BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kadi mpya ‘NBC Visa Debit Card’ yenye kuwawezesha wateja binafsi kufanya miamala inayofikia hadi Sh...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021Asasi mbalimbali za kiraia – AZAKI zimeibana Serikali na kuitaka ieleze ni faida iliyopatikana tangu yalipofanyika kwa Marekebisho ya Sheria ya Madini...
By Danson KaijageOctober 26, 2021KESI inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, imeanza kusikilizwa tena katika Mahakama...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazokwamisha shughuli za utetezi wa haki za binadamu, zinazotekelezwa...
By Regina MkondeOctober 25, 2021MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga amesema kuwa karibu asilimia 50 ya watoto waishio mitaani...
By Danson KaijageOctober 25, 2021KIASI cha Sh.750 milioni, zimepangwa kutumika kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya katika kijiji cha Kiegeani wilayani Mafia, mkoani Pwani,...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2021UAMUZI wa Wizara ya Kilimo Tanzania Bara na Zanzibar, kutangaza kuwa zitatenga bajeti, kuanzisha kitengo na benki ya mbegu asili umepokelewa kwa...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2021HALMASHAURI ya Jiji la Arusha imeshika nafasi ya kwanza kwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 6.22 sawa na asilimi 106.8 mapato ya...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2021WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka wa fedha 2021/2022...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2021WADAU zaidi ya 200, kutoka katika Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayoshughulika na utoaji huduma za msaada wa kisheria, wamefanya tathmini juu...
By Regina MkondeOctober 22, 2021BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezitaka taasisi za kibenki nchini, kuanzisha au kubuni masuluhisho mbalimbali yanayowakabili wananchi ikiwemo ukosefu wa ajira na...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021HIFADHI ya Taifa ya Serengeti iliyopo nchini Tanzania imeshinda tuzo ya kuwa hifadhi bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti ameeleza kutoridhishwa na matumizi ya zaidi ya Sh milioni 60 katika ujenzi wa Kituo kipya...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021WIZARA ya Kilimo ya Tanzania Bara na Zanzibar, zimeahidi kutenga bajeti katika mwaka wa fedha 2022/2023, kwa ajili ya benki ya mbegu...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla amesema, tarehe 6 Novemba 2021, atazindua mpango wa kulifanya Jiji...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2021SHIRIKA la Huduma za Sheria (LSF) linatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Ni muongo mmoja ambao umewanufaisha mamilioni ya Watanzania hususani wanawake...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla ameongeza muda wa siku 12 kwa wanaofanya biashara maeneo yaliyokatazwa...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2021ASILIMIA 75 hadi 85 ya wakazi wa jiji la Dodoma wanakabiliwa na matatizo mbalimbali ya macho ikiwamo uoni hafifu pamoja na ugonjwa...
By Danson KaijageOctober 18, 2021SIKU tatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha, aliyekuwa Mkuu...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021BENKI ya NMB nchini Tanzania, imehitimisha maadhimisho wiki ya huduma kwa mteja kwa kutumia Sh.180.25 milioni kutoa misaada ya sekta ya elimu...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021WASICHANA Irine Christopher Msengi, ameibuka kuwa mwanafunzi bora katika shahada ya awali ya Biashara katika Uhasibu wa Chuo Kikuu cha Dar es...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, hadi kufikia juzi Ijumaa tarehe 15 Oktoba 2021, takiribani wananchi 940,000 walikuwa wamepata chanjo ya ugonjwa unaosababishwa na...
By Regina MkondeOctober 17, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amesema amewashangaa na kuhuzunika kusikia baadhi ya viongozi wa...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kusimama katika yale...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021NAKAUNDA Mangosongo na Charles Mkwizu ambao ni wakazi wa Dodoma wamejishindia pikipiki za miguu mitatu aina ya Sky Mark katika droo ya...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wameishauri Serikali iimarishe usalama wa viongozi wa Serikali za Mitaa, ili kudhibiti matukio...
By Regina MkondeOctober 13, 2021JESHI la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa, kwa tuhuma za kumuua ndugu yake, William Shoo (43), kwa...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezuru kaburi la Hayati John Pombe Magufuli na kushiriki sala ya kumwombea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2021BENKI ya Exim Tanzania imeombwa kuangalia namna kujitanua zaidi mkoani Iringa kwa kuongeza matawi kwenye wilaya mbalimbali za mkoa huo ili huduma...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021MRADI wa maji wa mshikamano, Jimbo la Kibamba, umeanza kushika kasi baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya afisa mtemtendaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021HUKUMU ya kesi ya madai ya kashfa iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bernard...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021KATIKA jitihada za kuboresha mazingira bora ya kufanyia kazi kwa taasisi mbalimbali zaSerikali, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imekabidhi jengo jipyakwa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka misimamo kuhusu mkutano wa 26 wa mabadiliko ya tabia ya nchi , unaotarajiwa kufanywa na nchi wanachama wa...
By Danson KaijageOctober 11, 2021TATIZO la afya ya akili duniani limeendelea kuwa tishio, huku ikikadiriwa kuwa litaongezeka kutoka asilimia 12 hadi 17 ifikapo mwaka 2030. Anaripoti...
By Danson KaijageOctober 11, 2021KIJANA aliyefahamika kwa jina Nchimwa Magidu Ndula (22), amuawa kwa kipigo kutoka kwa baba yake mzazi, Magidu Ndula Jisusi (55) baada ya...
By Masalu ErastoOctober 11, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amelishuruku Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa kuielewa Serikali ya Tanzania na kuridhia itumie fedha za maendeleo kwa ustawi...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atauvuka vizuri mwaka 2025 na kuumaliza mwaka 2030 kutokana na kazi nzuri anayoifanya...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021MFUMUKO wa Bei wa Taifa nchini Tanzania kwa mwaka ulioshia Septemba 2021, umeongezeka kwa asilimia 0.2 hadi kufikia asilimia 4.0, kutoka asilimia...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umepewa fedha Sh. 470 milioni na Shirika la Frontline Defenders la nchini Ireland,...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amempongeza, Abdulrazak Gurnah kwa kutwaa tuzo ya amani ya Nobel katika fasihi 2021, kutokana na kuangazia...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021MWANDISHI wa riwaya nchini Tanzania Abdulrazak Gurnah ametuzwa tuzo ya amani ya Nobel katika fasihi 2021 kutokana na kuangazia suala la ukoloni...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021BENKI ya NMB nchini Tanzania imetangaza fursa kwa wadau wa kilimo, mifugo na uvuvi kwa kuwatengea zaidi ya Sh.100 bilioni za mikopo...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021SERIKALI imesema jumla ya Halmashauri 21 tayari zimefikiwa na huduma ya Anuani za Makazi huku kazi ya kufikisha na kuunganisha nchi nzima...
By Danson KaijageOctober 7, 2021BENKI ya Exim Tanzania imeungana na watoa huduma ulimwenguni kote kusherehekea wiki ya Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kutoa huduma bora zaidi...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Magongo Justus John (wa kwanza kushoto), Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021SERIKALI inatarajia kutangaza rasilimali na bidhaa zinazozalishwa nchini, katika maonesho ya sita ya kimataifa ya biashara yanayofanyika jijini Dubai katika Nchi ya...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021ALIYEWAHI kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema, amekuwa anatumia jina la Mussa ambalo si...
By Danson KaijageOctober 6, 2021WATU 27 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuiba mifuko ya sarufi, katika ajali...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha ripoti ya utekelezwaji wa haki za binadamu (UPR), katika kipindi cha miaka minne mfululizo (2016-2020), katika Baraza la...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021