Wednesday , 8 February 2023
Home Gazeti Habari Mchanganyiko GGML kukarabati boti ya matibabu Geita, Kagera
Habari Mchanganyiko

GGML kukarabati boti ya matibabu Geita, Kagera

Spread the love

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Magongo Justus John (wa kwanza kushoto), Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa Magwesela (wa pili kutoka kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Richard Jordinson (wa kwanza kulia) wakitia saini hati ya makubaliano ya miaka matano ya ukarabati wa boti ya matibabu ambayo itatumika kuokoa maisha ya watu wengi walio katika mazingira magumu kwenye Visiwa vya Victoria mkoani Kagera na Geita.

Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa Magwesela (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Richard Jordinson (kulia) wakitia saini hati ya makubaliano ya miaka matano ya ukarabati wa boti ya matibabu ambayo itatumika kuokoa maisha ya watu wengi walio katika mazingira magumu kwenye Visiwa vya Victoria mkoani Kagera na Geita.

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera, Faustin Kamuzora akielezea namna boti hiyo ya matibabu itavyotumika kuokoa maisha ya watu wengi walio katika mazingira magumu kwenye Visiwa vya Victoria mkoani Kagera na Geita.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Magongo Justus akitoa shukrani kwa kampuni ya GGML kutokana na mchango wake katika ukarabati wa boti hiyo ya matibabu.

Baadhi ya wafanyakazi wa GGML akiwamo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Richard Jordinson (kulia) pamoja na watendaji wengine wa serikali kutoka mkoa wa Geita na Kagera wakiwa katika picha ya pamoja.

Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Toba Nguvila akielezea namna wilaya hiyo itaimarisha ulinzi katika boti hiyo iliyokarabatiwa na GGML.

Askofu mkuu wa Kanisa la African Inland Tanzania, Mchungaji Mussa Magwesela akizungumzia katika hafla hiyo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Mawakili waiburuza mahakamani TLS, EALS

Spread the love  WAKILI Hekima Mwasipu na wenzake wawili, wamefungua kesi katika...

Habari Mchanganyiko

Uvuvi bahari kuu wapaisha pato la Taifa

Spread the love  SERIKALI imesema uvuvi wa bahari kuu umeliingizia Taifa pato...

Habari Mchanganyiko

DPP aweka pingamizi kesi ya ‘watu wasiojulikana’

Spread the love  MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), ameweka pingamizi dhidi ya...

Habari Mchanganyiko

Washindi saba safarini Dubai NMB MastaBata ‘Kote Kote’

Spread the loveKAMPENI ya kuhamasisha matumizi ya Mastercard na QR Code ‘Lipa...

error: Content is protected !!