Friday , 17 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari Mchanganyiko

Maonesho ya nane nane yadorora Dodoma

MAONESHO ya Wakulima ya nane nane mwaka huu yanayofanyika mkoani Dodoma yamedorora, anaandika Dany Tibason. Baadhi ya washiriki waliozungumza na MwanaHALISI online katika...

Habari Mchanganyiko

Lake Oil ‘wapigwa kufuli’ Morogoro

SERIKALI mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imevifungia vituo vinne vya kuuza mafuta, kwa kosa la kukiuka agizo la...

Habari Mchanganyiko

Serikali yawapigia debe maskini Kahama

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Albert Msovela amewataka wananchi wa kijiji cha Iyenze kata Iyenze  wilayani  Kahama mkoani Shinyanga kuhakikisha wanawasaidia wanzeo...

Habari Mchanganyiko

Lugha ya Kichina yasababisha mgomo kampuni ya ujenzi

MGOMO wa wafanyakazi zaidi ya 290 wa Kampuni ya Kimataifa ya Geo Engineering ya China inayotekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara ya...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji madini wapewa somo

WACHIMBAJI wadogo wa madini wametakiwa kuzingatia taratibu za kitalaam wakati wa uchimbaji ili kuepuka ajali  maeneo hayo, anaandika Mwandishi wetu. Haya yamebainishwa na...

Habari Mchanganyiko

Bodaboda waanza kuelewa somo

MADEREVA wa Bodaboda katika jiji la Dar es Salaam wameonekana kuanza kuelewa umuhimu wa matumizi wa kofia ngumu wakati wa kuendesha usafiri huo,...

Habari Mchanganyiko

Serikali yaombwa kusaidia wafugaji Ngamia

SERIKALI imeombwa kuwatambua wafugaji wa Ngamia na kusaidia kuwapunguzia gharama za kuwafuga kwa kuwa wana faida zaidi kuliko wanyama wengine, anaandika Dany Tibason....

Habari Mchanganyiko

Profesa Maghembe atoa neno Morogoro

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewahimiza viongozi kuanzia ngazi ya mkoa, wilaya hadi vijiji kuhakikisha wanasimamia uwepo wa bei nzuri...

Habari Mchanganyiko

Serikali yajibu mapigo ya Mbowe

HATIMAYE  hoja zilizotolewa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zimemuibua msemaji wa serikali wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hassan Abbas, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Jiji la Arusha yafikia asilimia 60 makusanyo

HALMASHAURI ya jiji la Arusha imekusanya asilimia 60 ya mapato yatokanayo na miradi ya ndani ya maendeleo kwa kipindi cha bajeti ya mwaka...

Habari Mchanganyiko

Kaya 700 Monduli kunufaika na maji

KAYA zipatazo 700 za Kitongoji cha Irmorijo katika Kijiji cha Emairete wilayani Monduli zilizokuwa zinatumia maji ya bwawa zinatarajia kunufaika na mradi wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mavunde awatua ndoo wananchi Mhande

MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Mhande huku akiwaonya watakaoharibu miundombinu ya mradi huo...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa apigia debe uwekezaji nchini

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kampuni ya SBC Tanzania Ltd kinachotengeneza vinywaji baridi pamoja na kiwanda cha kukata na kung’arisha mawe...

Habari Mchanganyiko

Maambukizi ya VVU yapiga kambi kwa wanandoa

WATU waliofunga ndoa na kuunganika kuwa kama mwili mmoja na kuepukana na masuala ya kufanya ngono zembe, imebainishwa wao kwa sasa ndio wamekuwa...

Habari Mchanganyiko

Familia zatengwa na kijiji cha Mureru

FAMILIA mbili za Kijiji cha Mureru, Kata ya Lalaji, wilayani Hanang’ zimedasi kuishi kwa kuhofia maisha yao baada ya kutengwa na jamii kijijini...

Habari Mchanganyiko

Kanisa lanufaisha vijana 6,000 Arusha

KANISA Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, limewanufaisha kwa elimu ya malezi ya maadili mema zaidi ya vijana 6,000 itakayowawezesha kuwa na utu na...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yadaka watendaji 12 Mbeya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwakamata mara moja, kuwahoji na kuwafikisha mahakamani watendaji wakuu 12...

Habari Mchanganyiko

NHC yashusha neema kwa watumishi Mabarali

HALMASHAURI ya wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya imesema kuwa ili kupunguza adha ya Nyumba za kuishi kwa Watumishi wa Halmashauri hiyo,Baraza la Madiwani...

