Friday , 26 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Gambo apanga kummaliza Lema

MRISHO Gambo, mgombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM), ameamua kubadili mtindo wa kummaliza Godbless Lemba, mgombea ubunge wa jimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akwepa kitanzi cha NEC

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ameshindwa kumnadi kwa jina Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yaweka masharti matumizi ya simu vituoni Oktoba 28

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imeweka masharti ya matumizi ya simu katika vituo vya kuhesabu, kupigia na kujumulishia kura katika...

Habari za Siasa

Zitto atoka hospitalini ‘narudi kwenye kampeni’

KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Aga Khani jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu baada...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaihoji NEC ‘karatasi za kura, mfumo wa kujumlisha matokeo

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetakiwa kuweka wazi mambo mbalimbali yahusuyo Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 ikiwemo kampuni...

Habari za Siasa

IGP Sirro awaonya polisi kutoingilia NEC

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, Polisi hawahusiki kutangaza mshindi wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020...

Habari za Siasa

Lissu kurejea jukwaani leo

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumamosi tarehe 10 Oktoba 2020 ataanza tena kampeni...

Habari za Siasa

IGP Sirro atoa onyo Z’bar ‘tusikubali kutumiwa’

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro, amewataka Wazanzibar kufuata taratibu za upigaji kura zilizowekwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)...

Habari za Siasa

Mgombea ubunge Ubungo abadili mbinu za kampeni

KABENDERA Eugene, Mgombea wa Ubunge wa Ubungo kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amefanya kampeni ya aina yake kupitia mkutano na waandishi...

Habari za Siasa

Kubenea atikisa kambi ya Tarimba

MGOMBEA Ubunge wa Kinondoni kupitia ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amefanya kampeni ya nyumba kwa nyumba katika Kata ya Hananasif, Wilaya Kinondoni jijini Dar es...

Habari za Siasa

Lissu atinga Mlimani City

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema ametembelea Mlimani City jijini Dar es Salaam na kufanya manunuzi mbalimbali katika moja ya maduka....

Habari za Siasa

Salum Mwalimu ampigia kampeni Ado wa ACT-Wazalendo

USHIRIKIANO kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba 2020 umeanza kushika kasi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli awageuzia kibao wakandarasi, RC Dar ‘badilika’

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufulki ameagiza kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani Mbezi-Luis jijini Dar es Salaam,...

Habari za Siasa

Kubenea akumbusha ya Kikwete, Mkapa

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Kinondoni, jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo amewataka wananachi kuchagua viongozi wenye uchungu na taifa lao. Anaandika Yusuph Katimba,...

Habari za Siasa

Majaliwa aipa siku tatu wizara ya kilimo

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu kwa Wizara ya Kilimo kukutana na menejenti ya kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa...

Habari za Siasa

Magufuli, Dk. Chakwera wazungumzia uchaguzi mkuu

MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Dk. Lazarus Chakwera wa Malawi wamezungumzia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atinga Kariakoo kwa mwendokasi

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameahidi kuliboresha Jiji la Dar es Salaam, endapo atashinda Uchaguzi...

Habari za Siasa

Mbowe kufikishwa kwa msajili

VYAMA nane vya siasa nchini Tanzania, vimelaani kauli iliyotolewa na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema kuvituhumu kwamba vinatumika kurudisha nyuma mapambano ya kupigania...

Habari za Siasa

TLS yajitosa kumtetea Fatma Karume

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimejitosa kumtetea Fatma Amani Karume aliyehukumiwa na kamati ya Maadili ya Mawakili kuondolewa jina lake (namba 848) kwenye...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli amfariji Zitto

RAIS John Magufuli amempa pole Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe aliyepata ajali ya gari jana tarehe 6 Oktoba 2020. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Watumishi wa Bunge watakiwa kuwa na uelewa mpana

WATUMISHI wa Ofisi ya Bunge na Waziri Mkuu wameshauriwa kuwa na uelewa mpana kuhusu nafasi yao katika mchakato na mipango mbalimbali ili sera...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu abadilishiwa majukumu, NEC kufikishwa kortini

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema, kitambadilishia majukumu Tundu Lissu, Mgombea wake wa Urais wa Tanzania wakati akiitumikia adhabu ya kutofanya kampeni...

