RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga katika kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa mapendekezo namna ya kuboresha mkataba wa ushirkiano wa kiserikali (IGA), kati ya Serikali ya Tanzania na Imarati ya Dubai,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023ZAIDI ya waendesha bodaboda 250 mkoani Dar es Salaam wamenufaika na mafunzo ya usalama barabarani yalioandaliwa na kutolewa na Kampuni ya BetPawa kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023JE, umewahi kutembelea mji mkuu wa tamaduni za kasino, Las Vegas? Ikiwa hujawahi, sasa hii ndio fursa kamili kwako! Karibu mahali...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023MWENYEKITI wa Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameishukuru serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wazawa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023VIJANA wametakiwa kushirikiana katika kuleta uhuru wa kiuchumi, ili kuondoa changamoto ya ugumu wa maisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wito...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023KANISA Katoliki la Mt. Bernadetha wa Lurdi, lilioko Parokia ya Nyakati Buzirayombo, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, limefungwa kwa muda wa siku 30, kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023KATIKA kukimarisha afya ya akili na mwili kwa wanafunzi shule ya Awali na Msingi ya East Africa iliyoko Kikuyu jijini Dodoma, imeanzisha somo...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023MKUU wa wilaya ya Kisarawe, Fatuma Almas Nyangasa amesema amefarijika na kasi ya uongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Pwani...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023MCHEZO wa kasino mtandaoni wenye nguvu wa Hot Spin Deluxe kutoka kwa watoa huduma wa iSoftBet unakuleta ulimwengu wa kipekee wa bonasi...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo tarehe 2 Septemba 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu zilizopo...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2023HAKUNA kujiuliza tena wala kuumiza kichwa tena utapata wapi mkwanja na kumaliza wikiendi yake kibabe ni hivi Meridianbet ndio sehemu pekee unaweza...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemvua hadhi ya Ubalozi Dk. Wilbroad Slaa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2023. Dk. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetumia kiasi cha Sh 5.9 bilioni kununua viuadudu katika ngazi ya Halmashauri ndani ya kipindi cha mwaka 2017...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023SERIKALI imesema wastaafu wote wameboreshewa pensheni zao za kila mwezi, ambapo kiwango cha chini kwa sasa ni Sh 100,000. Anaripoti Maryam Mudhihiri…(endelea) Kauli...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023HAPA tena Meridianbet kasino ya mtandaoni tunakuletea mchezo wa namba wenye bonasi kubwa na rahisi kucheza, mchezo wa keno ni moja ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023BENKI ya NMB imemuahidi Samia Suluhu Hassan kwamba itaendelea kuwa mdau kinara wa Serikali yake katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh90 milioni kwa Timu ya Bunge huku wakisisitiza umuhimu wa ushirikiano. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kufurahishwa na uchapakazi wa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ambaye sasa amehamishiwa katika Wizara ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023MKUU wa wilaya ya Kisarawe, Fatuma Almas Nyangasa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kituo cha michezo wilaya ya Kisarawe kesho smptemba...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri aliyoyafanya hivi karibuni, si adhabu bali yanalenga kuimarisha maendeleo ya nchi....
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka mawaziri na manaibu mawaziri walioteuliwa hivi karibuni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuyafanyia tathmini maeneo ya ilani...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametembelea ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo Mkoa wa Kusini Unguja kinachojengwa na Serikali kwa kushirikiana na...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023Mabegi, mifuko pamoja na masanduku yaliyojazwa fedha za nchi mbalimbali yamekutwa ndani ya nyumba ya Yann Ngulu mtoto mkubwa wa Rais Ali Bongo...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema vyama vya siasa vinampongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa namna anavyoongoza...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi washiriki katika zoezi la kutoa maoni kwa ajili ya maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman yeye pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wako tayari kushirikiana na wawekezaji, Serikali...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MBUNGE wa Kisesa, ameihoji Serikali sababu za Dola za Marekani kuadimika nchini, wakati ikijinasibu kwamba kuna ongezeko la uwekezaji, utalii na mauzo ya...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan jana Jumatano amezindua Tawi la Benki ya NMB Paje, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar, uzinduzi unaoendelea kupanua...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023VIONGOZI wa kijeshi waliochukua madaraka nchini Gabon wamemtangaza mkuu wa kitengo cha walinzi wa rais, Brice Clotaire Oligui Nguema, kama kiongozi wa mpito...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Kampuni ya Camel Oil kwa kufadhili ujenzi wa mradi wa kituo cha michezo cha kufurahisha watoto kuanzia miaka...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023ZAIDI ya watu 70 wanahofiwa kufa baada ya kuungua kwa ajali ya moto katika jengo la ghorofa tano ambalo linatumiwa na watu wasio...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023pPAMOJA na jitihada za Rais wa Kenya William Ruto za kudhibiti kiwango cha deni la taifa hilo lakini inaripotiwa madeni kufika rekodi za...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwamo Naibu Waziri David Silinde ambaye amehamishwa kutoka Wizara ya Mifugo...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kutumia mbinu za kisayansi kudhibiti uvamizi wa wanyamapori katika maeneo wanaoyoishi wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023NAIBU Waziri wa Fedha, Hamadi Chande amesema serikali inatarajia kuja na mpango wa kuwezesha wafanyabiashara wa Tanzania na China kutumia sarafu ya Tanzania...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023Serikali imesema ipo mbioni kukamilisha taratibu za kuutangaza zabuni ya kufufua kiwanda cha kutengeneza matairi cha General tyre kilichopo mkoani Arusha ifikapo Oktoba,...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023SERIKALI imewaonya watu wanaosambaza mitandaoni picha na video za wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, ikisema itawashtaki kama hawataacha mara moja. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kuzuia wabunge kujadili bungeni sakata la mkataba wa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto ametoa onyo kwa walanguzi wa biashara ya sukari nchini humo ambao wanazuia mchakato wa kutaka kufufuliwa kwa kampuni...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023BUNGE limegoma kufanyia kazi muswada uliowasilishwa na Serikali kwa ajili ya kurekebisha sheria zinazosimamia rasilimali na maliasili za nchi, uliolenga kuwezesha uwekezaji bandarini,...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023WABUNGE leo Jumanne wameitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya Sheria hifadhi ya jamii ya mwaka 2017 ili iruhusu wastaafu kulipwa kwa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imetoa maelekezo tisa yanayopaswa kufuatwa vyuo vya elimu ya juu na waombaji wapya katika mchakato wa udahili...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023HATIMAYE Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange leo Jumanne amerejea bungeni na kuendelea...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Maandalizi Tasani, iliyopo Shehia ya Tasani, Makunduchi – Zanzibar inayojengwa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Buruhani Nyenzi amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023KESI dhidi ya rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kutokana na madai ya kujaribu kuingilia matokeo ya uchaguzi wa rais wa 2020...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023RAIA wa China aliyekamatwa kwa kosa la kusambaza sigara zenye chapa ya kichina huko Colombo Sri Lanka amehukumiwa kulipa faini ya Rupia Milioni...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA, Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo wamebandika stika maalumu kwaajili ya uzinduzi rasmi wa kuhamasisha wafanyabiashara kutoa risiti pale...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kupangua Idara ya Usalama wa Taifa baada ya leo Jumatatu kumteua Balozi Ali ldi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023