Categorizing posts based on type of post
KIPIGO cha bao 3-0 kutoka kwa Simba, kimemvuruga Kocha Mkuu wa JS Saoura, Nabil Neghiz, hali iliyompelekea kushusha lawama kwa mwamuzi wa mchezo...
By Kelvin MwaipunguJanuary 12, 2019RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Shein amesema utegemezi wa fedha katika bajeti ya serikali yake umepungua kutoka asilimia 30...
By Regina MkondeJanuary 12, 2019RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, “amegoma” kuzungumza na vingozi wenzake wa vyama vya siasa, akidai kwamba “waweza kumteketeza.” Anaripori Regina Mkonde...
By Regina MkondeJanuary 11, 2019SERIKALI imewasiliasha hoja 10 kesi ya kupinga Muswa wa Sheria ya vyama vya siasa iliyofunguliwa na Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT-Wazalendo wa Wenzake....
By Faki SosiJanuary 11, 2019RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameagiza ndege mbili kati ya tatu zilizo chini yake, kukabidhiwa kwa Shirika la...
By Regina MkondeJanuary 11, 2019WATUMISHI wa serikali na taasisi mbalimbali nchini ambao bado ni vijana wametakiwa kufanya kazi zao kwa uhaminifu na uzalendo kwa faida ya jamii...
By Danson KaijageJanuary 11, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa wito kwa Jeshi la Polisi, vyombo vya dola na wananchi kumtafuta Mwenyekiti wa Baraza la Vijana...
By Regina MkondeJanuary 11, 2019NI kama vile sakata la Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof....
By Faki SosiJanuary 11, 2019MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Asaad, “amemvua nguo” Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2019SIKU moja baada ya kufanya mabadiliko madogo serikalini, Rais John Magufuli amesema kuwa, hatokoma kuteua viongozi wapya na au kutengua uteuzi wa viongozi...
By Regina MkondeJanuary 9, 2019SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaombea likizo mawaziri na manaibu waziri kwa Rais John Magufuli. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJanuary 9, 2019MWENYEKITI wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa, Dk. Edmund Mndolwa amewaagiza wajumbe wa Baraza Kuu la Wazazi kujipanga kikamilifu ili wamrudishe madarakani Rais...
By Danson KaijageJanuary 8, 2019RAIS wa Jamhuri, Dk. John Pombe Magufuli, amefanya mabadiliko madogo katika serikali yake. Ameteuwa waziri mmoja mpya; amehamisha mwingine na ameteuwa makatibu wakuu...
By Regina MkondeJanuary 8, 2019SERIKALI imefanya mazungumzo na Algeria kuhusu masuala ya diplomasia ya kiuchumi, ambapo nchi hiyo imeonyesha nia ya kutaka kununua korosho za Tanzania. Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 8, 2019RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume na Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), wamekosoa kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,...
By Regina MkondeJanuary 7, 2019SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, ameagiza kufika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Kinga, Maadili na Madaraka, Mdhibiti...
By Danson KaijageJanuary 7, 2019MUSWADA wa Vyama vya Siasa waendelea kupingwa na vyama vya upinzani nchi kwa kilichotajwa kuwa kaburi la Demokrasia. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiJanuary 7, 2019HALIMASHAURI ya Jiji la Dodoma linakusudia kuuza viwanja maalum 14 kwa njia ya mnada utafanyika siku ya Alhamisi 10 Januari mwaka huu. Anaripoti...
By Danson KaijageJanuary 7, 2019SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano inamuandalia Mansour Yussuf Himid mashitaka ambayo akishasomewa mbele ya mahakama atapelekwa gerezani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Mansour...
By Masalu ErastoJanuary 5, 2019MBUNGE wa Ukonga (CCM), Mwita Mwaikabe Waitara, ameanza kampeni za “kumdhoofisha” na hatimaye kumng’oa, hasimu wake mkuu kisiasa, mbunge wa Chadema katika jimbo...
By Yusuph KatimbaJanuary 5, 2019MBUNGE wa Jimbo la Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amevunja ukimya juu ya manyanyaso wanayopata wananchi wa mikoa ya kusini katika mchakato wa Serikali...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2019MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), amegonga mwamba mahakamani. Ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...
By Faki SosiJanuary 4, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake wawili, Joran Bashange na Salim Bimani wamefungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga Muswada...
By Faki SosiJanuary 4, 2019MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tanzania Bara, Prof. Abdallah Safari, sasa atakuwa amejitosa rasmi kuokoa chama chake. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJanuary 3, 2019KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa wingi wa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bungeni kuna kwamisha maslahi ya wananchi kutokana kutumia...
By Faki SosiJanuary 3, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo inatarajia kusikiliza kesi ya vigogo tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)....
