Thursday , 2 May 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Anayebisha Rais Magufuli siyo dikteta hana akili timamu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe awafunda viongozi Chadema

SAA chache baada ya Dkt. Vincent Mashinji, Katibu  Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wenzake kukamatwa na Polisi kwa mahojiano...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wavuruga mkutano wa Chadema Mwanza

JESHI la Polisi mkoani Mwanza limevamia ukumbi wa Hill Front Hotel uliopo Igoma, katika Manispaa ya Nyamagana, kuvunja kongamano la vijana lililoandaliwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye akemea serikali kunyanyasa wapinzani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimekemea serikali kwa matumizi mabaya ya sheria za nchi dhidi ya viongozi na wanachama...

Habari za SiasaTangulizi

TRA kupiga mnada jengo la Star TV

KAMPUNI ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha Televisheni Star tv, Redio Free Africa (RFA) na Kiss FM imefungwa na Mamlaka ya...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamgwaya Lowassa, atakiwa kurudi Alhamisi

JESHI Polisi limezidi kumpiga kalenda Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa baada ya leo tena kushindwa kumhoji na kumtaka arudi tena Alhamisi ijayo, anaandika Hamisi...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu amchongea Ngeleja Takukuru

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) amemuwakia William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema baada ya kurudisha...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee ashtakiwa kwa matusi, aachiwa kwa dhamana

HALIMA Mdee,Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa shtaka la...

Habari za SiasaTangulizi

Maswali sita Ngeleja kurudisha fedha za Rugemalira

KITENDO cha William Ngeleja, Mbunge wa Sengerema kurudisha fedha alizopewa miaka mitatu iliyopita na mfanyabiashara James Rugemalira, kimezua maswali sita ambayo hayawezi kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Tusiruhusu kutawaliwa na mademagogi

BAADA ya mkasa uliomkuta Halima Mdee, Mbunge wa Kawe, wiki iliyopita, nimekumbuka kwa uchungu, mazungumzo yangu na waandishi wa habari tarehe 12 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo waitetea kauli ya Halima Mdee

NGOME ya Vijana ya chama cha ACT-Wazalendo, imesema kuna hatari ya utawala wa sheria nchini kuporomoka endapo watanzania hawatapigania sheria na amani ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba, Maalim Seif siku zinahesabika

KESI ya Madai Na. 21 ya mwaka 2017 iliyopangwa kusikilizwa leo katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, mbele ya Jaji Wilfred Dyansobera...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea apandishwa kizimbani Dodoma

SAED Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), amefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Dodoma na kusomewa shtaka la kumshambulia mbunge Juliana Shonza...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi Chadema jela mwaka mmoja

MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga   imewahukumua viongozi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumikia  kifungo cha mwaka mmoja jela kila...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge wa CCM anusurika kipigo bungeni

JULIANA Shonza, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) amenusurika kuangushiwa kipigo kikali na wabunge wa Chadema mara baada kuwatambia kuwa atahakikisha Halima Mdee, Mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu afunguka kuhusu miswada ya madini

KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imesema miswada mitatu ya kulinda rasilimali iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni na Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Sheria na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Miswada ya madini ‘kaa la moto’

MJADALA mkali umeibuka katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma siku ya leo wakati Kamati ya Bunge ya iliyoundwa na Spika Job Ndugai kujadili miswada...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai atangaza ‘kufa’ na Mdee, Bulaya

Job Yustino Ndugai, Spika wa Bunge, amejiapiza kutoruhusu wabunge wanaotumikia adhabu mbalimbali kurejea Bungeni hata kama wataenda kupinga suala hilo katika mamlaka zingine...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika acharukia hati ya dharura

MBUNGE wa Kibamba John Mnyika (Chadema) amepinga kitendo cha rais Dk.John John Magufuli kupeleka hati ya Dharura ya kupitisha mswada wa sheria ya...

MichezoTangulizi

Malinzi aburuzwa mahakamani, wapo pia vigogo wa Simba

JAMAL Malinzi (57), Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), anatarajiwa kufikishwa mahakamani mchana huu jijini Dar es Salaam, kujibu tuhuma za matumizi...

Habari za SiasaTangulizi

RITA mgomvi mpya CUF

CUF imetangaza rasmi leo kwamba Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kuwa ni “mgomvi” mwingine katika mgogoro wa uongozi unaokikabili chama hicho...

MichezoTangulizi

Takukuru wafunguka kushikiliwa kwa Malinzi, Mwesigwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imethibitisha kuwachunguza Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bashe adai mil. 200 za Magufuli

HUSSEIN Bashe, Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini, mkoani Tabora ameitaka Serikali kutoa kauli juu ya Sh. 200 milioni ambazo Disemba 2016, Rais...

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

Magufuli ‘awazima’ wanafunzi wajawazito

Rais John Magufuli amesema anaunga mkono hoja ya Mama Salma Kikwete, Mbunge wa kuteuliwa na Rais kuhusu Serikali kutoruhusu wanafunzi wanaopata ujauzito kuendelea...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro CUF umekwisha kweli?

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeingia katika mgogoro zaidi. Hatua ya chama hicho kupitia kundi la viongozi wanaomtii Profesa Ibrahim Lipumba, kutangaza mabadiliko ya...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai awabagua wapinzani, wamtolea uvivu

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewaagiza mawaziri kutopeleka fedha katika majimbo ya wapinzani kutokana na kuikataa bajeti kwa kupiga kura ya hapana, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Nape ataka ‘kina Lissu’ wasibezwe

NAPE Moses Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, ameitaka serikali kutopuuza hoja na ushauri unaotolewa na wabunge wa upinzani kwani ushauri...

