Saturday , 27 April 2024

Kitengo

Categorizing posts based on content

ElimuMichezo

Tunda Man azishauri shule kuwa na programu za kuibua vipaji

  MWANAMUZIKI Khaleed Ramadhan maarufu kama Tunda Man alifanya onyesho la aina yake kwenye shule ya Brilliant na kuzishauri shule ziwe na profamu...

Kimataifa

Nimedhulmiwa ushindi wa Urais– Chamisa

MPINZANI katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa amelalamika kudhulumiwa haki yake ya kushinda kuwa Rais wa Zimbabwe dhidi ya Emmerson Mnangagwa kwenye...

Biashara

DC Same atoa mwezi mmoja halmashauri kuhamisha gulio

MKUU wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa halmashauri hiyo kuhamisha gulio linalofanyika Jumatano hadi Jumapili eneo lililotengwa...

Elimu

Wanafunzi bora shule ya Brilliant kutesa na iphone macho matatu

MKURUGENZI wa shule ya Brilliant Dk. Jasson Rweikiza, amesema hakuna mwanafunzi wa shule hiyo atakayefukuzwa kwa kukosa ada baada ya kufiwa na mzazi...

Michezo

Mkewe Messi amkumbatia Jordi Alba kimakosa akidhani ni mumewe

BAADA ya ushindi wa timu anayochezea Lionel Messi, Inter Miami dhidi ya FC Cincinnatti kwa matuta ya penalty nchini Marekani, uwanja ulifurika kwa...

Kimataifa

Waziri Libya atumbuliwa baada ya kukutana na mwenzie wa Israel

KIONGOZI wa serikali ya Libya amemsimamisha kazi waziri wake wa mambo ya nje baada ya mwenzake wa Israel kutangaza kuwa, wawili hao walifanya...

Kimataifa

Rais Mnangagwa ashinda uchaguzi, upinzani wapinga

TUME ya taifa ya uchaguzi nchini Zimbabwe imemtangaza Rais Emmerson Mnangagwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais katika uchaguzi uliofanyika Jumatano 23 Agosti...

Biashara

Bosi NMB akabidhi misaada ya milioni 10 kwa New Hope for Girls

MIEZI mitano tangu alipotunukiwa Tuzo ya Malkia wa Nguvu (wa Sekta Binafsi Tanzania), Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna,...

Biashara

ASAS Dairies yajitosa kuokoa afya za watoto wadumavu Z’Bar

KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapindizi Zanzibar za kumaliza tatizo la udumavu kwa watoto  kampuni ya Asas Dairies  imezindua programu ya...

Elimu

Serikali yaombwa kupunguza kodi shule binafsi

SERIKALI imeombwa kuzipunguzia mzigo wa kodi shule binafsi ili zimudu gharama za uendeshaji kwa lengo la kutoa huduma bora za elimu. Anaripoti Regina...

Biashara

Wakulima walia anguko bei ya Vanila, Serikali yawa bubu

LICHA ya Serikali kuhamasisha kilimo kwa ajili ya kuwainua wakulima kipato cha chini, wakulima wa zao la vanila katika kata ya Kanyangereko Wilaya...

Elimu

Wadau waombwa kutatua changamoto shule za umma

SERIKALI na wadau wametakiwa kujitoa katika kutatua changamoto zinazokabili shule za umma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti...

Biashara

Biashara ya China, Tanzania yafikia trilioni 20

BALOZI wa China nchini, Chen Mingjian, amesema ukuaji wa biashara kati yake Tanzania kuanzia mwaka 2022 hadi Juni, 2023, umefikia Dola za Marekani...

Kimataifa

Trump ajisalimisha polisi, aachiwa kwa dhamana

Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump jana Alhamisi amejisalimisha kwa Polisi katika Jimbo la Georgia kutokana na mashtaka yanayomkabili akidaiwa kujaribu kubadili matokeo...

Michezo

Mkurugenzi Special Olympics Tanzania aivuruga taasisi

MKURUGENZI wa Taasisi ya Special Olympics Tanzania (SOT), Charles Rays anaivuruga taasisi hiyo inayojishughulisha na michezo kwa watu wenye ulemavu wa akili kwa...

Kimataifa

Upinzani Zimbabwe walia rafu uchaguzi mkuu

Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Nelson Chamisa, ameituhumu serikali ya nchi hiyo kwa udanganyifu na wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana...