By Faki SosiJanuary 3, 2019BAADA Ya Rais John Magufuli kufuta kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya watumishi wa umma iliyotokana na Sheria ya Mifuko ya Hifadhi...
By Regina MkondeJanuary 2, 2019MBUNGE wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amemtaka Rais John Magufuli kumfukuza kazi Waziri wa Sera, Bunge, Ajira, Vijana, na Walemavu, Jenista Mhagama, kwa...
By Regina MkondeJanuary 2, 2019ZIMEBAKI siku mbili kwa Abdul Nondo, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kurejea chuoni (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM) baada ya...
By Faki SosiJanuary 2, 2019MCHUNGAJI Kiongozi wa kamisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanci Chande amewaonya wakristo wafanyabiashara ambao wamekuwa wakikwepa kulipa kodi ya...
By Danson KaijageJanuary 2, 2019MWAKA 2018 unafikia tamati, katika miezi 12 inayokamilika leo wapo watu wanauaga mwaka kwa machungu yasiyosahaulika kwenye maisha yao milele lakini wapo wanaouona...
By Kelvin MwaipunguDecember 31, 2018TAMATI ya mwaka 2018 inakaribia, yapo yaliyofurahisha na kuchukiza. mwaka inakwisha huku taifa likibeba matukio mengi. miongozini mwayo yanahuzunisha na hata kuumiza mtu...
By Faki SosiDecember 31, 2018MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa jiji hilo linatarajia ifikapo mwaka 2021 jiji hilo litakuwa likijitegemea kwa mapato ya ndani. Anaripoti...
By Danson KaijageDecember 31, 2018PAMOJA na watanzania wengi kuendelea kulalamika kwa madai kuwa wana hali mbaya ya kiuchumi serikali imesema kuwa uchumi wa taifa huko imara na...
By Danson KaijageDecember 31, 2018KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk. Vincent Mashinji ‘amesukumwa ndani’ na wenzake saba mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Jeshi la Polisi mkoani humo...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2018WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi kuweka utaratibu wa kuwafidia watu wanaopisha maeneo yao. Anaripoti Dany Tibason, Dodoma...
By Danson KaijageDecember 29, 2018WINGU zito limetanda katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, kutokana na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani hapa na Mwenyekiti...
By Danson KaijageDecember 29, 2018GIZA limetanda katika maeneo yote yanayopata umeme kupitia gredi ya taifa jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2018RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dk. Irene Isaka. Anaripotu Yusuph...
By Yusuph KatimbaDecember 28, 2018MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amesema kuwa hatua ya Rais John Magufuli, kuzuia matumizi ya kanuni mpya za vikokotoo kwa ajili ya wafanyakazi...
By Yusuph KatimbaDecember 28, 2018RAIS John Magufuli amewataka watendaji katika mifuko ya hifadhi ya jamii kuboresha daftari la orodha ya majina ya wastaafu, ili kuondoa mapungufu yaliyopo...
By Regina MkondeDecember 28, 2018HATIMAYE Rais John Pombe Magufuli, amesikia kilio cha wafanyakazi nchini. Amefuta angalau kwa muda, matumizi ya kanuni mpya ya kikokotoo cha mafao ya...
By Regina MkondeDecember 28, 2018RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli leo tarehe 28 Desemba 2018 atakutana na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini,...
By Regina MkondeDecember 28, 2018MKONGWE wa Siasa Nchini na Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema, ameitaka serikali inapofanya marekebisho ya vyama vya siasa iweze kuangalia...
By Danson KaijageDecember 27, 2018SIRI kuu juu ya kampuni ya ndege ya Fastjet, kusitisha shughuli zake za usafirishaji wa abiria nchini, imefichuka. Anaripoti Regina Mkonde …. (endelea)....
By Regina MkondeDecember 27, 2018IKIWA ni miezi minne tangu Tanzania kupoteza zaidi ya watu 200 katika Ziwa Victoria kwenye ajali ya MV. Nyerere, watu 75 wamenusurika kufa...
By Faki SosiDecember 27, 2018PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Magereza na Polisi hawatatosha iwapo Neno la Mungu halitafanya kazi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeDecember 26, 2018CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza maandalizi ya uchaguzi ndani wa ndani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakati harakati hizo zikiendelea Mwenyekiti...
By Faki SosiDecember 26, 2018KILA mwaka, siku kama ya leo – tarehe 25 Desemba – Wakristo duniani kote, huungana kusheherekea sikukuu ya Krisimasi. Anaandika Mwanadishi Maalum … (endelea)....
By Masalu ErastoDecember 25, 2018LEO si Sikukuu ya Krismasi ambapo waumini Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zaidi Mil 6.5 wanatarajia kusomewa waraka huo uliobeba manung’uniko,...
By Regina MkondeDecember 25, 2018