Tuesday , 16 April 2024
Home mwandishi
8658 Articles1237 Comments
Habari za Siasa

UWT wamwangukia Rais Samia

  UMOJA wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), umemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atatue changamoto zinazoukabili, ikiwemo ukosefu wa mitaji...

Michezo

Mshindi Maalim Seif CUP apatikana

  TIMU kutoka Wete Kaskazini Pemba imenyakua ubingwa wa Kombe la Maalim Seif linalojulikana kama ‘Maalim Seif CUP’ katika fainali iliyochezwa jana tarehe...

Habari Mchanganyiko

Jiji la Arusha kinara ukuanyaji wa mapato ya ndani

  HALMASHAURI ya Jiji la Arusha imeshika nafasi ya kwanza kwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 6.22 sawa na asilimi 106.8 mapato ya...

Kimataifa

Polisi washangaa kukamata waliokuwa wakila uroda barabarani wakidhani majambazi

  NI kama muvi hivi! Ndivyo unavyoweza kutafsiri mkasa uliowakumba polisi wa kituo cha Ruai katika Kaunti ya Nairobi nchini Kenya, baada ya...

Kimataifa

Utawala wa kijeshi Guinea watangaza baraza lenye mawaziri wanne

  VIONGOZI wa mapinduzi nchini Guinea wametangaza baraza lao la kwanza la mawaziri, linalojumuisha Jenerali wa zamani wa kijeshi na watu wengine watatu...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu asisitiza usalama kwenye miji kupitia TEHAMA  

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 170 kwa ajili ya ujenzi wa Mkongo wa Taifa katika mwaka wa fedha 2021/2022...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Ndayishimiye: Rais Samia anaibadilisha Tanzania kwa utawala bora

  RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaendesha nchi kwa kufuata misingi ya utawala bora. Anaripoti Mwandishi...

KimataifaMichezo

Staa wa movi aua mwanamke kwa bunduki wakati wa kutengeneza filamu

  MWANAMKE  mmoja amefariki dunia huku mwanaume mmoja akijeruhiwa baada ya muigizaji Alec Baldwin kufyatua risasi kwa kutumia bunduki ya maigizo wakati wakiandaa...

Kimataifa

Wanafunzi wavamia bunge DRC kushinikiza nyongeza mishahara kwa walimu

  MAMIA ya wanafunzi wamelivamia Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wakishinikiza walimu wao waongezewe mshahara. Anaripoti Mwandishi Wetu …  (endelea)....

Elimu

Wanafunzi 7,364 wapangiwa mkopo wa bilioni 19.4 kwa awamu ya pili

  BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya awamu ya pili yenye wanafunzi 7,364 wa mwaka wa...

Kimataifa

Mvulana kidato cha 4 auawa kwa kuvamia bweni la wasichana

  MWANAFUNZI mmoja wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya wavulana ya Gathiruini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya, amefariki dunia baada...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

BIBI TITI MOHAMMED; Mwanamke wa nguvu aliyedaiwa kutaka kumpindua Nyerere

  MIAKA ya hivi karibuni kumeibuka mtindo wa wanawake kujiita au hata kuitwa ‘mwanamke wa nguvu’ lakini wengi wamemsahau Bibi Titi Mohammed, ambaye...

MichezoTangulizi

Simba yazisomba tuzo za TFF, Yanga kiduchu

TIMU ya Simba ya jijini Dar es Salaam imejizoelea tuzo kibao za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) huku watani zao wakiambulia...

Kimataifa

Mahakama Kenya, yamkaanga Rais Kenyatta

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameamrishwa kuwateua majaji sita waliosalia kati ya wale 40 , katika kipindi cha siku 14 zijazo. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

NMB yazindua mfumo wa majaribio ya kitekinolojia, BoT yapongeza

  BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezitaka taasisi za kibenki nchini, kuanzisha au kubuni masuluhisho mbalimbali yanayowakabili wananchi ikiwemo ukosefu wa ajira na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaibua kasoro 10 uamuzi kesi ya Mbowe, wenzake

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua hoja zaidi ya kumi, kuhusu kasoro zilizojitokeza kwenye uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu, Divisheni ya...

