Habari za Siasa

Makonda chali

MPANGO wa Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuzuia kuuzwa makontena zaidi ya 20 yaliyoingizwa kwa jina lake kutoka nje, unaelekea kukwama. Anaripoti Regina Kelvin…(endelea). Ni baada ya ...

Read More »

Kesi ya Mbowe na wenzake yahairishwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi imeipiga karenda kesi inayowakabili viongozi waandamizi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, mpaka Septemba 27 mwaka huu. ...

Read More »

Masikini Abdul Nondo!

MAHAKAMA ya Mkoa wa Iringa imemkuta na kesi ya kujibu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Abdul Nondo aliyeshitakiwa kwa madai ya kusambaza taarifa za uongo kwamba ametekwa. Anaripoti ...

Read More »

Serikali yamliza Makonda, atoa laana

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam yupo kwenye mtihani wa kunasua ‘makontena yake yaliyobeba samani’ bandarini jijini Dar es Salaam. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Samani hizo ...

Read More »

Kikwete, Cheyo kuwamwakilisha Rais Magufuli kuapishwa Mnangagwa

DK. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, anatarajiwa kumwakilisha Rais John Magufuli katika sherehe za kuapishwa wa Emmerson Mnangagwa, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zimbabwe zitakazofanyika Jumapili ...

Read More »

NEC watangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Liwale

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Liwale Mkoa wa Lindi, kufutia kujiuzulu kwa Zuberi  Kuchauka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CUF. Anaripoti Regina ...

Read More »

Ridhiwani Kikwete ‘apaniki’

RIDHIWANI Kikwete, Mbunge wa Chalinze ameishiwa uvumilivu. Anaandika Yusuph Katimba … (endelea). Mbunge huyo kijana anaeleza kukerwa na tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba ‘anakerwa’ na wanasiasa wanaohama vyama vyao na kujiunga ...

Read More »

Mbowe anena mazito wakili wao kujitoa

BAADA ya Jeremiah Mtobesya, wakili anayetetea viongozi waandamizi wa Chadema wanaokabiliwa na kesi ya jinai namba 112, kujitoa katika kesi hiyo. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa chama hicho Taifa ameendelea kuonyesha ...

Read More »

Wabunge 19 Chadema kulinda kura Dodoma

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamesema watawatumia wabunge kumi na tisa wa chama hicho kulinda kura katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kizota katika jiji la Dodoma. ...

Read More »

Waislam wamporomoshea dua JPM

SWALA ya Eid Alhaj iliyoswaliwa kitaifa jijini Dar es Salaam imemalizika kwa kuombewa dua Rais John Magufuli. Anaripoti Yusuph Katimba … (endelea). Dua hiyo imeendeshwa na Kaimu Mufti, Khatib Jongo ...

Read More »

Lugola awasha moto NIDA, vigogo watatu mbaroni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwagiza Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini kuhakikisha anawatia mbaroni wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa nchini NIDA pamoja na ...

Read More »

Dada wa Rais Magufuli azikwa Chato

MWILI wa Monica Magufuli, dada wa Rais John Magufuli umezikwa leo tarehe 21 Agosti mwaka huu, nyumbani kwao katika kijiji cha Mlimani Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »

Wadau waitwa kutoa maoni miswada ya sheria

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limewaalika wadau kutoa maoni yao yatakayotumika katika mchakato wa uchambuzi wa miswada ya sheria kwenye ngazi ya Kamati za Bunge. Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »

Wabunge watatu Upinzani kutua CCM kabla Bunge kuanza

WABUNGE watatu wa upinzani- wawili Chadema na mmoja Chama cha Wananchi (CUF), wako mbioni kuvikimbia vyama vyao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Habari ...

Read More »

Dada wa Rais Magufuli afariki dunia

MONICA Joseph Magufuli, Dada wa Rais John Magufuli amefariki dunia asubuhi ya leo tarehe 19 Agosti, 2018 kwenye Hospitali ya Bugando iliyoko jijini Mwanza alikokuwa anafanyiwa matibabu. Anaripoti Regina Kelvin ...

