Author Archives: Moses Mseti

Wagonjwa 800 kutibiwa jengo jipya Bugando

HOSPITALI ya Rufaa ya Bugando (BMC), inatarajia kujenga jengo maalum litakalowahudumia wagonjwa 800 kwa siku ambao wanatibiwa kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), anaandika Moses Mseti. Hatua ...

Read More »

Vigogo wa CCM Mwanza ‘wavuana nguo’

MSUGUANO wa Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire (CCM) na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba, limefikia katika hatua mbaya baada ya wawili hao kutuhumiana hadharani, kila mmoja akimtupia ...

Read More »

Madiwani wa CCM wamkataa Meya wao

MADIWANI 19 kati ya 25 wa baraza la madiwani Jiji la Mwanza, wamesaini waraka wa kutokuwa na imani na Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire, wakimtuhumu kutumia vibaya mabaya ...

Read More »

Wapiga debe waiangukia serikali

ZAIDI ya vijana 200 ambayo wanaopiga debe eneo la Kamanga Ferry jijini Mwanza, wameiangukia serikali na kuiomba iwaache waendelee na shughulzao na kusitisha mpango wake wa kutaka kuwaondoa hapo, anaandika ...

Read More »

Serikali yawaonya watumishi, madiwani

SERIKALI imewataka madiwani na watumishi kuacha kufanya kazi kwa mazoea ikiwemo kukubali na kufunga hoja zinazohusu namna fedha za miradi zilivyotumika kitendo kinachosababisha washindwe kuzitolea ufafanuzi, anaandika Moses Mseti. Imesema ...

Read More »

Serikali yafukuza wafanyakazi 2744

SAKATA la kuwasaka wafanyakazi wa serikali wenye vyeti feki limeacha kilio kwa wanachama 2744 wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Nchini (TALGWU), anaandika Moses Mseti. Kutokana na hali ...

Read More »

Manji apata pigo jingine akiwa mahabusu

SERIKALI imekitaifisha kiwanda cha kuchakata ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Ilemela mkoani Mwanza kwa kushindwa kuendelezwa na kuendeshwa kwa zaidi ya miaka mitano sasa, anaandika Moses Mseti. Kiwanda hicho, kinachomilikiwa ...

Read More »

Mbunge wa zamani amtupia neno Rais Magufuli

EZEKIEL Wenje, aliyekuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana, Mwanza, amemchana Rais John Magufuli kwamba baadhi ya mairadi anayozindua ni hewa haipo, anaandika Moses Mseti. Wenje amesema miradi inayozinduliwa na rais ...

Read More »

Waziri amvua madaraka mkuu idara ardhi

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemvua madaraka mkuu wa idara ya ardhi wa Wilaya ya Ukerewe, Elia Mtakama, kwa kushindwa kuingiza viwanja katika mfumo wa ukusanyaji ...

Read More »

Waziri aagiza watumishi wanane ‘watumbuliwe’

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kwimba, Pendo Malabeja, kuwachukulia hatua watumishi wote wanane wa idara ya ardhi ikiwemo kuwasimamisha kazi kwa ...

Read More »

Buchosa yakabiliwa na uhaba wa watumishi, vifaa

HALMASHAURI ya Buchosa Wilaya ya Sengerema, Mwanza, inakabiliwa na upungufu wa vifaa vya ofisi, vifaa vya uchoraji ramani na vifaa vya kutayarisha hati pamoja na kabineti za kuhifadhia ramani kitendo ...

Read More »

‘Mifupa ya binadamu yazagaa Mwanza’

ANGELINA Mabula, NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ameitaka halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, kuhakikisha zinamaliza uhaba wa maeneo ya makaburi ili kutatua tatizo la ...

Read More »

Asilimia 80 ya watanzania wanategemea kilimo

IMEELEZWA asilimia 80 ya watanzania nchini wanategemea kilimo kutokana na watu wengi kuendesha maisha yao ya kila siku na wengine kujipatia kipato kupitia kilimo hicho na kuongeza pato la taifa, ...

