Sunday , 28 April 2024
Home mwandishi
8733 Articles1244 Comments
Biashara

Mkwanja upo kwenye sloti ya kasino ya Knight Hot Spotz

  TUNAKULETA mchezo wa kasino ya mtandaoni utakaokurudisha nyuma hadi kwenye zama za kati. Wakati huu, kwa msaada wa mshujaa, unaweza kufungua bonasi...

Kimataifa

Waliofariki kwa tetemeko Morocco wafikia 2,500

IDADI vifo katika tetemeko la ardhi lilitokea usiku wa tarehe 8 Septemba 2023 katika miji kadhaa nchini Morocco, vimeongezeka kutoka 2,122 hadi 2,500....

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia airushia dongo Chadema

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kuna chama kikipewa madaraka baadhi ya viongozi wake wataunda chama kingine ili wawapinge wenzao walioko madarakani. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wanasiasa tusiburuze wananchi mchakato wa katiba mpya

RAIS Samia Suluhu Hassan amevitaka vyama vya siasa kutohodhi mchakato wa marekebisho ya katiba, akisema suala hilo si mali yao bali ni mali...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amkumbusha Samia Katiba mpya kwa maandalizi uchaguzi 2024, 2025

MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibahimu Lipumba amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ahadi yake ya kukamilisha mchakato wa katiba...

Biashara

Pata malipo mara 270 ya dau lako ukicheza PTR BlackJack

  HII ni sehemu nyingine ya mchezo ambao utafurahia sana kila uuchezavyo. Ikiwa unapenda mchezo wa blackjack kutoka Meridianbet, hutaweza kujizuia kucheza mchezo...

Biashara

Bonasi ya uaminifu ya Tsh 10,000,000/= Meridianbet kasino

NI wakati mwingine wa kufurahia bonasi kibao kutokaMeridianbet kasino ya mtandaoni, haswa kwa watejawaaminifu ambao wamekuwa na Meridianbet kila sikuambapo sasa watapatiwa mgao...

Biashara

Cheza kasino mtandaoni na ushinde mgao wa hela kutoka Meridianbet!!

  JE, Unapenda Uvuvi? Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imekuandalia safari ya kushangaza kwa ajili yako mwezi huu wa Septemba! Anaripoti Mandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe alaani ukamatwaji wa Lissu, “Tuna hofu kubwa”

MWENYEKITI wa Chadema, Freema Mbowe amelaa ukamataji, unyanyasaji, usumbufu aliodai unafanywa  na Jeshi la Polisi na vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu akamatwa Arusha

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha, ikiwa ni siku moja tangu...

Habari Mchanganyiko

Makamba akabidhiwa Ofisi, apewa zigo la diplomasia ya uchumi

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Stergomena...

Habari za SiasaTangulizi

500 kujadili ripoti ya kikosi kazi, demokrasia, hali ya siasa

ZAIDI ya watu 500 kutoka taasisi za kisiasa, dini, asasi za kiraia na wengine watakutana kwa siku tatu jijini Dar es Salaam kupokea...

Habari Mchanganyiko

Mabadiliko ya tabia ya nchi, shughuli za kibinadamu zahatarisha Bwawa la Ning’hwa

MKURUGENZI Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA), Mhandisi Yusuph Katopola, amesema jitihada kubwa zinahitajika katika kutoa elimu juu...

Michezo

Taifa Stars yatua salama, yapokelewa kwa shangwe na mashabiki

TIMU ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) imetua salama alfajiri ya leo tarehe 9 Septemba 2023 katika Uwanja wa Ndege wa...

Biashara

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

Benki ya NMB imeshika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa faida katika ukanda wa Afrika Mashariki ikiwa ni kutokana na mafanikio yake kiutendaji...

Biashara

Cary Purry Sloti mpya rahisi kushinda Meridianbet

  HUENDA umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji zawadi...

Habari Mchanganyiko

Vitambulisho vya NIDA hadi Machi 2024

SERIKALI imesema wananchi waliokwisha kuandikwa na kutambuliwa kwenye mfumo wa Kitambulisho cha Taifa, watapatiwa vitambulisho vyao ifikapo Machi 2024. Anaripoti Isaya Temu, TUDARCo…...

