August 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Trilioni 108/= za Acacia kitendawili

Spread the love

JUHUDI za serikali kutaka kampuni ya Acacia kulipa mabilioni ya shilingi inayodai imepunjwa, ziko hatarini kukwama, MwanaHALISI limeelezwa.

Taarifa kutoka serikalini na makao makuu ya kampuni ya Barrick Gold Mining yaliyoko Toronto nchini Canada zinasema, serikali ya Tanzania inakabiliwa na kibarua kigumu kuweza kulipwa fedha hizo.

“Ni vigumu serikali kulipwa fedha inazosema zimeibiwa au zimepunjwa na Barrick. Hii ni kutokana na kamati ya rais iliyoeleza kuwapo kwa wizi huo kutokubalika kwenye macho ya sheria za kimataifa na sheria zilizotumika nchini kufunga mikataba ya madini…..

Kwa habari kamili, jipatie nakala yako ya gazeti la MwanaHALISI, toleo la Jumatatu 19 Juni, 2017.

error: Content is protected !!