia kileleni

  VIJANA wa Jangwani jijini Dar es Salaam, Yanga wameendelea kuwapa furaha mashabiki wake, baada ya kuwadunda 2-1 maafande wa magereza, Tanzania Prisons....

AfyaTangulizi

Milioni 1.2 wapata chanjo Tanzania, maambukizi yashika kasi

  SERIKALI ya Tanzania imesema, maambukizi ya virusi vya korona (UVIKO-19), yanaendelea kwa kasi nchini humo na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole ‘hafukuziki’ CCM, kina Mdee watajwa

  KUNA uwezekano mdogo kwa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumvua uanachama wa chama hicho, mbunge wa kuteuliwa na Rais,...

Habari za SiasaTangulizi

Warioba aponda uchaguzi mkuu Tanzania, Pinda awapa ujumbe CCM

  WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameuponda uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 akisema, yalitokea matatizo makubwa ambayo hawajawahi kushuhudiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatilia shaka mazimio wadau wa siasa, yasema haijutii kutoshiriki

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakijutii kutoshiriki mkutano wa wadau wa siasa, kikidai baadhi ya maazimio yaliyotolewa na washiriki wake,...

AfyaTangulizi

Mganga mkuu atoa tamko visa vya mafua, kikohozi, atahadharisha Corona kuongezeka

  WIZARA ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa, mafua, maumivu...

Habari za SiasaTangulizi

‘Note Book’ ya mwenzake Mbowe yaibua maswali mahakamani

  MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamehoji kwa nini shahidi wa Jamhuri,...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi, wadau wa siasa waibua mambo 80, wato tamko tume huru, mikutano ya hadhara

OFISI ya Msajili wa vyama vya siasa pamoja na Baraza la Vyama vya Siasa limebebeshwa zigo la mambo 80 yaliyojadiliwa katika mkutano wa...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya TCRA kumshushia rungu, Polepole asema ni mtihani midogo

  SAA chache baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kukisimamisha kwa muda kipindi cha ‘Shule ya Uongozi’ kinachoendeshwa na Mbunge wa kuteuliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe; Mahakama yapokea kielelezo nusu, yakataa kingine

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano mkoani Dar es Salaam, imekubali kupokea sehemu ya hati ya ukamataji...

Habari za SiasaTangulizi

Rufaa ya Sabaya, wenzake Februari 2022

  RUFAA ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili imepangwa kusikilizwa tarehe 14 Februari 2022,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aanika sababu kuigawa wizara ya afya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anatarajia kuigawa Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto na kuunda wizara ya maendeleo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nguvu kazi ya wanawake haijatumika ipasavyo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kwamba nusu ya watu duniani ni wanawake, bado sehemu kubwa ya dunia haijatoa nafasi stahiki...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma mapingamizi ya kina Mbowe Ijumaa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imepanga Ijumaa tarehe 17 Desemba 2021, kutoa uamuzi...

Habari za SiasaTangulizi

DPP aanza kufuta kesi za ugaidi Tanzania

  MKURUGENZI wa Mashitaka ya Jinai nchini Tanzania (DDP), Sylvester Mwakitalu, amesema ofisi yake inaendelea “kuchambua na kupitia,” mamia ya majalada ya watuhumiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Polisi aeleza vifaa za JWTZ, JKT vilivyokutwa kwa mstakiwa

  MKUU wa Upelelezi Wilayani Arumeru, mkoani Arusha, SP Jumanne Malangahe, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, vitu...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amtwisha zigo la Mbowe Rais Samia

  KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufuata taratibu zote za kisheria na kumuachia Mwenyekiti wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wapata kigugumizi kumkataa Jaji

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), kimedai Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe na wenzake, wameshindwa kumuomba Jaji Joachim Tiganga,  ajiondoe katika kuisikiliza...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo yawageuka Chadema, NCCR Mageuzi

  LICHA ya baadhi ya vyama vikuu vya upinzani nchini kutangaza kususia kikao cha wadau wa tasnia ya siasa kupitia Baraza la Vyama...

Habari za SiasaTangulizi

Uamuzi kesi kina Mbowe leo, maombi yatawala

  KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, inaendelea leo Jumanne, tarehe 14...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia amlipua diwani Kigamboni, alipinga operesheni machinga

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na diwani wa Kigamboni ambaye awali alipinga operesheni ya kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na sasa ameanzisha...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole adai kuvamiwa na wasiojulikana, wabeba TV

  MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM) nchini Tanzania, Humphrey Polepole amedai, kuvamiwa nyumbani kwake jijini Dodoma na watu wasiojulikana kisha kuiba televisheni. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Bulembo amshukia Polepole, ataka CCM amshughulikie

MWENYEKITI Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi, Abdallah Bulembo amemmshukia mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole akimtaka kumwacha, mwenyekiti wa chama...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi ang’aka upotoshaji kuuza Visiwa, kugawa tenda bila utaratibu

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema si kweli kwamba ameuza ardhi ya Visiwa vya Zanzibar badala yake...

