Sunday , 28 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Nyalandu: Nikiwa Rais Tanzania, hakuna atakayeisoma namba

LAZARO Nyalandu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kati na mtia nia wa Urais kupitia chama hicho amesema, akiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Urais Chadema: Mbowe, Mchungaji Msigwa wautosa

WANACHAMA wanne kati ya 11 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ‘wameingia’ mitini katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea...

Habari za Siasa

Membe arejesha fomu za urais, atumia saa 48 kuzijaza

BERNARD Kamilus Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje, amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa na chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo kuwania urais...

Habari za Siasa

Hatutaki ushindi wa malalamiko – Dk. Mwinyi

MTEULE wa urais visiwani Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mwaka huu chama hicho kinataka ushindi usio na malalamiko. Anaripoti Mwandishi Wetu...

Habari za Siasa

Rais Magufuli abadili uteuzi RC Njombe

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe (RC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Rafu CCM zatikisa Shinyanga

WATIA nia ya ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameanza kuchezeana rafu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga…(endelea). Kutokana na...

Habari za Siasa

Waliounga juhudi CCM njia panda

IWAPO Rais John Magufuli na Humphrey Polepole, watayaishi maneno yao kwamba ‘hakuna mbeleko’ kwenye mchakato wa uteuzi wa watia wa ubunge na udiwani...

Habari za Siasa

CCM Iringa yawataka wagombea wakubali kushindwa, wasiende kwa waganga

CHAMA cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa kimetoa onyo kali kwa wagombea ubunge na udiwani watakaobainika kusaliti chama kwa kikiuka kanuni na taratibu...

Habari za Siasa

Majaliwa: Anayeitaka fedha, ataipata shambani

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili...

Habari za Siasa

CCM: Mikutano kupata wagombea iwe wazi, mabalozi wapewa rungu

MCHAKATO wa kura za maoni za kuwatafuta wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, ndani ya Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Polepole: Viongozi wasioridhika, tosheka hawafai

HUMPHREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, amesema viongozi wa umma wasioridhika na nyadhifa zao,...

Habari za Siasa

Moto wateketeza stoo shule ya Mivumoni Dar

SEHEMU ya Shule ya Mivumoni Islamic Seminary iliyoko ndani ya Msikiti wa Mtambani, Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeteketea kwa moto, asubuhi ya...

Habari za Siasa

Urais NCCR-Mageuzi: Aboubakar achukua fomu, asema ndoto yake imetimia

ABOUBAKAR Juma Aboubakar leo Jumamosi tarehe 18 Julai 2020 amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama cha NCCR-Mageuzi, kugombea Urais wa Tanzania, katika Uchaguzi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea ajiondoa Chadema, ajiunga ACT-Wazalendo

MBUNGE wa Ubungo, Dar es Salaam anayemaliza muda wake kupitia Chadema, Saed Kubenea amejiondoa ndani ya chama hicho na kujiunga na chama cha...

Habari za Siasa

Kafulila na Katambi ‘out’, Ma DC, DAS wateuliwa

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameendelea kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Katibu Tawala Mkoa wa Songwe (RAS), Wakuu wa Wilaya (DC)...

Habari za Siasa

386 wajitosa majimbo tisa K’njaro, sita waingia mitini

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 386 kati ya 392 wamechukua na kurejesha fomu za kuomba chama hicho kiwapitishe kuwania ubunge katika majimbo...

Habari za Siasa

Wapinzani waichongea CCM Takukuru

WANASIASA wa vyama vya upinzani nchini Tanzania, wamekichongea Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti...

Habari za Siasa

Viongozi wa dini wataka majukwaa huru kuwahoji wagombea

SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuanzisha majukwaa huru yatakayowapa fursa wananchi kuwahoji wagombea wa nafasi za uongozi serikalini, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020....

Habari za Siasa

Membe achukua fomu urais, asema atamwaga cheche

WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje, Bernard Membe amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha ACT-Wazalendo kimpitishe ili awanie urais wa...

Habari za Siasa

Marekani ‘yapora’ Jumba la Yahya Jammeh

JUMBA la kifahari la Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia, limechukuliwa na Serikali ya Marekani. Inaripoti mitandao ya kimataifa…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: Dk. Mashinji ajitosa Kawe, Nassari arudi Arumeru Mashariki

KATIBU Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicent Mashinji amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Maalim Seif: Msajili hawezi kuifuta ACT-Wazalendo

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania amesema, msajili wa vyama vya siasa nchini humo...

Habari za Siasa

Shibuda: Rais Magufuli aliumizwa na yaliyotokea uchaguzi serikali za mitaa

JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amesema Rais John Pombe Magufuli, aliumizwa na sintofahamu iliyojitokeza katika uchaguzi wa serikali...

Habari za Siasa

Zitto amjibu Msajili vyama vya siasa

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo nchini Tanzania ameamua ‘kupuuza’ barua ya msajili wa vyama vya siasa na kwamba...

Habari za Siasa

Uchaguzi mkuu 2020: Bosi Takukuru awaonya wafanyabiashara

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) nchini Tanzania, imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa...

