TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imemfukuza kazi Cosmas Batanyita, aliyekuwa Mchunguzi Mwandamizi wa taasisi hiyo, kwa kosa la kuomba...
By Mwandishi WetuAugust 9, 2019BALOZI za Marekani na Uingereza nchini Tanzania wameingilia kati sakata la kukamatwa mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Leo...
By Regina MkondeAugust 9, 2019KAMPUNI ya Uwindaji ya Green Mile imeendelea kuvutana na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla, kwa kile walichodai kuwa wataendelea na...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2019ANTHONY Mtaka, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ameeleza mikakati ya kupunguza umasikini mkoani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ripoti ya Hali ya...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeanza kueleza mikakati yake, iwapo kitapewa mamlaka ya kuiongoza Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Anaripoti Faki Sosi …...
By Faki SosiAugust 8, 2019HATIMAYE yametimia. Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, ametinga mahakamani kupinga hatua ya Spika...
By Mwandishi WetuAugust 8, 2019WAKATI serikali ikieleza kufuta umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron (East), kilichokuwa kinamilikiwa na Kampuni ya Uwindaji wa Kampuni...
By Regina MkondeAugust 8, 2019JESHI la Polisi mkoani Tanga, linawashikilia wafanyabaishara 12 wanaodaiwa kufanya biashara ya ubadilishaji fedha za kigeni bila leseni ya biashara hiyo kutoka Benki...
By Regina MkondeAugust 8, 2019HASSAN Bakari Ali, majeruhi wa ajali ya ndege iliyotokea Mafia wilayani Pwani, ameeleza kilichomtokea. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Ajali hiyo ilitokea Jumanne...
By Faki SosiAugust 8, 2019WIZARA ya Viwanda na Biashara lazima ishirikiane na Wizara ya Kilimo ili kuleta tija kwa wakulima na wafugaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo...
By Danson KaijageAugust 7, 2019OPERESHENI ya kuwaondoa wakazi wa Kijiji cha Vilimavitatu wilayani Babati, Manyara katika eneo linalodaiwa kuwa la hifadhi ya Burunge (Juhibu), imesitishwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea)....
By Hamisi MgutaAugust 7, 2019HAJI Manara, Msemaji wa Klabu ya Simba na wenzake watatu, tarehe 6 Agosti 2019 wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kudaiwa Sh. 83.5 milioni....
By Faki SosiAugust 7, 2019NYUMBA ya Tryphone Jeremiah, mkazi wa kijiji Kijiji cha Kishanda B, kilichopo kwenye Kata ya Kibale, Kyerwa mkoani Kagera imechomwa moto. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). ...
By Mwandishi WetuAugust 7, 2019MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza (Mwauwasa) imesema, imepandisha bei ya maji kutokana na kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Anaripoti...
By Moses MsetiAugust 6, 2019WATU watano wamenusurika kufa huku watatu hawajajulikana walipo katika ajali ya ndege, inayodaiwa ya Shirika la Tropical iliyotokea leo tarehe 6 Agosti 2019...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2019HAMID Hemed Salum (39) na Saidi Hemed Salum (40) wamekamatwa na Wakala wa Dawa, Chakula na Vipodozi Zanzibar (ZDFA), kwa tuhuma za kuuzia...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeanza kusikiliza utetezi wa Wakurugenzi wa Jamii Media Limited Maxence Mello na Mike William tarehe...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2019IDARA ya Uhamiaji nchini, imemkamata Jasmin Ngongolo, mkazi wa Dar es Salaam akiwa na stika za Viza 2,546 za Tanzania za kughushi. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaAugust 5, 2019WAFANYABIASHARA katika maeneo ya wazi jijini Dodoma, wameulalamikia uongozi wa jiji hilo kwa kuwafurusha katika maeneo hayo ndani ya siku 30. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageAugust 5, 2019WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Jeshi la Magereza imeanzisha kampeni ya kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu...
By Hamisi MgutaAugust 5, 2019JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku usafiri wa pikipiki ‘Bodaboda’ kuingia maeneo ya mjini kuanzia tarehe 6 hadi...
By Regina MkondeAugust 5, 2019MWANDISHI wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, hatimaye amefikishwa mahakamani kwa makosa matatu, likiwamo utakatishaji fedha na kushirikiana na kinachoitwa, “makundi ya...
By Faki SosiAugust 5, 2019NCHI za Afrika hazina nguvu katika soko la kimataifa hasa kwenye malighafi, hupangiwa bei ya kuuza kwa wenye viwanda. Anaripoti Regia Mkonde … (endelea)....
