Thursday , 2 May 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Bombardier ya Magufuli kupigwa mnada

NDEGE iliyonunuliwa na Rais John Magufuli, nchini Canada, aina ya Bombardier Q400, imekamatwa nchini humo na iko hatarini kuuzwa kwa mnada, anaandika Saed...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wa CCM Mwanza ‘wavuana nguo’

MSUGUANO wa Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire (CCM) na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba, limefikia katika hatua mbaya baada ya...

Habari za SiasaTangulizi

Madiwani wa CCM wamkataa Meya wao

MADIWANI 19 kati ya 25 wa baraza la madiwani Jiji la Mwanza, wamesaini waraka wa kutokuwa na imani na Meya wa Jiji la...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ikulu yavunja ukimya wa ‘matrilioni’ ya makinikia

IKULU ya Tanzania imesema kuwa majadiliano baina ya Kamati maalumu ya Tanzania na wawakilishi kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation unaendelea hadi sasa...

Habari za SiasaTangulizi

MCT wamtia hatiani Makonda

BARAZA la Habari Tanzania (MCT), limezidi kumkaanga Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Mkaonda baada ya kubaini kwamba alihusika moja kwa moja kuvamia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wahariri wamkaanga Makunga na wenzake

WAHARIRI wa vyombo mbalimbali vya habari wametoa onyo kali kwa uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), kwa kudhalilisha jukwaa hilo pamoja na...

Makala & UchambuziTangulizi

Uhuru Kenyatta sasa rasmi Ikulu ya Kenya

WAFULA Chebukati, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC), amemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa nafasi...

Habari za SiasaTangulizi

Bodi ya wadhamini CUF ya Seif yakwaa ‘kisiki’ kortini

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini inayomuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF),...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wazidi kuwagaragaza CCM mahakamani

MAHAKAMA ya Rufani ya Tanzania muda mfupi uliopita imefuta rufaa dhidi ya Bilago Kasuku, Mbunge wa Jimbo la Buyungu (Chadema), anaandika Mwandishi Wetu....

Habari MchanganyikoTangulizi

Sinema ya Makonda na TEF yaendelea Dar 

MKUTANO ulioitishwa leo na Jukwaa la Wahariri (TEF) na Waandishi wa Habari umegeuka kuwa kituko baada ya upande mmoja uliotarajiwa kuomba radhi kukataa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Meena awaomba radhi wanahabari

NEVILE Meena, Katibu Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), amewaomba radhi waandishi wa habari na Wahariri, anaandika Hellen Sisya. Msamaha huo unafuatia Meena kutoa...

Makala & UchambuziTangulizi

Fomu namba 34 A yazua utata uchaguzi Kenya

MUUUNGANO wa NASA, umetangaza kukataa matokeo huku ukisema matokeo yanayotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Kenya, hayana ushahidi wa fomu namba 34 A...

Makala & UchambuziTangulizi

Odinga na Kenyatta waahidi amani

WAGOMBEA wa urais wawili wenye nguvu nchini Kenya, Raila Odinga (NASA) na Uhuru Kenyatta (Jubilee), leo wamepiga kura katika uchaguzi mkuu nchini humo...

Habari za SiasaTangulizi

Suluhu ya dhamana yaanza kusakwa na Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeandika barua kwa ofisi ya Jaji Mkuu wa Tanzania, kikiomba wafuasi wao wanapokamatwa kwa makosa yanayodhaminika waweze...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aichana  bodi ya mikopo 

Halima Mdee, Mbunge wa jimbo la kawe (Chadema) ameituhumu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) kwa kufanya ubaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Huyu ndiye Lissu, alianza kupinga dhuluma akiwa mdogo

MDOGO wake, mwanasiasa machachari, Tundu Lissu, Vincent Lissu amefunguka na kueleza maisha ya kaka yake tangu akiwa anasoma shule ya msingi,  huku akisema...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu asema Job Ndugai ”amelikoroga”

TUNDU Lissu Mbunge wa Sindiga Mashariki amesema kuwa kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai, kuridhia barua ya Chama cha Wananchi (CUF),kuwafukuza uanachama...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wa CUF kurudi tena mahakamani

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya kupinga kuapishwa kwa wabunge wa viti maalumu ndani ya Chama cha Wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Meya wa Chadema amvaa Rais Magufuli

BONIPHACE Jacob, Meya wa Manispaa ya Ubungo amewalalamikia watendaji wa Rais John Magufuli kwa kuwa wanakwamisha miradi ya maendeleo katika maeneo ambayo yanaongozwa...

Habari za SiasaTangulizi

Halima Mdee ashusha rungu kwa serikali ya JPM

HALIMA Mdee Mbunge wa Kawe amekosoa takwimu zinazotolewa na serikali kuhusu ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati inayofanywa ili kunusuru anguko la uchumi,...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika amvaa Rais Magufuli, akosoa majadiliano

JOHN Mnyika, Waziri Kivuli wa Nishati na Madini amesema Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi hakustahili kuongoza timu ya inayoangalia masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Mbivu na mbichi wabunge wa CUF kujulikana Agost 4

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inatarajia kutoa uamuzi kuhusiana na mapingamizi yaliyotolewa na upande wa serikali katika kesi iliyofunguliwa na wabunge nane wa Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Jacob kama Lissu,  amparura Magufuli

BONIPHACE   Jacob, Mstahiki Meya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaama amemtaka Rais John Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano  kuwakemea...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yafichua siri nzito kukabiliana na Magufuli

HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefichua siri nzito kwamba kina program maalum kwa ajili ya kupambana na kandamizaji wa demokrasia unaofanywa...

