MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Semistocles Kaijage ametangaza uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea)....
By Hamisi MgutaMarch 31, 2019RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango anayeshughulikia...
By Hamisi MgutaMarch 31, 2019RAIS John Magufuli amewatunuku Kamisheni Maafisa wapya 146 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kundi la 65/18. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Hafla...
By Regina MkondeMarch 30, 2019KITUO cha kuzalisha na kusambaza umeme cha Mlandizi mkoani Pwani, kimteketea kwa moto leo tarehe 30 Machi 2019. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Akizungumza na MwanaHALISI...
By Regina MkondeMarch 30, 2019SERIKALI ya Burundi, imewapiga marufuku waandishi wa shirika la BBC na Sauti ya Marekani (VOA), kutofanya kazi nchini humo. Baraza la taifa la...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Taifa, pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu wanakutana leo tarehe 30 Machi 2019 kujali...
By Bupe MwakitelekoMarch 30, 2019TAASISI ya Kuzuiya na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemburuza kortini Kulthum Mansoor, Mkurugenzi wa Taasisi hiyo wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini kwa kudaiwa...
By Faki SosiMarch 29, 2019WANAFUNZI waliomaliza Kidao cha IV mwaka 2018 na matokeo yao kutangazwa, sasa wanaweza kutumia mfumo maalumu kubadili chaguo za masomo na tahasusi kulingana...
By Danson KaijageMarch 29, 2019KAZI ya upakaji rangi, sambamba na uchoraji wa picha ya Twiga kwenye ndege ya viongozi wa serikali iliyotolewa na Rais John Magufuli kwa...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2019KUKAMILIKA kwa ujenzi wa jengo la Bohari ya Taifa ya chanjo, umesaidia kuokoa Sh. 10 bilioni kwa mwaka ambazo zingetumika katika kuhifadhi chanjo...
By Masalu ErastoMarch 28, 2019SHEIKH Juma Ramadhan, Imamu wa Msikiti wa Masjid Taqwa, jijini Dar es Salaam, amejipachika cheo kisicho chake. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Wakati...
By Regina MkondeMarch 28, 2019MAOFISA wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), walikuwa kwenye hekaheka za kukwapua fedha za umma kupitia kauli ya Rais John Magufuli aliyoitoa tarehe...
By Regina MkondeMarch 28, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana...
By Faki SosiMarch 28, 2019UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, utafuatiliwa kwa karibu zaidi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania...
By Regina MkondeMarch 28, 2019MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma kesho tarehe 29 Machi 2019, itatoa uamuzi wa pingamizi tatu, zilizotolewa na serikali katika kesi ya maombi madogo...
By Danson KaijageMarch 28, 2019MAMLAKA katika kituo cha televisheni cha Clouds, jijini Dar es Salaam, imeagiza kufutwa kwa mahojiano kati ya kituo hicho na mwanasiasa mkongwe Visiwani...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2019MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha hukumu ya mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Tarime, marehemu Chacha Wange- Bob Chacha Wangwe. Anaripoti Faki...
By Faki SosiMarch 28, 2019WABUNGE karibu wote wa Chama cha Wananchi (CUF), kutokea Unguja na Pemba, wanatarajiwa kutangaza kuondoka kwenye chama hicho, muda wowote kutoka sasa. Anaripoti Yusuph Katimba …...
By Yusuph KatimbaMarch 28, 2019MKUTANO ulioitishwa na Sheikh Juma Ramadhan, Naibu Amiri wa Shura ya Vijana na Maimamu wa Mkoa wa Dar es Salaam, umeratibiwa na uongozi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2019JESHI la Polisi jijini Dar es Salaam, limepiga marufuku mkutano wa kisiasa wa Chama cha ACT-Wazalendo, kwa madai ya kuwapo tishio la vurugu....
By Mwandishi WetuMarch 27, 2019WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa maofisa elimu nchini kutojihusisha kwenye vitendo vya kupanga na kuiba mitihani ya kitaifa. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMarch 27, 2019RAIS John Magufuli amemteua Mhandisi, Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeMarch 26, 2019ZITTO Zuberi Kabwe Ruyangwa, “ameivua nguo,” ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini. Ameionyesha kutokuwa makini katika kushughulikia masuala yanayohusu ofisi yake;...
By Kelvin MwaipunguMarch 26, 2019UONGOZI wa Chama cha Wananchi (CUF) umeanza kushinikiza wabunge waliokuwa wakimuunga aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad kwenda kuungama. Anaripoti...
By Regina MkondeMarch 26, 2019ROBERT Katula, mdhamini wa kwanza wa mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, ametaja sababu tatu kubwa za kuomba kujitoa kwenye udhamini wa...
By Faki SosiMarch 26, 2019CHAMA cha Wananchi (CUF) kimefungua shauri mahakamani visiwani Zanzibar kushitaki watu wanaodaiwa kuchoma bendera zake pia kupaka rangi ya bendera ya Chama cha...
