Monthly Archives: September 2020

Takukuru yaonya wanaowarubuni wapiga kura

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania yatoa onyo kwa watu wanaowarubuni waliojiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020 kuacha mara moja. Anaripoti ...

Read More »

Pitso Mosimane aibwaga Mamelodi, atimkia Al Ahly

ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya Mamelody Sundown inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini Pitso Mosimane ameachana na klabu hiyo hii leo 30 Octoba 2020 na kutimkia kwa vigogo wa ...

Read More »

‘Lissu ndiye amiri jeshi mkuu ajaye’

SALUM Mwalimu, mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ndiye amir jeshi mkuu ajaye. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea).  Amesema, Lissu kwenye uchaguzi ...

Read More »

Afisa TRA mbaroni tuhuma ya rushwa milioni 8

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemkamata Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mary Moyo kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh.8 milioni kutoka kwa ...

Read More »

JPM ‘amchana’ Sugu kiaina

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema, Jimbo la Mbeya Mjini halikuwa na msemaji na ndio maana alimteua Dk. Ackson Tulia kuwa ‘mbunge wake’. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Kuiona Taifa Stars kama Simba

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza viingilio katika mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ dhidi ya Burundi ambapo kiingilio cha chini kitakuwa ...

Read More »

Kuitwa NEC: Lissu aweka mgomo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa hoja mbili za ‘kutojipeleka’ mbele ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). ...

Read More »

Lissu aijibu NEC ‘ngoma hii hawaiwezi’

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameeleza kupuuza kauli iliyotolewa na Dk. Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Anaripoti ...

Read More »

Milioni 32 zanunua gari la wagonjwa Bukoli-Geita

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Rafiki Surgical Mission kutoka nchini Australia wametoa msaada wa gari la wagonjwa lenye gharama ya Sh.32 milioni kuhudumia wagonjwa katika ...

Read More »

Milioni moja wafariki dunia kwa corona

WAGONJWA milioni moja duniani wamefariki kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumanne tarehe 29 Septemba 2020, waliopona kutokana na ugonjwa huo ni ...

Read More »

Lema, Gambo wakutana mgahawani

WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika mgahawa wa Safari Bistro jijini humo. Anaripoti ...

Read More »

Rais Magufuli ateua bosi Tawiri

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Eblate Ernest Mjingo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Lissu aijia juu NEC, asema ‘siendi Dodoma’

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokraisa na Maendeleo (Chadema) amesema, kesho Jumanne tarehe 29 Septemba 2020 hatokwenda mbele ya Kamati ya Maadili ya Tume ya Taifa ...

Read More »

Stars kujipima dhidi ya Burundi Oktoba 11

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa stars’ inatarajia kushuka dimbani octobar 11, 2020 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yabTaifa ya Burundi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Yanga yalaani kufanyiwa vurugu mashabiki wa Simba

KLABU ya soka ya Yanga imelaani vikali kitendo cha mashabiki wao kuwafanyia vurugu mashabiki wa klabu ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa uliochezwa kwenye ...

Read More »

Bosi NEC amvaa Lissu ‘Watanzania hawataki bla bla’

DAKTARI Wilson Mahera, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, ameonesha kukasirishwa na kile alichoita wanasiasa kudanganya na kutoa tuhuma badala ya kunadi sera za elimu, ...

Read More »

Bodi ya Ligi yaupiga ‘Stop’ Uwanja wa Jamhuri

MARA baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, Bodi ya Ligi imepiga marufuku kutumika kwa Uwanja wa Jamhuri uliopo mkoani ...

Read More »

Lissu aingia matatani, aitwa NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imemuita Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema katika kikao cha kamati ya kitaifa ya maadili tarehe 29 Septemba 2020. Anaripoti ...

