MFANYABISHARA Ghalib Said Mohamed maarufu GSM, ametoa vielelezo kadhaa vinavyoonesha kuhusika katika umiliki wa eneo lenye mgogoro baina yake na aliyekuwa Mkuu wa...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2022MSANII wa Bongofleva kutoka lebo ya Wasafi, Raymond Mwakyusa ‘ Rayvanny’ amezidi kuzikwea ngazi za kimuziki duniani baada ya kuangusha bonge la shoo...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2022BAADHI ya wanawake wanaofanya biashara haramu ya ngono katika Mji wa Mombasa nchini Kenya, wametangaza kusitisha kutoa huduma zao kwa waendesha bodaboda baada...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2022WAKATI mwaka mmoja wa kukamilisha bajeti yake, ukifikia ukingoni, Serikali ya awamu ya sita imelenga kuongeza zaidi ukuaji uchumi kwa mwaka wa...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, umeeleza mikakati mbalimbali iliyofanyika katika kuhakikisha hausababishi uchafuzi wa mazingira ikiwemo vyanzo vya maji. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022VITA inayoendelea baina ya Ukreinia na Urusi, imetajwa miongoni mwa vihatarishi kwa utekelezaji wa bajeti ya Serikali 2022/23. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amefanya mazungumzo na Uongozi wa vilabu vya Atletico Madrid na Getafe vinavyoshiriki ligi kuu...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022SERIKALI imetaja sababu nne za kuongezeka mfumuko wa bei hadi wastani wa asilimia 4 katika kipindi cha Julai 2021 hadi Januari 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022UCHUMI wa Tanzania umeongezeka kwa asilimia 0.1 kwa kipindi cha mwaka mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Dodoma … (endelea). Uchumi wa Tanzania umeongezeka kwa...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022MAHAKAMA nchini Marekani imemuhukumu mwigizaji, Jussie Smollett, kifungo cha siku 150 jela ,baada ya jopo la majaji kugundua kuwa alidanganya polisi kuhusu...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2022WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, amekabidhi jumla ya tuzo 35 za umahiri kwa wanawake wafanyabiashara zilizotolewa na...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2022NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, imetoa mapendekezo sita yatakayowezesha upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2022SERIKALI ya Tanzania imeanza mchakato wa kufanyika kwa mabadiliko makubwa ya sekta ya elimu ikiwemo kuipitia upya Sera ya Elimu ya mwaka...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022CHAMA cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitapeleka barua nyingine kwenda kwenye uongozi wa Bunge, kulitaarifu msimamo wake wa kufukuza uanachama wabunge...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema mchakato wa upatikanaji katiba mpya ni mgumu, kwani unachukua muda mrefu na...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022BILIONEA Joel Jaffer A’ita raia wa Uganda ameibua gumzo baada ya kuwasilisha ombi la kutaka kuinunua Klabu ya Soka ya Chelsea inayoshiriki...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022KATIBU Mkuu Kiongozi wa Tanzania, Balozi Hussein Katanga amewataka viongozi wenye nafasi ya kufanya uamuzi wa masuala ya kisera na kiutendaji serikalini,...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema hakuna mwanafunzi wa Kitanzania, aliyebaki katika Chuo cha Taifa cha Sumy, nchini Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, zimeahidi kushirikiana katika kuzifanyia marekebisho sheria zinazosimamia sekta ya...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022RAIS wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa nchi hiyo yake imepiga marufuku ununuzi wa gesi, mafuta na makaa ya mawe kutoka Urusi....
