Tuesday , 23 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia, Lissu wateta Ubelgiji
Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia, Lissu wateta Ubelgiji

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassa amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo- Chadema, Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Wawilli hao wamekutana leo Jumatano, tarehe 16 Februari 2022 nchini Ubelgiji. Rais Samia yupo huko ziarani huku Lissu akiishi huko tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu 2020.

Taarifa ya Zuhura Yunus, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema, Rais Samia amekutana na mwanasiasa huyo ambaye aliomba kumwona kiongozi wake mkuu wa nchi.

Zuhura amesema, Rais Samia na Lissu wamezungumza masuala mbalimbali yenye maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Spread the loveKampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa kusambaza picha za utupu

Spread the loveJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata...

Habari za Siasa

Serikali kuanzisha mradi wa Gridi ya maji ya Taifa

Spread the loveWaziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika mwaka wa fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Shibuda amlima waraka mzito Bulembo

Spread the loveMKONGWE wa siasa nchini, John Shibuda amemshukia kada maarufu wa...

error: Content is protected !!