Kimataifa

Mamlaka ya Afya China yazindua kampeni ya kupambana na rushwa, wachambuzi waja tofauti

  SEKTA za matibabu na dawa za nchini China zimetajwa kuwa ndio kipaumbele cha kipekee zaidi katika kampeni ya Rais Xi Jinping ya...

Biashara

Vodacom yazindua kampeni ya ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ kwa ajili ya wateja na wafanyabiashara

KAMPUNI ya teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC, kupitia huduma yake ya M-Pesa, imezindua kampeni ijulikanayo kama ‘Maisha ni Kujiongeza na M-Pesa’ inayowalenga...

Elimu

Shule zinazofanya mtihani wa dini ya Kiislam zaongezeka matokeo yatangazwa

  IDADI ya Shule ya shule za msingi zinazofanya mitihani ya elimu ya dini ya Kiislam nchini imeongezeka kulinganisha na mwaka jana kutoka...

Habari za SiasaKimataifa

Aliyejaribu kumpindua Putin afariki kwa ajali ya ndege

WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....

Biashara

NIC yajivunia mafanikio ya tuzo mbalimbali kwa mwaka 2023

  SHIRIKA la Bima Taifa (NIC) inejivunia mafanikio waliyopata ndani ya mwaka huu wa 2023 zilizopelekea kupokea tuzo tofauti tofauti zikiwemo za Msajiri...

Kimataifa

Watoto 500 wafariki kwa njaa

SHIRIKA la kimataifa la hisani la Save the Children limesema takriban watoto 500 wamefariki kutokana na njaa nchini Sudan. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Kimataifa

Historia ya miaka 43 ZANU-PF kutamatika?

Raia wa Zimbabwe leo Jumatano wanapiga kura kuwachagua wabunge na rais katika uchaguzi ambao upinzani unalenga kumaliza utawala wa miaka 43 ya chama...

Michezo

NMB yadhamini CDF Trophy 2023 kwa Mil. 30/-

BENKI ya NMB imetangaza udhamini wa Sh. 30 milioni wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2023), yanayotumika...

Kimataifa

Trump kujisalimisha kesi ya kubatilisha uchaguzi

RAIS wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa atajisalimisha mwenyewe jimboni Georgia Alhamis wiki hii ili kukabiliana na mashtaka ya udanganyifu na...

Elimu

DC Dar aipongeza St. Anne Marie Academy kwa ufaulu

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba, amempongeza Mkurugenzi wa shule za St Anne Marie, Dk. Jasson Rweikiza kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye...

Kimataifa

Sheria ya kupinga mapenzi jinsia moja yaanza kung’ata Uganda

POLISI katika wilaya ya Buikwe nchini Uganda inawashikilia watu wanne katika kituo cha polisi Njeru kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia...

Kimataifa

Walinzi mpaka wa Saudi Aradia watuhumiwa kuua wahamiaji

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu (Human Rights Watch) limewatuhumu walinzi wa mpaka wa Saudi Arabia kwa kutekeleza mauaji ya wahamiaji kwenye mpaka...

Biashara

Mchakato kuunganisha Tanga Cement, Twiga Cement wapata kizingiti, Jaji atoa uamuzi

BARAZA la Ushindani wa Biashara (FCT) limetoa uamuzi kuhusu uamuzi wa Tume ya Ushindani (FCC) wa kuruhusu kampuni ya Scancem International DA inayomiliki...

Biashara

Ya Rwanda yanatufunza tusiingize dini kwenye siasa

Tumsifu Yesu Kristo, Amani na Usalama. Nataka niwape tafakari ndogo ya sehemu ya Kanisa Katoliki katika amani na ustawi wa jamii yetu. Naomba...

Biashara

Rais Samia aikabidhi tuzo maalum Benki ya NMB

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tuzo maalum kwa benki ya NMB katika kutambua mchango na utendaji mkubwa wa taasisi hiyo ya...

Elimu

Mollel aomba dirisha maalum la Visa kwa wanafunzi kwenda kusoma China

MKURUGENZI wa Global Education Link, Abdulmalik Mollel, ameishukuru China kwa kufungua mipaka yake na ameomba Ubalozi wan chi hiyoo hapa nchini kufungua dirisha...

