Habari za Siasa

Kasoro sheria za uchaguzi Tanzania zabainishwa 

WAKATI  michakato ya kuwapata wagombea ndani ya vyama vya siasa watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 nchini Tanzania ukiendelea, wito umetolewa kwa vyama hivyo kuzingatia usawa wa kijinsia. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Siku 25 zilivyopukutisha Vigogo wa Wizara ya Afya

DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

JPM: Mtalii hatowekwa karantini

RAIS John Magufuli amemwagiza Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Utalii na Injinia Isack Kimwelwe, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano kuruhusu ndege za utalii kutoka nje, na kwamba mtalii hatowekwa karantini. ...

Read More »

Mbowe: Corona haihitaji kiburi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea).  “Janga hili ...

Read More »

Wiki ya JPM kufanya uamuzi mgumu

RAIS John Magufuli anafikiria kufungua Vyuo Vikuu wiki ijayo, ili wanafunzi wanendelee na masomo iwapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupungua. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea) Akizungumza katika ...

Read More »

Dk. Ndugulile azungumzia kutumbuliwa kwake

DK. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais wa Tanzania, John Pombe Mangufuli kumteua kufanya kazi kama naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Rais Magufuli amtumbua Dk. Ndugulile, amteua Dk. Mollel

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Anaripoti Regina ...

Read More »

Chadema wamsubiri Jaji Mutungi 

MKURUGENZI wa Mambo ya Nje, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, amedai kuwa wabunge wake waliofukuzwa wana haki ya kukata rufaa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mashine ya kupima corona yatua Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepokea mashine moja kati ya tatu ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Prof. Safari: Chadema wamevunja Katiba yao

ALIYEKUWA makamu mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Abdallah Safari, amekosoa uaamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, kuwavua uanachama wabunge wake wanne. Anaripoti Faki ...

Read More »

Bunge laishauri Serikali kuomba msaada IMF, WB vita ya corona

KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali ya Tanzania kuliomba Shirika la Fedha Duniani (IMF), fedha kwa ajili ya kupambana na athari za janga la mlipuko wa virusi vya Corona ...

Read More »

Takukuru yawahoji wanasiasa walioanza kampeni

WANASIASA kadhaa wanahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa, katika mchakato wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. ...

Read More »

Vyama sita vya wakulima vyapewa siku 16 kutema mamilioni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imetoa siku 16 kwa vyama sita vya ushirika kurejesha mamilioni ya wakulima wanayodaiwa kabla ya hatua kali za kisheria kuchukuliwa. ...

Read More »

Mbowe kuwaongoza wenzake kurejea bungeni leo

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotii agizo la chama hicho la kukaa karantini kwa muda wa siku 14, wanatarajia kurejea bungeni leo Ijumaa tarehe 15 Mei, 2020. ...

Read More »

Mbunge CCM ahoji mbwa kukagua watoto, vyakula bandarini

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (CCM), Jaku Hashim Ayoub amehoji sababu za mbwa kutumika kwa ukaguzi wa vyakula na watoto wadogo katika bandari ya Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Anaripoti ...

Read More »

Majaliwa amtaka bosi Tanesco kusimamia ipasavyo JNHPP 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Tito Mwinuka kusimamia mradi ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ...

Read More »

Wabunge waliofukuzwa Chadema, watinga kwa Msajili

WABUNGE waliofukuzwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekata rufaa ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa kupinga uamuzi uliochukuliwa dhidi yao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wabunge ...

Read More »

Walimu 18,181 wameajiriwa 2015/20 – Serikali

SERIKALI imeeleza, kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020, sekta ya elimu imeajiri walimu 18,181. Shule ya Msingi 10,666, sekondari 7,218 na mafundi sanifu maabara 297. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Rashid ...

Read More »

Profesa Kabudi atoa sababu Rais Magufuli kutoshiriki vikao vya marais

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amesema Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo  Kusini ...

Read More »

Wakati gani mmiliki wa silaha akiua, anakuwa na hatia?

WIZARA ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania imeeleza, hakuna mazingira yanayomruhusu mmilikiwa wa silaha kuua, na ikitokea hivyo, mahakama itapima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wizara imetoa kauli hiyo leo ...

Read More »

Wabunge Chadema wasalitiana

SIRI imefichuka. Baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikaidi chini kwa chini, maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Majaliwa ataka Suma JKT kuongeza kasi ujenzi ofisi za NEC

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Suma ...

Read More »

Prof. Kabudi: Tunatuhumiwa ukiukwaji haki za binadamu

TANZANIA inatuhumiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo kujieleza, kutoa maoni, kujumuika na kukusanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizaya ya Mambo ...

Read More »

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ wabunge 15 Chadema, akiwamo Mbowe 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa orodha ya wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutekeleza maagizo yake mawili iwapo wanataka kurejea ...

Read More »

Viwanda 8,477 vyajengwa awamu ya tano ya JPM

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema, tangu Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani tarehe 5 Novemba 2015, imefanikiwa kuanzisha viwanda 8,477 katika mikoa 26 ya Tanzania Bara. ...

Read More »

Ujenzi Daraja la Wami wafikia asilimia 37.5

UJENZI wa darala jipya la Wami unaogharamiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100, umefika asilimia 37.5 ili kukamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Injinia Izack Kamwele, Waziri wa Ujenzi, ...