Read More »

Lissu: …yaani hata sijui

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema watu wanaofurika kwenye mikutano yake ya kampeni za urais, hajui kama ni wapiga kura. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Bwege: Msiichague CCM hali mbaya

SULEMAN Bungara Maarufu Bwege, Mgombea Ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kwenye jimbo la Kilwa Kusini, amewataka wananchi wa jimbo la Kinondoni kutokukipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM),  kwa kuwa chama ...

Read More »

Kubenea: Sitanii, hili nitafanya Kinondoni

SAED Kubenea, mgombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam mesema miongoni mwa mambo ambayo atayasimamaia hadi kufanikiwa kwake ni suala la kutoa mikopo kwa vijana pamoja na ...

Read More »

Sheikh Katimba: 28 Oktoba fursa wapinzani kupumua

SHEIKH Rajab Katimba kutoka Taasisi ya na Jumuiya za Kiislamu Tanzania amesema, Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020 utumike kama fursa ya upinzani nchini humo kupumua. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

ACT-Wazalendo yawatumia salamu watakaoiba kura

MWENYEKITI wa Ngome ya Wazee ya ACT-Wazalendo, Yassin  Mohammed amesema, mwenyezi Mungu atawaadhibu watakaoshiriki wizi wa kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). ...

Read More »

Polisi: Tunawashikilia maofisa watatu ACT-Wazalendo

POLISI Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia maofisa watatu wa chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo katika kituo cha polisi Osterbay. Anaripoti Regina Mkonde, Kinondoni … (endelea). ...

Read More »

Maharagande ajinadi kwa ahadi saba Segerea

MGOMBEA Ubunge Segerea jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Mbarala Maharagande, ametaja vipaumbele saba ambavyo atavitekeleza pindi atakapochaguliwa na kuwa mbunge. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Maharagande ...

Read More »

Mbowe amwelezea Lissu anavyowachanganya CCM

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema amesema, mwitikio wa wananchi katika mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Tundu Lissu umewafanya ...

Read More »

Simba yaendeleza vipigo, Azam yapaa kileleni

MABIGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vidacom Tanzania Bara 2020/21, Simba imeendelea kutoa vipigo baada ya kuofunga Gwambina FC 3-0. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Simba imeibuka ...

Read More »

Bwege: Nitashangaa mkimchagua Magufuli, amkumbuka Kikwete

SELEMAN Bungara maarufu ‘Bwege,’ Mgombea Ubunge Kilwa Kusini kupitia ACT-Wazalendo, amesema, kama Watanzania watamchagua tena Dk. John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, ...

Read More »

Lissu aahidi neema wanafunzi elimu ya juu

MGOMBEA Urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu amesema, akichaguliwa kuwa Rais wan chi hiyo ataondoa ubaguzi wa utoaji mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu na kupunguza riba wanayolipa ...

Read More »

Kubenea aanza safari ya kukabiliana na Tarimba

MGOMBEA ubunge katika jimbo la Kinondoni, kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea, amepanga kufungua kampeni zake za kuwani nafasi hiyo, kesho Jumapili, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, Kinondoni ...

Read More »

Lissu anavyojitofautisha na Lowassa, Dk. Slaa

TUNDU Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, chama hicho kina mikakati ya ushindi ya kutosha ...

Read More »

Kubenea amchongea Tarimba kwa wanakinondoni

SAED Kubenea, mgombea Ubunge Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia ACT-Wazalendo, amemchomgea Abbas Tarimba, mgombea ubunge jimbo hilo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wananchi ili wasimchague. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Nyamapori kuanza kuuzwa buchani, TAWA wapunguza bei

WIZARA ya Maliasili na Utalii imepunguza bei za wanyama wa mbegu kwa asilimia 90 ili wananchi waweze kumudu gharama za ufugaji wanyamapori katika mashamba, ranchi na bustani za wanyamapori na ...

Read More »

Lissu: 28 Oktoba siku ya ukombozi, tutashinda kwa kimbunga

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatano tarehe 28 Oktoba 2020 kupiga kura za mafuriko ili kumwezesha kushinda ...

Read More »

Sakata la Fatma Karume lamuibua Kijo-Bisimba

HELLEN Kijo-Bisimba, Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), amewashauri wadau wa Tasnia ya Sheria kupaza sauti zao juu ya tukio la Fatma Karume ...

Read More »

Samatta: Nawashukuru Aston Villa, nimetimiza ndoto zangu

NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta ameishukuru timu ya Aston Villa kwa kumwezesha kutimiza ndoto zake za kucheza LIgi Kuu ya Uingereza (EPL). Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Polepole: Vitambulisho vya machinga havitafutwa

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), nchini Tanzania amesema, Serikali ya chama hicho haitaviondoa vitambulisho vya mjasiriamali ‘machinga’ kwa kuwa vinatija kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mbwana Samatta ajiunga Fenerbahce ya Uturuki

NAHODHA wa timu ya soka la Tanzania ‘Taifa stars’ Mbwana Samatta amejiunga na Fenerbahce ya Uturuki kwa mkataba wa miaka minne kutoka Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Anaripoti ...

Read More »

Majaliwa: Kiti cha urais siyo mchezo

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa amesema kiti cha urais siyo cha mchezo, kinahitaji mtu makini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kwimba … (endelea). “Uongozi wa nchi ...

Read More »

Vyama, wagombea waonywa kutofanya haya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania imebainisha mambo mbalimbali ambayo hayapaswi kufanywa na vyama vya siasa na wagombea katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe 28 Oktoba ...

Read More »

Magufuli apeleka neema Ukerewe

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amepandisha hadhi kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe jijini Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali ya wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Ukerewe … ...

Read More »

Lowassa amchokonoa Lissu

KITENDO cha Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania, kupitia Chadema, kuonekana kwenye televisheni na kuzunguka majimboni wakati wa kampeni zake, kimebezwa na Edward Lowassa, aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho ...

Read More »

Lissu: Wataiba kura zangu

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai ushindi wake ukiwa mwembamba, ‘utapinduliwa.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Muleba … (endelea). Amesema, kukabiliana na hilo, amewataka ...

Read More »

Wanachama, viongozi 28 ACT-Wazalendo  Z’bar mbaroni

VIONGOZI na wanachama 28 wa Chama cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Zanzibar wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujeruhi na kuwafanyia fujo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi ...

Read More »

Fatma Karume: Sijazaliwa mahakamani

FATMA Karume, mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Tanzania amesema, hajazaliwa kwa ajili ya kufanya kazi mahakamani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Fatma ametoa kauli hiyo leo ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: DC Dodoma awapa ujumbe wanawake

WANAWAKE wametakiwa kusaidiana katika mchakato unaoendelea wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika Jumatano tarehe 23 Septemba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Pia, viongozi wa dini nchini humo, wameombwa ...

Read More »

Fatma Karume ang’olewa TLS, asema…

KAMATI ya Maadili ya Mawakili Tanganyika imemkuta na hatia, Fatma Karume ya kukiuka maadili ya uwakili hivyo kuamlu jina lake (namba 848) kuondolewa katika orodha ya mawakili wa Chama cha ...

Read More »

TASUWORI kuunganisha vijana 300

SHIRIKA la linalojishughulisha na Kulinda na Kutetea Haki za Wanawake Tanzania (TASUWORI), limeeleza kuwa tayari kuunganisha vijana 300 kutoka kwenye vikundi tisa vinavyofanya shughuli za kiuchumi wilayani Gairo, Morogoro.  Anaripoti ...

Read More »

Lissu: Nitabadili mfumo

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, ameahidi kubadili mfumo wa kibiashara ili kuwaneemesha wananchi waliopo mipakani kiuchumi na kibiashara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Karagwe ...

Read More »

RC Dar aahidi neema kwa walimu

ABOUBAKAR Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), amewahakikishia walimu kuwa Serikali inaendelea kulipa malimbikizo yote wanayodai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Pia, ameonya walimu ...

Read More »
error: Content is protected !!