Categorizing posts based on type of post
MFANYABIASHARA mashuhuri na mmoja wa mabilionea wakubwa nchini, Ali Mufuruki (60), amefariki dunia. Alikuwa akisumbuliwa na homa ya mapafu. Anaripoti Saed Kubenea …...
By Saed KubeneaDecember 8, 2019JESHI la Polisi Zanzibar limesema, litashughulika kikamilifu na mfuasi yeyote wa Prof. Ibrahim Lipumba (CUF), ama Maalim Seif Sharif Hamad (ACT-Wazalendo) iwapo watatibua...
By Regina MkondeDecember 7, 2019RAIS John Magufuli, amewaeleza wakazi wa Mwanza kwamba ‘wapinzani wataisoma namba.’ Ni baada ya kile alichoita ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwenye...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2019FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anatarajia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, cha kuteua wagombea wa...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, imeahirisha kusikiliza kesi inayowakabili viongozi waandamizi wa Chadema, kutokana na upande wa mashtaka kumtaka...
By Faki SosiDecember 6, 2019CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimejigamba kuwa kinawasubiri wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), waliopanga kuchukua kwa nguvu, mali na majengo, wanayodai ni mali yao. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2019NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Mamlaka ya Maji Misungwi, Charles Kampuni pamoja na kuvunja bodi ya...
By Moses MsetiDecember 6, 2019ESTER Bulaya, Mbunge wa Tarime Mjini ambaye ni mshtakiwa wa tisa, kwenye kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa chama cha Demokrasia na...
By Faki SosiDecember 5, 2019FAHMI Nassoro Dovutwa, mwenyekiti wa taifa wa chama cha United People’s Democratic Party (UPDP), anayedaiwa kufukuzwa uongozi wa chama hicho, amegoma kuachia ngazi....
By Regina MkondeDecember 5, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amemtaka Prof. Palamagamba Kabudi, kujiuzulu uwaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...
By Kelvin MwaipunguDecember 5, 2019EDWARD Lowassa, Waziri Mkuu Mstaafu, amekwepa kuzungumzia hatua ya Frederick Sumaye, kujitenga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina Mkonde …...
By Regina MkondeDecember 5, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imekubali kupokea na kuoneshwa kwa video ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha...
By Faki SosiDecember 4, 2019ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo pamoja na Humphrey Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamezungumzia hatua...
By Regina MkondeDecember 4, 2019FREDERICK Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amelalamika kutoelezwa ‘ukweli,’ kwamba uchaguzi wa ngazi ya uenyekiti kwenye chama hicho, haufuati Katiba...
By Regina MkondeDecember 4, 2019MAZINGIRA ya demokrasia goigoi ndani ya Chama cha Demokrasia na Mamendeleo (Chadema), yamemkimbiza Casmir Mabina, Katibu wa Chadema Kanda ya Pwani. Anaripoti Hamis Mguta...
By Hamisi MgutaDecember 4, 2019TUME ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UN), imeitoa wito kwa Serikali ya Tanzania kutathimini upya, uamuzi wake wa kuzuia asasi...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2019ALIYEKUWA mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Fredrick Sumaye, ametangaza kukihama chama hicho. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumza...
By Hamisi MgutaDecember 4, 2019HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, kutumia nembo ya taifa, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, akizungumzia...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam inatarajia kuamua kupokea au kutopokea kielelezo cha upande wa mashitaka (Jamhuri). Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Ushahidi...
By Faki SosiDecember 3, 2019CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewatangaza viongozi wake 29 wa kanda, waliochaguliwa katika chaguzi zilizofanyika kuanzia tarehe 28 Novemba hadi Desemba Mosi...
By Regina MkondeDecember 3, 2019KAULI iliyowahi kutolewa na Humphry Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM visiwani Zanzibar mwaka jana kwamba, kambi hazitasidia kupata mgombea, leo tarehe...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2019FREDERICK Sumaye na Cecil Mwambe, wanasubiri hukumu yao itayotolewa tarehe 16 Desemba 2019, baada ya kujitosa kugombea nafasi ya uenyekiti-Taifa kupitia Chadema. Anaripoti...
By Regina MkondeDecember 3, 2019MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuwa macho. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 3, 2019PROF. Abdallah Safari, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amedai kuwa vyama vya upinzani nchini, haviwezi kuingia Ikulu, bila kuwapo...