Read More »

Mabasi 165 ya mwendokasi kuongezwa Dar

SERIKALI ya Tanzania imesema mchakato unafanyika kununua mabasi 165 ili kupunguza adha ya usafiri wa mradi wa mabasi yaendayo haraka katika Jiji la Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »

Bunge la Tanzania lashauri corona igeuzwe fursa

KAMATI ya Kudumu ya  Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji nchini Tanzania, imependekeza wakati huu dunia ikiwa kwenye janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona ...

Read More »

Waziri Hasunga azungumzia tatizo la sukari Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema bidhaa ya sukari imeadimika nchini, kutokana na uzalishaji wake katika msimu wa mwaka 2019/2020, kukumbwa na changamoto mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne ...

Read More »

Mrithi wa Boniface Jacob akabidhiwa ofisi, vitendea kazi 

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic amemkabidhi Ramadhan Kwangaya, ofisi ya Meya wa Manispaa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hafla hiyo ...

Read More »

Wabunge waliofukuzwa Chadema watema nyongo 

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliovuliwa uanachama wa chama hicho, wamekosoa uamuzi wa kufukuzwa wakisema haukuzingatia misingi ya haki. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Wabunge waliofukuzwa na ...

Read More »

Spika Ndugai ashauri msajili kuitupia macho Chadema

LICHA ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwavua uanachama wabunge wake wanne, kwa kutotii maagizo ya chama hicho, Spika wa Bunge nchini humo, Job ...

Read More »

Machinga Complex sasa kujengwa kila wilaya

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu amesema ili kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, masoko ya wafanyabiashara ndogondogo kama Machinga Complex yanatakiwa kujengwa katika halmashauri zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Vyama 11 vya siasa Tanzania vyataka uchaguzi usogezwe mbele

JANGA la mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19), limeathiri shughuli za vyama vya siasa katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa 25 ...

Read More »

Tamisemi yamkalia kooni Boniface Jacob

NAIBU Waziri wa  Ofisi ya Rais, Tawala za  Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Mwita Waitara amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kufanya uchunguzi ...

Read More »

Chadema wamvimbia Spika Ndugai

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameagizwa kutotii agizo la Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba warejeshe fedha za posho walizopewa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Chadema yafukuza wabunge wanne, wengine 11 kikaangoni

WABUNGE wanne kati ya 15 ‘walioasi’ uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujiweka karantini kwa siku 14, wametimuliwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

CHAUMMA yataka uwazi taarifa za corona, waathirika wafidiwe

CHAMA cha siasa cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimeitaka Serikali nchini humo kutoa takwimu mara kwa mara, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na ...

Read More »

Spika Ndugai kushtakiwa mahakamani

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania kumpa fursa ya kurejea bungeni Cecil Mwambe aliyejivua uanachama wa Chadema, sasa itamfikisha mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Jumatano ya ...

Read More »

Chadema kushushia rungu wabunge waasi

KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demecrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kuwajadili wabunge wake 16 walioamua kuasi maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe. Anaripoti  Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Habari ...

Read More »

Mbowe aendesha kikao cha kamati kuu kidigitali

KAMATI Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza vikao vyake leo Jumamosi tarehe 9 Mei 2020 kwa njia ya kidigitali chini ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Lwakatare awaita bungeni wabunge Chadema walioingia mitini

WILFRED Lwakatare, kiongozi wa wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliorejea bungeni kupinga maelekezo ya viongozi wao ya kutoingia bungeni, amewaomba wenzake waliosalia nje, kurejea bungeni. Anaripoti ...

Read More »

Lwakatare ‘amrithi’ Mbowe U-KUB

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupia Chadema, amekana kumpindua Freeman Mbowe, katika nafasi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), bali amechaguliwa na wabunge wenzake kushika nafasi ...

Read More »

Wizara Nishati yajivunia mafanikio lukuki 2015-2020

WIZARA ya Nishati na Madini imeeleza mafanikio yake kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020). Anaandika Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).   Katika hotuba ya wizara yake, Dk. Medard Matogolo Kalemani, waziri wa ...

Read More »

Mbowe atoa msimamo kurudi bungeni, kukatwa fedha

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, amesema linapokuja suala la usalama wa maisha, pesa haina thamani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza na Shirika la Utangazaji la ...

Read More »

Utata waibuka Mwambe kuendelea kuwa ‘mbunge’

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameibua hoja iliyoibua utata kuhusu Cecil Mwambe, aliyekuwa mbunge wa Ndanda, mkoani Mtwara, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Jacob apambana kutetea umeya wake

BONIFACE Jacob, aliyevuliwa umeya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, amesema taratibu zinamtambua kuwa bado ni Meya. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Mbele ya waandishi wa habari jijini ...

Read More »

Jinsi Chadema ilivyopoteza Mameya Dar

UCHAGUZI Mkuu nchini Tanzania uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, ulishuhudia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikipewa ridhaa na wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, kuongoza Manispaa tatu za ...

Read More »

Wabunge walioko Dar watakiwa kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewataka wabunge waliokaidi agizo la kurejea bungeni jijini Dodoma ndani ya masaa 24, kujisalimisha Ofisi ya Upelelezi ya kanda ...

Read More »

DC mwingine afariki dunia Tanzania

HAMIM Gwiyama, Mkuu wa Wilaya (DC) wa Nyang’hwale mkoani Geita amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Rebecca Kwandu, Mkuu wa KItengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya ...

Read More »
error: Content is protected !!