Tuesday , 7 May 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Sikutaka kesi ifutwe ili dunia ijue ukweli

MWENYEKITI wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia, Freeman Mbowe amesema licha ya kuwa ugaidi ni kosa linaloweza kumfungisha mtu maisha lakini alimuomba Mungu...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Nguvu ya umma imenitoa gerezani

KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kilichomfanya akafutiwa mashtaka ya ugaidi yaliyokuwa yanamkabili ni “nguvu ya...

Habari za Siasa

Jeshi Urusi kuokoa wanafunzi wa Tanzania waliokwama Ukraine

SERIKALI ya Urusi imetengeneza njia salama ya kuwawezesha wanafunzi raia wa Tanzania wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Sumy kilichopo nchini Ukraine kuvuka na...

Habari za SiasaTangulizi

Walichoteta Rais Samia, Mbowe Ikulu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Ngome ya wanawake ACT-Wazalendo yawakumbuka wazazi waliojifungua

  WANAWAKE wa ACT Tanzania waadhimisha siku ya wanawake Duniani kwa kuwatembelea wazazi katika Kituo cha Afya cha Palestina Sinza jijini Dar es...

Habari za Siasa

Kuachwa huru kwa Mbowe: Askofu Mwamakula amtega Rais Samia

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mchakato wa upatikanaji...

Habari za SiasaTangulizi

Kuachiwa Mbowe: Shangwe zaibuka mahakamani, Kibatala afunguka

  SHANGWE zimeibuka katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, baada ya mahakama hiyo kufuta...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ahitimisha siku 226 mahabusu

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Aikaeli Mbowe leo Ijumaa, tarehe 4 Machi 2022 amehitimisha siku 226...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wafutiwa mashtaka

  MKURUGENZI wa Mashtaka (DPP) leo Ijumaa tarehe 4 Machi 2022, amewasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi inayomkabili Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Vyama vya siasa vyaitwa taasisi ya Mwalimu Nyerere

  WATU kutoka vyama vya siasa vya upinzani, wameshauriwa wajiunge na Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, ili waongeze nguvu katika ulinzi...

Habari za Siasa

Taasisi yaomba makumbusho ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam

  TAASISI ya Kumbukumu ya Mwalimu Julius Nyerere, imeiomba Serikali, wadau  na wananchi, watoe mchango wao wa hali na mali, kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi wa dini wamwomba Rais Samia kuwaachia kina Mbowe

  VIONGOZI wa dini nchini Tanzania, wamemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kutumia mamlaka aliyonayo kumaliza kesi ya ugaidi inayomkabili, kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda atinga makahamani, apewa siku 21

  ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam impe muda...

Habari za Siasa

#LIVE: Mawaziri Tanzania wakielezea mafanikio ya ziara za Rais Samia

  MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania wanaelezea ziara zilizofanywa na kiongozi mkuu wa Taifa hilo, Rais Samia Suluhu Hassan. Hivi karibuni, Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda kizimbani leo

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam nchini Tanzania leo Jumatano tarehe 2 Machi 2022, itasikiliza maombi ya kufungua kesi...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awazungumzia wanaopinga miradi anayotekeleza

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi anaamini watu wanaohoji na kupinga miradi inayoanza kutekelezwa hapa Zanzibar ni wapinzani wake. Anaripoti Jabir...

Habari za Siasa

Godlisten Malisa afunguka Makonda alivyopigwa urais vyuo vikuu

  MWANAHARAKATI wa kisiasa nchini Tanzania, Godlisten Malisa amezungumzia jinsi aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambavyo hakupaswa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia mgeni rasmi Siku ya Maridhiano

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa azungumzia kesi ya Mbowe

  ALIYEKUWA Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa amesema, anamwombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ili haki iweze...

Habari za Siasa

Rais Samia afanya uteuzi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Brigedia Jenerali, Yohana Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania...

Habari za Siasa

DPP amfutia kesi ya ugaidi kigogo wa ACT-Wazalendo

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Tanga, imemuachia kwa masharti Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ahmed Kidege na wenzake wawili, baada ya Mkurugenzi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yazindua ‘Join the Chain,’ Lissu aeleza malengo

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimezindua program maalum iitwayo ‘Join the Chain’ yenye lengo la kukusanya fedha za ujenzi...

Habari za Siasa

Tanzania kushirikiana nchi zingine kudumisha amani

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na mataifa mengine ili kuhakikisha amani, ushirikiano, ustawi wa kijamii...

Habari za Siasa

Dk. Kikwete ataka sera zinazotabirika uwekezaji sekta ya madini

  RAIS wa Awamu ya Nne Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali iwe na sera zinazotabirika katika usimamizi wa sekta ya madini, ili...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Niwemugizi ampa mitihani sita Rais Samia, alia na mauaji

  ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kushughulikia changamoto sita zinazoikabili wilaya hiyo hususani...