Habari Mchanganyiko

Serengeti kinara tena Afrika

  HIFADHI ya Taifa ya Serengeti iliyopo nchini Tanzania imeshinda tuzo ya kuwa hifadhi bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2021. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

RC Rukwa anusa ubadhirifu milioni 60 ujenzi kituo cha afya

  MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joseph Mkirikiti ameeleza kutoridhishwa na matumizi ya zaidi ya Sh milioni 60 katika ujenzi wa Kituo kipya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema watuma salamu kwa Rais Samia, Jaji Mkuu, DPP 

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba kuzungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kupata suluhu ya sintofahamu zinazojitokeza nchini kwenye masuala...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yatangaza neema kilimo hai

  WIZARA ya Kilimo ya Tanzania Bara na Zanzibar, zimeahidi kutenga bajeti katika mwaka wa fedha 2022/2023, kwa ajili ya benki ya mbegu...

Kimataifa

Rais Kenyatta, Ruto wagongana jukwaa moja Mashujaa Day

  IKIWA imepita miezi mitatu na ushee kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Rutto kutoonana ana kwa ana, jana...

Michezo

Man United wapindua meza, Ronaldo balaa

  KLABU ya Manchester United ya Uingereza jana tarehe 20 Oktoba, 2021 imenusurika kuambulia kipigo dhidi ya Atalanta wa Italia baada ya kutoka...

Habari za Siasa

Kigogo THRDC autosa ubunge kisa uanaharakati

  MRATIBU wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa amesema hana mpango wa kugombea ubunge wa...

Kimataifa

Kisa mafuriko, wachumba wapanda sufuria kuelekea kanisani kufunga ndoa

  NDOA tamu! Eeh… ndivyo ‘couple’ moja huko nchini India ilivyothibitisha kuwa kilichohalalishwa na Mungu mwanadamu hawezi kukipinga baada ya kuwasili salama kanisani...

Habari Mchanganyiko

Mpango Dar kuwa safi kuzinduliwa Novemba 6

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla amesema, tarehe 6 Novemba 2021, atazindua mpango wa kulifanya Jiji...

Kimataifa

Misri yawaapisha majaji 100 wanawake

  BARAZA kuu la Serikali ya Misri limewateua kwa mara ya kwanza wanawake 98 kuwa majaji katika baraza hilo hilo ambalo ni moja...

Habari Mchanganyiko

Watu milioni 6.4 wapata msaada, elimu ya kisheria

  SHIRIKA la Huduma za Sheria (LSF) linatimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake. Ni muongo mmoja ambao umewanufaisha mamilioni ya Watanzania hususani wanawake...

Kimataifa

Mwanamke ajifungua watoto saba, madaktari wapigwa butwaa

  NI MIUJIZA! Ndivyo unavyoweza kueleza tukio la Mwanamke mmoja aliyejifungua watoto saba kwa mpigo mjini Abbottabad huko nchini Pakistan. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Kimataifa

Askari mbaroni kwa kumrekodi video mwanamke akiwa msalani

  ASKARI mmoja wa kampuni binafsi ya ulinzi nchini Kenya, ameburuzwa katika mahakama ya Kibera kwa tuhuma za kumrekodi mwanamke akiwa msalani katika...

Habari Mchanganyiko

RC Dar aongeza siku 12 wafanyabiashara kuhama

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla ameongeza muda wa siku 12 kwa wanaofanya biashara maeneo yaliyokatazwa...

Afya

Uzito uliozidi, kiribatumbo chanzo cha magonjwa sugu

  TAASISI ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), imesema uzito uliozidi na kiribatumbo ni chanzo kikuu cha magonjwa sugu na yasioyakuambukiza. Anaripoti Selemani...

Habari za Siasa

Rais Samia amaliza ziara Arusha, arejea Dodoma

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehitimisha ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha na kurejea Ikulu ya...

