Friday , 26 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tulia aibuka kidedea Uspika, azoa kura zote

  MBUNGE wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson (CCM) ameibuka kidedea katika nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Habari za Siasa

Wabunge wambana Dk. Tulia Bunge kumezwa na Serikali

  MGOMBEA wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewahakikishia wabunge kuwa Bunge halitamezwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio awa mbogo kwa Kibatala baada ya kudai yuko kizuizini 

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis Urio amemtaka...

Habari za Siasa

Mwanaye Kingunge apagawisha wabunge, kugawa magari, kuongeza posho

  MGOMBEA wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kunje Ngombale Mwiru amewapagawisha wabunge baada ya kuwaahidi kupunguza...

Habari za Siasa

Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa mkurugenzi wake wa Mawasiliano

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa mwandishi na mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Zunura Yunus kuwa Mkurugenzi...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

  LEO Jumanne, tarehe 1 Februari 2022, Bunge la Tanzania linafanya uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tulia ajiuzulu U-naibu Spika

  DAKTARI Tulia Ackson, ametangaza kujiuzulu nafasi ya naibu spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa ya kujiuzulu...

Habari za SiasaTangulizi

Fedha za Mbowe kufadhili ugaidi zaibua mkanganyiko

  FEDHA kiasi cha Sh. 699,000, zinazodaiwa kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mwaka 2020 kwa ajili ya kufadhili vitendo vya kigaidi,...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio: Sikuamini kama Mbowe anaweza kufanya ugaidi

  ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Denis Urio, amedai hakuamini kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anaweza kufanya vitendo...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif atema cheche

  MWENYEKITI mpya wa chama cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu Babu Duni amewashukuru wote waliomchagua kushika wadhifa huo. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Chana atoa maagizo kiwanga cha sukari Mkulazi

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge na Uratibu nchini Tanzania, Balozi Pindi Chana amemtaka mkandarasi anayesimamia kazi ya ujenzi...

Habari za Siasa

Zitto awaweka sawa viongozi ACT-Wazalendo, awatumia salamu wapinzani

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe  amewaagiza viongozi wautumie 2022 kukiimarisha chama  hicho kuanzia ngazi ya Kitaifa hadi mashinani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

ACT -Wazalendo yaanika mbinu za kuidhibiti Serikali nje ya Bunge

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kimeteua watu wa kufuatilia utendaji wa wizara na taasisi za Serikali. Anaripoti...

Habari za Siasa

Msajili avipa maagizo vyama vya siasa

  OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, imevitaka vyama vya siasa kuanza kuboresha mifumo yao ya  ndani ya  demokrasia kabla...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda: Wapinzani acheni tofauti

  KATIBU Mkuu wa Shuraa ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameviomba vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania viache tofauti zao...

Habari za Siasa

Msajili wa vyama amuomba Askofu Mwamakula airudishe kwenye mstari Chadema

  NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Sisty Nyahoza, amemuomba Kiongozi wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, akishauri Chama...

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula awachana ACT-Wazalendo kuhusu katiba, yamjibu

  KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amekieleza Chama cha ACT-Wazalendo, kuwa hakiwezi kuingia kwenye uchaguzi bila ya kupatikana...

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula awapa neno ACT-Wazalendo uchaguzi mrithi wa Maalim Seif 

  KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha ACT-Wazalendo, wamchague mtu...

Habari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo wazindua ACT KIGANJANI

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimezindua mfumo wa usajili wa kisasa wa wanachama wa chama hicho uliopewa jina la ‘ACT Kiganjani’ wenye lengo...

Habari za SiasaKitaifa

Babu Duni, Hamad wapitishwa kumrithi Maalim Seif – ACT Wazalendo

Halmshauri Kuu ya Chama imepokea na kuthibitisha mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama juu wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa, Makamu Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio: Mbowe alinificha

  SHAHIDI wa Jamhuri, katika kesi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis Urio, amedai mwanasiasa...

Habari za SiasaTangulizi

Luteni Urio adai Mbowe hakutaka kuzungumzia ugaidi kwenye simu

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, Luteni Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakutaka kuzungumzia ugaidi kwenye mawasiliano ya simu, bali...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yatoa maagizo kwa wasikilizaji kesi ya Mbowe kuhusu shahidi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imewaamuru watu waliofika mahakamani hapo kusikiliza kesi ya uhujumu...

Habari za Siasa

Shahidi wa Jamhuri adai hajui kosa la mwenzake Mbowe

  ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luten Denis Urio, amedai hafahamu kosa na sababu za kukamatwa kwa Halfan Bwire Hassan,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mahakama yatoa maagizo kwa shahidi wa Jamhuri, mawakili

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imemuamuru Luteni Denis Urio, shahidi wa 12 Jamhuri, ajibu maswali...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi asita kujibu maswali ya kina Mbowe, kesi yahairishwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kwa muda kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

Askari JWTZ adai Mbowe alimpa Sh 699,000 amtafutie makomandoo

  LUTENI Denis Urio, shahidi wa 12 wa Jamhuri, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, katika nyakati tofauti alimpatia Sh. 699,000, kwa ajili...