By Regina MkondeAugust 5, 2019CHAMA Cha Wananchi (CUF), kinaugulia maumivi ya kutofanya mikutano ya kisiasa hasa muda huu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadaye mwaka huu....
By Kelvin MwaipunguAugust 5, 2019SELEMAN Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa ya...
By Danson KaijageAugust 5, 2019MAMA yangu aliniambia, Mungu alimuepusha uchungu mkali wakati wa kunizaa lakini sasa anapata machungu makali kila siku katika utu uzima wangu. Anaandika Hamis...
By Hamisi MgutaAugust 5, 2019WABUNGE watano kutoka Chama cha Wananchi (CUF), tarehe 3 Agosti 2019 walikamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi wilayani Handeni, Tanga kwa madai...
By Danson KaijageAugust 4, 2019WAKAZI wa Palestina ni moja ya raia wanaoishi katika mateso makubwa ndani ya ardhi yao. Wananyanyaswa, wanateswa na hata kuuawa. Kutoka katika mitandao...
By Mwandishi MaalumAugust 4, 2019BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje na uhusiano wa kimataifa, anazidi kukoleza mbio za kuwania urais katika...
By Yusuph KatimbaAugust 3, 2019BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kwamba Sikukuu ya Idd El-Adh’haa itakuwa siku ya Juamatatu ya tarehe 12 Agosti, 2019. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2019DUNIA ikiwa inaadhimisha wiki ya unyonyeshaji, nchini Tanzania takwimu zinaonyesha kuwa vifo vya watoto wachanga bado vinashika kasi sababu ikitajwa ni kuchelewa kunyonyeshwa...
By Danson KaijageAugust 3, 2019SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano, yaweza kujiingiza kwenye mgogoro mwingine wa kidplomasia na mataifa ya Magharibi, kufuatia uamuzi wake wa kumpokea na kumruhusu...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2019ERICK Matugwa Kabendera, mwandishi wa habari za kichunguzi, mtafiti, na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, uchumi na usalama wa kikanda, bado anaendelea kushikiliwa...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2019WAFANYAKAZI wa Mtandao wa Tigo wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kudukua taarifa za...
By Faki SosiAugust 2, 2019KLABU ya Yanga imetambulisha jezi za nyumbani na ugenini itakayotumika kwenye michezo ya Ligi Kuu na klabu bingwa Afrika kwa msimu wa 2019/20...
By Kelvin MwaipunguAugust 2, 2019JESHI la Polisi limetangaza kusitisha safari za usiku kwa baadhi ya magari ya abiria yanayokwenda mikoani. Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). CP Liberatus Sabas, Kamishna...
By Hamisi MgutaAugust 2, 2019JUMLA ya watu 2,085 wamekamatwa kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, kuanzia Aprili hadi Juni 2019. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea)....
By Hamisi MgutaAugust 2, 2019MAMIA ya watu leo tarehe 2 Agosti 2019, wamejitokeza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nshara Machame kuuagwa mwili...
By Faki SosiAugust 2, 2019WANAUME wanaopewa likizo ya uzazi, wameshauriwa kutumia vizuri kwa kumsaidia mama aliyejifungua, na kwamba ni kwa mujibu wa sheria ya kazi na ajira...
By Danson KaijageAugust 2, 2019RAIS John Magufuli amemshukuru Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete kwa kuanzisha ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2019MSANII wa kizazi kipya na mwanasiasa wa upinzani nchini Clayton Chipando maarufu kwa jina la Baba Levo, leo tarehe 1 Agosti 2019 amehukumiwa kwenda...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2019MAOMBI ya dhamana Namba 14 ya mwaka 2019 ya mwanahabari Erick Kabendera, yanatarajiwa kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2019JUZI Jummane, tarehe 30 Julai 2019, Mahakama ya Rufaa ya Jamhuri ya Muungano, ilisikiliza rufaa iliyokatwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wenzake...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2019MOHAMMED Dewji ‘Mo’, Mkurugenzi wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Ltd (METL), amempongeza Rais John Magufuli kwa jitihada zake za kuleta mageuzi katika...
By Regina MkondeAugust 1, 2019SIASA za kukomoana zimetamalaki Zanzibar na hiki ndicho kilichosababisha viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar kusota rumande bila sababu...
By Kelvin MwaipunguAugust 1, 2019JESHI la Polisi jana tarehe 31 Julai 2019, lilitoa ripoti yake fupi ya uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Miradi ya Umoja...
By Mwandishi MaalumAugust 1, 2019MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imekusanya kiasi cha Sh. 15.9 Trilioni katika kipindi cha nusu mwaka wa 2018/19. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeAugust 1, 2019