MAJINA ya watu 18 kati ya 19 waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Jumapili asubuhi katika Ziwa Victoria...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasili mkoani Kagera kushuhudia zoezi la uokoaji wa Ndege ya Shirika la Precision Air iliyopata ajali katika Ziwa...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022WATU 19 wakiwemo abiria na wahudumu wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision Air iliyotokea asubuhi ya leo...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mabuki- Kata ya Mabuki -Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Selemani Masoud amesema kuwa Soko la...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022KAMPUNI ya ndege ya Precision imetoa taarifa ya uwepo wa mtoto mchanga mmoja miongoni mwa abiria 39 waliokuwa kwenye ndege iliyopata ajali Bukoba...
By Gabriel MushiNovember 6, 2022WATU watatu kati ya 27 waliookolewa hadi sasa wameripotiwa kupoteza maisha katika ajali ya ndege ya Kampuni ya Precision iliyotokea Bukoba mkoani Kagera....
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, amesema watu 26 wameokolewa kati ya 43 waliokuwa kwenye ndege ya Precision ambayo imepata ajali...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaasa Watanzania kuwa watulivu wakati zoezi la uokoaji linaendelea katika na ajali ya ndege namba PW 494 ya...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022KIWANDA cha Iphone cha Zhengzhou, China kimetoa ahadi ya kuhakikisha usalama kwa wafanyakazi walioamua kuondoka na wale watakaobaki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022JESHI la Polisi mkoani Kagera limetoa taarifa ya awali ya ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotokea leo tarehe 6 Novemba, 2022...
By Mwandishi WetuNovember 6, 2022NDEGE ya kampuni ya Precision kutoka Tanzania, iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam, kuelekea Bukoba, imepata hitilafu na kulazimika kutua majini mjini...
By Saed KubeneaNovember 6, 2022KATIKA kuhamasisha Watanzania kuachana na nishati chafu ya kupikia na kuhamia kwenye nishati safi, Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwa mwaka huu...
By Gabriel MushiNovember 4, 2022SHIRIKA la Uzashaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa SUMAJKT imekabidhi jozi 500 za viatu vya wanafunzi kwa ajili ya kusaidia kampeni...
By Faki SosiNovember 4, 2022SHIRIKA Maalum la Serikali ya Jamhuri ya Korea (KOICA) na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), yanatarajia kutoa dola za Marekani...
By Seleman MsuyaNovember 3, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema uwepo wa upepo unaobadilisha mwelekeo mara kwa mara ni miongoni mwa changamoto za kukabiliana na...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022BUNGE la Tanzania limepitisha marekebisho ya Sheria ya Madini Sura ya 123 ili kuongeza leseni ndogo ya uchenjuaji wa madini katika orodha...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), unatarajia kuvuka lengo la kutoa huduma ya maji vijijini kwa asilimia 85 ifikapo...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2022JESHI la Polisi mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama, limewakamata raia 27 wa Ethiopia kwa madai ya kuingia nchini kinyume...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2022MAMLAKA ya hali ya Hewa Tanzania (TMA), inesema katika utelekezaji wa majukumu yake katika mwaka wa fedha 2021/22 wamepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kuongezeka...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2022BENKI ya Exim Tanzania imezindua kampeni maalum inayolenga kuwashawishi wateja wake wanaomiliki kadi za MasterCard kufanya miamala zaidi kwa kutumia kadi hizo badala...
By Gabriel MushiNovember 1, 2022MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini ambapo...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameishauri Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuja na mipango endelevu ya kutumia mabonde...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaagiza wakuu wa mikoa ya Dar es Salaam, Amos Makala; Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC ) imetangaza utoaji wa hati fungani ya miaka mitano inayofahamika kama NBC Twiga bond, yenye thamani...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan mesema kuanzia bajeti ijayo Serikali itatenga fedha nzuri kuanzia mfuko wa nishati safi ya kupikia lengo likiwa ni...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza kuanzishwe kikosi kazi ambacho kitashughulikia nishati safi ya kupikia kitakachotoa mapendekezo pamoja na dira ya miaka 10...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo Jumanne ametangaza kwamba leo usiku lita milioni 70 za maji zitaingizwa katika...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2022MCHAKATO wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta ya habari nchini, umetajwa kuirudisha heshima ya Tanzania kimataifa, katika masuala ya ulinzi wa uhuru wa...