By Faki SosiDecember 2, 2019ALLY Hapi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa amesema, kazi kubwa zaidi katika uongozi hasa wa kuteuliwa ni kutenda haki. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa …...
By Hamisi MgutaDecember 2, 2019PETER Msigwa, Mbunge wa Iringa mjini, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwamba amefunguliwa mashitaka ya uongo kama ilivyokuwa...
By Faki SosiDecember 2, 2019FAHMI Dovutwa, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha UPDP, ameondolewa kwenye nafasi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Imeelezwa, Dovutwa ameng’olewa kwenye nafasi hiyo kwa...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2019WILLIAM Lukuvi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amemvua Ukuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani kwa kosa...
By Hamisi MgutaDecember 2, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa siku tano mfululizo, kuanzia kesho tarehe 2 Desemba 2019, itasikiliza mfululizo kesi ya...
By Faki SosiDecember 1, 2019HATUA ya Frederick Sumaye, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema), Kanda ya Pwani kuangushwa kwenye uchaguzi wa kanda hiyo, imemshtua Prof. Abdallah...
By Faki SosiDecember 1, 2019LICHA ya “vitimbi” vya wafuasi wa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
By Bupe MwakitelekoNovember 30, 2019TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Saed Kubenea, Mbunge wa Ubungo, wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania umakamu...
By Regina MkondeNovember 30, 2019JOHN Pambalu, Diwani Kata ya Butimba jijini Mwanza, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha). Anaripoti Kelvin Mwaipungu...
By Kelvin MwaipunguNovember 30, 2019MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwamba chama chake hakina dhamira ya kushika...
By Faki SosiNovember 30, 2019GHARAMA kubwa za matibabu zilizowekwa na Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF), zitaumiza wengi. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo tarehe...
By Kelvin MwaipunguNovember 29, 2019HURUMA Shahidi, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, ameahirisha kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama ch...
By Faki SosiNovember 29, 2019VIONGOZI wawili wa Chadema, mkoani Songwe wameachwa huru, huku wawili wakifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe, kwa tuhuma za kujaribu kumuua kwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2019TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki yupo nchini Kenya, akisubiri ‘amri’ ya kuingia nchini endapo atahakikishiwa usalama wake. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2019FREDRICK Tluway Sumaye, ameshindwa katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, kufuatia kupigiwa kura nyingi za Hapana. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2019WAKURUGENZI wa halmashauri nchini, wameagiza kurejesha fedha walizokopa kwenye taasisi za fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Agizo hilo limetolewa...
By Regina MkondeNovember 28, 2019MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeahirisha shauri namba 112/2019, linalowakabili viongozi tisa wa Chadema, kutokana na kutetereka kwa afya...
By Faki SosiNovember 28, 2019FREDERICK Sumaye, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani amewataka wagombea kwenye kanda hiyo, kutojenga chuki pale wanaposhindwa. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaNovember 28, 2019CHAMA Chama Mapinduzi (CCM), kina hofu na Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilifikia mtandao...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2019PATRICK Ole Sosopi, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayemaliza muda wake, amesema hana mpango wa kugombea...
By Regina MkondeNovember 28, 2019WATU wengi wanaona tatizo la kukoroma usingizini, ni jambo la kawaida, lakini linapokomaa, madhara yake ni makubwa. Anaandika Hamis Mguta…(endelea). Dk. Elisha Madebere,...
By Hamisi MgutaNovember 27, 2019RAIS John Magufuli amesema, hakuna vya bure, na kwamba ili upate fedha, lazima ufanye kazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kiongozi huyo wa nchini,...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2019MADAI ya Tume Huru ya Uchgauzi yanayotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani nchini, yanakinzana na mtazamo wa Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu...
By Kelvin MwaipunguNovember 27, 2019CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Onyo hilo limetolewa leo...
By Regina MkondeNovember 27, 2019JAJI Mstaafu, Joseph Sinde Warioba ameingiwa na hofu kutoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, uliofanyika tarehe 24 Novemba 2019. Anaripoti...
By Regina MkondeNovember 27, 2019ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, ameibuka na kusema, uchaguzi wa Serikali za Mitaa,...
By Regina MkondeNovember 26, 2019