Tuesday , 5 December 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Magufuli abadili uteuzi RC Njombe
Habari za Siasa

Rais Magufuli abadili uteuzi RC Njombe

Rais John Magufuli
Spread the love

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe (RC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea).

Uteuzi huo ni mabadiliko ya uteuzi alioufanya Rais Magufuli tarehe 17 Julai 2020 alipomteua Dk. Jumanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa huo.

Kabla ya uteuzi huo, Dk. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais na aliteuliwa kuchukua nafasi ya Christopher Ole Sendeka.

Hata hivyo, leo Jumapili tarehe 19 Julai 2020, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema Dk. Fhika atabaki Ofisi ya Rais kuendelea na majukumu yake.

Taarifa yote ya Msigwa hii hapa chini;

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Baba yake Ole Sabaya ashinda Uenyekiti CCM – Arusha

Spread the loveLoy Thomas Sabaya ambaye ni Baba wa aliyekuwa Mkuu wa...

Habari za Siasa

Serikali yaagiza uchunguzi chanzo maporomoko Hanang

Spread the loveSERIKALI imeagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini chanzo cha maporomoko ya...

Habari za SiasaTangulizi

Maafa Manyara: Rais Samia akatisha ziara yake Dubai

Spread the loveRAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amekatisha ziara yake...

Habari za SiasaTangulizi

Wataalaam wa miamba watua Hanang

Spread the loveWaziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na...

error: Content is protected !!