Read More »

Rc Mongella achukua hatua kiwandani

SERIKALI mkoani Mwanza, imekipa siku 10 kiwanda cha ngozi cha Mwanza Tanneries kilichopo Wilaya ya Ilemela jijini hapa, kuhakikisha kinaondoa vyuma chakavu mara moja ili kupisha uwekezaji mpya unaotarajiwa kuanzia ...

Read More »

DC mwingine wa Rais Magufuli ajiuzuru

DK. Leonard Masale, Mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, ametangaza kujiuzuru nafasi hiyo kwa hiari yake mwenyewe baada ya kumwandikia barua Rais John Magufuli barua ya kuachia ...

Read More »

Wafanyabiashara ‘kufunga’ biashara zao

WAFANYABIASHARA wa maduka ya nguo za jumla na rejareja katika Jiji la Mwanza, wametishia kufunga biashara zao kutokana na Kiomoni Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, kupandisha tozo pamoja na ...

Read More »

Machinga waliamsha ‘dude’ Mwanza

WAFANYABIASHARA ndogondogo mkoani Mwanza maarufu kama Machinga, wamepinga hatua ya Mary Tesha, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana kuratibu na kuendesha uchaguzi ‘haramu’ wa viongozi wa wafanyabiashara hao, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

TRA wazua kizaazaa Mwanza

SHUGHULI za kijamii na kiuchumi zimesimama jijini Mwanza, kwa zaidi ya saa sita kutokana na baadhi ya barabara za katikati ya Jiji kufungwa na wananchi waliokuwa wamepanga foleni kwenda kulipa ...

Read More »

Wavamia kanisa watembeza ‘kichapo’, wapora

KUNDI la watu wasiofahamika,  limevamia na kuvunja Kanisa la Mwanza City Center International Church Tanzania Reveland, lililopo Butimba mkoani Mwanza na kuanza kutembeza kichapo kwa walinzi na kuiba baadhi ya vifaa ...

Read More »

Wavuvi wamlilia Rais Magufuli

CHAMA cha Wavuvi Tanzania (TAFU), kimemtaka Rais Magufuli kuunda tume ya uchunguzi juu ya bei ya ununuzi wa samaki katika mikoa ya kanda ya ziwa kwani kuna viashiria vya ufisadi, ...

Read More »

Wanafunzi 101 ‘wapigwa’ mimba Januari – Juni

WIMBI la Wanafunzi wa kike Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza kupewa mimba limezidi kuongezeka, baada ya Wanafunzi 101 kupewa mimba ndani ya miezi sita kwa mwaka huu, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Wadaiwa sugu kodi ardhi watahadhalishwa

WADAIWA sugu wa kodi ya ardhi Kanda ya Ziwa wametahadharishwa kulipa mapema madeni yao wanayodaiwa kwa kipindi kirefu kabla ya Juni 30, mwaka huu, anaandika Moses Mseti. Akizungumza na wanahabari ...

Read More »

Samia awabebesha ‘zigo’ SIDO

SAMIA Suluhu, Makamo wa Rais wa Tanzania ameliagiza Shirika la kuhudumia viwanda vidogo vidogo nchini (SIDO) kuhakikisha linasimamia viwanda hivyo vinavyoanzishwa na watumishi wa umma pindi wanapostaafu, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Tusaidieni mitaji, vifungashio bora – Wajasliamali

SERIKALI imeombwa kuhakikisha inaweka mipango na mikakati madhubuti ya kuwawezesha wajasiliamali wadogo nchini wanaomiliki viwanda vidogo, ili waweze kukuza mitaji yao, anaandika Moses Mseti. Pia imeombwa kuanzisha viwanda vya kutengeneza ...