Habari MchanganyikoTangulizi

Trilioni 108/= za Acacia kitendawili

JUHUDI za serikali kutaka kampuni ya Acacia kulipa mabilioni ya shilingi inayodai imepunjwa, ziko hatarini kukwama, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na makao...

Habari MchanganyikoTangulizi

Adhabu ya MAWIO yazidi kupingwa

ASASI mbili za kihabari na utetezi wa haki za binadamu zimesaini tamko la pamoja la kupinga uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kulifungia...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Mrema walilia MAWIO

MUDA mfupi baada ya Serikali kutangaza kulifungia gazeti la MAWIO kwa miaka miwili, Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na John...

Habari za SiasaTangulizi

CCM ‘yawagwaya’ Chenge, Muhongo, Ngeleja

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kwa sasa hakiwezi kuwachukulia hatua wabunge wa chama hicho ambao wamekuwa wakihusika mara kwa mara katika kashfa za...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli awakingia kifua Mkapa, Kikwete sakata la madini

JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania amevijia juu vyombo vya habari vinavyowataja na kuwahusisha marais wastaafu Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete kwenye ripoti ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Makinda: Tusizibie wenzetu fursa

Anne Makinda, Spika mstaafu wa bunge la Tanzania,  amesihi wanawake kusaidia wanawake wenzao kupata fursa walizotumia katika kufanikiwa maishani badala ya kufanya khiyana,...

Habari za SiasaTangulizi

Sumaye, Lowassa watajwa sakata la madini bungeni

WAKATI wabunge wa upinzani wakishinikiza marais waliopitisha mikataba mibovu kuhojiwa, Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania amewaibua Mawaziri wastaafu Edward Lowassa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Chenge, Karamagi kuwekwa kikaangoni

RAIS John Magufuli, amepokea ripoti ya pili ya biashara ya usafirishaji wa mchanga wa dhahabu – maknikia, huku akiagiza waliokuwa mawaziri na wanasheria...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mchanga wa dhahabu kumng’oa mwingine?

RAIS John Magufuli anatarajia kupokea ripoti ya pili kuhusu usafirishaji wa mchanga wa dhahabau (maknikia) Jumatatu ya tarehe 12 Juni mwaka huu, ikiwa...

ElimuTangulizi

Majina ya waliopangiwa kidato cha tano, vyuo 2017 haya hapa

GEORGE Simbachawene, Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa jana alitangaza jumla ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wanafunzi 2,999 wakosa nafasi kidato cha tano

JUMLA ya wanafunzi 2,999 wamekosa fursa ya kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kati ya wanafunzi 96,018 waliochaguliwa, anaandika Dany...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea aukataa mpango wa uchumi

MBUNGE wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema) ameiponda taarifa ya hali ya uchumi 2016 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Mfumo wa JPM wautibua ACT-Wazalendo

KAMATI ya Uongozi ya chama cha ACT-Wazalendo imeonesha kutofurahishwa na namna ya teuzi za John Magufuli, Rais wa Tanzania zinavyofanyika bila mashauriano na wahusika...

Habari za SiasaTangulizi

Anna Mghwira akabidhiwa Ilani CCM, ACT kumjadili

ANNA Mghwira, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo amekabidhiwa Ilani ya CCM baada ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Ikulu leo, anaandika Hamisi Mguta....

Habari za SiasaTangulizi

Bulaya, Mdee wazuiwa kuingia bungeni mpaka mwakani

BUNGE la Tanzania limetoa hukumu kwa Wabunge Halima Mdee wa Kawe na Esther Bulaya wa Bunda kutohudhuria vikao vyote vya bunge vinavyoendelea mpaka...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha wamlaani Ndugai

SIKU moja baada ya Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, kumtoa kwa nguvu Waziri Kivuli wa Wizara ya Nishati na Madini, John...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai amtupa ‘jela’ Mnyika, Wapinzani wasusa

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai ameamuru askari wa Bunge wamtoe nje, John Mnyika, Mbunge wa Kibamba na iutohudhuria vikao saba la bunge hilo...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali haimjui aliyebuni Nembo ya Taifa

SERIKALI imesema mpaka sasa haijafahamika ni nani aliyebuni nembo ya taifa tofauti na ilivyokuwa ikijulikana kuwa aliyebuni nembo hiyo ni Francis Ngosha (80)...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aelezea Ndesambulo alivyofariki

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupokea kwa mshutuko mkubwa wa kifo cha Muasisi wa chama hicho na mbunge wa mstaafu wa jimbo...

Habari za SiasaTangulizi

TANZIA: Philemon Ndesamburo afariki dunia

MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi,...

Habari za SiasaTangulizi

CDA wazidi kubanwa, sasa kuchunguzwa

WAKATI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akikiri kwamba kuna utapeli unaodaiwa kutekelezwa na baadhi ya watendaji wa iliyokuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanzia: Mchoraji nembo ya Taifa afariki

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa za kifo cha Mzee Fransis Maige (86) aliyechora Nembo ya Taifa ya Uhuru na Umoja ambayo inatumika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Yametimia

UTEUZI uliotabiliwa na Gazeti la MwanaHALISI kuhusu kung’oka kwa aliyekuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Ernest Mangu umetimia, anaandika Mwandishi Wetu. Katika andika la Gazeti...

error: Content is protected !!