Friday , 3 May 2024
Home upendo
1877 Articles239 Comments
Habari

Corona: Ni hekaheka Maabara ya Taifa

DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma...

Habari za Siasa

Mazishi ya usiku yamshtua Zitto

WAKATI Serikali ya Tanzania ikipiga marufuku utaratibu hasi wa mazishi ya usiku katika Halmashauri kadhaa nchini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kutimiza wajibu wake....

AfyaTangulizi

Wagonjwa wa Corona wafikia 147, Dar hali tete 

SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

AfyaHabari Mchanganyiko

Janga la Corona:Tanzania yazuia safari za ndege kimataifa

SERIKALI ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TCAA), imefuta safari za ndege za abiria za kimataifa, huku ikiweziwekea masharti ndege za...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wenye magonjwa haya, hatarini kufa kwa Corona

WATU wanaosumbuliwa na magonjwa sugu pamoja na unene uliopitiliza wako hatarini kupoteza maisha, kutokana na Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na...

Habari Mchanganyiko

Pasaka ni kukaa ndani

SHEREHE ya Sikukuu ya Pasaka sasa itafanyika tofauti, ni baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kupika marufuku sehemu...

Habari Mchanganyiko

Watanzania wabuni kifaa cha kutambua homa kali

KAMPUNI ya Emotec, inayomilikiwa na Mtanzania imebuni mfumo wenye uwezo wa kutambua mtu mwenye homa kali ikiwemo muathirika wa virusi vya corona (COVID-19),...

AfyaHabari za Siasa

Corona: Chadema yaiangukia serikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimeiomba serikali kutoa taarifa za kina zaidi juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Homa...

Habari za SiasaTangulizi

Maambukizi Corona yamshtua mbunge wa Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameishauri serikali kutengeneza mikakati ya dharura ya kukabili mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa...

Habari

Adha ya usafiri Dar: Bajaji, bodaboda zaruhusiwa kuingia mjini

PIKIPIKI na Bajaji zinazosafirisha abiria, zimeruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza changamoto ya usafiri katika kipindi cha mlipuko...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru ataka vyama vya siasa kumaliza tofauti

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amevitaka vyama vya siasa nchini kutumia vyombo husika ikiwemo Baraza la Vyama vya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wagonjwa wa corona Tanzania waongezeka

IDADI ya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na  Virusi vya Corona (COVID-19), nchini Tanzania wamefika 19. Inaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa hiyo...

Habari za Siasa

Shamte afariki dunia

SALUM Shamte, Mkurugenzi wa zamani wa Kampuni ya Katani Limited, amefariki dunia afajiri ya leo tarehe 30 Machi 2020, katika Hospitali ya Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Nani kampa sumu Mangula? Hakuna jibu

NANI aliyempa sumu Mzee Phillip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Ni swali ambalo halijapatiwa majibu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

AfyaHabari Mchanganyiko

China kuisaidia Tanzania kudhibiti Corona

NCHI ya China imeahidi kuisadia Tanzania katika kudhibiti mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Corona yaisukuma mahakama kubadili mfumo

PROFESA Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania, amesema mhimili wa mahakama umeanza kutumia mfumo wa Teknolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika uendeshaji wa...

Habari za Siasa

Dk. Makongoro Mahanga afariki dunia

DAKTARI Milton Makongoro Mahanga, aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea jijini Dar es Salaam, amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 23 Machi...

AfyaHabari Mchanganyiko

Jeshi la Polisi laonya watoa taarifa za uongo kuhusu Corona

JESHI la Polisi nchini limeonya watu wanaosambaza taarifa zisizo sahihi, kuhusu mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababaishwa na Virusi vya...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wagonjwa wa corona wafika watano

WATU waliokutwa na virusi vya ugonjwa wa corona (COVID -19), nchini Tanzania wamefika tano. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Kwa...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Wagonjwa wa corona waongezeka nchini, wafikia watatu

WAGONJWA wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-2019) nchini Tanzania wameongezeka kutoka mmoja hadi kufikia watatu. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Lema asakwa Dar

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linadaiwa kuzingira Hoteli ya Regency Park iliyoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam likimsaka Godbless...

Afya

Corona ni mbaya kuliko Ukimwi: JPM 

RAIS John Magufuli ameagiza Watanzania kuepuka mikusanyiko ikiwa ni hatua za awali kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona nchini. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari Mchanganyiko

Virusi vya corona: Mbio za Mwenge zasitishwa 

RAIS John Magufuli amesitisha mbio za Mwenge na kuagiza fedha zilizotengwa kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo iende Wizara ya Afya kwa ajili...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya kushtakiwa kwa vurugu gerezani

HALIMA Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Esther Bulaya, Mbunge wa Bunda mjini, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aweka hadharani sababu 10 za kuing’oa CCM 2020

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza sababu 10 za kuking’oa Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020....

Habari za Siasa

Tendai Biti kuhutubia mkutano mkuu ACT-Wazalendo

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinachotimiza miaka mitano tangu kuanzishwa, leo tarehe 14 Machi 2020 kinaanza mkutano wake mkuu wa pili kwenye ukumbi wa Mlimani...

