Monthly Archives: May 2019

Polisi hawapaswi kumpiga mtuhumiwa

BUNGE limeelezwa kuwa, polisi hatakiwi hatakiwi kumpiga au kumtesa mtuhumiwa wa makosa mbalimbali, wakati akiwa mikononi mwake au kwenye Kituo cha Polisi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hamadi Masauni, Naibu ...

Read More »

Ujerumani, JWTZ waongeza muda wa mkataba

SERIKALI ya Ujerumani imeongeza muda wa mkataba wa ushirikiano wake na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika masuala mbalimbali ya kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Anaripoti Regina ...

Read More »

Mradi wa maji kumaliza tatizo la wananchi kuchangia maji na wanyama

WAKATI zaidi ya 16, 000 wa vijiji vya Nyansenga, Kawekamo na Nyampande, Sengerema mkoani Mwanza wamesema wamekuwa wakiamka usiku wa manane kwenda kutafuta maji mabondeni na kwenye visima, maji ambayo ...

Read More »

Chadema: Mdude amejeruhiwa kichwani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza maendeleo ya afya ya mwanachama wake Mdude Nyagali, amejeruhiwa kichwani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kwa sasa, Mdude amelazwa kwenye Hospitali ya Rufaa ...

Read More »

Makonda abanwa mbavu madhabahuni

KAULI ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba, hakuwahi kutegemea kuona Mchaga angeweza kutoa msaada kwa walemavu na kwamba, ni jambo la kushangaza, imekera wengi. Anaripoti Kelvin ...

Read More »

Askofu Shoo akemea ubaguzi nchini

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo, amekemea tabia ya baadhi ya viongozi, kupandikiza chuki za ubaguzi wa kikabila. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Kilimanjaro … ...

Read More »

Waziri asikia kilio cha Mch. Msigwa

KAULI ya Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwamba, ni marufuku madaktari, wakunga na wauguzi nchini kufukuzwa ama kusimamishwa ovyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Mshtuko! Mdude wa Chadema apatikana akiwa hoi

MWANAHARAKATI na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amepatikana akiwa hoi baada ya kutupwa kwenye Kijiji cha Mkwenje, Kata ya Inyala jijini Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu ...

Read More »

Dk. Mengi avunja rekodi ya mapokezi nchini

MAELFU ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro na mkoa jirani wa Arusha, wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Limited, Dk. Reginald Abraham Mengi. ...

Read More »

TADB Benki yatuhumiwa kupendelea wake wa vigogo

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imedaiwa kutoa mikopo kwa kupendelea zaidi wake wa vigogo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akiuliza swali bungeni leo tarehe 8 Mei 2019, Goodluck Mlinga, ...

Read More »

Maalim Seif: Wamepanga kunikamata 

MAALIM Seif Shariff Hamad, mwanachama namba moja wa Chama cha ACT-Wazalendo amedai kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Jeshi la Polisi wamepanga kumkamata kabla ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Jabir Idrissa, ...

Read More »

Mch. Gwajima: Hii ni vita, nainua makombora

ASKOFU Josephat Gwajima, Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini amesema, kusambazwa kwa video ya ngono inayodaiwa kuwa yake, ni vita kwake na sasa anainua makombora. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). ...

Read More »

DCI, Jeshi la Polisi lachunguza video inayodaiwa ya Mch. Gwajima

JESHI la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza uchunguzi wa video ya ngono, inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii inayodaiwa kuwa ni ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na ...

Read More »

Mbunge Msigwa amshitaki RC Hapi kwa waziri

MBUNGE wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) amemshitaki Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Anaripoti Danson ...

Read More »

Mwili wa Dk. Mengi watua Kilimanjaro

MWILI wa Dk. Reginald Mengi, aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni zilizo chini ya IPP Group, tayari umewasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Anaripoti Hamisi Mguta, Kilimanjaro … (endelea). Viongozi mbalimbali ...

Read More »

Rais Magufuli, Alhaj Mwinyi, Makinda wamuaga Dk. Mengi

RAIS John Magufuli ameongoza mamia ya Watanzania ikiwemo viongozi wa serikali, wanasiasa na wafanyabiashara kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni zilizo chini ya IPP Group, Dk. Reginald Mengi. Anaripoti ...

Read More »

Bila ya Mzee Mengi labda ningekuwa kipofu – Kubenea

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea amesema, hatosahau msaada wa hali na mali aliopata kutoka kwa Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi, alipomwagiwa tindikali mwaka 2008 na watu wasiojulikana. Anaripoti Regina Mkonde ...