Read More »

Tetemeko ardhi laua Polisi Mwanza

TETEMEKO la ardhi lililopita mkoani Mwanza na kudumu kwa sekunde 10 limesababisha askari Polisi WP. 114674 Joyce Jackson kupoteza maisha wakati akiwa kazini kwake akiendelea kuchukua maelezo ya watuhumiwa, anaandika ...

Read More »

CCM Mwanza watifuana, maslahi binafsi yatajwa

VIONGOZI wakubwa wa Jiji la Mwanza, James Bwire, Meya wa jiji hilo kwa tiketi ya CCM na Mkurugenzi wa jiji hilo, Kiomoni Kibamba ambaye ni kada wa CCM, wameingia katika ...

Read More »

Mkurugenzi Mwanza matatani kutoa zabuni ‘kinyemera’

KIOMONI Kibamba, Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, ameingia katika mvutano na madiwani wa halmashauri ya jiji hilo baada ya kujenga chini ya kiwango mradi wa uboreshaji wa miundombinu ya takataka ...

Read More »

Polisi waua majambazi watatu

WATU watatu wanaozaniwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Polisi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza wakati walipokaidi amri ya Polisi ya kujisalimisha eneo la tukio, anaandika Moses Mseti. Miezi sita ...

Read More »

Mbunge CCM mdaiwa sugu

JUMANNE Kishimba, Mbunge wa Kahama mkoani Shinyanga (CCM) anatuhumiwa kushindwa kulipa kodi ya ardhi kiasi cha Sh. 2.7 milioni kwa kipindi cha mwaka huu, anaandika Moses Mseti. Mbunge huyo anatuhumiwa ...

Read More »

Wakwepa kodi 310 waburuzwa kortini

OFISI ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Ziwa, imewafikisha mahakamani wadaiwa sugu wa kodi ya ardhi 310, walioshindwa kulipa kodi hiyo kwa kipindi cha mwaka huu, anaandika Moses Mseti. Wadaiwa ...

Read More »

Lukuvi atishia kumtoboa kitambi DED

WILLIAM Lukuvi, WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemtahadhalisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga, kwamba atakitoa pumzi kitambi chake, endapo atashindwa kusimamia zoezi la Urasimishaji makazi ...

Read More »

Mbunge CCM atuhumiwa kuhujumu uchumi

MBUNGE wa Kwimba, Mwanza, Shannif Mansour (CCM), anatuhumiwa kugoma kulipa kodi ya eneo lake la ardhi lenye ukubwa wa hekta 39,000, kiasi cha zaidi ya Sh.  500 milioni tangu mwaka ...

Read More »

Visiwa vilivyokuwa giza toka Uhuru, kupata umeme

VISIWA vinne kati ya 38 vilivyopo Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, vitaanza kupata umeme wa nishati ya jua baada ya Kampuni ya Rex Energy kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa umeme ...

Read More »

DC Ukerewe aomba kivuko

ESTOMIAH Chang’ah, Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, ameiomba Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kwa wakazi wa kisiwa cha Ukara wilayani ...

Read More »

Ewura wajipanga kupunguza kero katika utendaji

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (Ewura) inakusudia kupunguza mwingiliano wa utendaji kazi baada ya kuanza kuweka mikakati kwa watumiaji wa huduma hizo, kufahamu wajibu wa kulinda ...

Read More »

Madiwani CCM, Ukawa waungana kumg’oa M’kiti Halmashauri

HALI si shwari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Mwanza baada ya madiwani 24 kati ya 34 kuandikia na kuisaini barua ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ...

Read More »

Samaki wa Sh. 20 milioni wataifishwa Mwanza

SERIKALI mkoani Mwanza, imekamata na kuwataifisha samaki kilogramu 3482 wenye thamani ya Sh. 20,892,000 waliovuliwa ‘kimagendo’ na wavuvi haramu kinyume na sheria za uvuvi zinazoelekeza samaki kuvuliwa kuanzia sentimita 51 ...

Read More »

Uhaba wa dawa wakithiri Nyamagana

UHABA wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Nyamagana mkoani hapa, umezidi kuongezeka na kuwa kero kwa wagonjwa wanaofika kupata huduma kwenye hospitali hiyo, kitendo kinachosababisha watu kupoteza maisha, anaandika ...

Read More »

Mamilioni ya Rais Magufuli yazua balaa Mwanza

JUMUIYA ya Maendeleo Kanindo (CDK) jijini Mwanza, imemtaka Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula, kuihoji serikali bungeni juu ya ahadi ya kutoa Sh 50 milioni kwa kila kijiji kwa ...

Read More »

DC Mwanza amsweka rumande mwalimu

FRANCIS Chang’ah, Mkuu  wa Wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza, ameamuru Eladislaus mwalimu wa shule ya msingi ya Uhuru, awekwe rumande kwa muda usiofahamika kutokana na  kosa la kuwafungia darasani wanafunzi, anaandika ...

Read More »

Mbunge Ilemela atishwa

ANGELINA Mabula, Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Mwanza amemtishwa na wapiga kura wake kwa madai ya kushindwa kutatua kero ya mgogoro wa ardhi, anaandika Moses Mseti. Wananchi wapatao 7500 katika ...

Read More »

Sangara wazidi kuwa ‘adimu’ Mwanza

UZALISHAJI wa Samaki katika Kiwanda cha Tanzania Fish Processors Limited (TFP), jijini Mwanza, kinachojihusisha na uchakataji wa minofu ya samaki aina ya Sangara umeshuka kutoka tani 120 kwa siku hadi Tani ...

Read More »

Mbowe: Viongozi Chadema kufungwa ni mkakati wa Serikali

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa kufungwa kwa baadhi ya viongozi wao akiwemo Diwani na Mbunge ni sehemu ya mkakati uliosukwa na Chama Cha Mapinduzi ...

Read More »

Waziri wa Nyerere ‘amchana’ Magufuli

ARCADO Ntagazwa, aliyekuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, Pili na Tatu amesema kuwa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli, haina nia njema na wananchi ...

Read More »

Shehena ya Samaki yanaswa ikisafirishwa

SHEHENA ya samaki aina ya Sangara tani tatu zenye thamani ya Sh. 19 milioni imekamatwa jijini Mwanza baada ya maofisa wa uvuvi kuanza msako wa watu wanaojihusisha na uvuvi haramu ...

Read More »

IGP amng’oa OCD Ukerewe

JESHI la Polisi nchini limemuondoa Ally Mkaripa, Mkuu wa Polisi (OCD) wa Wilaya ya Ukerewe, Mwanza katika nafasi hiyo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, anaandika Moses Mseti. ...

Read More »

Wastaafu waililia Serikali ya JPM

ZAIDI ya wastaafu 300 kutoka wilaya za Nyamagana na Ilemela Mkoani Mwanza, wameilalamikia Serikali kwa kuwakata makato makubwa ya pensheni zao za kila miezi mitatu kwani hayaendani na hali halisi ...

Read More »

Kumekucha uchaguzi mdogo Sengerema.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Sengerema kimeanza kampeni zake kwa kasi katika uchaguzi mdogo wa kata ya Kahumulo, na kuwataka wananchi wasimchague mgombea wa Chama cha Mapinduzi ...

Read More »

DC Magu atishiwa na wananchi

WANANCHI wa kijiji cha Kanyama kata ya Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, wamecharuka na kumpa Hadija Nyembo Mkuu wa Wilaya hiyo siku 21 ili kuhakikisha anatatua mgogoro wa ardhi wa ...

Read More »

Maji yatesa Wananchi Ukerewe

WAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, wameitupia lawama Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwa kushindwa kuwafikishia huduma ya maji safi na salama na kuwapimia ardhi kwa kipindi ...

Read More »
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On Youtube