Habari za SiasaTangulizi

Polepole awaanika ‘wahuni’ 

  ALIYEKUWA Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amesema watu aliowataja kuwa wahuni ambao hawajashughulikiwa, ni wale wanaohangaika...

HabariTangulizi

Tanzania kuiuzia gesi Kenya

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuanzisha mradi wa kuiuzia gesi Kenya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo Ijumaa, tarehe 10...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Askofu Mwamakula awapa mbinu Chadema

  KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wanachama na wafuasi wa Chama cha Chadema, kuendelea kupasa sauti zao...

Habari za SiasaTangulizi

Miaka 60 ya Uhuru, Zitto Kabwe ataja mambo manne kurejesha umoja

  WAKATI Tanzania Bara ikiadhimisha miaka 60 ya Uhuru, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali kutekeleza mambo manne muhimu ili kurudisha...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu adai misingi ya uhuru imesalitiwa

  MAKAMU Mwemyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amedai malengo ya wapigania uhuru Tanzania Bara, imesalitiwa katika kipindi cha miaka 60....

KitaifaTangulizi

Makada CCM wamvaa Polepole

  ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga, Hamis Mgeja wakiwemo makada wengine, wazee wastaafu wa chama hicho na serikali, wamewataka...

Habari za SiasaTangulizi

Madai katiba mpya: Bavicha watuma salamu kwa IGP Sirro

  BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) nchini Tanzania, limemuomba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo (IGP), Simon Sirro...

Tangulizi

Majaji washauri vishawishi dhidi yao viondolewe

  SERIKALI ya Tanzania, ameshauri kuwaondolea vishawishi majaji, ikiwemo kutowapa teuzi za nafasi za uongozi serikalini, ili watende majukumu yao kwa ufanisi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

LIVE: Miaka 60 ya Uhuru, marais Afrika wajitokeza

  HAPPY Birth Tanganyika. Ndiyo Tanganyika ama kwa sasa Tanzania Bara, leo Alhamisi, tarehe 9 Desemba 2021, inaadhimisha miaka 60 ya Uhuru. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Watanzania wengi hawafahamu makucha ya wakoloni

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Watanzania wengi hawayajui makucha ya wakoloni kwa kuwa walizaliwa baada ya uhuru wa Tanzania Bara...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia kuhutubia taifa leo

  LEO Jumatano tarehe 8 Desemba 2021, saa 3:00 usiku, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari....

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia azidi kumpigania Mbowe

  MWENYEKITI wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali imfutie mashtaka ya ugaidi kiongozi mwenzake wa kisiasa wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kauli ya Polepole yamponza, CCM yamjadili

  KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema, kauli iliyotolewa na mbunge wake, Humphrey Polepole inajadiliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Ulimwengu: Anayezuia mjadala wa katiba mpya ni mfu kimawazo

  MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, amesema, mtu anayedhani marekebisho ya katiba yaliyofanyika 1977, yanakidhi matakwa ya uendeshaji wa nchi...

MichezoTangulizi

Rekodi ya kipee kwa mwamuzi Herry Sasii mchezo wa Simba na Yanga

  BODI ya Ligi kupitia kamati ya waamuzi, imemchagua Herry Sasii kuwa refa kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...

HabariTangulizi

Mgogoro mwingine waibuka KKKT

  MGOGORO mwingine umelikumba Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya wachungaji watatu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, kumtuhumu Askofu wao,...

HabariTangulizi

‘Rais Samia azungukwa,’ urais 2025 watajwa

  KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa kuna makundi ndani ya Serikali yanaendekeza ubadhirifu na kuishutumu Serikali yake, imeibua wadau...

Tangulizi

AG wa zamani aapishwa kuwa Balozi, Nchimbi…

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwapisha Profesa Adelardus Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Tangulizi

Kigamboni kupata kivuko kipya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na uchakavu wa vivuko vya sasa vinavyotoa huduma kati ya Kigamboni na Kivukoni (Ferry), Serikali imepanga...

Tangulizi

Simba wapigwa, wasonga mbele

  Klabu ya Soka Simba imefuzu kwenda hatua ya makundi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kuambulia kipigo cha bao...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya wanaofungulia chemba za vyoo barabarani, ataka Dar wabadilike

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kuacha tabia kufungulia chemba za vyoo...

HabariTangulizi

Rais Samia ateua DC, ahamisha 2

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dadi Horace Kolimba kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Karatu mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi...

HabariTangulizi

Rais Samia: Machinga tuendelee kuvumiliana

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wafanya biashara wadogo wadogo ‘machinga’ kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kwa kuwa kazi ya kuwaondoa barabarani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Sitakubali gari bovu liangushiwe awamu ya sita

  RAIS Samia amesema kuna makundi yaliyopo ndani ya serikali ambayo yanaendekeza ubadhirifu na kugeuka kusema kwamba ufisadi na mambo ya hovyo yamerudi...

error: Content is protected !!