November 29, 2021

Uhuru hauna Mipaka

IGP Sirro apangua makanda wa polisi

IGP Simon Sirro

Spread the love

 

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) wa Tanzania, Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa polisi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mikoa iliyokumbwa na pangua-pangua hiyo ni Dar es Salaam, Katavi, Manyara, Dodoma na Mwanza.

Mabadiliko hayo yametangazwa leo Jumatano, tarehe 10 Novemba 2021 na David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi akisema “uhamisho na mabadiliko haya ni ya kawaida yenye lengo la kuboresha ufanisi katika kutekeleza jukumu la kulinda maisha ya watu na mali zao.

Undani wa mabadiliko hayo; soma taarifa yote ya Kamanda Misime

error: Content is protected !!