By Regina MkondeOctober 31, 2022WINIFRIDA Wambura, na watoto wawili, wamenusurika kufariki dunia baada ya mkwe wake, Naim Byabato, kuchoma moto nyumba kwa sababu ya wivu wa...
By Regina MkondeOctober 30, 2022MSIMU wa nne wa kampeni ya NMB MastaBata tayari umeanza baada ya promosheni hiyo ya kuchagiza malipo kidijitali kuzinduliwa Mbeya huku sehemu ya...
By Gabriel MushiOctober 30, 2022MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Buruhani Nyenzi ameipongeza TMA kwa kutekeleza Mkataba waBaraza kwa kuhakikisha wajumbe wa Baraza wanakutana mara...
By Mwandishi WetuOctober 29, 2022WAKATI mjadala wa uhaba wa maji nchini ukiendelea kushika kasi Chama cha ACT-Wazalendo kimesema Tanzania haipaswi kukumbwa na changamoto hiyo kwa kuwa kuna...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amezindua tawi jipya la Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) lililopo eneo la Kibada...
By Gabriel MushiOctober 29, 2022MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema mchakato wa marekebisho ya sheria za habari unakwenda vizuri na kwamba hivi karibuni Waziri wa...
By Regina MkondeOctober 28, 2022BENKI ya NMB imekuwa mstari wa mbele kwa ubunifu katika sekta ya TEHAMA kwa kutoa masuluhisho mbalimbali kwa wateja wake wa nyanja zote. NMB...
By Gabriel MushiOctober 28, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameruhusu Magari kuanza kutumia daraja jipya la wami kufuatia Ujenzi wake kukamilika kwa asilimia...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Ukombuzi wa Umma (Chauuma), Hashimu Rungwe amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuzifuta sheria zote kandamizi kwa vyombo vya...
By Faki SosiOctober 27, 2022KAMPUNI ya simu za Mkononi ya Vodacom imezindua huduma ya Vodacom M-Pesa inayoitwa “Dunia Kijiji, Afrika ni M-Pesa” ambayo inawawezesha Watanzania kutuma...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022SERIKALI ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Sh bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022OFISI ya Msajili wa Hazina imekusanya zaidi ya Shilingi bilioni 852.98 ikiwa ni mapato yasiyokuwa na kodi kutoka katika mashirika mbalimbali ambayo yanasimamiwa...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022UTAFITI mpya umeonesha kuwa matumizi fanisi ya huduma za fedha za simu za mkononi yana mchango wa moja kwa moja katika ukuaji wa...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2022BODI ya maji Bonde la Wami Ruvu katika kulinda vyanzo vya maji imelazimika kusitisha vibali 12 vya watumiaji maji mkoani Morogoro ili kupunguza...
By Christina HauleOctober 27, 2022HOSPITALI ya Benjamini Mkapa iliyopo Jijini Dodoma imeokoa kiasi cha Sh. bilioni 3.881 tangu ilipoanza kutoa huduma ya upandikizaji wa figo, upanuaji wa...
By Gabriel MushiOctober 27, 2022UTAFITI wa Benki ya Stanbic umebaini kuwa mradi wa kuchakata gesi asilia (LNG) uliofufuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan utaingiza zaidi ya dola...
By Gabriel MushiOctober 26, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa Msimu wa Mvua za Mwaka unaotarajiwa kuanza mwezi Novemba 2022 na kumalizika Aprili...
By Masalu ErastoOctober 26, 2022KUANZIA Novemba Mosi, 2022 utekelezaji wa ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwarejeshea michango yao wale wote waliofukuzwa kazi kwasababu ya...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewataka wadau wa habari nchini kupambana ili kubadili sheria za habari nchini huku akieleza...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imeuamrisha upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayowakabili baadhi ya madiwani wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2022KATIBU Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema vyombo vya habari vikiwa huru vinaisaidia Serikali...
By Faki SosiOctober 25, 2022