Habari za Siasa

NEC yatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Ngorongoro

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro, mkoani Arusha na Kata ya Naumbu mkoani Mtwara, ili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya ‘apigwa’ upara

  SIKU tatu baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka 30, yeye na wenzake wawili kwa makosa ya unyang’anyi wa kutumia silaha, aliyekuwa Mkuu...

Michezo

Mlinzi Yanga apata pigo

  BEKI wa kulia wa timu ya wananchi- Yanga SC. Paul Godfrey Nyang’anya maarufu kama ‘Boxer’ amepata pigo baada ya kuondokewa na baba...

Habari za Siasa

Chongolo aeleza changamoto ya maji Longido ‘walifuata Kenya’

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema wananchi wa Longido mkoani Arusha, kwa muda mrefu walikuwa wanakabiliwa na changamoto...

Kimataifa

‘Sangoma’ wanne wauawa kisa mate

  WANAKIJIJI wanne wakongwe wameteketezwa kwa moto jana tarehe 17 Oktoba, 2021 baada ya kutuhumiwa kuwa ni wachawi. Anaripoti Mwandishi Wetu  … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Vick Kamata afichua mateso ubunge miaka mitano iliyopita

  ALIYEKUWA mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vick Kamata Servacius Likwelile, ameibuka na kueleza mambo mazito ambayo yeye na...

Kimataifa

Wapinzani Sudan waandamana  kutaka utawala wa kijeshi

  WAKATI mataifa mengi duniani yakikwepa utawala wa kijeshi, kwa upande wa Sudan baadhi ya wananchi wameandamana kupinga Serikali ya mseto inayoundwa na...

Michezo

Samia awapa neno wanaohoji ziara zake nje, mikopo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema haendi nje ya nchi kucheza, bali anakwenda kutafuta fursa za maendeleo ya nchi. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

NMB yamwaga misaada ya mamilioni sekta afya, elimu

  BENKI ya NMB nchini Tanzania, imehitimisha maadhimisho wiki ya huduma kwa mteja kwa kutumia Sh.180.25 milioni kutoa misaada ya sekta ya elimu...

Tangulizi

Rais Samia ampa siku 90 DED Karatu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempa miezi mitatu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha (DED), Karia Rajabu,...

Habari Mchanganyiko

Irine, Edna wahitimu bora UDSM, Rais msaafu Kikwete awapa neno

  WASICHANA Irine Christopher Msengi, ameibuka kuwa mwanafunzi bora katika shahada ya awali ya Biashara katika Uhasibu wa Chuo Kikuu cha Dar es...

Habari

Mbunge amwangukia Rais Samia kina mama kujifungulia njiani

  MBUNGE wa Arumeru Magharibi wa chama tawala nchini Tanzania-CCM, Lembris Noah, amemuomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi ya...

Habari

Sabaya, wenzake kurejea tena mahakama kesho

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya ambaye amehukumiwa miaka 30 gerezani, kesho Jumatatu tarehe 18...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania yabanwa zuio mikutano ya kisiasa, yajibu

  SERIKALI ya Tanzania, imesema haizuii mikutano ya vyama vya siasa bali mikutano inayozuiwa ni ile yenye viashiriavya kuhatarisha usalama wa nchi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Profesa Kitila aahidi neema wenye viwanda Tanzania

  WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, Serikali inaendelea kuzifanyia kazi changamoto kwenye bidhaa za ndani hususan kodi...

Habari za Siasa

DC Kahama atoboa siri kuibuka kinara usimamizi miradi ya maendeleo

  MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga amesema siri ya Manispaa ya Kahama kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika kilele...

AfyaHabari za Siasa

Rais Samia: Asilimia 88.9 wamechanja chanjo ya Corona

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia jana tarehe 15 Oktoba, 2021 jumla ya Watanzania 940,507 walikuwa wamekwishachanja chanjo ya Covid –...

Habari za Siasa

Rais Samia aeleza sababu uhaba watumishi wa afya, ataja ‘wages bill’

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kuwapo kwa uhaba wa watumishi wa kada ya afya na elimu ni kutokana na mahesabu...

error: Content is protected !!