Friday , 17 May 2024

Habari Mchanganyiko

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Udhibiti wa serikali wakera asasi za kiraia

Baadhi ya wadau wa demokrasia na viongozi wa asasi za kiraia nchini, wamekemea tabia ya Serikali kudhibiti asasi hizo katika chaguzi zinazofanyika nchini....

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Nape aomba bajeti ‘kiduchu’ kwa mwaka 2024/25

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo Alhamisi ameliomba Bunge kuidhinisha kiasi cha Sh. 180.9 bilioni kwa ajili ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Seneta: Wanasiasa hawasaidii mchakato wa Katiba mpya

Seneta wa jimbo la Busia, nchini Kenya, Okiya Okoiti Andrew amesema Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya kwa kuwategemea wanasiasa pekee bali kila mwananchi...

Habari Mchanganyiko

Wananchi washauriwa kuongeza uelewa wa kujikinga na majanga

WITO umetolewa kwa wananchi kuongeza uelewa na utayari kabla na baada ya majanga huku wakijua namna ya kujikinga nayo ikiwemo mafuriko kwa kupunguza...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

ACT-Wazalendo yasusia uchaguzi wa ubunge Zanzibar

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimegoma kushiriki uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kwahani, visiwani Zanzibar, ikidai uamuzi huo unatokana na kupuuzwa kwa ushauri wake...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Balozi Amina ataka udhibiti wa utekelezaji wa mwafaka

Mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali, amesema kuwa kunahitajika mikakati maalumu na vigezo vya kutekeleza na kudhibiti makubaliano ya mwafaka visiwani...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali kupitia upya tozo za madini zinazotozwa na halmashauri

SERIKALI inaendelea na zoezi la kupitia tozo na ushuru wa halmashauri ili kuondoa utitiri wake uliotajwa kuwa mzigo kwa wajasiriamari wadogo hususan wa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mbunge CCM aibana Serikali ukamilishaji miradi kwa bajeti inayofikia ukingoni

MBUNGE wa Hai (CCM), mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe, ameibana Serikali bungeni jijini Dodoma, kuhusu ukamilishaji miradi ya maendeleo ambayo ilipangwa kutekelezwa katika bajeti...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

CCM yaviita mezani vyama kujadili Katiba, maridhiano

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kipo tayari kukaa meza moja ya mazungumzo na vyama mbalimbali kwa lengo la kufanya mjadala wa Katiba pamoja...

Habari Mchanganyiko

Taasisi za Serikali zatakiwa kuanzisha hatifungani

  WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mbunge Mwakasaka alitaka Jeshi la Polisi kutenda haki

EMMANUEL Adamson Mwakasaka, Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), amelitaka Jeshi la Polisi kumfungulia jalada la kesi ya wizi, uliofanyika nyumba kwake, Kihonda mkoani...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia ateua wenyeviti wa taasisi mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Prof. Masoud Hadi Muruke kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa...

Habari Mchanganyiko

Afrika Mashariki wasisitizwa ushirikiano kukabiliana na hali mbaya ya hewa

  MWENYEKITI wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ametoa rai kwa wataalamu kutoka nchi za...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC yaitambulisha rasmi ‘NBC Connect’ Zanzibar

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha rasmi huduma yake ya kidigitali ya ‘NBC Connect’ Visiwani Zanzibar. Huduma hiyo ya kisasa mahususi kwa...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NMB yazindua akaunti ya kidijitali kwa wajasiriamali

BENKI ya NMB imezindua akaunti maalum ya kidijitali iitwayo ‘NMB Niwekee,’ inayolenga kuleta ukombozi wa maisha ya baadaye ya watu walio nje ya...

Habari Mchanganyiko

Biteko aagiza vituo vya utafiti kushirikiana kuboresha utafiti

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutoa kipaumbele kwa sekta ya afya na itaendelea kuunga...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yaongoza kikao cha wataalamu Afrika kuhusu nishati safi ya kupikia

Tanzania imeongoza kikao cha wataalamu kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika kujadili kuhusu vipaumbele vya sera katika masuala ya nishati safi ya kupikia ili...

Habari Mchanganyiko

Moduli ya kuwasilisha rufaa za zabuni kieletroniki kuanza Julai

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imesema moduli ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na rufaa kwa njia ya...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wizara kutumia Sh. 3.5 bilioni kuchunguza afya ya akili, nguvu za kiume

WIZARA ya Afya, imepanga kutumia Sh. 3.50 bilioni, kwa ajili ya kufanya tafiti za masuala sita, ikiwemo changamoto ya afya ya akili na...

Habari Mchanganyiko

CTI na wanachama wajadili utitiri wa tozo

  MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, shule Kuu ya Biashara (UDBS), Patrolik Kanje, ameshauri utitiri wa tozo za mamlaka ya...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC yapaza sauti changamoto ya intaneti

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufanya jitihada za kutafuta njia mbadala...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Prof. Ndakidemi aitaka TMA kutoa taarifa kwa njia ya SMS

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi (CCM) ameishauri Serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) kutumia simu za mkononi ili...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Mrema TLP kupatikana Juni 29

UCHAGUZI wa  Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), umepangwa kufanyika tarehe 29 Juni mwaka huu, ili kumpata mtu atakayeshikilia wadhifa huo...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Msukuma aibana Serikali ujenzi nyumba za watumishi Geita DC

MBUNGE wa Geita, Joseph Msukuma (CCM) ameishauri Serikali kutenga bajeti maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Halmashauri 31 zilizoanzishwa...