Habari Mchanganyiko

Jiji la Dar es Salaam kinara wa matukio ya mauji

JIJI la Dar es Salaam linaongoza kwa matukio ya mauaji yatokanayo na watu kujichukulia sheria mkononi yaliyofikia 117 katika kipindi cha nusu mwaka...

Habari Mchanganyiko

Ndoto za Moshi kuwa jiji zayeyuka

AMRI ya Rais John Magufuli inayodaiwa kusimamisha mchakato mzima wa upanuzi wa mji wa Moshi kuwa Jiji ‘imewavuruga’ Madiwani wa Manispaa hiyo na...

Habari Mchanganyiko

 Waziri Mkuu Majaliwa awatega Madiwani Kyela

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku mbili Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya kumaliza tofauti zao zinazokwamisha utendaji wa Halmashauri...

Habari Mchanganyiko

Waziri amvua madaraka mkuu idara ardhi

ANGELINA Mabula, Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, amemvua madaraka mkuu wa idara ya ardhi wa Wilaya ya Ukerewe, Elia Mtakama, kwa...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa awapa kibarua watendaji Songwe

VIONGOZI wa mkoa wa Songwe wametakiwa kushiriki kikamilifu kutatua migogogro ya ardhi ili kuzuia migogoro kati ya wakulima na wafugaji inayohatarisha usalama wa...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yanusuru afya ya Seth wa IPTL

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeliamuru Jeshi la Magereza na Mamlaka zinazohusika na mshtakiwa wa IPTL,   Harbinder  Seth  kumpeleka katika Hospitali ya...

Habari Mchanganyiko

Majangili yatelekeza porini nyara za serikali

JESHI la Polisi mkoani Mbeya kwa kushirikiana  na askari wa TANAPA wamekamata pikipiki sita  zikiwa zimepakia nyara za serikali katika pori la hifadhi...

Habari Mchanganyiko

Wakuu wa shule watakiwa kuacha kula ‘shushu’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro ameagiza walimu wakuu wa shule za sekondari kufundisha vipindi mbalimbali vya masomo ili kupunguza mrundikano wa...

Habari Mchanganyiko

Wanawake Babati walalamikia kuswekwa Rumande

WANAWAKE wanaofanya biashara ya kuuza samaki  maeneo ya  stendi  kuu ya mabasi mjini hapa wameilalamikia Halmashauri ya Mji wa Babati kuwaondoa  kwa nguvu...

Habari Mchanganyiko

Migogoro ya wafugaji kutafutiwa dawa

SERIKALI imewataka viongozi wa Chama cha Wafugaji nchini pamoja na watetezi wa haki za wafugaji kuhakikisha wanaondoa migogoro ya wafugaji na wakulima ambayo...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro kutimua Polisi wabambika kesi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amewaonya askari polisi kuacha tabia ya kuwabambikia wananchi kesi huku akiahidi kwatimua kazi watakaobainika...

Habari Mchanganyiko

Viongozi wa dini wapewa neno Arusha

SERIKALI imewataka viongozi wa dini kuacha kujiingiza kwenye siasa badala yake waendelee kuimarisha amani na mshikamano kwa jamii, anaandika Mwandishi Wetu. Mkuu wa...

Habari Mchanganyiko

Watumiaji wa simu waondolewa hofu

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaondolea hofu watumiaji wa mitandao ya simu wanaotaka kutumia huduma ya laini moja kwa mitandao yote kuwa hatawakosa...

Habari Mchanganyiko

Wananchi waingiwa hofu malipo ya fidia Tanga

SAKATA la malipo ya fidia kwa wakazi wanaopisha mradi wa bomba la mafuta vijiji vya Kata ya Chongoleani, limeingia sura mpya baada ya...

Habari Mchanganyiko

Mfanyabiashara amshikia kisu mwanafunzi ambaka

MFANYABIASHARA maarufu katika mtaa wa Swaswa kata ya Ipagala Manispaa ya Dodoma, Charles Kalinga mwenye umri wa miaka 43 amenusurika kifo baada ya...

Habari Mchanganyiko

Tamasha la utamaduni kufanyika Dar

KAMPUNI ya masoko inayojishughulisha na ushauri na mikakati kwa wateja ZECHY Afrika imeandaa tamasha la kusheherekea utamaduni wa mtanzania (Chemichemi Canival) litakalofanyika mwezi...

