August 18, 2022

Uhuru hauna Mipaka

CUF kutoa tamko saa mbili zijazo

Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF.

Spread the love
BARAZA Kuu la Uongozi la CUF, linatarajia kutoa tamko la chama hicho baada ya saa mbili  zijazo.
Kwa muda huu wajumbe wa Baraza hilo  wanaendelea na kikao chao makao makuu  ya chama hicho mjini Zanzibar.

Kikao hicho kinakutana kujadili mgogoro uliojitokeza baada ya Profesa Lipumba kuwitumua wabunge wanane wa chama hicho.

error: Content is protected !!