Friday , 29 March 2024
Home upendo
1837 Articles232 Comments
Habari za Siasa

Mbatia ajibu ‘acheni umbea’

TUHUMA kwamba siasa za James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, sasa hivi zimepoa, zimemsukuma kusema ‘acheni umbea.’ Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Mbatia: Suluhu ya UKAWA 2015 haijapatikana

VYAMA vya upinzani vimetakiwa kuondoa manung’uniko yaliyojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, kabla ya kuingia ushirikiano mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Diwani Chadema kugombea ubunge NCCR-Mageuzi

MUSTAFA Muro, aliyekuwa Diwani wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameomba ridhaa ya kugombea ubunge katika...

Habari za SiasaTangulizi

Membe: Mwaka huu nitagombea urais

BERNARD Membe, aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, atagombea urais. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Hawa nusura niwatumbue leo – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli amesema, Jonathan Shana ambaye ni Kamanda wa Polisi Arusha na Frida Wikesi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli ataja kilichomng’oa Gambo

RAIS John Magufuli amesema, amemfukuza kazi Mrisho Gambo, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na wenzake wawili, kutokana na kutotekeleza maagizo yake. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Wakazi ajitosa kugombea ubunge Ukonga

MSANII wa ‘Hip Hop’ Webiro Wakazi Wasira, maarufu kama Wakazi, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga, kupitia chama cha ACT-Wazalendo,...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Rais amesaini miswada sita

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesaini miswada sita iliyopitishwa na Bunge la 11. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Miswada hiyo ni Muswada wa...

Habari za SiasaTangulizi

Familia ya Karume Z’bar yataka kurudi Ikulu

FAMILI ya Sheikh Abeid Aman Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar, inataka kurejea Ikulu ya Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Serikali ‘yagomea’ wapinzani bungeni

SERIKALI ya Tanzania imepingana na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, kuhusu kufeli kwa hatua za Mpango wa Pili wa Taifa wa Maendeleo wa...

Habari za Siasa

Chadema yapewa somo la wagombea uchaguzi mkuu 

CHAMA cha Demokrasia na Mwendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimepewa mbinu za ushindi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani na Rais Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Lwaitama: Tunapita kipindi kigumu

MWANAZUONI Dk. Azaveli Lwaitama amesema, Taifa linapita katika kipindi kigumu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutokana na wananchi wengi kukata tamaa ya...

Habari za Siasa

Msajili aipa siku saba ACT- Wazalendo ijieleze

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, imekitaka Chama cha ACT-Wazalendo, kutoa maelezo ya ufafanuzi kuhusu mazungumzo yake na Ubalozi wa...

Habari za Siasa

Wabunge CCM wajaa hofu kutemwa

BAADHI ya wabunge kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameingia hofu ya kutorudi bungeni, kutokana na muundo wa mchakato wa kuteuliwa ndani ya chama...

Habari za Siasa

Ratiba kugombea Urais Bara, Z’bar CCM yawekwa hadharani

CHAMA CHA Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya mchakato wa kupata wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Mbunge CCM amkaribisha Waziri Mpango ulingoni, asema…

ALBERT Obama, Mbunge wa Buhigwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, amemjibu Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha, kufuatia kauli yake...

Habari Mchanganyiko

Vigogo 7 TPA kortini tuhuma za uhujumu uchumi, Takukuru yatangaza zawadi nono

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, itawafikisha mahakamani watumishi nane wakiwemo saba wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kwa...

Habari za Siasa

Miradi mikubwa: Serikali ya JPM yatamba bungeni

SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imejigamba kutekeleza miradi mikubwa tangu iliopanza kuwatumikia wananchi mwaka 2015. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Andengenye auzungumzia msamaha wa Rais Magufuli

THOBIAS Andengenye, aliyekuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini Tanzania amemshukuru Rais wa nchi hiyo, John Magufuli kwa kumsamehe. Anaripoti...

AfyaHabari za Siasa

Mapambano ya corona Tanzania, IMF yatoa msamaha wa mabilioni

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania amesema, atamwandikia barua Kristalina Georgieva, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha za Kimatiafa (IMF ), kwa ajili...

Habari za SiasaTangulizi

Takukuru kuwahoji wabunge 69 wa Chadema

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, inatarajia kuwahoji wabunge 69 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhusu tuhuma...

Habari za Siasa

Chadema yatoa kauli kushambuliwa Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelitaka Jeshi la Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania, kufanya uchunguzi wa kina kuhusu...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu 2020: Rungwe atangaza ‘kutembeza bakuri’

KAMATI Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimetangaza kushiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, huku kikitoa wito kwa vyama...

Michezo

Mwamuzi atupwa jela mwaka mmoja kwa kupanga matokeo

MAHAKAMA ya Mkoa wa Kilimanjaro, imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja mwamuzi wa mpira wa miguu, Safiel Mjema baada ya kumtia hatiani kwa kosa...

ElimuHabari Mchanganyiko

Rais Magufuli awataka CWT kuchagua viongozi makini

RAIS wa Tanzania, John  Magufuli, amewawataka viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wanaotarajiwa kuchaguliwa hivi karibuni, kuja na mipango madhubuti ya kukiimarisha...