AfyaHabari MchanganyikoHabari za Siasa

NBC yazindua kadi uanachama msalaba mwekundu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuunga mkono jitihada za serikali katika...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Biteko: Serikali itaendelea kushirikiana na Red Cross

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuangalia upya mfumo mzima wa utoaji...

BiasharaHabari Mchanganyiko

PPAA yajipanga kuwanoa wazabuni namna kuwasilisha rufaa kieletroniki

Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA)...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vijana UVCCM Kagera wataka mwenyekiti wao ajiuzulu

VIJANA wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera wamemtaka Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa huo Faris Buruhan kuomba radhi au kujiuzulu kwenye nafasi yake...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

THRDC, Wizara ya Katiba wajadili uanzishaji haki binadamu katika biashara

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Pindi Chana, kuhusu masuala matano...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Sitta ang’ang’ana wanafunzi watibiwe bure, Serikali yagoma

MBUNGE wa Urambo, Margaret Sitta, ameishauri Serikali iweke utaratibu wanafunzi wapatiwe huduma za afya bure kama inavyotoa huduma za elimu bure kuanzia shule...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Waitara ahoji bungeni mwarobaini mauaji katika mgodi Barick North Mara

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CCM), Mwita Waitara, ameitaka Serikali kutafuta mwarobaini wa visa vya mauaji ya vijana wanaodaiwa kuvamia maeneo ya Mgodi wa...

Habari MchanganyikoMichezo

Arafat atoka bima na kurejea kwenye benki

Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amemteua Arafat Ally Haji kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Serikali ya Watu wa Zanzibar (PBZ). Arafat amehudumu...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kikokotoo na mafao vyatikisa Bunge, Spika ataka kibano kwa mifuko

SAKATA la kanuni mpya za ukokotoaji mafao ya wastaafu (kikokotoo) kupunja pensheni za watumishi, pamoja na ucheleweshaji wa malipo yake, limeendelea kutikisa Bunge,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kamati Kuu Chadema kuketi Mei 11

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa kuketi katika makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam, kuanzia...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yapunguza kodi ya makampuni kwa 20%

SERIKALI imepunguza kodi ya makampuni kwa asilimia 20, kutoka asilimia 30 hadi 10, kwa kipindi cha miaka mitano ya mwanzo, lengo likiwa ni...

Habari Mchanganyiko

Mradi uliotaka kumng’oa madarakani Dk. Mpango waanza majaribio

MRADI wa maji wa Mwanga-Same-Korogwe, ambao Makamu wa Rais, Dk. Phillip Mpango aliahidi kujiuzulu endapo hautakamilika hadi kufikia Juni 2024, sasa umeanza majaribio...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Madiwani Msalala wampa tano DED kwa kuongeza mapato

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, mkoani Shinyanga, Khamis Katimba, amepongezwa na baraza la madiwani la halmashauri hiyo, kwa kuvuka lengo la...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kimbunga Hidaya chaua 5, kaya 7,027 zikikosa makazi

SERIKALI imetoa tathmini ya athari za kimbunga Hidaya, kilichotokea tarehe 3 Mei 2024, ikisema wananchi wa wilaya kadhaa zilizoko katika Pwani ya Bahari...

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wafugaji kuku Ihemi wanufaika na mafunzo

WADAU  wa mnyororo wa thamani katika sekta ndogo ya kuku wameonesha kuridhishwa  na  mafunzo ya ufugaji kuku kisasa yanayotolewa Kituo cha SilverLands Tanzania...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Serikali yaainisha mpango wa kusaidia wachimbaji wadogo

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameainisha mpango wa Serikali wa kusaidia utatuzi wa changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

DAWASA yatekeleza agizo la Samia kwa kutangaza zabuni kielektroniki

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Godfrey Mnzava ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa...

Habari MchanganyikoMichezo

Kengold wakabidhiwa kombe NBC Championship

Mdhamini mkuu wa Ligi Daraja la Kwanza (NBC Championship) Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi kombe la ubingwa wa ligi hiyo kwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Rais Samia: Matumizi ya nishati safi sio anasa, ladha ipo

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema matumizi ya nishati safi kwa kupikia ni mahitaji ya lazima sio anasa hivyo utamaduni wa Watanzania kudhani chakula...

BiasharaHabari Mchanganyiko

NBC, SILABU waungana kufikisha elimu ya fedha majumbani

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na kampuni ya SILABU APP inayotoa huduma za masomo ya ziada...

AfyaHabari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Kisukari cha mimba ni nini?

Kisukari cha mimba ni aina ya kisukari kinachotokea kwa baadhi ya wanawake wakati wa ujauzito. Katika kisukari cha mimba mwili wa mama hutengeneza...

Habari Mchanganyiko

Mafunzo kwa bodaboda 395 yamkuna Meya Dodoma

NAIBU Meya wa Jiji la Dodoma, Asma Karama amepongeza mafunzo yanayotolewa na Shirika la Amend kwa udhamini wa Ubalozi wa Uswis kwa madereva...

Habari Mchanganyiko

Samia aagiza huduma za dharura maeneo yaliyoathiriwa na kimbunga Hidaya

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yatoa uamuzi zuio dhidi ya Club House

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam, imeamua kwamba, ni haki ya kibinadamu kwa mwananchi kutumia mtandao wa Club House,...

Habari Mchanganyiko

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha

ZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa mafunzo maalum ya usalama na afya kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua...

error: Content is protected !!