Tuesday , 21 May 2024

Month: March 2023

Habari Mchanganyiko

Watendaji Kata, Mitaa watakaoshindwa kusimamia usafi kukiona

  WATENDAJI wa kata, mitaa na vitongoji na maofisa afya wote ndani ya Jiji la Dodoma wametakiwa kuhakikisha wanasimamia usafi wa mazingira ambao...

Kimataifa

Rais Tshisekedi amteua kiongozi wa wanamgambo kuwa Waziri wa Ulinzi

  RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, amemteua aliyekuwa kiongozi wa wanamgambo wa DR Congo kuwa waziri wa ulinzi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Mtia nia urais TLS kukata rufaa kupinga kuenguliwa

  MTIA nia ya kugombea Urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Sweetbert Nkuba amelaani kuenguliwa kwa jina lake kwenye hatua za awali...

Habari Mchanganyiko

NBC yazindua kampeni ya mkeka wa ushindi na ATM zake

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza uzinduzi wa kampeni ya mkeka wa ushindi na ATM za NBC inayolenga kuwapa watumiaji wake nafasi...

Habari Mchanganyiko

Uholanzi wampongeza Rais Samia kuimarisha vyombo vya habari, demokrasia

  UBALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, umempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuimarisha uhuru na utendaji wa vyombo vya habari nchini.Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari Mchanganyiko

Wagombea Uchaguzi TLS watangazwa, kampeni kuanza Machi 27

  KAMATI ya Uchaguzi ya Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), imetangaza majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu...

Habari Mchanganyiko

Wanajeshi Namibia watembelea TRC, waimwagia sifa SGR

SHIRIKA la Reli Tanzania  (TRC) limepokea ugeni wa wanafunzi wanajeshi wanaoshiriki kozi ya ukamanda na unadhimu kutoka nchini Namibia ambao wametembelea ujenzi wa...

Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga mamilioni kuimarisha afya, elimu katika Kanda ya Kati

BENKI ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa Wilaya za Kanda...

Habari Mchanganyiko

Mwanamke afariki akifanya mapenzi kichakani

  Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 37 anakabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mpenzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Milca...

Habari Mchanganyiko

Taasisi ya kuendeleza uchimbaji mdogo imetakiwa kushirikiana na serikali

  KAMISHNA wa Madini Dk. AbdulRahman Mwanga ameitaka Taasisi ya Kuendeleza Uchimbaji Mdogo (FADev) kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa majukumu yake ili...

Habari Mchanganyiko

Almasi inayozalishwa maabara yatajwa tishio jipya kwa nchi zinazozalisha madini hayo

  KATIBU Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amekabidhi rasmi Uenyekiti wa Kamati ya Wataalam wa Nchi Zinazozalisha Almasi Afrika (ADPA) kwa Katibu...

Habari Mchanganyiko

Dk. Tax, balozi wa Marekani wajadili mapokezi ya Kamala Harris

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amekutana na kuzungumza na Balozi wa Marekani nchini, Michael...

Habari Mchanganyiko

NMB yatenga bilioni 20 mikopo kuchangia ukuaji sekta ya kilimo Tanzania

BENKI ya NMB imetenga mikopo ya Sh20 bilioni itakayotumika kuchangia maendeleo ya sekta ya kilimo nchini ikiwa ni dhamira ya benki hiyo katika...

Habari Mchanganyiko

GGML, halmashauri za Geita zasaini makubaliano ya CSR ya thamani ya Sh bilioni 19

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na wenyeji wake Halmashauri ya Mji Geita, Wilaya ya Geita pamoja...

AfyaHabari

Ugonjwa wa ajabu ulioua watano Bukoka ni Marburg

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...

Habari Mchanganyiko

Zumaridi aibua balaa! TCRA yatangaza kibano kwa vyombo vya habari kurusha maudhui ya kufikirika

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania imetangaza kuchukua hatua kali za kisheria kwa chombo chochote cha utangazaji ambacho kitabainika kuendeela kurusha taarifa zenye maudhui ya...

Kimataifa

Raila Odinga: Tutafanya maandamano makubwa mara mbili kwa wiki

KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Amollo Odinga ametangaza kuwa muungano wa Azimio la Umoja (One Kenya), sasa utafanya maandamano makubwa mara mbili...