Habari za SiasaTangulizi

Askari JWTZ aeleza alivyomripoti Mbowe kwa DCI na ACP Kingai

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, ASKARI wa Jeshi la...

Habari za Siasa

Makamu wa Rais akumbushia mapito Z’bar asema chama ni taasisi

  MAKAMU wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi – Zanzibar, Othamn Masoud Othman ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kigogo JWTZ aeleza alivyofahamiana na Mbowe, alichohitaji

  OFISA wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alimueleza anatafuta kampuni za...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Ofisa JWTZ apanda kizimbani

  LUTENI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dennis Urio (42), amepanda kizimbani kutoa ushahidi wake, katika kesi ya ugaidi...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi akwamisha kesi ya Mbowe

  KESI ya uhujumi uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeahirishwa hadi Jumatano, tarehe 26 Januari 2022, kutokana na shahidi...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa ujumbe kwa vijana, halmashauri

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana wa Kitanzania wahakikishe wanajiwekea malengo ya kusoma kwa bidii ili kupata maarifa yatakayolisaidia Taifa...

Habari za Siasa

Makinda awaangukia viongozi wa dini kuhamasisha sensa

  KAMISHNA wa Tume ya Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda amewaomba viongozi wa dini kupitia Jumuiya ya Maridhiano kuwahamasisha Watanzania kushiriki...

Habari za SiasaTangulizi

Uchunguzi tukio la Lissu kupigwa risasi waibuka kesi ya Mbowe

  MPELELEZI wa Makosa ya Jinai, Goodluck Minja, amedai hafahamu kama ripoti ya uchunguzi wa tukio la aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda kizimbani Februari 3

  ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama...

Habari za Siasa

Kilimanjaro yatekeleza miradi lukuki kwa fedha za maendeleo

  MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amesema mkoa huo umevunja rekodi kwa kupokea kiasi kikubwa cha fedha za maendeleo zilizotolewa na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Mimi ni chui jike

  LICHA ya kukaribishwa na wimbo wa simba jike katika uzinduzi wa Tamasha la utamaduni mkoa Kilimanjaro, Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye...

Habari za Siasa

Mafuvu ya machifu yaliyochukuliwa na wakoloni kurejeshwa

  SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wizara ya Maliasili na Utalii inaendelea na majadiliano ya...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Jamhuri: Mbowe, wenzake sikuwakuta na mabomu, vilipuzi wala mafuta ya petroli

  MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Goodluck Minja, amedai washtakiwa wawili katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia apinga uchaguzi wa Spika mahakamani

  MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amefungua Shauri namba 2 la Kikatiba la mwaka 2022 kuzuia uchaguzi wa Spika, akidai mchakato...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Jamhuri aeleza walivyowazuia wenzake Mbowe kufanya ugaidi

  MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Askari Polisi namba H4347 Goodluck, amedai Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua Kamishna mpya wa Kazi

RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Januari, 2022 amemteua Suzan William Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma  … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Tulia kumrithi Ndugai, CCM yafyeka 69

  KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania – Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempitisha Dk. Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika...

Habari za Siasa

Wanachama 11 kuchuana uchaguzi ACT-Wazalendo

  WANACHAMA 11 wa chama cha siasa cha upinzania, ACT-Wazalendo, wamechukua fomu kuomba nafasi za uongpzi, wawili wakiwania uenyekiti. Anaripoti Selemani Msuya, Dar...

Habari za Siasa

Mahakama yatoa maagizo kesi ya kina Mbowe

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, iliyopo Mawasiliano jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Jamhuri kutimiza wajibu...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi atoa sababu kutopeleka sauti za kina Mbowe kortini

  MCHUNGUZI wa vifaa vya kidigitali wa Jeshi la Polisi Tanzania, Innocent Ndowo (37), amedai hajawasilisha mahakamani sauti za mawasiliano baina ya Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Askofu Mwambapa: Spika ajaye aweke kipaumbele cha Katiba Mpya kwa Rais

HUKU mchakato wa kumpata spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea, imeshauriwa kupatikana spika mwenye ujasiri wa kumshauri Rais Samia...

Habari za Siasa

Nyundo 10 za Askofu Bagonza ‘Spika wetu Vs Spika wao’

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo Alhamisi, tarehe 20 Januari 2022, kitatoa dira ya nani atakuwa Spika wa Bunge...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amzungumzia shahidi aliyesoma ‘sms’ zake mahakamani

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37), kwani ni...

error: Content is protected !!