SAMAKI ni kitoweo pendwa kwa watu wengi duniani, hususani wakazi wa maeneo ya pwani na kando ya mito na maziwa. Lakini kwa...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo ameziagiza halmashauri zote kuhimiza uvunaji wa maji ya mvua...
By Danson KaijageNovember 16, 2021Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Mpango wa Miaka mitano wa Shirika la Huduma za Msaada wa Kisheria (LSF)...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa siku tatu (sawa na saa 72) kuanzia leo Jumatatu tarehe 15 Novemba 2021, kwa wasimamizi...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Dastan Kyobya ameiomba Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuangalia uwezekano wa kuongeza zaidi matawi yake katika...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021MSHINDI wa Droo ya Nne ya Msimu wa Pili wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde inayoendeshwa na Benki ya NMB ‘NMB...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2021BENKI ya NMB imekuwa benki ya kwanza nchini kupata tuzo ya MasterCard kutokana na mafanikio makubwa waliyoyaonesha kwa wateja wao katika matumizi...
By Mwandishi WetuNovember 14, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) kuendelea kuwawezesha wajasiriamali wanaowekeza kwenye misitu kwa kuwapatia ruzuku itakayowezesha kunufaika na...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021WIZARA ya Habari Mawasiliano na Teknologia ya Habari imetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wakuu wa mikoa Tanzania juu ya umuhimu wa matumizi na...
By Danson KaijageNovember 13, 2021AJALI mbaya imetokea usiku wa kuamkia leo Jumamosi, tarehe 13 Novemba, 2021 katika maeneo ya Mbezi kwa Yusufu, Dar es Salaam baada...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme hususan maeneo ya vijijini ambapo hadi sasa jumla ya...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, Profesa Makame Mbarawa amemaliza utata uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu juu ya vichwa 11...
By Danson KaijageNovember 12, 2021KWA kile kinachoonekana si jambo la kawaida kutokea katika jamii, kampuni ya huduma za mazishi ya Goodmark imeanzisha huduma ya bima ya majeneza,...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linamshikilia mtu mmoja mwenye umri wa miaka 16 kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yametoa mapendekezo manne ili kuiomba Serikali ya Tanzania, iyakubali mapendekezo yaliyotolewa na nchi wanachama wa Umoja wa...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) wa Tanzania, Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Songwe imemnasa Eliam Fiabo anayedaiwa kuwa mkandarasi kwa tuhuma za kukusanya fedha kwa...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Jumatano tarehe 10 Novemba 2021, ataondoka nchini kwenda Cairo, nchini Misri kwa ziara ya kiserikali...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2021WIZARA ya Nishati wakati Tanganyika (Tanzania Bara) inapata uhuru mwaka 1961 ni mikoa miwili pekee ndiyo iliyokuwa na nishati ya umeme ikilinganishwa...
By Danson KaijageNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imekubali kupokea hati ya ukamataji mali wa washtakiwa Adam Kasekwa na Mohammed...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MFUMKO wa Bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi Oktoba, 2021 umebaki kuwa asilimia 4.0 kama ilivyokuwa kwa mwezi Septemba 2021. Anaripoti...
By Danson KaijageNovember 8, 2021KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission ya Australia kwa mara nyingine mwaka huu imeendeleza udhamini...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha nchini Tanzania, imepokea maombi ya rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021SHIRIKA la Maendeleo la Kimataifa la Japani (JICA) kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
By Mwandishi WetuNovember 8, 2021WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Ummy Mwalimu, ameziagiza halmashauri kupanga miji upya, ikiwemo kuwaondoa wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’, katika maeneo yasiyo rasmi....
By Mwandishi WetuNovember 6, 2021TAASISI ya Young and Alive Initiative (YAI), imeanza kusaka Vijana, kwa ajili ya programu maalumu ya kuwajengea uwezo watu wa rika hilo...