Habari za Siasa

Chadema yamuunga mkono Maalim Seif, kuachiana majimbo na kata

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, pamoja na...

Habari za Siasa

Kubenea ataja kinachoitesa CCM

SAED Kubenea, Mgombea Ubunge kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo ametaja masuala yanayokitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

Kambaya kujenga kituo cha biashara, mabasi mbagala

MGOMBEA Ubunge wa Mbagala jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Abdul Kambaya amewaomba wananchi wa jimbo hilo kumpa fursa awatumikie...

Habari za Siasa

NEC yamuonya Lissu

KAMATI ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuonya Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutekeleza adhabu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Lissu atakuwa Rais wa Tanzania

MAALIM Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa Zanizbar kupitia ACT-Wazalendo amesema, ana matumaini Tundu Lissu ataibuka mshindi wa urais wa Tanzania kupitia Chadema...

Habari za Siasa

lMajaliwa: Hatuwezi kuwaacha wasanii

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema, Serikali ijayo ya chama hicho itaendelea kuwaunga mkono na kuwaendeleza wajasiriamali...

Habari za Siasa

Lissu atoa msimamo, kamati kuu Chadema yaitwa

TUNDU Antiphas Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Maadili ya Tume...

Habari za SiasaTangulizi

NEC yamshusha Lissu jukwaani siku 7

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia kesho Jumamosi hadi 9...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi ‘waitikia’ msimamo wa Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi kufuta wito uliomtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujipeleka katika...

Habari za Siasa

Magufuli: Mkiniletea wale, hampati maji

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, wananchi wa Tunduma, Mkoa wa Songwe wakichagua mgombea nje ya...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yamkana Lissu, JPM

LICHA ya Dk. John Magufuli, mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM na Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chadema kutawala siasa ngazi ya urais,...

Habari

IGP Sirro amwonya Lissu, amtaka kuripoti Polisi

INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

Lissu azuiwa Same

WANANCHI wa Hedaru, Same mkoani Kilimanjaro, wamezuia msafara wa Tundu Lissu, mgombea urasi wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti...

Habari za Siasa

Kubenea: Wabunge CCM wanajali matumbo, chama chao

SAED Kubenea, mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, amesema Abbas Tarimba, mgombea ubunge katika jimbo hilo kupitia CCM, ana...

Habari

Papa Francis ‘amtimua’ Pompeo

MIKE Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amegomewa kukutana na Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunani. Inaripoti Shirika la...

Habari za Siasa

Wazee waja juu, wamkingia kifua Lissu

HATUA ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania kumzuia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuzungumza na...

Habari

Takukuru yaonya wanaowarubuni wapiga kura

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania yatoa onyo kwa watu wanaowarubuni waliojiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...

Habari za Siasa

‘Lissu ndiye amiri jeshi mkuu ajaye’

SALUM Mwalimu, mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ndiye amir jeshi mkuu ajaye. Anaripoti Christina Haule,...

Habari

Afisa TRA mbaroni tuhuma ya rushwa milioni 8

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemkamata Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mary Moyo kwa tuhuma za kuomba na...

Habari za Siasa

JPM ‘amchana’ Sugu kiaina

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, Jimbo la Mbeya Mjini halikuwa na msemaji na ndio maana alimteua Dk....

Habari za Siasa

Kuitwa NEC: Lissu aweka mgomo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa hoja mbili za ‘kutojipeleka’ mbele ya Kamati ya Maadili...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aijibu NEC ‘ngoma hii hawaiwezi’

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kupuuza kauli iliyotolewa na Dk. Wilson Mahera, Mkurugenzi wa...

Habari

Milioni moja wafariki dunia kwa corona

WAGONJWA milioni moja duniani wamefariki kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumanne tarehe 29 Septemba...

Tangulizi

Lema, Gambo wakutana mgahawani

WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua bosi Tawiri

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aijia juu NEC, asema ‘siendi Dodoma’

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokraisa na Maendeleo (Chadema) amesema, kesho Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 hatokwenda mbele ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bosi NEC amvaa Lissu ‘Watanzania hawataki bla bla’

DAKTARI Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, ameonesha kukasirishwa na kile alichoita wanasiasa kudanganya na kutoa...

Habari za Siasa

Lissu aingia matatani, aitwa NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuita Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika kikao cha kamati ya kitaifa...

error: Content is protected !!