Saturday , 27 April 2024
Home mwandishi
8722 Articles1244 Comments
Kimataifa

‘Sangoma’ wanne wauawa kisa mate

  WANAKIJIJI wanne wakongwe wameteketezwa kwa moto jana tarehe 17 Oktoba, 2021 baada ya kutuhumiwa kuwa ni wachawi. Anaripoti Mwandishi Wetu  … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Vick Kamata afichua mateso ubunge miaka mitano iliyopita

  ALIYEKUWA mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vick Kamata Servacius Likwelile, ameibuka na kueleza mambo mazito ambayo yeye na...

Kimataifa

Wapinzani Sudan waandamana  kutaka utawala wa kijeshi

  WAKATI mataifa mengi duniani yakikwepa utawala wa kijeshi, kwa upande wa Sudan baadhi ya wananchi wameandamana kupinga Serikali ya mseto inayoundwa na...

Michezo

Samia awapa neno wanaohoji ziara zake nje, mikopo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema haendi nje ya nchi kucheza, bali anakwenda kutafuta fursa za maendeleo ya nchi. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga misaada ya mamilioni sekta afya, elimu

  BENKI ya NMB nchini Tanzania, imehitimisha maadhimisho wiki ya huduma kwa mteja kwa kutumia Sh.180.25 milioni kutoa misaada ya sekta ya elimu...

Tangulizi

Rais Samia ampa siku 90 DED Karatu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempa miezi mitatu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha (DED), Karia Rajabu,...

Habari Mchanganyiko

Irine, Edna wahitimu bora UDSM, Rais msaafu Kikwete awapa neno

  WASICHANA Irine Christopher Msengi, ameibuka kuwa mwanafunzi bora katika shahada ya awali ya Biashara katika Uhasibu wa Chuo Kikuu cha Dar es...

Habari

Mbunge amwangukia Rais Samia kina mama kujifungulia njiani

  MBUNGE wa Arumeru Magharibi wa chama tawala nchini Tanzania-CCM, Lembris Noah, amemuomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi ya...

Habari

Sabaya, wenzake kurejea tena mahakama kesho

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya ambaye amehukumiwa miaka 30 gerezani, kesho Jumatatu tarehe 18...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania yabanwa zuio mikutano ya kisiasa, yajibu

  SERIKALI ya Tanzania, imesema haizuii mikutano ya vyama vya siasa bali mikutano inayozuiwa ni ile yenye viashiriavya kuhatarisha usalama wa nchi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Profesa Kitila aahidi neema wenye viwanda Tanzania

  WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, Serikali inaendelea kuzifanyia kazi changamoto kwenye bidhaa za ndani hususan kodi...

Habari za Siasa

DC Kahama atoboa siri kuibuka kinara usimamizi miradi ya maendeleo

  MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga amesema siri ya Manispaa ya Kahama kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika kilele...

AfyaHabari za Siasa

Rais Samia: Asilimia 88.9 wamechanja chanjo ya Corona

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia jana tarehe 15 Oktoba, 2021 jumla ya Watanzania 940,507 walikuwa wamekwishachanja chanjo ya Covid –...

Habari za Siasa

Rais Samia aeleza sababu uhaba watumishi wa afya, ataja ‘wages bill’

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kuwapo kwa uhaba wa watumishi wa kada ya afya na elimu ni kutokana na mahesabu...

Kimataifa

Mauaji ya mbunge wa Uingereza ni kisa cha kigaidi – Polisi

  POLISI nchini Uingereza imesema, kisa cha mbunge David Amess kuuawa Ijumaa kwa kudungwa kisu, kilikuwa kitendo cha kigaidi. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari Mchanganyiko

Askofu Dk. Shoo ashangaa viongozi wa dini, siasa kuhamasisha Watanzania wasichanje chanjo ya UVIKO- 19

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amesema amewashangaa na kuhuzunika kusikia baadhi ya viongozi wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Dk. Shoo: Walah Rais Samia Mungu amekuweka kwa kusudi, kubali kuponya majeraha

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kusimama katika yale...

Michezo

Ligi Kuu bara kurejea leo, viwanja viwili kuwaka moto

  NBC PremierLeague inarejea leo Jumamosi tarehe 16 Oktoba, 2021 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Samia azungumzia anguko la upinzani Uchaguzi 2020 Kilimanjaro

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewashukuru wananchi wa Kilimanjaro kwa kukipa ushindi Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, kwenye nafasi...

Habari za Siasa

Rais Samia aacha fumbo Moshi kuwa jiji

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewaachia fumbo wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kwamba wachague moja kati ya Vunjo kupewa hadhi ya Halmashauri Mpya...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya, wenzake wapigwa miaka 30 jela

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge CCM wamtwisha zigo Rais Samia, awajibu

  WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Kilimanjaro, wamefikisha kilio cha changamoto za majimbo yao, kwa Rai Samia Suluhu...

Kimataifa

Aliyeua watoto 13, kunywa damu zao auawa

  MASTEN Wanjala mtuhumiwa aliyegonga vichwa vya habari nchini Kenya baada ya kukiri kuwaua zaidi ya watoto 13 na baadaye kutoroka katika kituo...

Habari za SiasaTangulizi

Ummy Mwalimu: Kuna vidudu mtu wa elimu bila malipo, Ma-RC, DC nimewaminya kidogo!

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Ummy Mwalimu amesema kuna vidudu mtu ambao wanaeneza kwamba...

