Saturday , 3 June 2023
Home Habari Mchanganyiko Uholanzi wampongeza Rais Samia kuimarisha vyombo vya habari, demokrasia
Habari Mchanganyiko

Uholanzi wampongeza Rais Samia kuimarisha vyombo vya habari, demokrasia

Rais Samia Suluhu Hassan
Spread the love

 

UBALOZI wa Uholanzi nchini Tanzania, umempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuimarisha uhuru na utendaji wa vyombo vya habari nchini.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Pongezi hizo zimetolewa na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Wiebe de Boer, alipofanya mazungmzo na viongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), jijini Dar es Salaam.

“Nampongeza rais kwa kufungua milango katika utendaji kazi wa vyombo vya habari Tanzania, vyombo vya habari sasa visiwe vioga katika kutekeleza majukumu yake. Ameonesha namna anavyohitaji vyombo hivyo kuwa huru, wanahabari nao watumie nafasi hiyo kuimarisha uhuru wao,” amesema Balozi Boer.

Katika hatua nyingine,Balozi Boer amempongeza Rais Samia kuimarisha demokrasia kwa kuunganisha umoja na kushirikiana na vyama vya siasa vya upinzani .

“Hii ni fursa ya kujenga nchi moja na kushirikiana kujenga uchumi imara. Ni vizuri kwa sasa na vyombo vya habari visiogope kufanya kazi na vyama vya upinzani kwa kuwa hata rais kaonesha kwamba hakuna tatizo,” amesema Balozi Boer.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile, ameupongeza Ubalozi wa Uholanzi kwa kuwa karibu na vyombo vya habari nchini Tanzania, huku akimhakikishia kwamba vyombo hivyo vinatarajia kuwa na sheria inayokuza tasnia.

“Tuna imani na mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari, Rais na Serikali yake alionesha mapema nia ya kuondoa vikwazo katika uhuru wa habari nchini kwetu. Ndio maana baada ya kuingia madarakani alianza kufungulia vyombo vilivyokuwa vimefungwa ambavyo ni MwanaHalisi, Mawio, Raia Mwema na Tanzania Daima pamoja na Televisheni za mtandaoni,” amesema Balile na kuongeza:

“…lakini hata katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Habari, kuna vikwazo vimeondolewa ikiwa ni pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maeleza kupunguziwa mamlaka.”

1 Comment

 • Sasa SERIKALI IMEHAMIA RASMI DODOMA WAWEZA PATA HUDUMA ZA KIBALOZI UKIWA DODOMA KWA KUTUMIA ANUANI ZIFUATAZO… “SASA PATA HUDUMA ZA KIBALOZI ZAIDI YA 67 UKIWA KARIBU KABISA KATIKATI YA NCHI DODOMA” HAKIKA TUNAJALI WAGENI (INDIGENEOUS PEOPLE FIGHTERS)
  1 H.E. The Ambassador,
  Lt. Gen. (Rtd.) Anselem Nhamo Sanyatwe,
  High Commission of the Republic of Zimbabwe,
  Plot 298, Kikuyu Road,
  P .O Box 906,
  Dodoma.
  2 H.E. The Ambassador,
  Mathew Jere
  High Commission of the Republic of Zambia
  Plot 5 & 6 Ohio/ Kikuyu Road
  P .O Box 904,
  Dodoma.
  3
  Embassy of the Yemen
  804, Kikuyu Road, Mikocheni Area
  P .O Box 905,
  Dodoma.
  4 H.E The Ambassador,
  Vo Thanh Nam,
  Embassy of the Socialist Republic of Vietnam
  Plot No.15, Kikuyu Road, Oysterbay
  P .O Box 908,
  Dodoma.
  5 H.E. The Ambassador,
  Michael A. Battle Sr.
  Embassy of the United States of America
  686 Kikuyu Road, Msasani
  P .O Box 910, Dodoma.
  6 H.E. Head of Mission
  Gen. Fred Mwesigye
  High Commission of the Republic of Uganda
  Kikuyu Road, Plot No. 25, Oysterbay
  P .O Box 9013,
  Dodoma.
  7 H.E. The Ambassador
  Khalifa AbdulRahman Al Marzouqi
  Embassy of the United ARAB EMIRATES
  Plot No. 375, Kikuyu Road, Oysterbay
  P .O Box 9103,
  Dodoma.
  8 H.E. The Ambassador
  Dr Sawsan Alani,
  Embassy of the Syrian Arab Republic
  49 Kikuyu Road, Upanga East,
  P.O. Box. 2442,
  # Dodoma..
  9 H.E. The Ambassador
  Dr. Mehment Gulluoglu
  Embassy of the Republic of Turkey
  Kikuyu Road 8, Plot no. 97
  P.O. Box 21761,
  Dodoma
  10 H.E. The Ambassador
  Didier Chassot
  Embassy of the Swiss Confederation
  Plot 79, Kikuyu Road,
  P.O. Box 2454,
  Dodoma.
  11 H.E. The Ambassador,
  Mhe. Charlotta Ozaki Macias
  Embassy of Sweden
  Kikuyu Road / Garden Avenue
  P.O. Box 9274,
  Dodoma
  12 H.E. The Ambassador
  Dr Yassir Ali
  Embassy of the Republic of Sudan
  Plot 64. Kikuyu Road, Upanga
  P.O. Box. 2266,
  Dodoma
  13 H.E. The Ambassador,
  Loyang Johnson Okot Jekery
  Embassy of the Republic of South Sudan
  Msasani, Kikuyu Road,
  Near Dar International Academy
  Dodoma
  14 The Ambassador,
  Jorge Moragas Sánches
  Embassy of the Kingdom of Spain
  Plot No. 99b, Kikuyu Road
  P.O. Box 842,
  Dodoma.
  15 The Ambassador,
  Noluthando Mayende-Malepe
  High Commission of the Republic of South Africa
  1338/9 Kikuyu Road, Masaki
  P.O. Box 10723,
  Dodoma
  16 H.E. The Ambassador,
  Abdalla Ali M. Alsheryan
  Royal Embassy of Saudi Arabia
  Ali bin Said, Oysterbay, Plot No. 113, Kikuyu Road
  P.O. Box. 238,
  Dodoma
  17 H.E. The Ambassador,
  Zahra Ali Hassan,
  Embassy of the Somali Republic
  Kikuyu Road, Oysterbay, Plot No. 333 A
  P .O Box 1903,
  Dodoma..

  18 H.E. The Ambassador,
  Mr. Mahyub Sidina
  Embassy of the Saharawi Arab Democratic Republic
  Plot No. 410 C Mikocheni, Kikuyu Road
  P .O Box 2903,
  Dodoma.
  19 H.E. The Ambassador,
  Andrey Levonovish Avetsyan
  Embassy of the Russian Federation
  Plot No. 3 &5, Kikuyu Road
  P .O Box 6903,
  Dodoma.
  20 H.E. The Ambassador,
  Hussain bin Ahmad Al Homaid,
  Embassy of the State of Qatar
  Plot No. 345, Kikuyu Road,
  Tour Drive, Oysterbay,
  P .O Box 7904, Dodoma.
  21 H.E. The Ambassador,
  Tri Yogo Jatmiko
  High Commission of the Republic of Rwanda
  Haile Selassie Road, Plot No. 452, Kikuyu Road
  P .O Box 2918903,
  Dodoma.
  22 HE. Ambassador
  Krzysztof Buzalski
  Embassy of the Republic of Poland
  Kikuyu Road, Plot 110,
  P.O. Box 9210,
  Dodoma.
  23 H.E. Ambassador
  Dr Nasri Khalil Abu Jaish
  Embassy of the State of Palestine
  612 Kikuyu Road,
  Mindu Street, Upanga West
  P.O. Box 20307,
  Dodoma.
  24 The Ambassador,
  Saud Hilal Al Shidhani
  Embassy of the Sultanate of Oman
  Plot No. 810, Kikuyu Road,
  Mikocheni Area (Beside Regency Park Hotel)
  P.O. Box. 34741,
  #Dodoma.
  25 H.E. High Commissioner
  Muhammad Saleem,
  High Commission of the Islamic Republic of Pakistan
  Plot. No. 338, H.No. MKC/1259,
  Kikuyu Road, Mikocheni B,
  P.O. Box 61336,
  Dodoma.
  26 The Ambassador
  Elisabeth Jacobsen
  Royal Norwegian Embassy
  160 Kikuyu Road,
  P.O. Box 2646,
  Dodoma.
  27 H.E. The Ambassador,
  Hamisu Umar Takalmawa
  High Commission of The Federal Republic of Nigeria
  83 Kikuyu Road, Oysterbay,
  P.O. Box 9214,
  Dodoma.
  28 H.E. The Ambassador,
  Wiebe Jokob De Boer
  Embassy of the Kingdom of the Netherlands
  4th floor, UmojaHouse, Kikuyu Road,
  P.O. Box 9534,
  Dodoma
  29 H.E. The Ambassador,
  Zakaria El Goumiri
  Embassy of the Kingdom of Morocco
  Plot No. 38A, Kikuyu Road, Oystebay,
  Dodoma.
  30 High Commissioner
  Andrew P.E.Z. Kumwenda
  High Commission of the Republic of MALAWI
  Plot 310, Kikuyu Road
  P.O. Box 7616,
  Dodoma.
  31 H.E. The Ambassador,
  Jaseem Al Najem
  Embassy of the State of Kuwait
  Peninsula Building Complex,
  Plot No. 1403/1, Second Floor (Masaki), Kikuyu Road
  P.O. Box. 105818,
  Dodoma
  32 H.E. The Ambassador,
  Kim Youngsu,
  Embassy of the State of Libya
  Kikuyu Road No. 386,
  P.O. Box 9413,
  Dodoma.
  33 H.E. The Ambassador,
  Kim Sun Pyo
  Embassy of the Democratic People’s Republic of Korea
  Plot 309, Kikuyu Road, Mikocheni
  P.O. Box 2690,
  Dodoma.
  H.E. The Ambassador,
  Tae-ick Cho
  Embassy of the Republic of Korea
  Golden Jubilee Tower,19th floor, Kikuyu Road,
  P.O. Box 1154,
  Dodoma..
  34 H.E. The Ambassador,
  Yasushi Misawa
  Embassy of Japan
  Plot No. 1018 Kikuyu Road,
  P.O. Box. 2577,
  Dodoma.
  35 H.E. The Ambassador,
  Mhe. Isaack Njenga Gatitu
  High Commission of the Republic of Kenya
  Harambee Plaza , Kikuyu Road,
  Kaunda Drive Junction, Oysterbay,
  P.O. Box 5231,
  Dodoma
  36 H.E. The Ambassador,
  Marco Lombardi
  Embassy of the Republic of Italy
  Kikuyu Road, 316 (Upanga)
  P.O. Box 2106,
  Dodoma
  37 H.E. The Ambassador,
  Mary O’Neil
  Embassy of the Republic of Ireland
  353 Toure Drive, Kikuyu Road
  P.O. Box 9612,
  Dodoma
  38 H.E. The Ambassador,
  Triyogo Jatmiko
  Embassy of the Republic of Indonesia
  299, Kikuyu Road,
  P.O. Box. 572,
  Dodoma
  39 H.E. The Ambassador,
  Hossein Alvand Behineh
  The Islamic Republic of Iran
  Masaki, Chole/Haile Selasie Road Plot No. 581 Kikuyu Road, Oysterbay
  P.O. Box 5802,
  Dodoma.
  40 H.E. The Ambassador,
  Binaya Srikanta Pradhan
  High Commission of the Republic of India
  82, Kikuyu Road
  P.O. Box 2684,
  Dodoma.
  H.E. The Ambassador,
  Nabil Hajlaoui
  Embassy of the Republic of France
  7 Kikuyu Road, (Corner Kilimani Road),
  P.O. Box. 2349,
  Dodoma.
  41 H.E. The Ambassador,
  Regine Hess
  Embassy of the Federal Republic of Germany
  Umoja House, 2nd Floor, Hamburg Avenue/ Kikuyu Road
  P.O. Box 9541,
  Dodoma. .
  42 H.E. The Ambassador,
  Shibru Kedida
  Embassy of the Federal Democratic Republic of Ethiopia
  Kikuyu Road, Oyster Bay,
  P.O. Box 20793,
  Dodoma.
  43 H.E. The Ambassador,
  Kyle Michael Nunas
  High Commission of Canada
  38 Kikuyu Road/ Garden Avenue,
  P.O. Box 1022,
  Dodoma.
  44 H.E. The Ambassador,
  Gustavo Martins Nogueira
  Embassy of the Federative Republic of Brazil
  2nd Floor, Rooms 201-202, Coco Plaza office Complex,
  Kikuyu Road, Plot No. 254,
  Toure Drive, Msasani Penisula
  P.O. Box. 105818,
  Dodoma.
  45 H.E. The Ambassador,
  Tereza Zitting
  Embassy of Finland
  Kikuyu Road/Garden Avenue
  P. O. Box 2455
  Dodoma
  46 H.E. The Ambassador,
  Sherif Abdelhamid Imam Ismail
  Embassy of the Arab Republic of Egypt
  24 Kikuyu Road
  P.O. Box 1668
  Dodoma.