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

‘Tundu Lissu shujaa duniani’

MBUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tundu Lissu, ametangazwa katika kongamano la kimataifa lililofanyika jijini Lagos, nchini Nigeria, kuwa ndiye mwanasiasa kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali inaua uchumi – Mbowe

SERIKALI imeshauriwa kuja na “mpango mkakati” wa namna itakavyorekebisha uchumi wa taifa ambao kwa maneno ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), “unaporomoka...

MichezoTangulizi

Malinzi, Mwesigwa bado ngoma mbichi

JAMAL Malinzi, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Katibu wake, Selestine Mwesigwa sambamba na Mhasibu wa shirikisho hilo, Nsiande...

Habari za SiasaTangulizi

Kafulila asimulia machungu aliyokutana nayo kwa Escrow

ALIYEKUWA mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila ameibuka na kusimulia kuwa sakata la Escrow ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha akapata ugumu katika...

Habari za SiasaTangulizi

CUF ya Maalim Seif yaibuka na mapya

BARAZA Kuu la Uongozi la CUF, limeibuka na mapya juu ya sakata la kufukuzwa ubunge kwa wabunge wake wa Viti Maalumu, na kutoa...

Habari za SiasaTangulizi

CUF kutoa tamko saa mbili zijazo

BARAZA Kuu la Uongozi la CUF, linatarajia kutoa tamko la chama hicho baada ya saa mbili  zijazo. Kwa muda huu wajumbe wa Baraza...

Habari za SiasaTangulizi

CUF ya Malim Seif yajichimbia Zanzibar

BARAZA kuu la  uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), linakutana mchana huu mjini Zanzibar kwa lengo la kujadili mgogoro unaondelea ndani ya Chama...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu: Hatutanyamaza

MARA baada ya kuachiwa huru na mahakama, Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, ametupa dongo lingine kwa Rais John Magufuli kwa kumwambia kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aibwaga serikali, apata dhamana

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, hatimaye amepata dhamana baada ya ombi la mawakili wa serikali la kuomba mahakam imnyime dhamana kutupiliwa mbali,...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai abariki timua timua ya Prof. Lipumba

JOB Ndugai, Spika wa Bunge amebariki kuvuliwa uanachama kwa wabunge nane wa Chama cha Wananchi (CUF) na anayedai kuwa Mwenyekiti halali wa chama...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea aliamsha ‘dude’ mahakamani Dodoma

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imepiga kalenda kesi ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea hadi Agosti 23 Mwaka huu kutokana na uchunguzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Fatma Karume naye amvaa Rais Magufuli

FATUMA Karume, wakili wa Tundu Lissu, Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kila mtu ana haki ya kumkosoa Rais,...

Habari za SiasaTangulizi

Hekima za Ndugai kuokoa wabunge nane wa CUF

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa bado anaitafakari barua ambayo ameipokea kutoka kwa, Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu kumkuta ya Lema?

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amenyimwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam na kusomewa mashtaka ya kutoa...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu afikishwa mahakamani Kisutu muda huu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), baada ya kuwekwa mahabusu siku nne, hatimaye amefikishwa katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lipumba azidi kusulubiwa Dar

WENYEVITI wa Serikali za mitaa wa Chama cha Wananchi (CUF) mkoa wa Dar es Salaam, wamemuunga mkono Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto kigeugeu

ZIARA ya Rais John Magufuli mkoani Kigoma, imethibitisha kuwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) ni kigeugeu, anayeweza kubadili kauli yake wakati...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ugonjwa wa ajabu watesa wanafunzi Tanga

WANAFUNZI wanaosoma shule ya sekondari ya Kwamkabara kata ya Kwamkabara wilayani Muheza mkoani Tanga wamepatwa na ugonjwa wa ajabu unaosababisha kuanguka hovyo, anaandika...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu azidi kusota polisi Dar

JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam limetakiwa kumfikisha Mahakamani, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, badala ya...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa tena, polisi watoa ufafanuzi

SIKU moja baada ya polisi kumhakikishia Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema kuwa yupo huru na hakuna mpango wa kumkamata, hatimaye leo Jeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Upelelezi wa Lowassa bado pasua kichwa

JESHI la Polisi Tanzania bado halijakamilisha upelelezi wa tuhuma zinazomkabiri Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, hivyo wamelazimika kumwachia na kumtaka arudi tena...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baada ya kufungiwa vituo vyake, Diallo aburuzwa mahakamani

ANTONY Diallo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sahara Media Group (SMG), inayomiliki kituo cha televisheni Star TV, Redio Free Africa (RFA) na Kiss...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji aliyejiuzulu afariki

ALIYEKUWA  Jaji wa Mahakama Kuu, Upendo Msuya, amefariki dunia  leo Julai 19 katika hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa baada...

Habari za SiasaTangulizi

Hiki ndicho anachokitamani Tundu Lissu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, amewaeleza Watanzania kuwa kitu pekee ambacho kinaweza kuikomboa nchi kutoingia katika machafuko, anaandika Hellen Sisya. Fuatilia VIDEO HII...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wazidi kuwahenyesha wapinzani

HALI ya kisiasa kwa vyama vya upinzani nchini inazidi kuwa mbaya kutoka na makada wa vyama hivyo kuendelea kukamatwa na kuswekwa rumande na...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Anayebisha Rais Magufuli siyo dikteta hana akili timamu

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amezidi kusisitiza kuwa Rais John Magufuli ni dikteta na anayebisha hana akili...

error: Content is protected !!