Read More »

Lukuvi ateua wenyeviti 20 wa mabaraza ya ardhi

WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewateua wenyeviti 20 wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa kipindi cha miaka mitatu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Polepole: Watu mashuhuri wanaokufa ni wa CCM

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikati na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema, watu wengi mashuhuri wanaokufa huwa wanachama wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akitoa salamu za ...

Read More »

Kuagwa Mengi: Viongozi wa dini watoa ujumbe maalum

VIONGOZI mbalimbali wa dini nchini, wametoa ujumbe maalum wa amani, upendo na umoja wakati wa ibada ya kuagwa Dk.  Reginald Abraham Mengi katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Anaripoti ...

Read More »

Maelfu wajitokeza kumlaki Dk. Mengi

MAELFU ya watu jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kuupokea mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa kampuni ya Industrial Projects Promotion (IPP Limited), Dk. Reginald Abraham Mengi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Mwili ...

Read More »

Bunge laagiza Mdude wa Chadema atafutwe

SAKATA la kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagawa limetua bungeni ambapo sasa, Bunge limetaka maelezo kujua alipo. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Bunge limeiagiza serikali kufuatilia taarifa za kada ...

Read More »

Chadema: Tumemshtukia JPM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia ujanga unaotaka kufanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).  Akizungmza na wandishi wa ...

Read More »

Waziri atetea mbinu ya trafiki kujificha

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema, mbinu ya askari wa usalama barabarani (Trafiki) kujificha kwa ajili ya kubaini madereva wanaovunja sheria za usalama barabarani, ...

Read More »

Zitto, Nape, Polepole wafika na ujumbe msibani kwa Dk. Mengi

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, wamekutana nyumbani kwa Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi na kutoa salamu za rambirambi za vyama ...

Read More »

Buguruni, Ilala, Kinondoni, Mwenge kushuhudia mwili wa Dk. Mengi

MWILI wa Dk. Reginald Abraham Mengi, aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni zilizo chini ya IPP Group, unatarajiwa kuletwa leo saa 8:30 mchana. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Usalama umeimarishwa katika ...

Read More »

Kifo cha Mengi: Rais Kikwete astaajabu

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amestaajabu uzushi unaosambazwa mitandaoni kuhusu kifo cha Dk. Reginald Mengi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Dk. Kikwete ambaye aliongoza nchi hii kuanzia 2005 hadi 2015, ameeleza kushtuwa na ...

Read More »

Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Bil 330

SERIKALI ya Tanzania imepewa msaada wa zaidi ya Sh. 330 bilioni na Serikali ya Ujerumani. Ni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji safi na salama na kilimo cha ...

Read More »

Waislam watoa pole kifo cha Dk. Mengi

BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limetoa pole kwa familia ya Dk. Reginald Abraham Mengi kutokana na kifo cha Mzee Mengi, kilichotokea Dubai, Falme za Kiarabu tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Vituko Bunge la Spika Ndugai

STAILI ya kutishia kuvua nguo iwapo jambo fulani lisipotendwa ama kuthibiti, imeanza kupata umaarufu ndani ya Bunge la Jamhuri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Kwa mara nyingine tena, Richard Mbogo, Mbunge ...

Read More »

Msukuma: Nagu umetumwa?

PENDEKEZO la wabunge kutaka kuwabebesha mzigo wananchi kwa kuongeza Sh. 50 kwa kila lita ya mafuta ya petroli na dizeli, limesababisha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushutumiana. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wanasiasa, wasanii waomboleza kifo cha Dk. Mengi

MAMIA ya waombelezaji wameendelea kumiminika nyumbani kwa Dk. Reginald Mengi Hananasif, Kinondoni, jijini Dar es Salaam kutoa salamu za pole huku wakimuelezea marehemu kuwa aligusa mioyo ya watu wengi. Ananripoti ...

Read More »

TEF yatoa rai kwa serikali

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeishauri serikali kuunda chombo maalumu, kitakachofanya kazi ya kutoa mwongozo kwa wanahabari na vyombo vya dola, juu ya kuripoti masuala ya uchaguzi. Anaripoti Bupe Mwakiteleko ...

Read More »

Wasomi wananiangusha – Rais Magufuli

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na wasomi anaowateua kwenye nafasi mbalimbali kwamba, wengi wao wanamwangusha. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo tarehe 3 Mei 2019, ...

