Saturday , 27 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahojiwa kwa ‘kugawa’ rushwa

TAASISI ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemuhoji Lingstone Lusinde, aliyekuwa Mbunge wa Mtera (CCM) kwa tuhuma za kugwa rushwa. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Sasa hivi wathubutu waone – Zitto

WIZI wa kura unaolalamikiwa wakati wa uchaguzi mkuu, sasa hautatokea kwa namna Chama cha ACT-Wazalendo kilivyojipanga Bara na Visiwani. Anaripoti Faki Sosi, Kasulu Kigoma...

Habari za Siasa

‘Maalim Seif, majimbo 34 tunachukua Z’bar’

MAALIM Seif Sharif Hamad atashinda urais wa Zanzibar na tuna uhakika wa kushinda majimbo 34 ya uchaguzi visiwani humo. Anaripoti Faki Sosi, Kigoma …...

Habari za Siasa

Isaya Mwita: Aliyeng’olewa Umeya wa Jiji, ageukia urais

MIEZI sita baada ya kung’olewa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru amzungumzia Maalim Seif Urais Z’bar

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, yupo mdomoni mwa Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mgombea urais Z’bar anatoka bara? Dk. Bashiru afafanua

HOJA kwamba, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar, anachaguliwa Tanzania Bara imepingwa na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa chama...

Habari za Siasa

Nassari, Qambalo wajiunga CCM, wajikomba 

JOSHUA Nassari, aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha na Willy Qambalo, aliyekuwa Mbunge wa Karatu, wote kutoka Chadema, wametimkia CCM. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Msitu wa wanaCCM Nkenge haunitishi – ‘mgombea’ Chadema

JIMBO la Nkenge lililopo katika Wilaya ya Misenye, Kagera linawindwa na makada 19 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mmoja kutoka Chama cha...

Habari za SiasaTangulizi

Sitamani Tanzania ya sasa – Nyalandu

NATAMANI Tanzania iliyo tofauti na ya sasa, natamani Tanzania isiyogawika, tena isiyo na fursa ya kuwafanya hawa wawe chini au hawa juu. Tanzania...

Habari za Siasa

Wakili amfuata Lissu urais Chadema

GASPAR Mwanalyela, Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu: Bukoba Vijijini ‘ngoma inogile’

WAKATI watia nia wanane kutoka CCM katika Jimbo la Bukoba Vijijini wakichuana kuwania kuteuliwa kugombea, Conchester Rwamlaza, aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum (Chadema)...

Habari za Siasa

Kilimanjaro: Majimbo 9, watia nia 124 CCM

IDADI ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika majimbo tisa mkoani Kilimanjaro, wanaotaka kuwa wabunge mpaka sasa imefika 124. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro...

Habari za Siasa

JPM: R.I.P Mdhamini wa CCM ‘Lusinde’

DAKTARI John Magufuli, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesikitishwa na kifo cha Balozi Job Lusinde, aliyekuwa mdhamini wa chama hicho katika uasisi...

Habari za Siasa

CCM haininyimi usingizi Mafia – Mngwali

RIZIKI Mngwali, mtia nia wa ubunge katika Jimbo la Mafia kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, kelele za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye jimbo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo: Membe ni mtaji kwetu

BERNARD Membe, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Waziri wa Mambo ya Nje Nje katika Serikali ya Awamu ya Nne, ni...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi ACT-Wazalendo watoa tamko dhidi ya Membe

VIONGOZI wa mikoa mitano ya Chama cha ACT Wazalendo, wamemwomba Bernard Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania, akubari ombi...

Habari za Siasa

Majaliwa aeleza Tanzania inavyoboresha usafiri wa majini

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha Watanzania wafanye biashara...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mayrose achukua fomu urais Chadema, aahidi chakula na mishahara bora

DAKTARI Mayrose Majinge, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....

Habari za Siasa

Msimamo wa JPM wamtisha RC Mbeya

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) alikuwa na mpango wa kwenda kugombea ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini, lakini amefuta wazo...

Habari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: Mrema asema mitego ya TLP haijakaa sawa

AUGUSTINE Lyatonga Mrema, Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), amesema mitego ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, bado...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua DC, Ma-DED 5

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya (DC) na Wakurugenzi wa Halmashauri (DED) tano nchini humo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Membe azidi kuwatega upinzani, asema atashinda urais 2020

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania anazidi kuviweka mtegoni vyama vya upinzani nchini humo baada ya kusema, atagombea urais...

Habari za Siasa

Ma-DAS 5 wateuliwa, yupo mtangazaji wa Clouds

WAZIRI wa Nchi, Ofisa ya Rais, Mwnejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amefanya uteuzi wa makatibu tawala watano wa wilaya (DAS)...