Habari Mchanganyiko

‘Bosi’ MSD, mwenzake kortini tuhuma za utakatishaji fedha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka itawafikisha mahakamani aliyekuwa mtendaji mkuu wa Bohari...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy: Corona ipo

LICHA ya ripoti ya maambukizi ya virisi vinavyosababisha ugonjwa wa corona kupungua nchini, ugonjwa huo haujaisha nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...

Habari za Siasa

Lwakatare: Ukishinda, usipotangazwa na NEC ni uzembe

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chadema, amekwenda kinyume na kiapo cha kustaafu siasa, kwa kurudi katika Chama cha Wananchi (CUF), alichokuwepo...

Habari za Siasa

CUF yaeleza itakavyomtumia Lwakatare kuiangamiza Chadema

CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema, kitamtumia Wilfred Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini, kuvimaliza vyama vya upinzani, hususan Chama cha Demokrasia na...

Elimu

HESLB yatoa bil.100 mikopo ya wanafunzi

BODI ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania, imetoa fedha za mikopo zaidi ya Sh. 100 bilioni, kwa wanafunzi...

Habari za SiasaTangulizi

Takukuru yaanza kuichunguza Chadema, vigogo wahojiwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Michezo

Polisi Tanzania yatoa sababu kuendelea kumshikilia Idris

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeeleza sababu za kuendelea kumshikilia Idris Sultani, Msanii wa Vichekesho Tanzania, anayesota rumande kwa muda wa siku tano,...

Habari za Siasa

Uhaba wa sukari wamuibua Dk. Bashiru, awataja mawaziri

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeielekeza Serikali kuweka mikakati itakayomaliza changamoto ya uhaba wa sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea)....

Afya

Tanzania yaanzisha maabara mpya ya corona

SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari MchanganyikoMichezo

Idris asota siku 5 rumande, Polisi warushiana mipira

IDRIS Sultani, Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, anaendelea kusota rumande, katika Kituo cha Polisi  cha Oysterbay jijini Dar es Salaam, kwa kosa la...

Habari za Siasa

Kauli ya Mbowe, Zitto iliyomchefua Polepole, ataka wanyimwe kura

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutaka wananchi wafungiwe...

Habari Mchanganyiko

Polisi wapekua nyumbani kwa Idris, dhamana iko wazi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, imefanya upekuzi nyumbani kwa Msanii, Idris Sultani, maeneo ya Mbezi Beach...

Habari za Siasa

Mpango kuimarisha huduma watu wenye ulemavu uko mbioni

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi, inaandaa mpango wa taifa wa kuimarisha huduma kwa watu wenye ulemavu nchini. Anaripoti...

Habari za Siasa

THRDC ‘yalilia’ vibali kushiriki uchaguzi mkuu, NEC yawajibu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa sababu za kuchelewa kutoa vibali vya utoaji elimu ya mpiga kura na uangalizi wa...

Habari za Siasa

Tanzania yaruhusu ndege zote kutua, hakutakuwa na karantini

SERIKALI ya Tanzania imerejesha huduma ya safari  za ndege za abira za kimataifa, zilizositishwa mwezi mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amtumbua Dk. Ndugulile, amteua Dk. Mollel

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...

Afya

Tanzania yaingia siku 17 bila taarifa ya corona

TANZANIA Bara, leo Jumamaosi tarehe 16 Mei, 2020, imeingia siku ya 17 bila ya taarifa za mwenendo wa hali ya ugonjwa wa homa...

Habari za Siasa

Takukuru yawahoji wanasiasa walioanza kampeni

WANASIASA kadhaa wanahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa, katika mchakato wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuwaongoza wenzake kurejea bungeni leo

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotii agizo la chama hicho la kukaa karantini kwa muda wa siku 14, wanatarajia kurejea...

Habari Mchanganyiko

Corona inavyowatesa wafanyabiashara kuelekea Sikukuu ya Eid

BAADHI ya Wafanyabiashara  katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameeleza namna janga la mlipuko wa virusi vya Corona, lilivyoathiri biashara zao....

Habari za Siasa

Profesa Kabudi atoa sababu Rais Magufuli kutoshiriki vikao vya marais

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amesema Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye ni Mwenyekiti...

Habari Mchanganyiko

Sukari yaendelea kuadimika

KUADIMIKA kwa bidhaa ya sukari katika baadhi ya maeneo Dar es Salaam nchini Tanzania, kumeendelea kuathiri wakazi na wafanyabiashara jijini humo. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Waziri Hasunga azungumzia tatizo la sukari Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema bidhaa ya sukari imeadimika nchini, kutokana na uzalishaji wake katika msimu wa mwaka 2019/2020, kukumbwa na changamoto mbalimbali. Anaripoti...

Habari za Siasa

Spika Ndugai ashauri msajili kuitupia macho Chadema

LICHA ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwavua uanachama wabunge wake wanne, kwa kutotii maagizo ya chama...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama 11 vya siasa Tanzania vyataka uchaguzi usogezwe mbele

JANGA la mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19), limeathiri shughuli za vyama vya siasa katika...

error: Content is protected !!