Read More »

CUF watoa msimamo madiwani wake kuhama

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetoa msimamo wake kuhusu kuhama kwa waliokuwa viongozi, wabunge na madiwani wa chama hicho, kikisema kuwa kitafanya vikao vyake vya kitaifa hivi karibuni ili kujaza nafasi ...

Read More »

Serikali yaja na vifaa vya kisasa vya upimaji ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema, wizara yake imeleta Vifaa vya kisasa vya upimaji wa ardhi ambavyo vitagawiwa kwa ofisi zote za kanda za ardhi ...

Read More »

Moto wateketeza mali za mamilioni Ngara

MAGARI matano ya mizigo, yameteketea kwa moto katika kituo cha forodha kilichomo eneo la Rusomo, wilayani Ngara, mpakani mwa Tanzania na Rwanda, leo Jumapili, tarehe 19 Agosti 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Prof. Lipumba kummaliza rasmi Maalim Seif

HARAKATI za Profesa Ibrahim Lipumba kumtosa Maalim Seif, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) zinaelekea ukingoni. Anaandika Faki Sosi … (endelea).  Kwa sasa Prof. Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na ...

Read More »

Naibu Meya wa Dar atimkia CCM

ALIYEKUWA Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Mussa Kafana amejiuzulu uanachama wa CUF na kuomba kupokelewa ndani ya CCM. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kafana ambaye ...

Read More »

Zile trilioni 1.5 kuanza kusakwa

VIKAO vya Kamati ya Bunge vinaanza wiki ijayo ambapo miongoni mwa kazi zitazofanywa ni pamoja na kupitia na kuchambua Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG). Anaripoti Faki Sosi … ...

Read More »

Rais Magufuli akata ngebe za wanaoibeza Dreamliner

RAIS John Magufuli amekata mzizi wa fitina kwa wanaoibeza ndege ya Dreamliner wakidai mbovu, baada ya kuamua kutumia ndege hiyo kwenda jijini Mwanza leo Jumamosi tarehe 18 Agosti, 2018. Anaripoti ...

Read More »

Rais Magufuli aula SADC

DK. John Magufuli, Rais wa Tanzania ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ya uteuzi huo imetolewa leo tarehe ...

Read More »

Chadema wateua wa kupambana na Waitara, Kalanga

CHAMA cha Chadema kimeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu yaliyoachwa wazi baada ya wabunge wawili kujiuzulu na mmoja kufariki. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Uteuzi huo umefanywa leo tarehe 17 ...

Read More »

Prof. Lipumba: Ninaongoza kwa kuwatetea Wazanzibar

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa amesema, ni kinara kwa kuwatetea Wazanzibari. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Prof. Ibrahim amesema, jambo ...

Read More »

Chadema waanika ubatili wa NEC kwenye uchaguzi wa marudio

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA KUHUSU NEC KUHALALISHA UBATILI ULIOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshtushwa na kiwango cha ...

Read More »

LHRC yafichua madudu mengine

MATOKEO ya ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2017 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yamebainisha kwamba kutoshirikiswa kwa wananchi katika mchakato wa utwaaji ...

Read More »

ACT-Wazalendo waomba mkutano wa maridhiano

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali pamoja na wadau wa demokrasia nchini kuitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ya kisiasa kwa ajili ya kujadili changamoto zinazokabili mfumo wa vyama vingi. Anaripoti ...

Read More »

Dk. Bashiru: Wabunge kujivua uanachama ni faida kwa Upinzani

DK. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM amesema kitendo cha wabunge na madiwani wa vyama vya CUF na Chadema kujivua unachama na kujiunga na chama chake, ni faida kwa vyama ...

Read More »

Lukuvi abadili staili utoaji vibali vya ujenzi

WaAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kwamba kuanzia sasa vibali vya ujenzi vitakuwa vinatolewa kila wiki na vitakuwa vinatolewa na maofisa wa serikali waliopo wilayani. ...

Read More »

CCM wawarudisha Waitara, Kalanga

KAMATI Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM imeteuwa wagombea watatu watakaokiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kamati hiyo iliyoketi ...

