Saturday , 20 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Dk. Gwajima awafunda Ma-DC, awataka kudhibiti ukatili kwa jamii
Habari Mchanganyiko

Dk. Gwajima awafunda Ma-DC, awataka kudhibiti ukatili kwa jamii

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima
Spread the love

 

RAI imetolewa kwa Wakuu wa Wilaya nchini kuwa mstari wa mbele kubaini na kuibua mienendo isiyofaa ndani ya jamii ikiwemo vitendo vya ukatili na ukiukwaji wa mila na desturi zilizo nje na utamaduni wa Mtanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Akitoa mada kwa wakuu wa wilaya jana tarehe 17 Machi 2023 jijini Dodoma, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema viongozi hao ni nguzo muhimu katika mapambano dhidi ya maovu ndani ya jamii

Amewahimiza kuwatumia maofisa maendeleo na maofisa ustawi wa jamii kuhakikisha wanapata taarifa sahihi kwani watumishi wa kada hiyo wapo karibu zaidi na jamii.

“Utekelezaji wa wizara hii una mchango mkubwa katika kutengeneza watu na Taifa hili kuanzia utoto wao hivyo mkiielewa wizara hii na malengo yake na kuelezea vizuri kwa jamii mtaongoza vizuri,” amesema Dk. Gwajima.

Dk. Gwajima amewasisitiza pia kuhakikisha wadau wa taasisi binafsi -NGOs wanaofanya kazi kwenye maeneo yao kufuata mikataba, kanuni na sheria ikiwemo misingi ya maadili.

1 Comment

  • A. UTANGULIZI
    1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji ya Mwaka 2022/23 na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mwenyendo wa Ujenzi wa Nyumba kwa Mwaka 2023/24. (Katika wana wa Simeoni, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, wale waliohesabiwa kama hesabu ya majina, kichwa kwa kichwa, kila mwanaume kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani – VITA IMEZIDI)

    2. Mheshimiwa Spika, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kuwasilisha Hotuba hii muhimu mbele ya Bunge lako Tukufu. Aidha, kwa namna ya kipekee kabisa namshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuniamini kuendelea kusimamia Sekta ya Mwenyendo wa Ujenzi wa Nyumba ili kufikia matarajio ya Watanzania katika Sekta ya Ujenzi wa Nyumba Unaoisha na kuongeza mchango wake kwenye Pato la Taifa.

    3. Mheshimiwa Spika, vilevile kwa dhati nampongeza Mhe. Rais kwa namna anavyoiongoza Serikali ya Awamu ya Sita inayosimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025, ambapo mafanikio mengi yamepatikana katika sekta mbalimbali ikiwemo Sekta ya Mwenyendo wa Ujenzi wa Nyumba ambapo WATANZANIA WOTE WANALALA KWENYE NYUMBA ZAO IFIKAPO USIKU WA SAA 1 BILA KUZINGATIA INAMILIKIWA YEYE MWENYEWE AU KUPANGA. Mafanikio hayo yameendelea kuitangaza nchi yetu siyo tu katika Bara la Afrika bali Duniani kote.

    4. Mheshimiwa Spika, ninaomba nitoe Rai kwa wananchi na Waheshimiwa Wabunge wote bila kujali itikadi za aina yoyote, tuendelee kuyaenzi mafanikio haya makubwa na kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika kuchangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

    5. Mheshimiwa Spika, vilevile, nitumie fursa hii kuwapongeza na kuwashukuru Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ambao ni Makamu wa Rais, Dr. Philip Isdor Mpango pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dr Hussein Ali Mwinyi kwa hekima kubwa katika kumsaidia Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuongoza nchi yetu.

    6. Mheshimiwa Spika, pia, nimshukuru na kumpongeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.) kwani amekuwa mstari wa mbele katika kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na maelekezo mbalimbali ya Mhe. Rais pamoja na kusimamia vema shughuli za Sekta ya Mwenyendo wa Ujenzi wa Nyumba ndani na nje ya Bunge, AMBAO INAKUSUDI HADI KUFIKIA 2024 KILA MTANZANIA HATAKIWA KUJENGA TENA KWA MUJIBU WA SHERIA NA KUWAACHIA NHC NA TBA KUJENGA NYUMBA ZILIZO NA VIWANGO VYA KIMATAIFA.

    7. Mheshimiwa Spika, ninakushukuru wewe binafsi, Naibu Spika, Wenyeviti wa Bunge, Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge, akiwemo Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mwenyendo wa Ujenzi wa Nyumba na YAO Mhe. TAN L. VIAZI (Mb.) na Wajumbe wa Kamati hiyo. Kamati hii imefanya kazi nzuri na kutoa ushauri wa kuboresha mambo mbalimbali ikiwemo kupitia na kuchambua Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mwenyendo wa Ujenzi wa Nyumba na Taasisi zake kwa mwaka 2022/23.

    Ripoti ya Dunia ya Dawa za Kulevya ya UNODC 2022 inaangazia UPATIKANAJI WA DAWA ZA KULEVYA AMBAPO ASILIMIA 34 – 67 YA MADAWA YA KULEVYA AINA YA COCAINE YAMEKUTWA KWENYE MADAPO YA KUTUPIA TAKA KATIKA MIJI YA IRINGA, MOROGORO, DODOMA NA DAR ES SALAAM… AIDHA, Mwelekeo wa kuhalalisha bangi baada ya kuhalalishwa, athari za kimazingira za dawa haramu, na matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa wanawake na vijana.

    Tukaedit – NENO WANAMKE NDIO KIMBILIO (anaongea pekeyake)

    https://www.youtube.com/watch?v=Ki83han2kZE

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yachaguliwa Makamu wa Rais Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani

Spread the love  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)...

Habari Mchanganyiko

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

Spread the loveBARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB Pesa Akaunti yawavutia wakaguzi wa ndani Afrika

Spread the loveUbunifu wa bidhaa bora wa Benki ya NMB pamoja na...

error: Content is protected !!