By Regina MkondeNovember 6, 2021VIJANA nchini wamesema iwapo Serikali itahakikisha changamoto ya elimu, afya, ajira, uongozi na taarifa zitapatiwa ufumbuzi kundi hilo litaweza kupata maendeleo na...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021MAMLAKA ya Bandari nchini (TPA), imefanya mageuzi makubwa ya uwekezaji kwenye vifaa vya kazi ambao, ukikamilika utakuwa na thamani ya sh bilioni 500....
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika madhimisho ya miaka 10 ya Shirika la Legal Services Facility (LSF) yanayotarajiwa kufanyika tarehe...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021MWAKA 2018 LSF ilizindua mpango wake wa uwezeshaji wa wanawake waishio mijini ili wapate uelewa wa kisheria kuhusu masuala ya haki za mazingira,...
By Mwandishi WetuNovember 5, 2021MAASKOFU wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania, Paul Ruzoka wa Jimbo Kuu la Tabora na Severin Niwemugizi wa Jimbo la Rulenge-Ngara mkoani Kagera,...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dk. Juma Malik Akili amepongeza jitihada zinazoendelea kufanywa na Shirika la Bima Zanzibar (ZIC)...
By Mwandishi WetuNovember 4, 2021MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetoa wito kwa wadau wa utalii kuwekeza katika maeneo ya vitalu 12 vya uwekezaji maalumu...
By Danson KaijageNovember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Profesa Maulid Mwatawala kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET). Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema athari za mabadiliko ya tabianchi hazichagui nchi tajiri wala maskini hivyo kuna umuhimu kwa mataifa yote duniani kuwa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Zuberi Homera ameonyesha kuridhishwa na huduma pamoja na jitihada za Benki ya Exim katika kuwahudumia wafanyabiashara...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021Kampuni ya Anglogold Ashanti – Geita Gold Mining Limited(GGML) na Halmashauri ya Mji Geita na halmashauri ya Wilaya ya Geita,zimetiliana saini Mkataba wa...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dk. Nicolaus Shombe kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuNovember 2, 2021TAHARUKI imeibuka katika mitaa ya Mbezi – Mwisho baada ya daladala aina ya Coaster inayofanya safari zake Mbezi – Mkata kumgonga mama...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka wavuvi nchini kuchangamkia bima maalum ijulikanayo kama Jahazi, ili iwasaidie kuwakinga wanapokumbwa na majanga mbalimbali....
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021KATIKA kukabiliana na changamoto ya umeme nchini Serikali imesema itashirikiana na wawekezaji kuzalisha megawati 700 za nishati jadidifu ifikapo mwaka 2024. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ametoa siku 30 kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha ndani ya muda...
By Danson KaijageOctober 30, 2021KAMISHINA wa Sensa na Makazi ya Watu nchini Anna Makinda ameziomba Asasi za kiraia kuwahamasisha watanzania kujitokeza kuhesabiwa wakati wa siku ya...
By Danson KaijageOctober 30, 2021WACHIMBAJI wadogo wa Madini ya Dhahabu katika Kijiji cha Mwasabuka Kata ya Iyenze wilayani Nyang’hwale mkoani Geita wamelalamikia kitendo cha kutimuliwa na...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021MKAZI wa kata ya Magamba wilayani Songwe mkoani Songwe, Kabula Kuba ambaye pia ni mjane, ameibuka katika Mkutano wa Mkuu wa mkoa...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2021CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania, (TAMWA) kinalaani tukio la Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Peter Mswahili kutuhumiwa kujihusisha na mahusiano...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2021CHUO kikuu cha Dodoma (UDOM) nchini Tanzania, kimemsimisha kazi Mhadhiri wake, Petro Bazil Mswahili ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ngono kati...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021BENKI ya NMB nchini Tanzania imevunja rekodi kwa mara nyingine kwa kupata faida ya Sh.211 bilioni baada ya kodi, ikiwa ni ongezeko...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021DAKIKA chache baada ya Aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe kumbwaga Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba katika hukumu...
By Masalu ErastoOctober 28, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa mahakama kuendelea kutoa hukumu na maamuzi ya haki kwa watu wote kwani hata vitabu vya...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021