Habari za SiasaTangulizi

Membe arudisha kadi ya CCM, mamia wamsindikiza

BERNARD Kamillius Membe, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, ametangaza kurejesha kadi yake ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za Siasa

Iddi Azzan kurejea ‘jimboni kwake’ Kinondoni

IDDI Azzan, aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni (CCM), anajipanga kumvaa Maulid Mtulia anayemaliza muda wake kwenye jimbo hilo, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

UVCCM: Jimbo la Iringa Mjini tunashinda asubuhi

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesema, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, jimbo la Iringa Mjini watashinda asubuhi na mapema....

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu 2020: JPM ‘Ukiniomba ruhusa nakupa lakini…’

WAKUU wa Mikoa, Wilaya na hata wakurugenzi wanaoomba ruhusa ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao, wapo njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Profesa Kabudi: Ukiteuliwa na Rais Magufuli usitamani kazi nyingine

PROFESA Palamaganda Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amewataka watumishi wa umma nchini kuwa waadilifu na uaminifu wakiwa...

Habari za Siasa

Iddi Azzan: Nilitaka kujiua

KASHFA ya dawa za kulevya niliyobebeshwa, ilitaka kunipelekea kufanya uamuzi wa kujitoa roho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ni kauli ya...

Habari za Siasa

Ma- RC, DC na RAS waapishwa Ikulu

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewaapisha wakuu wa mikoa (RC) na Katibu Tawala (RAS) aliowateua wakiwemo wakuu wa mikoa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...

Habari za Siasa

Majaliwa: Tutaendelea kudhibiti matumizi ya fedha za umma

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itaendelea kudhibiti matumizi ya fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Kufuru ya Zitto Kusini, amtingisha Prof. Lipumba

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. Anaripoti Faki Sosi, Lindi...

Habari za Siasa

Maalim Seif aongeza joto la siasa Z’bar

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiendelea na mchujo wake kwa watia nia wa urais visiwani Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad tayari amechukua fomu...

Habari za SiasaTangulizi

Abdul Nondo atangaza ‘kumvaa’ Zitto Kigoma Mjini

ABDUL Nondo, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge Kigoma Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu Majaliwa atoa maagizo kwa mkandarasi, Polisi, TRA na Uhamiaji

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania, ameiagiza Kampuni ya Xiamen Ongoing Construction Group inayojenga  Bandari ya Karema kwa gharama za zaidi ya Sh.47...

Habari za Siasa

JPM ateua wakurugenzi wengine 5

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi watano wa Halmashauri (DED) nchi humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Uteuzi...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua wakurugenzi watatu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakurugenzi watatu katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Mbeya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za Siasa

Urais Z’bar: CCM yapendekeza majina 5

KAMATI Maalum ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, imependekeza majina matano kati ya 31 ya wanachama wa chama hicho waliojitokeza...

Habari za Siasa

Mnyika: Nguvu ya umma itaamua uchaguzi mkuu 2020

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema, kitatumia nguvu ya umma, kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Mnyika atoa onyo wagombea ubunge, udiwani Chadema 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonya watia nia katika kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutoleta mpasuko ndani ya...

Habari za Siasa

Chadema: Tutashinda kwa kishindo udiwani, ubunge Dar

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimeweza kupata wagombea wa ubunge na udiwani, takribani asilimia 90 ya viti vyote vinavyogombewa. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba amsimamisha kigogo CUF

PROFESA Ibrahim Haruna Lipumba, Mwenyekiti  wa Chama Cha Wananchi (CUF), kwa kutumia mamlaka ya kikatiba,  amemsimamisha Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wa chama hicho,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu achukua fomu kugombea urais Chadema

TUNDU Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amechukua fomu ya kugombea urais wa Tanzania, kupitia chama hicho, katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu: Narejea Tanzania kabla ya Julai 28

TUNDU Antipas Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema, atarejea Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua RAS Simiyu

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli  amemteua, Mariam Perla Mmbaga kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu (RAS). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua Ma RC wawili, DC tisa

RAIS wa Tanzania,John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa (RC) wawili na Wilaya (DC) tisa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Uchaguzi Mkuu: Jimbo la Ngara wagombea CCM, Chadema ‘kupasuana’

ZAIDI ya watia nia 30 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kutaka kugombea Jimbo la Ngara, Kagera kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Hofu ya kuchafuliwa Chadema yatawala

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeonesha hofu ya kuchafuliwa kupitia uchunguzi unaofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti...

Habari za Siasa

Ngono? Hakuna kitu hicho Chadema – Matiko

ESTHER Matiko, Mbunge wa Tarime Mjini amesema, ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), hakuna manyanyaso ya kingono. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Waziri Kairuki awatangazia neema wawekezaji

WAZIRI wa Nchi ofisi ya waziri Mkuu anayeshughulikia uwekezaji, Angellah Kairuki amesema, serikali iko mbioni kukamilisha uhakiki wa madai ya ushuru wa asilimia...

error: Content is protected !!