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Iringa (RC), Queen...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeahidi kuunga mkono ajenda ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ya kuvifanya visiwa hivyo kuwa...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2022UPANDE wa utetezi kwenye kesi inayomkabili, mke wa bilionea Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatus Muyella umepinga kilelezo chenye ushihdi wa video...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amedai chanzo cha yeye kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi, ni hotuba yake ya uchambuzi...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe, ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakufa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022TANZANIA imesaini rasmi mkataba wa kukubali kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkubwa wa Utalii wa 65 wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema litafanya ziara katika kanda za nchi, kwa ajili ya kuhamasisha ufufuaji...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limewataka wanawake kujenga familia zinazozingatia misingi ya usawa wa kijinsia. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022SERIKALI imetaka ushirikiano na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchini (NGO’s), katika uwasilishaji wa masuala yanayohusu Tanzania, kwenye mikutano ya kimataifa. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022MAMLAKA nchini Benin imemwachia huru kiongozi wa Nigeria anayetaka kujitenga, Sunday Lgboho Adeyemo kulingana na msemaji wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022SERIKALI ya Tanzania, iko katika mazungumzo ya kurejea kwenye Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), baada ya kujiondoa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022MECHI ya nusu fainali katika michuano ya kufuzu fainali za kombe la dunia kati ya Uskochi na Ukrenia imeahirishwa. Inaripoti BBC …...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imetoa siku nne kwa upande wa Jamhuri kuwasilisha hati kinzani, katika kesi ya...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2022WAKATI kampeni za kuelekea Uchaguzi Mkuu nchini Kenya zikiendelea kupamba moto, mmoja wa wagombea urais katika uchaguzi huo, Raila Odinga kutoka Chama...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2022MKALI wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ na uongozi mzima wa rekodi lebo ya Konde Gang sio kweli kwamba walimpokonya msanii Country Boy...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2022MKAZI wa kijiji cha Musimi kata ya Sepuka wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida, Ramadhani Mnyambi ‘Tandika’ (47) ambaye ni fundi madaraja amenusurika...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2022KITI cha umeya wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kinachokaliwa na Juma Raibu kinazidi kufukuta moto, baada ya kamati ya siasa ya...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2022MAMLAKA ya Elimu Tanzania kwa kushirikiana na asasi ya BRAC-Maendeleo wametoa kompyuta 120 zenye thamani ya Sh milioni 132 kwa shule tatu...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Selemani Jafo amepongeza maonyesho ya wafanyabiashara wanawake yanayoendelea kwenye viwanja vya...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2022Serikali ya Urusi imewaandalia ushoroba salama wa kupitia wanafunzi wa kitanzania waliokwama Ukrenia katika Chuo cha Taifa cha Sumy ambapo wataondoka kupitia Urusi....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022Wachambuzi wengi wa tukio la uvamizi wa Urusi nchini Ukrenia wamekuwa wakilinganisha ukubwa wa jeshi la Putin na lile la Zelensky. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi, amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya, baada ya kulifanyia mabadiliko Baraza lake la Mawaziri wiki hii....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetenga Shilingi trilioni moja katika mpango mahususi wa kuwezesha mabenki kukopesha kwa riba ndogo isiyozidi asilimia 10....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022MKUU wa Majeshi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amewasamehe vijana 853 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa makambini April 12, 2021 kutokana...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022WAKULIMA zaidi ya 22,000 wa zao la mtama, kupitia Mradi wa Kilimo Himilivu cha Mtama (CSA), wamepatiwa mafunzo ya kilimo cha kisasa...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022KATIBU Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito kwa Watanzania kuacha malumbano yanayomhusu Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022RAIS Putin ametoa onyo kwa wale wanaopinga hatua ya Urusi nchini Ukraine “kutozidisha tatizo kuwa baya zaidi” kwa kuiwekea nchi yake vikwazo...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022KATIBU Mkuu wa Umoja wa Kujihami-NATO, Jens Stoltenberg, amekutana na Katibu Mkuu wa Marekani, Antony Blinken pamoja na mawaziri wa mambo ya...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022WAMILIKI wa meli kutoka Estonia wamesema meli yao imezama katika pwani ya Ukreini baada ya kutokea mlipuko. Inaripoti BBC … (endelea). Wamiliki...
By Mwandishi WetuMarch 4, 2022