Biashara

Piga Pesa na Crayz Jelly Sloti ya MeridianbetKasino

  Meridianbet Kasino ya mtandaoni inakupa nafasi ya kupatapesa za kutosha wakati ambapo ukijivinjari mtandaoniukicheza Crayz Jelly, mchezo wenye nguzo 5 zeye mistari...

Habari za Siasa

Madiwani, wenyeviti wa vijiji watengewa posho bilioni 22.5

SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2023/ 2024 imetenga kiasi cha Sh 22.5 bilioni kwa ajili ya kulipa posho za madiwani na wenyeviti...

Habari za Siasa

Wastaafu 1,744 EAC walipwa bilioni moja

SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2023/24 hadi kufikia Septemba, 2023 imelipa jumla ya Sh bilioni moja wastaafu 1,744 wa iliyokuwa Jumuiya ya...

Habari za SiasaTangulizi

Uhaba wa dola, Serikali yaanza kubana matumizi

WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua ya kubana matumizi ya ndani hasa katika maeneo ya matumizi ya kawaida ili...

MichezoTangulizi

Taifa Stars yawaduwaza Mbweha wa Jangwani, watinga fainali AFCON

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeandika historia baada ya kufuza kwa mara ya tatu kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya...

Habari Mchanganyiko

Wasiojiweza waishukuru SHUWASA kuwapatia huduma ya maji bure

WATU wasiojiweza wakiwemo vikongwe, wameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga(SHUWASA), kwa kuwapatia huduma ya maji bure kila mwezi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu afufua matukio ya wasiojulikana, ambana Rais Samia

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amedai bila ya wahanga wa vitendo vya watu wasiojulikana kupatiwa haki zao, falsafa...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake wamvaa Mwigulu sheria ya manunuzi ikisubiri kupitishwa

WAKATI muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya 23, ikisubiri kupitishwa bungeni jijini Dodoma, baadhi ya wabunge wamedai bila Serikali kuweka mikakati...

Biashara

Pirates Legacy kasino ya mtandaoni yenye Jackpot kubwa

  Ni siku nyingine tena njema na bora zaidi ya kukufungulia dunia ya michongo, Leo nakupata siri kwenye mchezo wa kasino mtandaoni ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Tanzania yapigwa kumbo tuzo ya Chakula Afrika, Kikwete awaibia mbinu…

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete, amezishauri taasisi za utafiti wa kilimo nchini, kuwasilisha tafiti zao kwenye Kamati ya Tuzo ya Chakula Afrika (AFP), ili...

Biashara

Njia 40 za ushindi kwenye Jackpot Lab ya Meridianbet

  HABARI zinazopendwa na wengi ni kuhusu michezo ya kasino mtandaoni ambapo mchezaji anakutana na maajabu mengi. Mtashuhudia mchawi, vitabu vyenye uchawi na...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa ampa Biteko mfupa ulioshinda Makamba, atoa siku 7

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Naibu wake, Dotto Biteko, kutafuta muarobaini wa changamoto ya uhaba wa mafuta ndani ya siku saba. Anaripoti...

Elimu

Profesa UDSM ataka shule ziige ubunifu kwa shule za St Mary’s

MHADHIRI wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Goodluck Urassa amesema ili shule ziweze kufanya vizuri kitaaluma, walimu wanapaswa kufanya kazi yao...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Ulega: Kaya milioni 2.2 zinajihusisha na ufugaji

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema kaya milioni 2.2 nchini Tanzania zinajihusisha na sekta hiyo na kuchangia ukuaji wa uchumi. Anaripoti...

Biashara

Sloti ya Lobster Bobs Kasino ya Meridianbet inalipa zaidi

  TUNAKULETEA mchezo mwingine wa kasino mtandaoni wa Meridianbet unaofanyika chini ya maji. Wakati huu, wahusika wakuu ni kaa, na miongoni mwao, Bob...