Habari Mchanganyiko

Mwakyembe awashukuru Watanzania

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk.Harrison Mwakyembe, amewashukuru viongozi mbalimbali wa serikali na Watanzania wote kwa ujumla waliohusika kufanikisha shughuli nzima...

Habari Mchanganyiko

Buchosa yakabiliwa na uhaba wa watumishi, vifaa

HALMASHAURI ya Buchosa Wilaya ya Sengerema, Mwanza, inakabiliwa na upungufu wa vifaa vya ofisi, vifaa vya uchoraji ramani na vifaa vya kutayarisha hati...

Habari Mchanganyiko

Wachimbaji wadogo Sikonge wamwaga fedha serikalini  

KIKUNDI  cha wachimbaji wadogo kinachomiliki mgodi wa dhahabu wa Kapumpa uliopo tarafa ya Kitunda wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora kimeongoza kwa kulipa mrabaha...

Habari Mchanganyiko

Mongella atoa neno kwa wakazi wa Mwanza

WANANCHI mkoani Mwanza wametakiwa kupenda kushiriki kikamilifu katika kupima Afya na kufanya usafi wa mazingira yanayowazunguka na wanayofanyia kazi ili kuweza kuondokana adha...

Habari Mchanganyiko

Wananchi wamtimua kazi mwenyekiti wa kijiji

WANANCHI wa kijiji cha Bulige kata ya Bulige katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamemkataa mwenyekiti wa kijiji hicho, mtendaji pamoja...

Habari Mchanganyiko

Bodi mpya NCAA yaahidi kutatua changamoto

BODI ya Mamlaka ya Ngorongoro (NCAA), imesema itakabiliana na changamoto zinazoikabili mamlaka hiyo kufikia dira ya uhifadhi, anaandika Mwandishi Wetu. Kaimu Mwenyekiti mpya...

Habari Mchanganyiko

Wakili Makene alilia fedha za ada ya TLS

WAKILI wa kujitegemea ambaye pia ni mwanachama wa Chama Cha Mawakili Tanzania Bara(TLS), Emmanuel Makene amekilalamikia Chama hicho kuwa hakiwasaidii wanachama wake wakati...

Habari Mchanganyiko

Wenye ulemavu waiangukia serikali ya JPM

CHAMA cha walemavu Tanzania (CHAWATA), kimeiomba serikali ya awamu ya tano kuwaangalia kwa jicho la tatu katika swala zima la uchumi wao, anaandika Victoria...

Habari Mchanganyiko

Mrisho Gambo ‘awapiga mkwara’ wafugaji

MKUU wa Mkoa Arusha, Mrisho Gambo amesema mwananchi yeyote atakayeshindwa kutoa ushirikiano wa kujua idadi ya mifugo aliyo nayo atatiwa nguvuni, anaandika Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wanawake wapewa somo la unyonyeshaji

WANAWAKE wamehimizwa kunyonyesha watoto kwa kipindi kinachoshauriwa kitaalamu ili kuwaepusha na madhara ya utapiamlo na udumavu wa akili, anaadika Mwandishi Wetu. Mratibu wa...

Habari Mchanganyiko

Waziri Manyanya avutiwa ujenzi wa madarasa

NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kuwa wazalendo kwa nchi yao...

Habari Mchanganyiko

‘Mifupa ya binadamu yazagaa Mwanza’

ANGELINA Mabula, NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, ameitaka halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela, kuhakikisha zinamaliza uhaba wa...

Habari Mchanganyiko

Prof. Mbarawa awatoa hofu wananchi Shinyanga

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, amewatoa hofu wananchi wa Kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga kwamba hakuna mtu atakayechukuliwa...

Habari Mchanganyiko

Bendera azifunda halmashauri zake Manyara

HALMASHAURI ya Wilaya ya Simanjiro, imeendelea kupata hati safi kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG), kwa mwaka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ugonjwa wa ajabu watesa wanafunzi Tanga

WANAFUNZI wanaosoma shule ya sekondari ya Kwamkabara kata ya Kwamkabara wilayani Muheza mkoani Tanga wamepatwa na ugonjwa wa ajabu unaosababisha kuanguka hovyo, anaandika...

Habari Mchanganyiko

Lukuvi awabana watumishi sekta ya ardhi

SERIKALI imewaagiza Maofisa ardhi wa Manispaa ya Iringa pamoja na halmashauri zote nchini kufanya kazi kwa weledi pamoja na kutatua kero za wananchi...

error: Content is protected !!