Habari za Siasa

Membe: Niko tayari kugombea urais Tanzania, Chadema…

BERNARD Kamilius Membe, Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania amekubali ombi la wanachama wa ACT-Wazalendo la kugombea urais wa Jamhuri...

Habari za SiasaTangulizi

Msajili aikamia ACT- Wazalendo, atishia kuifuta

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, inakusudia kukipa adhabu Chama cha siasa cha upinzani ACT-Wazalendo, kutokana na kukiuka Sheria ya...

Habari za Siasa

Muuguzi ajitosa ubunge Singida

UKENDE William Shalla, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge Viti Maalum mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

‘Meya’ Chadema ashinda kura za maoni Moshi Mjini

ALIYEKUWA Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro, Raymond Mboya ameshinda kura za maoni za kuwania nafasi ya ubunge  kupitia Cham cha...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: 247 wajitosa majimbo saba Iringa

WANACHAMA 247 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa wamejitosa kuwania kupitishwa na chama hicho kuwania ubunge katika majimbo saba mkoani humo....

Habari za Siasa

Maalim Seif: Membe unaogopwa, gombea urais Tanzania

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, Bernard Membe anaogopwa. Anaandika Yusuph Katimba..(endelea). Membe amejiunga na chama hicho akitokea Chama...

Habari za Siasa

Wagombea urais CUF kujulikana Julai 27

WAGOMBEA Urais wa Tanzania na Zanzibar wa Chama cha Wananchi (CUF), katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kujulikana Jumatatu ya tarehe 27 Julai...

Habari za Siasa

Membe akumbusha ‘machungu’ ya Lowassa, Sumaye

BERNARD Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema hatofuata nyayo za makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), waliohamia upinzani kisha kurejea katika...

Habari za Siasa

Membe akoleza moto urais Tanzania, atoa ombi Chadema

BERNARD Kamilius Membe, mwanachama mpya wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, kama vyama vya upinzani vitaweka ubinafsi pembeni na kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za Siasa

Barua ya Membe yasomwa ukumbini

BARUA iliyoandikwa na BERNARD Kamillius Membe, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tanzania kwenda kwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif...

Habari za SiasaTangulizi

JPM: Sijamtuma mtu akagombee, awapa ujumbe wanaCCM

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewatahadharisha wajumbe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanaohusika na uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa Oktoba...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: ‘Wateule wa Rais’ wachongewa, CDF na Samia watoa neno

ALBERT Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC) amewachongea wateule wa Rais John Pombe Magufuli waliokimbilia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika kinyang’anyiro...

Habari za SiasaTangulizi

JPM atengua Ma-DC, RAS, DED na RC akiwemo Makonda

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa (RC), Wakuu wa Wilaya (DC), Katibu Tawala wa...

Habari za Siasa

Mahakama ya Afrika: Matokeo urais Tanzania yapingwe mahakamani

SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanyia marekebisho Ibara ya 41 (7) ya Katiba yake, inayopinga matokeo ya rais kupingwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amri hiyo...

Habari za Siasa

Mama Salma Kikwete ajitosa ubunge Mchinga

MAMA Salma, Mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge Mchinga...

Habari za Siasa

Arusha Mjini jimbo gumu CCM

MIONGONI mwa majimbo magumu katika uteuzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Jimbo la Arusha Mjini. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). ‘Vyuma vinne’ vimekutana kwenye...

Habari za Siasa

Zitto avuna M/kiti, 120 Chadema Ubungo

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimevuna zaidi ya wanachama 120 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa Wilaya ya Ubungo, Renatus...

Habari za Siasa

Waziri Mkuu Tanzania achukua, arejesha fomu Ruangwa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Jumatano tarehe 15 Julai 2020 amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa jimbo la Ruangwa, wilayani...

Habari za Siasa

Mwandishi Azam TV ajitosa ubunge Kigoma Mjini

MWANDISHI wa habari wa AZAM TV, Baruan Muhuza amechukua fomu kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimpitishe kuwania ubunge Kigoma Mjini katika...

Habari za Siasa

Makonda kujitosa ubunge, mjadala waibuka

HATUA ya Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kugombea ubunge...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: Angellah Akilimani ajitosa Ukonga

ANGELLAH Akilimali, Mkuu wa Idara ya siasa na habari wa vyombo vya habari vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amejitosa kuwania ubunge Ukonga. Anaripoti...

Habari za Siasa

Fukuto Chadema Ubungo: Katibu ‘walikiuka mwongozo’

FUKUTO la kutimuana katika Jimbo la Ubungo, linashika kasi huku Katibu wa Kanda ya Pwani akisema, viongozi Wilaya ya Ubungo walikiuka mwongozo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Ubunge CCM: 2020 Shuguli pevu

NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna shughuli pevu katika hatua ya upigaji kura za maoni ili kupata wateule wa ubunge kwenye majimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Mnyika: Nilisema sitagombea, nijenge chama

JOHN Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, ametaja sababu zilizomsukuma kutogombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba, katika...

Habari za Siasa

Ubunge CCM: 241 wajitosa majimbo tisa K’njaro

WANACHAMA 241 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, wamejitokeza kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika majimbo tisa mkoani...

error: Content is protected !!