Categorizing posts based on type of post
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2024MKUTANO wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uliokuwa unafanyika kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe, umeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha....
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2024ALIYEKUWA Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi “Sugu”, ametumia maandamano na mkutano wa hadhara wa chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufikisha...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2024SAKATA la mkataba wa kiserikali kati ya Tanzania na Imarati ya Dubai, juu ya ushirikiano wa uwekezaji kwenye baadhi ya maeneo ya Bandari...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2024KADA wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndolezi Petro amerejesha fomu ya kuomba kugombea uenyekiti wa ngome ya vijana ya chama hicho, na kutaja vipaumbele...
By Regina MkondeFebruary 20, 2024WAZABUNI waliofanyakazi na Halmashauri ya Liwale na kushindwa kulipwa fedha zao, wamembebesha mzigo Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2024MAELFU ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza katika maandamano ya amani ya kudai katiba mpya na tume...
By Mwandishi WetuFebruary 20, 2024VYAMA vya siasa vya upinzani vimetakiwa kushiriki chaguzi zijazo hata kama madai yao ya upatikanaji tume huru ya uchaguzi na katiba mpya hayajafanyiwa...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, amedai Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewafanya watanzania kutonufaika na Hayati Edward Lowassa, kufuatia hatua yake...
By Mwandishi WetuFebruary 19, 2024ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, hakukubali kuyumbishwa katika utekelezaji wa majukumu yake serikalini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kama historia ya Hayati Edward Lowassa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ingewekwa katika...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2024MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza kusikitishwa na hatua ya familia ya Hayati Edward Lowassa kuandika historia ya waziri mkuu huyo mstaafu...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2024PAROKO wa Kanisa Katoliki la Sali, Padri Charles Kuandika, amemshukia Mbunge wa Ulanga Mashariki, Salim Almasi (CCM) na Diwani wa Kata ya Sali,...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2024VIKAO vya Bunge, vilivyoanza mwishoni mwa Januari 2024, vimeahirishwa hadi tarehe 2 Aprili mwaka huu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeFebruary 16, 2024KIGEZO cha mafunzo katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), kutumika katika kuajiri vijana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hasa majeshi, kimeibua...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2024MFANYABIASHARA, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2024KATIBU mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emanuel Nchimbi amesema mbali na kumpoteza rafiki, na kaka, pia Taifa na Afrika imempoteza Mwana Afrika...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2024SERIKALI imetakiwa kuwaongezea mamlaka wakaguzi wa ndani ili waweze kuzuia ubadhirifu na wizi wa mali ya umma unaofanywa na baadhi ya viongozi...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2024MGAWO wa umeme nchini unatarajiwa kumalizika Machi 2024, baada ya mtambo namba tisa wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2024RAIS Mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, anaendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari, huku familia ikiwaomba Watanzania wamuombee...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2024HATIMAYE Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, umewasili nyumbani kwake Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kutoka jijini...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, amemkaribisha aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa, arejee...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2024SERIKALI imevutiwa na mpango wa Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania wa ‘Code like a Girl’ na kuahidi kujenga chuo maalum kitachofundisha...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2024MWILI wa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, umewasili mkoani Arusha, kwa ajili ya kupelekwa nyumbani kwake Monduli, ili...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2024VIONGOZI wa kimila wa jamii ya Wamasai (Malaigwanan), wameomba aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, azikwe kimila kwa kuwa enzi za...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2024MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye alikuwa kinara kumtuhumu kwa ufisadi aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, amesema hana doa...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wanachama wa vyama vya siasa hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM), kushiriki maandamano waliyoyaandaa kupinga ugumu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2024MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, amewataka viongozi wa kisiasa kufanya ibada kulingana na imani zao ili...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2024MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2024Mbunge wa zamani wa Busega na rafiki wa karibu aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa, Dk. Raphael Chegeni (CCM) amesema huenda mwanasiasa...
By Regina MkondeFebruary 14, 2024BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limetoa waraka wa kipindi cha Kwaresma, huku likihimiza mifumo ya uongozi ya kifamilia na kisiasa iimarishwe ili...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2024MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ataongoza maandamano ya amani ya kudai katiba mpya, ili kumuenzi aliyekuwa mgombea...
By Regina MkondeFebruary 14, 2024Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amewaongoza viongozi na wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2024FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa, imesema kiongozi huyo mstaafu alipigania uhai wake kabla ya mauti kumkuta. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema yapo baadhi ya masuala kimejifunza kutoka kwa aliyekuwa kada wake na waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa. Anaripoti...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema Lowassa alikuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi na ameacha alama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema Hayati Edward Lowassa alikuwa kiongozi mwenye hekima na mvumilivu na kwamba hata alipokejeliwa na kuchafuliwa hakurudisha...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024MAMIA ya watu wamejitokeza katika Viwanja vya Karimejee jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani,...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumuenzi Hayati Edward Lowassa, kwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji katiba...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema sababu ya kupinga chama chake kumsimamisha Hayati Edward Lowassa kugombea urais...
By Regina MkondeFebruary 13, 2024RAIS mstaafu, Jakaya Kikwete ambaye alikuwa swahiba mkubwa wa Hayati Edward Lowassa kiasi cha kupewa jina la ‘Boys II Men,’ amekwepa kuzungumzia namna...
By Regina MkondeFebruary 12, 2024Rais Samia Suluhu Hassan, leo Jumatatu tarehe 12 Februari 2024 amekutana na Kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis katika mji wa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeonesha kuridhishwa na marekebisho yaliyofanyika katika sheria za uchaguzi, kikisema masuala sita kati ya 10 yaliyopendekeza katika mchakato huo, yalijumuishwa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema Serikali kama haitatatua changamoto sugu zinazowakabili wananchi hususan ugumu wa maisha, migogoro ya ardhi na ukosefu wa ajira kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024SERIKALI imetakiwa kuweka mkazo katika utekelezaji sheria zinazowaadhibu wanaume wanaotelekeza familia zao hasa watoto waliozaliwa mapacha kuanzia watatu, ili kuhakikisha wanawake hawabebi mzigo...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2024MBUNGE Viti Maalum, Dk. Thea Ntara ameitaka Serikali kutoa elimu kwa mabinti juu ya athari za matumizi holela ya dawa za dharura za...
By Regina MkondeFebruary 12, 2024WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2024Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji ‘Babu Duni’ ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 alikuwa Mgombea Mwenza wa Hayati Edward,...
By Faki SosiFebruary 11, 2024Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadem), Freeman Mbowe ameeleza kupokea kwa mshtuko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha Waziri Mkuu...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2024