Kimataifa

Magharibi kuwekeza silaha Indo-Pacific, China yachochea

KUVUNJIKA ushirhikiano wa China na Magharibi uliodumu kwa takribani kwa miaka 20 katika mkoa wa Bahari ya China Kusini, umechochea kupanda kwa matumizi...

Kimataifa

Ruto amlaumu Odinga kujaribu kuanzisha mgogoro kwa mara ya pili

  RAIS wa Kenya William Ruto amesema kwamba hatakubali “kutoijali nchi” baada ya maandamano ya ghasia kukumba mji mkuu, Nairobi na mji wa...

Kimataifa

Putin, Xi Jinping kujadili mpango kumaliza vita nchini Ukraine

  Vladimir Putin amesema atajadili mpango wenye vipengele 12 wa Xi Jinping wa “kusuluhisha mgogoro mkubwa nchini Ukraine”, wakati wa ziara inayotarajiwa mjini...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yakabidhi rasmi msaada nchini Malawi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza iundwe kamati ya pamoja ya Mawaziri mradi wa BBT

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati ya pamoja kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mashamba makubwa ya pamoja...

Habari Mchanganyiko

Bashe: Tumeshagawa pikipiki 5,500 kati ya 7,000 kwa maafisa ugani

  WAZIRI wa Kilimo, Hussen Bashe, amesema wizara hiyo tayari imegawa pikipiki 5,500 kati ya 7000 zilizonunuliwa kwa ajili ya maafisa ugani kusimamia...

Kimataifa

Xi Jinping awasili Urusi, kufanya mazungumzo na Putin

  RAIS wa uchini Xi Jinping amewasili sasa nchini Urusi, na kulingana na Shirika la habari la Urusi TASS news , Xi Jinping...

Habari Mchanganyiko

Spika Tulia awapa neno mawaziri utekelezaji mashamba ya pamoja

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amewataka mawaziri kushirikiana kwa pamoja katika utekelezaji wa mashamba makubwa ya pamoja katika Programu ya Building...

Kimataifa

Maandamano Kenya, Afrika Kusini yashika kasi, wapinzani wakishikiliwa

  MAANDAMANO ya kupinga serikali zilizoko madarakani nchini Kenya na Afrika Kusini, yameendelea kushika kasi katika mataifa hayo, huku baadhi ya walioandamana wakitiwa...

Elimu

Mfuko wa Jimbo Musoma Vijijini wamwaga mamilioni ujenzi maabara za sekondari

  MFUKO wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mkoa wa Mara, umetoa fedha kiasi cha Sh. 75.8 milioni, kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji...

Kimataifa

Maandamano Afrika Kusini: Tanzania yatahadharisha raia wake

  WAKATI maandamano yaliyoitishwa na Chama cha upinzani Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters, yakiendelea kufanyika katika maeneo mbalimbali , Ubalozi wa Tanzania nchini...

Makala & Uchambuzi

Ruth Zaipuna: Sekta ya kibenki imeimarika maradufu miaka miwili ya Dk. Samia

Tarehe 19 ya mwezi Machi, ni siku muhimu sana kwa taifa letu, watu wake na historia ya nchi yetu. Kama nchi, tunaungana kusherehekea...

Habari Mchanganyiko

Ukosefu wa maadili kwa wakunga, wauguzi bado changamoto

IMEELEZWA kuwa vitendo vya uvunjifu wa maadili kwa  wauguzi na wakunga pamoja na ‘vishoka’ ambao wamekuwa wakijiingiza katika taaluma hiyo bado ni kikwazo...

Habari Mchanganyiko

BAKWATA wafanya matembezi ya kupinga ushoga

UONGOZI wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Kata ya Chamwino mkoani Dodoma umefanya matembezi ya amani ya kuunga mkono kauli ya Muft Mkuu...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Miaka miwili ya Rais Samia, TMA yaimarika, yatoa utabiri kwa usahihi

MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...

Habari Mchanganyiko

Dk. Gwajima awafunda Ma-DC, awataka kudhibiti ukatili kwa jamii

  RAI imetolewa kwa Wakuu wa Wilaya nchini kuwa mstari wa mbele kubaini na kuibua mienendo isiyofaa ndani ya jamii ikiwemo vitendo vya...

Kimataifa

ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa rais Vladmir Putin wa Urusi

  MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin. Vinaripoti Vyombo vya Habari...

Habari Mchanganyiko

Ugonjwa wakwamisha hukumu kesi anayedaiwa kubaka mwanafunzi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi ya kubaka inayomkabili Isack Jacob kutokana na hali ya...

Habari Mchanganyiko

Tanzania ipo tayari kuilisha Dunia

  KWA mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi...

Habari Mchanganyiko

Jamii yasisitizwa kutunza vyanzo vya maji

  JAMII imesisitizwa kuona umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji utakaosaidia kutorudisha nyuma jitihada za upandaji miti na uhifadhi wa mazingira zinazofanywa...

Habari Mchanganyiko

Ibada ya kumuombea Hayati Magufuli yafanyika Chato

  IBADA maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dk. John Magufuli, imefanyika katika Kanisa la Mt. Yohana Mria Muzeyi,...

Habari Mchanganyiko

Dkt. Kiruswa: GGML inaibeba Geita, Wizara ya Madini kutafsiri vema maboresho sheria ya madini

NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema mojawapo ya kampuni za madini zinazoongoza nchini kwa kutafsiri na kutekeleza vyema matakwa ya Sheria...

Kimataifa

Puto la kijasusi la China halikuleta tishio la usalama Marekani, lilifichua udhaifu wa ulinzi

  PUTO la kijasusi la China limetajwa kuwa halikuweza kusababisha tishio la usalama nchini Marekani badala yake limeweza kugundua udhaifu wa kijeshi Marekani...

Habari Mchanganyiko

TBA: Taasisi za fedha zisiwaache nyuma wanawake

CHAMA cha  Mabenki Tanzania (TBA)  kimetoa wito kwa taasisi za kifedha nchini kuhakikisha kuwa makundi yote kwenye jamii hususani wanawake ushirikishwaji wao unapewa kipaumbele....

AfyaHabariHabari

Ugonjwa wa ajabu wadaiwa kuua watano Kagera, Serikali yatoa tahadhari

JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia  katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua makatibu tawala mikoa, ateua Kamishna DCEA

ALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya ameteuliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa acharuka wasoma mita kubambika bili, “wanaichafua serikali”

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya wasoma mita za maji nchini kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi bili kubwa za maji kwani hatua hiyo inaichafua...

Kimataifa

Mwanaye Museveni: Nimechoka kusubiri, nitagombea urais 2026

MTOTO wa kiume wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema  akiwa kama kijana amechoka kusubiri na sasa atagombea kiti cha...

Kimataifa

Raia wa Kongo zaidi ya 2000 waomba hifadhi Tanzania

Zaidi ya raia 2000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameingia nchini kuomba hifadhi ya ukimbizi kufuatia machafuko yanayoendelea katika mikoa ya...

Habari Mchanganyiko

Watanzania watakiwa kutembelea hifadhi za Taifa ili kuongeza mapato

WATANZANIA wametakiwa kujenga utamaduni wa kufanya utalii wa ndani ili kuinua pato la Taifa ikiwa ni pamoja na kujivunia rasilimali muhimu za nchi...

Michezo

Yanga: Fedha za Rais Samia zinaleta ari kubwa

UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema fedha zinazotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan zimeongeza ari kubwa kwa...

Habari Mchanganyiko

AfrONet wapongeza uteuzi wa Dk. Mwatima.

  MTANDAO wa Kilimo Hai Afrika (AfrONet), umempongeza Mwenyekiti wa Taasisi ya Kilimo Hai Tanzania (TOAM), Dk. Mwatima Juma kwa kuteuliwa na Rais...

Habari Mchanganyiko

TRA – Chunya yaja kidijitali makusanyo ya kodi kwenye madini

MAMLAKA ya mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imesema katika kuboresha mfumo wa ukusanyaji mapato, imeanza kutoa elimu kwa wachimbaji wadogo...

error: Content is protected !!