Habari za SiasaTangulizi

Niwemugizi: Rais Samia usikubali kulinganishwa na Mungu, ‘kazi yetu kukosoa, kuonya

  ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan asikubali kamwe kulinganishwa na Mungu kwa namna...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Kagasheki ampa heko Rais Samia, amtaja Magufuli

KADA mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan...

Habari za SiasaTangulizi

Shaka amfagilia Rais Samia kuitangaza Tanzania

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi...

Habari za Siasa

Mamia ACT Wazalendo warejea CUF

MAMIA ya Wanachama kutoka Chama cha ACT Wazalendo wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo aliyekuwa Mgombea nafasi ya...

Habari za Siasa

Bunge laiagiza Serikali idhibiti mianya ubadhirifu wa fedha za halmashauri

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), limeiagiza Serikali isimamie mapato na matumizi ya halmashauri nchini, ili...

Habari za Siasa

Bunge lanusa mishahara hewa, lataka uchunguzi

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeitaka Serikali ichunguze sababu za kutofautiana kwa mahitaji ya kiasi...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo watahadharisha mkataba wa EPA, watoa mapendekezo 5

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimependekeza kuwa kabla ya kusainiwa mkataba wa EPA, serikali ihakikishe kuna mfumo wa kufidia upotevu wa mapato yatokanayo...

Habari za Siasa

Chadema yabariki mazungumzo ya Rais Samia, Lissu

   CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mazungumzo aliyofanya Makamu Mwenyekiti wake Bara, Tundu Lissu na Rais Samia Suluhu Hassan, jijini Brussels,...

Habari za Siasa

Kina Mbowe kutumia mashahidi 26, vielelezo 34 kujitetea Machi 4

  UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wakutwa na kesi ya kujibu

  MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imemkuta na kesi ya kujibu, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mamia wafurika, wazuiwa getini

  MAMIA ya wanachama wa Chadema, wamefika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, kusikiliza uamuzi...

Habari za Siasa

Bunge lataka waliohusika na upotevu wa Bil. 8 Bandari washughulikiwe

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali ichukue hatua dhidi ya kampuni na watendaji wa Mamlaka ya...

Habari za Siasa

TCD wafunguka mazungunzo ya Rais Samia, Lissu

  KITUO cha Demokrasia nchini Tanzania (TCD), kimesema mkutano uliofanyika kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu...

Habari za Siasa

Lissu awachongea kina Mdee kwa Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema Tundu Lissu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, alitafutie ufumbuzi suala la...

Habari za Siasa

Lissu aibiwa pasipoti Ujerumani, amwomba nyingine Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania-Chadema, Tundu Lissu, amedai hati yake ya kusafiria (pasipoti), imeibiwa mwezi uliopita akiwa nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu aifikisha kesi ya Mbowe kwa Rais Samia

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kushughulikia kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa chama...

Habari za Siasa

Fred Lowassa ajitosa sakata la Ngorongoro

  SAKATA la Hifadhi Ngorongoro limeendelea kuchukua sura mpya baada ya Mbunge wa Monduli (CCM), Mkoa wa Arusha, Fredrick Lowassa kuibuka akisema “Wamasai...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Lissu wateta Ubelgiji

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo- Chadema, Tundu Lissu....

Habari za Siasa

Kesi ya kupinga Rais, Spika, Jaji Mkuu kutoshtakiwa yatupwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imeitupilia mbali kesi ya kupinga marekebisho ya Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Jamhuri yafunga ushahidi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imefunga kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Shahidi azungumzia madai ya Mbowe kukimbia upelelezi, kufikisha malalamiko kwa Rais

  SHAHIDI wa 13 wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Tumaini Swila, amedai hakusikia...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi: Mbowe alikuwa na nia ovu, hakumtafuta mlinzi wake Polisi

  MPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, Inspekta Tumaini Swila, amedai mwanasiasa...

Habari za Siasa

Makada CCM wazodoana msibani

  MSIBA wa kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Shambe Sagafu, umegeuka jukwaa la wanasiasa kukosoana huku...

Habari za Siasa

Mahakama yatoa maamuzi madai ya kina Mbowe kunyimwa chakula miezi mitano

MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imetoa maamuzi juu ya madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema,...

Habari za Siasa

Mpelelezi adai Mbowe alitoa fedha nyingine kufadhili ugaidi

MPELELEZI Msaidizi, wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Inspekta Tumaini Swila, amedai kuna fedha ambazo mwanasiasa...

error: Content is protected !!