Tuesday , 21 May 2024

Month: March 2023

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yavuna wanachama wa CUF, CCM, Chadema Zanzibar

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kuwapokea 305 kupitia mkutano wake wa hadhara uliofanyika Viwanja...

Habari Mchanganyiko

RC Geita apiga stop MA-DC kuwaweka watumishi mahabusu, “ni ushamba”

  MKUU wa mkoa wa Geita, Martin Shigella amesema amekubaliana na wakuu wa wilaya za mkoa huo kwamba hakuna mtumishi yeyote atakayekamatwa na...

Kimataifa

Gavana na watu wengine 5 wauawa kwa risasi Ufilipino

  ROEL Degamo (56), Gavana wa jimbo la katikati mwa Ufilipino pamoja na watu wengine watano, wameuawa jana Jumamosi, tarahe 4 Machi, kwa...

Kimataifa

Wanahabari wa kigeni nchini China walionja joto ya jiwe 2022

VYOMBO vya habari vya kigeni nchini China vilipitishwa kwenye hali ngumu wakati taifa hilo linatekeleza sera yake ya kupambana na Uviko-19 ambapo inadaiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge Jesca Kishoa avunja ndoa na Kafulila

  NDOA baina ya Jesca David Kishoa, mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri na David Kafulila, Kamishena katika wizara ya fedha,...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaliamuru gazeti la The Citizen kumlipa Mchechu Sh. 2.5 bilioni

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeliamrisha gazeti la kila siku linalochapishwa kwa lugha ya Kiingereza nchini la The Citizen, kumlipa fidia ya Sh. 2.5...

Habari Mchanganyiko

NEMC yataka miradi ya maendeleo inayoanzishwa kuzingatia uhifadhi mazingira

  MKURUGENZI Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), Dk. Samuel Gwamaka ameitaka miradi ya maendeleo inayoanzishwa iwe inazingatia uhifadhi...

Habari Mchanganyiko

NGO’s 2,915 hatarini kufutiwa usajili, THRDC yatoa tamko

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), kuendelea kuzingatia matakwa ya kisheria ili kukwepa...

Habari Mchanganyiko

GGML yaweka historia Tanzania, yashinda tuzo ya usalama kwa mwaka wa 4 mfululizo

MISINGI imara ya udhibiti wa hali ya usalama katika utendaji kazi ndani na nje ya Mgodi wa Geita Gold Mining Limited. (GGML), imeendelea...

Habari Mchanganyiko

BRELA yakutana na wadau kupitia Kanuni za Wamiliki Manufaa wa Kampuni

  WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imekutana na Vyombo vya Uchunguzi kwaajili ya kupitia Kanuni za Wamiliki Manufaa wa Kampuni...

Habari Mchanganyiko

Mbunge, viongozi wa ushirika Mbozi wanyukana vikali mbele ya DC

  VIONGOZI wa Vyama vya Ushirika wilayani Mbozi, wamemjia juu mbunge wa Jimbo la Mbozi, George Mwenisongole, kwa kutoa tuhuma za wizi wanazodai...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yapata pigo Zanzibar

  MWAKILISHI wa Jimbo la Mtambwe, visiwani Zanzibar, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Habib Ali Mohamed, amefariki dunia, wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...

Michezo

Kimwanga CUP yazidi kutimua vumbi

MASHINDANO ya mpira wa miguu ya Kimwanga CUP ya kuwania ng’ombe yanazidi kutimua vumbi huku timu kadhaa zikiendelea kumenyana katika hatua ya makundi....

Habari za Siasa

Wakulima alizeti wamuangukia Chongolo kuporomoka bei ya zao hilo

  WAKULIMA wa alizeti mkoani Singida, wamemwomba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuishauri serikali iongeze kodi ya mafuta ya...

Habari za Siasa

Rais Samia akemea mawaziri walioajiri maafisa habari binafsi

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kutoridhika na kitendo cha baadhi ya Mawaziri kuajiri maafisa habari binafsi kwaajili ya kuripoti habari zao na...

Habari Mchanganyiko

WCF yasajili asilimia 90 ya waajiri nchini

  MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dk. John Mduma, amesema hadi kufikia tarehe 30 June 2012 umefanikiwa kusajili waajiri...

Habari Mchanganyiko

Vodacom kutangaza washindi wa programu ya Vodacom Digital Accelerator

  KAMPUNI ya Vodacom Tanzania PLC inatarajia kutangaza kampuni bunifu chipukizi tatu zilizoibuka na ushindi wa msimu wa pili wa programu ya Vodacom...

Habari za Siasa

Sugu ataka wateule wa JPM wachunguzwe kwa ufisadi, amtumia salamu Spika Tulia

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ameshauri baadhi ya wateule wa aliyekuwa Rais wa...

Habari za Siasa

Rais Samia: Nafahamu madhara ya kubadili viongozi mara kwa mara

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema hana lengo na hapendi kubadilisha viongozi mara kwa mara kwa kuwa anafahamu madhara yake, ikiwemo kuchukua...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka mawaziri kujibu upotoshaji

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka mawaziri kueleza mafanikio ya Serikali mara kwa mara, ili kudhibiti baadhi ya watu wanaofanya upotoshaji. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mambo matano kuteka mkutano wa faragha wa mawaziri Arusha

  KATIBU Mkuu Kiongozi, Dk. Moses Kusikulika, amesema mada tano zitajadiliwa katika mkutano wa faragha wa siku tatu wa mawaziri na makatibu wa...

Tangulizi

Hiki hapa alichokifanya Lema mara tu baada kuwasili Tanzania

  MUDA mfupi baada ya kuwasili Tanzania akitokea uhamishoni nchini Canada, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless...

Habari za Siasa

CCM yaeleza mageuzi iliyofanya kwenye elimu tangu uhuru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema tangu kimechukua madaraka baada ya Tanzania kupata uhuru, kimefanya mageuzi mengi katika sekta ya elimu, kwa kujenga vyuo...

Habari za Siasa

Hatimaye Lema awasili Tanzania, akabidhiwa biblia na wazee wa Chadema

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amewasili nchini akitokea Canada, alikokuwa akiishi tangu 2020 baada...

Habari za Siasa

Chadema, Wasira wapingana kuhusu serikali za majimbo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupingana na mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wassira, kuhusu Serikali za Majimbo, baada ya chama hicho...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yajipanga kujibu mapigo kwa Rais Dk. Mwinyi

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeahidi kumjibu hadharani Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, kufuatia kauli yake aliyotoa kuhusu sakata la Uwanja wa Ndege...

Habari Mchanganyiko

Mikopo ‘kausha damu’ yakausha unyumba Kinyerezi, Serikali yaingilia kati

TANGU kuanza utaratibu wa baadhi ya wananchi kukopa mikopo ambayo mingine imegeuka kuwa ‘kausha damu’, changamoto nyingi zimeibuliwa ikiwa ni pamoja na kuvunjika...

error: Content is protected !!