Habari za Siasa

 Bashe aanika mikakati ya kumuinua mkulima

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema mradi wa kuchimba visima 67,500 na wa kumpatia kila mkulima hekari 2.5 za umwagiliaji bure na tenki...

Habari za Siasa

Jerry Silaa awageukia wakuu wa mikoa migogoro ya ardhi

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka wakuu wa mikoa kutekeleza maagizo yaliyotolewa na kamati ya mawaziri nane, kwa...

Habari za Siasa

Dotto Biteko afunguka uteuzi wa Rais Samia

NAIBU Waziri Mkuu, Dotto Biteko, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amempa jukumu kubwa baada ya kumteua kushika wadhifa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yabainisha mikakati ya kuwakwamua wakulima wadogo

Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea kulifadhili na kuliunga...

Elimu

Tanzania ina maprofesa 63

SERIKALI imesema hadi kufikia mwaka 2022 Tanzania ilikuwa na jumla ya maprofesa 226 kati yao 163 wakiwa ni maprofesa washiriki (Associate Professors) na...

Habari za Siasa

Makatibu wakuu SADC wakutana kujadili usalama DRC

KATIBU Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa...

Habari Mchanganyiko

Akamatwa kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu na kuiibia maji SHUWASA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, imemkamata Michael George Clement, mkazi wa Ndala Manispaa...

Biashara

Shaolin Power yatoa njia 50 za malipo katika kasino ya mtandao

  HUWAJAHI kushuhudia mambo ya ndani kwenye hekalu la Budha? Kama hujawahi, mchezo mpya wa kasino mtandaoni Shaolin Power utakupa nafasi ya kufanya...

Biashara

Fahamu kuhusu Rocket Blast kutoka kasino ya Meridianbet

  LEO tunakupa maelezo mafupi ya mchezo wa kasino mtandaoni wenye kufurahisha sana, ambao utakupatia bonasi za kasino na ushindi mwelele. Chukua nafasi...

BiasharaMichezo

Wakuu wa Majeshi Tanzania, Malawi waipongeza NMB udhamini CDF Trophy

WAKATI Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Malawi (MDF), Jenerali Jacob Mkunda na Jenerali Vicent Nundwe...

Habari za Siasa

Wakili Mwabukusi, wenzake watoa siku 30 kwa Serikali kuvunja mkataba DP World

SERIKALI ya Tanzania na Bunge, imepewa muda wa siku 30 kuuvunja mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati yake na Imarati ya Dubai, kuhusu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wananchi watakiwa kuondoka mabondeni kujiepusha na mvua za El Nino

  SERIKALI imewatahadharisha wananchi kuacha kujenga na kufanya shughuli za kijamii kwenye maeneo ya bondeni ili kuepukana na athari za mafuruko zinazoweza kutokea...

Burudika

Mr. Eazi aachia Advice ikiwa ni ujio wa albam mpya

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa ameachia...

Habari Mchanganyiko

Wabunge waibana Serikali kero ya popo Dar

WABUNGE wameitaka serikali kuondoa popo waliopo maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam ili kulinda afya za wakazi wa maeneo hayo. Anaripoti Mlelwa...

Kimataifa

Mrithi wa Ali Bongo aapishwa, aahidi kurejesha madaraka kwa raia

JENERALI Brice Nguema, aliyemng’oa madarakani Rais wa Gabon, Ali Bongo katika mapinduzi ya kijeshi  yaliyofanyika wiki iliyopita, ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa...

Habari za Siasa

Tanzania kuiunga mkobo Saudi Arabia Expo 2023

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO...

Biashara

Kasino ya Princess of Birds inavyokupa ushindi wa uhakika

  HII ni hadithi ya kasino mtandaoni yenye kuvutia ambayo itakukutanisha na mwanamfalme/Princess. Lakini, huyu sio princess wa kawaida, ni princess wa kutoka...

Biashara

Kutana na mabinti wa msituni wanaomwaga maokoto kwa Sloti ya Fairy Forest

  ILI kupata maokoto mengi tunakushauri kuanza safari fupi kwenda kwenye msitu wa kichawi kwenye sloti hii utakutana na mabinti wa msituni. Ingia...

error: Content is protected !!