Read More »

Ngono vyuoni: Rais Magufuli afura

VITENDO vinavyoashiria ngono katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), vimemchefua Rais John Magufuli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Akizungumza katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ...

Read More »

Mwili wa Dk. Mengi kuwasili Jumatatu, kuzikwa Alhamisi

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, unatarajiwa kuwasili nchini Jumatatu wiki ijayo, kutoka Dubai,  Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE). Anaripoti Faki Sosi … (endelea). ...

Read More »

Wanaume mnaonyanyaswa jitokezeni – Serikali

SERIKALI imewataka wanaume wanaonyanyaswa kijinsia na wake zao, kutoa taarifa kwenye madawati ya kijinsia. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 3 Mei 2019 na Faustine ...

Read More »

Kilio kingine, Wakili atoweka pasipojulikana

KILIO kimeibuka kwenye familia ya Wakili Maneno Mbunda, Mwanasheria wa Hifadhi ya Wanyama ya Arusha kwa kudaiwa kukamatwa na watu wasiojulikana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Wakili Mbunda alitoewaka siku ...

Read More »

Mbunge Chadema aiwakia serikali

HATUA ya serikali kuahidi miradi mikubwa na kisha kuitekeleza, imemkera Gimbi Masaba, Mbunge wa Viti Maalum (Chadema). Anaripoti Dandoson Kaijage, Dodoma … (endelea). Masaba ameitaka serikali kueleza ni kwanini imekuwa ikipanga kutekeleza ...

Read More »

Matukio uvunjifu wa haki kukusanywa kidigitali

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimezindua mfumo wa kidigitali wa kukusanya taarifa za matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizindua mfumo ...

Read More »

Spika Ndugai amwaga ‘wasifu’ wa Dk. Mengi

BAADHI ya mambo yaliyofanywa na Marehemu Dk. Reginald Abraham Mengi ambayo hayajulikani kwa ukubwa wake, yameelezwa na Job Ndugai, Spika wa Bunge. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Leo tarehe 3 ...

Read More »

Dk. Magufuli: Sikustahili urais

RAIS John Magufuli amesema kuwa, hakustahili kuwa Rais wa Tanzania bali Watanzania wenyewe ndio waliomchagua. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Amesema, wananchi wa Mbarali mkoani Mbeya na maeneo mengine ya ...

Read More »

Ratiba ya Msiba wa Dk. Mengi kesho, Makonda, Rungwe watoa neno

RATIBA ya Msiba wa Reginald Mengi, Mkurugenzi wa Kampuni  za IPP zitafahamika kesho saa saba mchana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Akizungumza na Waandishi wa Habari nyumbani kwa marehemu, Michael ...

Read More »

TARURA yajipa jukumu kutafutia kazi watoza ushuru magari

WAKALA wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Mwanza, umewataka wakusanya ushuru wa maegesho ya magari waliokosa nafasi za kazi kujiunga katika vikundi vidogo vidogo ili kunufaika. Anaripoti Moses ...

Read More »

Mbowe: Msiba wa Dk. Mengi hasara kwa Taifa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa  amesema kuwa, msiba wa Dk. Reginald Abraham Mengi ni msiba kwa taifa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Dk. Mengi ambaye ni mwenyekiti ...

Read More »

Kanisa Katoliki Sri Lanka lasitisha ibada

KANISA Katoliki nchini Sri Lanka limesitisha ibada zake kwa maelezo ya kujihami na shambulio la kigaidi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Hatua hiyo imekuja baada ya serikali ya nchi hiyo ...

Read More »

Waziri ampinga Mbunge CCM

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni amesema, hakuna utaratibu wa askari polisi kutoa fedha zao mfukoni kwa ajili ya chakula cha mahabusu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Magufuli, Nape, Kibanda wamlilia Reginald Mengi

KIFO cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Dk. Reginald Mengi klilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019, kimeshtua wengi ikiwemo Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Watu ...

Read More »

BREAKING NEWS: Reginald Mengi afariki dunia

REGINALD Mengi, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP na mfanyabiashara mkubwa nchini, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 2 Mei 2019. Anaripoti Bupe Mwakiteleko … (endelea). Taarifa za awali zinaeleza ...

Read More »

Mei Mosi: Zitto apasuka

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo amepinga sababu zilizotolewa na Rais John Magufuli za kutopandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa miaka minne mfululizo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram