November 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Ndege yawaka moto Mafia

Spread the love

WATU watano wamenusurika kufa huku watatu hawajajulikana walipo katika ajali ya ndege, inayodaiwa ya Shirika la Tropical iliyotokea leo tarehe 6 Agosti 2019 kisiwani Mafia. Anartipoti Mwandishi Wetu … (endelea).

Taarifa za awali zianeleza kuwa, ajali hiyo imetokea muda mfupi baada ya ndege hiyo ndogo kuanza safari yake kuelekea jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa, ndege hiyo ilishindwa kupaa na kwenda kuvamia senyenge zilizowekwa kwenye uwanja huo kuzuia watu kisha kuwaka moto.

error: Content is protected !!