By Regina MkondeMarch 26, 2019BARUA ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini iliyotoka na kusambazwa jana tarehe 25 Machi 2019 kwenye mitandao ya kijamii na...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2019MLINDA mlango wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Juma Pondamali amesema kuwa safari ya timu hiyo kufuzu katika michuano ya lililokuwa...
By Kelvin MwaipunguMarch 25, 2019RAIS John Magufuli amekutana na Timu ya Soka ya Taifa-Taifa Stars- leo tarehe 25 Machi 2019 ambapo amewaeleza, alishindwa kwenda uwanjani kuangalia mechi...
By Bupe MwakitelekoMarch 25, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeagiza kupekwa mbele ya mahakama, taarifa ya kinachoendelea juu ya matibabu ya mbunge wa...
By Mwandishi WetuMarch 25, 2019CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeungana na Chama cha Wananchi (CUF) kulalamikia hatua ya waliokuwa wanachama wa chama hicho (CUF) kubadili rangi za majengo...
By Faki SosiMarch 25, 2019BAADA ya miaka 39 na takribani miaka 27 ya kuitwa, “kichwa cha Mwandawazimu,” hatimaye timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), imefanikiwa kufuzu...
By Kelvin MwaipunguMarch 24, 2019MKUU wa Kitengo cha ulinzi wa Mtoto kutoka UNICEF, Maud Droogleever Fortuyn amesema kuwa usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini...
By Danson KaijageMarch 24, 2019WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa katika kila Watanzania 100,000, kati yao 269 wanahisiwa kuwa...
By Hamisi MgutaMarch 24, 2019KUELEKEA kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kwa kombe la mataifa Afrika dhidi ya Uganda, kocha mjuu wa timu ya Taifa ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 23, 2019FIKRA kwamba, Rais John Magufuli anapaswa kuendelea kuwepo madarakani hata baada ya kumaliza muhula wake wa pili iwapo atachaguliwa, wametakiwa kuzika fikra hizo. Anaripoti...
By Danson KaijageMarch 23, 2019ACT-WAZALENDO hakujapoa. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na amsha amsha ya ‘ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee’ inavyotekelezwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Ni kauli mbiu iliyoasisiwa baada...
By Bupe MwakitelekoMarch 23, 2019HIKI sio kikundi cha uasi. Hatutukani mtu hapa wala hatushauri vurugu. Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (BAVICHA) linafuata...
By Regina MkondeMarch 23, 2019CHAMA cha Chadema kimesema kitafungua shauri mahakamani, kupinga sheria mpya ya vyama vya siasa, iliyosainiwa na Rais John Magufuli tarehe 19 Machi mwaka...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2019HARAKATI za Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) kujiweka mbali na vyama shirika vya upinzani zinaelekea tamati. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Ni...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2019PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametoa siku tano kwa watendaji wa halmashauri zilizoko jijini humo, kuanza utekelezaji wa miradi...
By Hamisi MgutaMarch 23, 2019WACHEZAJI wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Peter Tino na Taso Mutebezi, wamewataka wachezaji wa sasa wa timu ya...
By Kelvin MwaipunguMarch 22, 2019NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile ametembelea Taasisi ya Tiba ya mifupa, upasuaji wa ubongo,...
By Hamisi MgutaMarch 22, 2019KUSHAMBULIWA na kuua wa kwa Waiumini wa Dini ya Kiislam msikitini kumeibua mambo mengi nchini New Zealand ikiwa ni pamoja na kuimarisha mshikamano...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2019KISHINDO cha Maalim Seif Shariff Hamad kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo tayari kimeyumbisha chama chake cha awali, Chama cha Wananchi (CUF). Anaripoti Jabir Idrissa …...
By Jabir IdrissaMarch 22, 2019BAADA ya kuteka Mji wa Jerusalem kutoka Taifa la Palestina na kuukabidhi kwa Israel, sasa Donald Trump, Rais wa Marekani anaelekeza nguvu kuuteka...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2019RAIS John Magufuli ameiomba nchi ya Qatar kushirikiana na serikali yake kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo, ikiwemo uzalishaji wa nishati ya...
By Regina MkondeMarch 21, 2019MBUNGE wa Iramba (CCM), Mwigulu Nchemba, amemvaa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Zuberi Kabwe, kwa kile alichokiita, “kukosa utu.” Anaripoti Regina Mkonde … (endelea)....
By Masalu ErastoMarch 21, 2019KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Professa. Adolf Mkenda, amesema serikali imeanza mipango na mikakati itakayosaidia wizara hiyo kuongeza ukusanyaji wa...
By Moses MsetiMarch 21, 2019PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amewekwa njia panda na baadhi ya wabunge wa chama chake hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2019