Biashara

STAMICO yang’ara yabeba tuzo mbili

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limeng’ara katika kikao kazi cha Wenyeviti  na Watendaji wa Mashirika  ya Umma baada ya kuibuka mshindi wa...

Kimataifa

Ongezeko la idadi ya wazee China latikisa

  IDADI ya raia walio na umri wa zaidi ya miaka 60 nchini China inatarajiwa kuongezeka kwa wastani wa milioni 10 ifakapo mwaka...

Afya

RC Babu atoa wiki mbili ujenzi zahanati Siha ukamilike

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa wiki mbili kwa kamati ya ujenzi ya Jengo la Wagonjwa wa Nje (OPD), maabara na nyumba...

Biashara

NMB, Vodacom wazindua kampeni ya ‘Miliki simu – lipa mdogo mdogo’

BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Vodacom na Google, wamezindua kampeni ya ‘Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo’, inayowezesha watanzania wa kipato cha chini...

Kimataifa

Ajichoma moto kisa ugumu wa maisha

MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya...

Biashara

NMB yakabidhi mabati, samani za milioni 51 kwa shule 9 Ilala

KATIKA jitahada za kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kutatua changamoto kwenye Sekta ya Elimu, Benki ya NMB, imekabidhi misaada...

Biashara

Promosheni ya ‘Jipate na Infinix’ yazinduliwa, wateja kukopeshwa bila riba

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Infinix imezindua promosheni ya ‘Jipate na Infinix’  kampeni ambayo itakuwa ya kuda wa mwezi mmoja nchi nzima....

Biashara

NMB, ATCL wazindua bima ya safari kwa wasafiri wa ndege nchini

BENKI ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege unaowapa fursa...

Biashara

Kampuni ya sola ya d.light yazindua kampeni ya ‘Mwanga Wako, Mchongo Wako’

  KATIKA kampeni ya kuunga mkono jitihada za serikali kwenye matumizi nishati salama kimazingira, kampuni ya sola ya d.light Tanzania Limited imezindua kampeni...

Kimataifa

Mlinzi aliyehukumiwa kumuua mke wa rais kuachiwa huru

MLINZI aliyemuua Mke wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Marike De Klerk, Luyanda Mboniswa anatarajiwa kuachiliwa huru mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti...

Elimu

Wanafunzi 800 watumia madarasa 4

KUKOSEKANA kwa vyumba vya kutosha vya madarasa katika shule ya msingi ya Mamboya iliyopo Kijiji na kata ya Mamboya Tarafa ya Magole Wilayani...

Afya

Ummy Mwalimu aunda kamati kuchunguza malalamiko ya madaktari waliofelishwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Jumatatu ametangaza ameunda Kamati huru yenye wajumbe 13 ili kuchunguza malalamiko ya madaktari watarajali (Intern Doctors) kuhusu...

Biashara

NMB yapata heshima ya Superbrands, yaweka rekodi

Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo nchini Tanzania mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Kimataifa

Walinzi wa amani UN waondoka Mali

MALI imeendelea kuwa na usalama hafifu hali iliyolazimu Ujumbe wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MINUSMA) nchini humo, kuondoka leo...

Michezo

Mandonga nje miezi 6, kufanyiwa vipimo Muhimbili

BONDIA wa ngumi za kulipwa, Karim Mandonga anatarajiwa kufanyiwa kipimo cha kichwa baada ya kupata jeraha kutokana na kipigo alichokipokea tarehe 29 Julai...

Kimataifa

Jeshi kumfungulia mashtaka rais kwa uhaini

VIONGOZI wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wametangaza kuwa na ushahidi wa kumshtaki rais aliyeondolewa madarakani na washirika wake wa ndani na nje...

Kimataifa

Mafuriko yaua watu 29 Hebei China

  WATU 29 wamefariki na wengine 16 wamepotea kutokana na mafuriko yaliyotokea katika jimbo la Hebei nchini China. Imeripotiwa na Global Times …...

Elimu

Umahiri wa Kingereza wanafunzi Tusiime wamshangaza Ofisa Elimu Dar 

  UMAHIRI wa hali ya juu wa kumudu kuzungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha ulioonyeshwa na wanafunzi wa shule ya msingi Tusiime umemfurahisha...

error: Content is protected !!