Kimataifa

Rais Marekani, Kenyatta wateta Ikulu, chanjo ya corona milioni 17 kutolewa Afrika

  RAIS wa Marekani, Joe Biden amekutana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Ikulu ya White House huku Biden akiahidi kutoa dozi milioni...

Habari za SiasaTangulizi

Samia azindua barabara Kilimanjaro, mabango ya kero yatawala

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua Barabara ya Sanya Juu- Elerai, iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Rais Samia atua K’njaro akitokea Chato

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Alhamis, tarehe 14 Oktoba 2021, amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuanzia ziara...

Michezo

Mtibwa asitegemee mteremko Geita

TIMU ya Geita Gold imezipiga mkwara timu shiriki za Ligi Kuu Tanzania bara, kwamba zisitegemee mteremko kwa mechi zake zitakazochezwa uwanja wake wa...

Habari za SiasaTangulizi

Miradi 49 yenye dosari, Rais Samia atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameagiza mamlaka zifanye uchunguzi taarifa ya ya miradi 49 iliyobainika kuwa na dosari katika Mbio za...

Habari za Siasa

Rais Samia: Tunakamilisha mchakato Chato iwe mkoa

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza inakamilisha mchakato wa kuifanya Chato kuwa Mkoa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Geita … (endelea)....

Habari za Siasa

Mwenge wa Uhuru waziweka wilaya 38 kikaangoni

  ZEGE halilali, ndivyo unavyoweza kutafsiri kilichoibuliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu ambapo jumla ya miradi 49 yenye thamani ya Sh bilioni...

Habari za Siasa

Sabaya na wenzake kusuka, kunyoa kesho

  HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili itaolewa...

Habari Mchanganyiko

12 waibuka washindi NMB bonge la Mpango

  NAKAUNDA Mangosongo na Charles Mkwizu ambao ni wakazi wa Dodoma wamejishindia pikipiki za miguu mitatu aina ya Sky Mark katika droo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aweka shada la maua kaburi Hayati Magufuli

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameweka shada la maua kaburi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Hayati John Pombe Magufuli. Anaripoti...

Habari za Siasa

Temeke kuanzisha gulio, NMB kuwafunda machinga na wajasiriamali

  BENKI ya NMB nchini Tanzania, imesema katika kufanikisha Kampeni ya Temeke Gulio inafanikiwa, watatoa mafunzo na mikopo kwa wamachinga na wajariamali wa...

Habari za Siasa

Polisi yazungumzia ofisi za Chadema kuchomwa moto

  JESHI la Polisi Mkoa wa Songwe nchini Tanzania, limesema linafanya uchunguzi wa tukio la ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari Mchanganyiko

Amuuwa nduguye kisa Sh. 1,500

  JESHI la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa, kwa tuhuma za kumuua ndugu yake, William Shoo (43), kwa...

Kimataifa

Uhuru Kenyatta kukutana na Rais wa Marekani

  RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Joe Biden wakati akimaliza ziara yake ya siku mbili...

Michezo

Nyumba ya mchezaji wa Simba kupigwa mnada

  KAMPUNI ya udalali ya Greenlight kwa idhini ya Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya Kinondoni kituo cha Ukonga, jijini Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Profesa Lumumba aunguruma Chato, ahoji demokrasia

  MCHAMBUZI maarufu wa masuala ya kisiasa na kihistoria katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Patrick Lumumba amewataka Watanzania kujihoji kuwa demokrasia ni...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa azuru kaburi la Hayati Magufuli Chato

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezuru kaburi la Hayati John Pombe Magufuli na kushiriki sala ya kumwombea. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...

Kimataifa

Wazungu waimwagia Taliban matrilioni

  SIKU chache baada ya uongozi wa kikundi cha wanamgambo wa Taliban walioshika madaraka nchini Afghanistan kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na...

Kimataifa

Mgogoro wa Kenya, Somalia kuhusu mpaka wa baharini wazidi kutokota

  MGOGORO wa kuwania eneo la pembe tatu lililopo katika bahari ya Hindi kati ya mataifa ya Kenya na Somalia umezidi kutokota baada...

Habari za Siasa

Rais Samia amwaga mabilioni Geita

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh.28.6 bilioni kwa ajili ya ujenzi na uboreshaji wa miradi...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Ummy awapiga ‘stop’ RC, DC, DED kusafiri

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewapiga marufuku wakuu wa mikoa, wakuu...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa ujumbe vijana matumizi ya mitandao

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wananchi hususani vijana wajiepushe na matumizi yasiyo sahihi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama)...

Habari za Siasa

Kigogo CUF, wenzake wafutiwa kesi ya uhujumu uchumi

  MKURUGENZI wa Habari, Uenezi, Mahusiano na Umma wa Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, Mhandisi Mohamed Ngulangwa na wenzake watano, wamefutiwa kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Wassira, Butiku wanavyomkumbuka Mwalimu Nyerere

  MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira amemuelezea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alikuwa kiongozi...

Habari Mchanganyiko

Benki ya Exim yatakiwa kuongeza matawi yake mkoani Iringa

  BENKI ya Exim Tanzania imeombwa kuangalia namna kujitanua zaidi mkoani Iringa kwa kuongeza matawi kwenye wilaya mbalimbali za mkoa huo ili huduma...

Habari Mchanganyiko

DAWASA yawalipa mamilioni wananchi, RC Makalla awapongeza

  MRADI wa maji wa mshikamano, Jimbo la Kibamba, umeanza kushika kasi baada ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es...

error: Content is protected !!