Read More »

Maneno mazito ya Mbunge wa Chadema baada ya Uchaguzi

NENO LA SHUKRANI Na Elia F Michael Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu kwa chama wilaya ya Kakonko na Chama Taifa kuniona kama mtu sahihi kugombea nafasi hii ya Ubunge ...

Read More »

Afya ya Dk. Kigwangalla yaimarika

HALI ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla inazidi kuimarika ambapo kwa mara ya kwanza tangu alazwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, amefanya mazoezi ya kupanda ngazi kwa ...

Read More »

Chadema kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM

CHAMA cha Demorasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara, kimepanga kwenda mahakamani kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Turwa, wilayani Tarime. ...

Read More »

Alichokifanya JPM hiki hapa

IFUATAYO ni orodha ya majina ya Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali walioteuliwa na kuhamishiwa vituo vya kazi leo tarehe 13 Agosti, 2018. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Mbunge mwingine wa upinzani akimbilia CCM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Liwale mkoani Lindi kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Zubeir amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kuchauka ametangaza uamuzi huo leo tarehe ...

Read More »

Rais Magufuli afumua wakuu wa mikoa, wakurugenzi

RAIS John Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya mabadiliko kadhaa kwa Wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini huku sehemu kubwa ya mabadiliko hayo yamelikumba Jiji la ...

Read More »

NEC wamrudisha rasmi Chiza Buyungu

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Buyungu, Lusubilo Mwakabibi amemtangaza Christopher Chiza, Mgombea wa CCM kuwa mshindi wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika jana tarehe 12 Agosti, 2018. Anaripoti Regina ...

Read More »

Majaliwa atema cheche Ruangwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Pudencis Protas  kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wilaya ya Ruangwa Anthon Mandai kutokana na ...

Read More »

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari taarifa ya kipigo hicho ameifikisha katika Jeshi ...

Read More »

Mambo yameiva Buyungu

WAKAZI wa Jimbo la Buyungu lililoko Wilayani Kankonko mkoa wa Kigoma, wamejitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wakazi hao wamejitokeza leo tarehe 12 ...

Read More »

Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli. Anaandika Faki Sosi … ...

Read More »

‘Mtatiro amefuata fursa kwa JPM’

KWENYE siasa hatufuati watu. Ukiwafuata watakuacha solemba. Fuata misingi. Anaandika Ansbart Ngurumo … (endelea). Msando na Mtatiro walikuwa wafuasi. Hawakuwa waanzilishi. Hata wangekuwa waanzilishi, tungewaacha waende zao kama tulivyowaacha akina ...

Read More »

Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika kufunga Kampeni ya Uchaguzi mdogo wa marudio ...

Read More »

Pole Maalim Seif

ALIYEKUWA mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, ameondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi  (CCM). Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Akitangaza uamuzi wake ...

Read More »

Nape Nnauye atoa neno kuhama kwa Mtatiro

NAPE Nnauye, Mbunge wa Jimbo la Mtama ametoa neno baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi CUF Taifa, Julius Mtatiro kukihama chama hicho, akisema kuwa hamahama hiyo itumike kama ...

Read More »

Mtatiro aitosa CUF, amuunga mkono Rais Magufuli

JULIUS Mtatiro, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF, amejivua uanachama wa chama hicho na kuonesha nia ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). ...

Read More »

NEC watoa neno kwa wagombea, wapiga kura

IKIWA kesho tarehe 12 Agosti, 2018 ni siku ya upigaji kura katika uchaguzi mdogo wa ubunge Buyungu na kata thelathini na sita (36), Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ...

Read More »

Chadema, NCCR-Mageuzi wapigwa ‘stop’ Tarime

MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Mara amesitisha mikutano yote ya kampeni ya vyama vya upinzani kwenye kata hiyo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Taarifa hizo ...

Read More »

Mbunge wa Chadema awamwaga Polisi

MBUNGE wa jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wameshinda kesi iliyokuwa inawakabili katika Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, baada ya ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram