Tuesday , 26 September 2023
Home Kitengo Biashara Meridianbet ndiyo sehemu ya kupiga mkwanja wikiendi hii
BiasharaMichezo

Meridianbet ndiyo sehemu ya kupiga mkwanja wikiendi hii

Spread the love

 

HAKUNA kujiuliza tena wala kuumiza kichwa tena utapata wapi mkwanja na kumaliza wikiendi yake kibabe ni hivi Meridianbet ndio sehemu pekee unaweza kumaliza wikiendi yako kifua mbele kwani ligi zinarejea na ODDS ni za kutosha muda wako wa kuchagua timu zako na kuweka ubashiri usikilizie mshindo wa kutosha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Ligi kuu ya Uingereza Kivumbi wikiendi hii kinaendelea kwani michezo mikali itaendelea kupigwa huku Meridianbet wakikuwekewa ODDS za kutosha katika kila mchezo Jumamosi pale dimba la Stamford Bridge Chelsea wataikaribisha Nottingham Forest, Man City wao watakua nyumbani pia kuwakaribisha Fulham na mchezo mwingine utapigwa pale Amex ambapo Brighton watakua nyumbani kuwaalika Newcastle United.

Epl Super Sunday siku ya Jumapili pia utapigwa mchezo mkali sana kwenye dimba la Emirates ambao ndio utatufungia wikiendi ambapo Arsenal wataikaribisha Manchester United ambayo imetoka kushinda wikiendi iliyomalizika mchezo unaotarajiwa kua mkali sana  na Meridianbet hawajakuacha nyuma umewekwa pale kwenye tovuti yao ukiwa na ODDS KUBWA kabisa.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

MAPENE BADO NI YA KUTOSHA JISHINDIE NA MERIDIANBET

Ligi kuu kuu ya Hispania maarufu kama La Liga itaendelea kupigwa katika viwanja tofauti tofauti ambapo Real Madrid watakua nyumbani dhidi ya Getafe ambapo mchezo mwingine utakua baina ya Real Betis ambao watakua nyumbani wakiwakaribisha Real Betis.

Jumapili itakua na michezo kadhaa pia ya kupiga pesa ambapo Sevilla watakua ugenini katika dimba la Wanda Metropolitano kucheza dhidi ya Atletico Madrid mchezo mwingine utawahusisha mabingwa watetezi klabu ya Barcelona ambao wao watakua ugenini kukipiga na klabu ya Osasuna.

Ligi kuu ya Italia SERIE A kitaendelea kuumana ambapo klabu ya Napoli itakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Lazio huku klabu ya Atalanta nayo itakua nyumbani katika dimba la Gewiss kukipiga na klabu ya Monza michezo ambayo imepewa ODDS nzuri pale Meridianbet.

Jumapili Serie A itaendelea kuwaka moto moto ambapo klabu ya Inter Milan itaikaribisha klabu ya Fiorentina katika dimba la San Siro lakini pia klabu ya Juventus vibibi vizee vya Turin vitakua ugenini kumenyana na Empoli.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

LIGUE 1  Ligi kuu nchini Ufaransa nayo itaendelea kutoa maokoto wikiendi hii kwani michezo ya ligi hiyo inaendelea kupigwa kuanzia Jumamosi ambapo siku ya Jumamosi klabu ya Monaco itakipiga na Lens lakini Jumapili kutakua na mchezo mkali ambapo bingwa mtetezi PSG atakua ugenini kumenyana na Olympique Lyon na Nice watakipiga na Strasbourg.

Ndugu mteja endelea kubeti na Meridianbet huku ukisubiri mechi za ligi zote kurejea wiki ijayo na kwasasa odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET MSIMU MPYA, MZIGO WA KUTOSHA

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Biashara

NBC kuchochea ustawi biashara kati ya Tanzania na Afrika kusini.

Spread the loveBENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu dhamira yake...

Biashara

NMB yazindua hati fungani mpya ya trilioni 1

Spread the loveBENKI ya NMB imezindua rasmi programu mpya yenye hati fungani...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Serikali kununua mitambo 15 ya kuchoronga miamba

Spread the loveSerikali kupitia Wizara ya Madini imepanga kununua mitambo 15 ya...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Mtanzania aweka rekodi kimataifa kwa kiwanda cha kusafisha dhahabu

Spread the loveIMEELEZWA kuwa Kiwanda cha Kusafisha dhahabu cha Geita Gold Refinery...

error: Content is protected !!