AfyaMakala & Uchambuzi

Corona inavyoitoa machozi dunia

DUNIA inatikisika, virusi vya ugonjwa wa Corona vimeendelea kusamba na kusababisha hofu kubwa sambamba na vifo. Anaandika Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Shughuli za uzalishaji...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo watoa Mil 2 kuwachomoa Mbowe na wenzake

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimechangia kiasi Sh. 2 milioni fedha taslim ili kuwezesha kutolewa gerezani viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya, Matiko kuwa huru leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelipa hukumu ya faini ya Sh. 100 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Faini Mbowe, wenzake: 108 Mil zakusanywa usiku kucha

ZAIDI ya Tsh. 108,262,000 tayari zimekusanywa ndani ya saa 12, tangu faini ya Freeman Mbowe na wenzake kuwa wazi jana tarehe 10 Machi...

Habari za SiasaTangulizi

Baada ya kuhukumiwa kulipa mamilioni, Mbowe na wenzake walala Segerea

VIONGOZI wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, wamenusurika kufungwa gerezanibaada ya kuamriwa kulipa faini ya fedhataslimu...

Habari za Siasa

Lowassa, Sumaye wamtia gundu Membe

WASWAHILI husema ‘ukiumwa na nyoka, ukigusa jani unashtuka,’ hiki ndicho kinachomtokea Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya...

Habari za Siasa

Agizo la kwanza la Nondo baada ya kukwaa Uenyekiti ACT

ABDUL Nondo, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mangula anyweshwa sumu

PHILIP Mangula, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, amenyweshwa sumu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa zaidi zinaeleza, Mangula...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru ‘ashughulikiwa’

KAULI ya Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba chama kinachoondoka madarakani wakati kina dola ni uzembe, imetibua wengi....

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru: CCM msifurahie kufukuzwa kwa Membe

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa CCM kutosherehekea uamuzi huo na kuwataka kuweka akiba ya maneno,...

Habari za Siasa

Kufukuzwa Membe: Fikra za Zitto, Lema

HATUA ya Bernard Membe kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeibua mjadala mitandaoni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Membe afukuzwa CCM, Kinana chini ya uangalizi

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu amefukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama...

Habari Mchanganyiko

Vitabu vipya Shule za Msingi, Sekondari vyazinduliwa

CHANGAMOTO ya uhaba wa vitabu vya kiada kwa shule zinazotumia lugha ya Kingereza, pamoja na vitabu vya wanafunzi wenye mahitaji maalumu, imepatiwa mwarobaini...

Habari za Siasa

BAVICHA wamgeuzia kibao Sembeye

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limemtaka Edward Sembeye, aliyekuwa Mratibu wa Uhamasishaji wa baraza hilo kueleza ukweli kilichomkimbiza...

Habari za Siasa

TAKUKURU: Lugola na wenzake wana kosa la uhujumu uchumi

KUMEBAINIKA makosa mengi ya kijinai katika mkataba wa ununuzi wa vifaa vya zimamoto ambao ulisababisha Rais Dk. John Magufuli kuwafukuza kazi watendaji akiwemo...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ashangaa wadhamini wake

SIKU moja baada ya wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi ya tuhuma za uchochezi kupitia gazeti la MAWIO, kuiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi...

Habari za SiasaTangulizi

Kafulila ‘ainyea’ Chadema

UZEMBE na kubebana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ndio unakibomoa chama hicho kwa kiwango kikubwa. Anaripori Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Madaktari wapya; JPM atoa masharti

RAIS John Magufuli amemuagiza Kapteni Mstaafu , George Mkuchika,  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, kuajiri madaktari...

Habari za Siasa

Hivi ndivyo Dk. Bashiru alivyoijenga Chadema

UIMARA wa Chama cha Demokrasia (Chadema), ulioonekana kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, umechangiwa na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa...

Habari za Siasa

‘Kasi ya JPM kukopa imezidi ya JK’

KIASI cha fedha kilichokopwa nje ya nchini na Rais John Magufuli kwa miaka minne, kimezidi kile cha Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa miaka...

Habari za SiasaTangulizi

‘Katibu Mkuu wa Chadema’ ajiunga CCM

ALIYEKUWA swahiba mkuu wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicenti Mashinji, ameondoka ndani ya chama...

Habari za Siasa

Chadema yalia na NEC

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuongeza muda wa zoezi la uboreshaji daftari la wapiga kura,...

Habari Mchanganyiko

NBS yaeleza hali ya umasikini nchini

DAKTARI Albina Chuwa, Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), amesema kasi ya upunguaji umasikini kwa Watanzania imeongezeka, ukilinganisha na nchi za...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Membe, Kinana, Makamba: CCM yaapa kufukuza mwenye kiburi

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeweka wazi kwamba, kitamfukuza uanachama mtu atakayeonyesha kiburi dhidi ya sheria, misingi na kanuni za chama hicho. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!