  47 H.E. The Ambassador,
  Damptey Bediako Asare
  Royal Danish Embassy
  Kikuyu Road
  P.O.Box 9171
  Dodoma
  H.E. The Ambassador,
  Yordenis Despaigne Vera
  Embassy of the Cuba
  Lugalo Road Plot 313
  P.O.Box 9282
  Dodoma
  48 H.E. The Ambassador,
  Jean -Pierre Kassala
  Embassy of the Democratic Republic of Congo
  438 Kikuyu Road, Upanga
  P.O.Box 975
  Dodoma
  49 H.E. The Ambassador,
  Dr. Ahamada El Badaoui Mohamed Fakih
  Embassy of Comoros
  Kikuyu Road,
  Plot No. 967,
  (Near Rose Garden)
  Mikocheni B,
  Dodoma.
  50 H.E. The Ambassador,
  Chen Mingjian
  Embassy of The People’s Republic of China
  2 Kajificheni Close,
  Kikuyu Road,
  P.O. Box 1649
  Dodoma
  51 H.E. The Ambassador,
  Gervais Abayeho
  Embassy of The Republic of Burundi
  1007, Kikuyu Road, Upanga East
  P.O.Box 2752
  Dodoma
  52 HE. High Commissioner
  David Concar
  British High Commission
  Umoja House, 3rd Floor, Kikuyu Road
  P.O.Box 9200
  Dodoma
  53 H.E. The Ambassador,
  Peter Hyghebaert
  Embassy of the Kingdom of Belgium
  5 Kikuyu Road,
  P.O.Box 9210,
  Dodoma.
  54 H.E. The Ambassador,
  Sandro de Oliveira,
  Embassy of Republic of Angola
  Plot No. 1016 – Msasani Penisula, Buswagi Street,
  Kikuyu Road, P.O. Box 20793
  Dodoma.
  H.E. The Ambassador,
  Ahmed Djelal
  Embassy of the Democratic People’s Republic of Algeria
  34, Kikuyu Road
  P.O. Box 2963
  Dodoma,
  55 H.E. The Archbishop,
  Angelo Accattino,
  Vatican Embassy
  Plot N. 146
  Kikuyu Road,
  Oyesterbay
  P.O. Box 480
  Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari Mchanganyiko

Magunia 731 ya bangi yakamatwa, mamia ya hekari yateketezwa Arumeru

Spread the love  MAMIA ya magunia ya madawa ya kulevya aina ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bosi NIC apandishwa kizimbani, akabiliwa na mashitaka 365

Spread the love  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa...

Habari Mchanganyiko

Serikali yakabidhi eneo la mahakama ya Afrika ya haki za binadamu

Spread the loveSerikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

Habari Mchanganyiko

Udhamini wa NMB mikutano ya ALAT wafikia 1.2 bilioni

Spread the loveBENKI ya NMB imeendelea kufanya kazi kwa karibu na Asasi...

error: Content is protected !!